MUNGU MMOJ@ NI NANI KULINGANA NA BIBLIA

  Рет қаралды 2,556

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

16 күн бұрын

Пікірлер: 85
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 14 күн бұрын
Ndacha anaeleweka vzuri sana mtumishi Mungu akubariki Sana
@denisbarasa2035
@denisbarasa2035 14 күн бұрын
Mungu mwenyezi hawabariki sana kupitia kwa mwanawe YESU kristo aliye mtuma..
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@denisbarasa2035 mna miungu wa ngapi ?
@justine-2707
@justine-2707 14 күн бұрын
Dan umeja maneno y mungu mwana n amna penye unasoma
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Mwalimu Danieli Nimemuelewa sana Pamoja Ndacha ni mwalimu Mzuri Hila Kwa hili Nimemuelewa zaidi Mwalimu Daniel
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 8 күн бұрын
Ukristo jaman ni shida yani leo ndacha anatoa andiko mungu ni mmoja aliebaba na siku kadhaa zilizopita alikua na mdahalo na sule akitetea yesu ni mungu sasa baba ndio yesu hii imani ima mgomgano hatari
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 14 күн бұрын
Whichever the verse you may read in the bible to support trinity can't make sense it is a mystery just like Sunday never supported in the bible
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Sure
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 күн бұрын
So many Scriptures support trinity (Isaiah 9:6; John 12:42-47;14:6-11; Philippians 2:5-11)
@mwoso
@mwoso 14 күн бұрын
Ninarudia kusema, utatu ni fundisho la katholiki.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 14 күн бұрын
Kweli
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Kweli kabisa
@petromachanga5538
@petromachanga5538 14 күн бұрын
Yesu ndo katolik? Mathayo 28,:18,_19
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 14 күн бұрын
@@petromachanga5538 hilo andiko ni la ushirika wa wokovu na wote umetoka kwa Mungu Baba. Halisemi hao ni mungu watatu
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Mukuje na huku Ilala Maeneo ya Msimbazi Center au Ilala Bungoni ,au Amana hapa ni sehemu City center wengi watapata mafundisho yenu nami nitakuwa hapo.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Mwakemwa yuko sahii sana na Binafsi Nimemuelewa sana na somo limeheleweka kabisa Hila Ndacha anaweka ubishani tu.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Ndacha yuko kwenye ubishani sio kufundishana Ndacha anakwenda kuniangisha nae anaenda kuwa kama Ushabiki wa kushindana na sio kufundishana.
@mwoso
@mwoso 14 күн бұрын
Nataka mwalimu mwankemwa aonyeshe andiko linalo thibitisha utatu. Hatuwezi lazimisha Baba, mwana na roho kua Mungu mmoja. Mwana ni mwana na Baba ni Baba. Soma Hebrew 1:5, Mathew 22:44, Mathew 24:36, john14:28,John 17:1, mathew27;46,John 20:17.
@petromachanga5538
@petromachanga5538 14 күн бұрын
Mathayo28:18:19
@wistadsanga
@wistadsanga 2 күн бұрын
read John 1:18
@mwoso
@mwoso 2 күн бұрын
@@wistadsanga wacha nikusaidie kuelewa kitu yohana anasema: hakuna aliye wahi kumuona Mungu baba aliye mbinguni isipokua tu mwana wake yesu kristo. Huyu mwana ni mfano wake Mungu baba Kwa sababu ameridhi uungu wake. Ndiposa yohana anamuita mungu. Hata kama huyu mwana ameridhi uungu na kupewa mamlaka hapa duniani , anasema baba yake aliyemtuma ni mkuu zaidi kumliko. Kwa ufupi Mungu alijifunua kwetu kupitia Kwa mwana wake kimwili. Ndiposa yesu anasema, ukiniona Mimi umeona baba. Na hakuna anaeweza kuona ufalme wa mbinguni bila kupitia kwake. Huyu mwana kuitwa mungu haimanishi yeye ni nafsi moja na baba yake. Hakuna pahali amesema, yeye ni mungu baba.
@wistadsanga
@wistadsanga 22 сағат бұрын
@@mwoso kwa aya hiyo ya yohana 1:18 Yesu ni Mungu mwana soma vizuri
@mwoso
@mwoso 19 сағат бұрын
@@wistadsanga nimekueleza kuhusu hio Aya na badu unaniuliza?
@mwoso
@mwoso 14 күн бұрын
Tusilazimishe kitu ambacho hakiwezekani kua cha ukweli.
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@mwoso tayari mnaamini uongo tokeni huko
@rodgerskiponda7871
@rodgerskiponda7871 10 күн бұрын
Sasa nimeelewa kuwa huyu ndacha hapa kwa Daniel ni mwanafunzi. Daniel anaakili kubwa sana,anatoa andiko moja kisha alielezee ila ndacha ana wingi wa maandiko lakini ana uchache wa maelezo.
@williambaraka8619
@williambaraka8619 2 күн бұрын
hii mada sio utatu bali uugu wa Yesu
@Benfilimon
@Benfilimon 7 күн бұрын
Tukivua mazoea na ushabiki utagundua kua nchacha yuko sahihi ila Daniel ameshikilia mazoea sio ukweli
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 14 күн бұрын
Wanautatu Hata iwe mtoto ILI fundisho la UTATU mnalazimisha lkn ukweli utabaki palepale mungu NI MMOJA alie baba na Kuba mwanae na roho wa mungu
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Kabisa ndugu yangu
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@exseviangaeje1158 mungu mmoja aliebaba kwa hiyo yesu sio mungu tena? Yesu akiwa mungu mna miungu wa ngapi?
@augustinomathan4385
@augustinomathan4385 6 күн бұрын
Kwani Mungu ana nafsi ngapi kwa mujibu wa biblia
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 күн бұрын
MCH Mwakemwa yuko sahihi kwa hii mada
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Au Muje huku Tbt
@ackimackim1880
@ackimackim1880 12 күн бұрын
MBONA YOHANA 1:1 HAMUIGUSI,INA MAJIBU YOTE
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Hspa pumba na mchele vimejulikana, kwa hiyo walimu wa jumapili kwa kifupi poleni sana, Biblia imejieleza vizuri Tunae Mungu mmoja tu aliye Baba 1Kor 1:6, na sio Baba mwana na roho (u3)
@petromachanga5538
@petromachanga5538 14 күн бұрын
Isaya. 35:4_6
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Inasema nini? Kwamba Mungu anavicwa vitatu 😂😂?
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@DanielErnest-nn2zj yesu sio mungu tena?
@amoschacha2885
@amoschacha2885 7 күн бұрын
Kweli waislam wako sahihi Mungu ni mmoja yan kiukwel tumepotea sana ukiwasiklza waislam ndo wenye din ya kweli
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@amoschacha2885 kweli yako fanya maamuzi mapema kabla hujachelewa
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@amoschacha2885 sahihi fanya maamuzi mapema
@user-ox8pc5wu7u
@user-ox8pc5wu7u Күн бұрын
Mmepotea
@familyofgodtv1290
@familyofgodtv1290 10 күн бұрын
KAMA AMEPATA HESHIMA KWA MUNGU BABA BASI YESU NDIYE MUNGU MWANA HIYO HAINA UBISHI ASINGEKUWEPO MUNGU BABA BASI HATA MUNGU MWANA AMBAYE NIYESU ASINGEITWA HIVU
@qerysir4410
@qerysir4410 10 күн бұрын
MUNGU ni mmoja aliye BABA. Huyo Baba alimzaa YESU (Mwana wa Mungu) kisha akampa mamlaka yote na nguvu zote za kiungu hivyo kumrithisha jina Mungu. Mungu Baba anaye ROHO wake (Roho wa Mungu) aliyeshuka ili atufundishe na kutuonya!!
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 8 күн бұрын
Kwa hiyo mna miungu wa ngapi?
@qerysir4410
@qerysir4410 10 күн бұрын
YESU NI MWANA WA MUNGU, hii inamaana kabla ya kuzaliwa kwake (kuzaliwa kiroho sio kimwili) Baba alikuwa yupo anatawala bila mapungufu yeyote. Baada ya Yesu kuzaliwa ndipo MUNGU (BABa) na MWANA wakaamua kufanya uumbaji. MUNGU AKASEMA "natumuumbe mtu kwa mfano wetu". Maneno haya akimwambia YESU aliye mwanawe.
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@qerysir4410 hivyo mungu wa ngapi?
@habililailo271
@habililailo271 13 күн бұрын
Hili liko wazi tu ni vile mtu aongozwi na roho usipo uongozwa na roho wa Mungu huwezi kujua ukimkataa yesu huna sehemu kwa Mungu ukimkufuru roho biblia inasema hutasamehewa kwa hiyo Mungu ni mmoja aliye tenda kazi kwa nafsi tatu
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Mungu hana nafsi tatu. Ni Mungu gani uyo 😂
@habililailo271
@habililailo271 10 күн бұрын
@@Shomariamuri1Yohana1: 14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 күн бұрын
UTATU wa Mungu unadhihirika kwenye mistari hii. 1. Yoh. 15:24 2. Yoh. 10:30 3. Yoh. 28:19 4. 2Kor. 5:27 5. Mdo. 20:28. Ni Mungu mmoja aliyejifunua katika nafsi tatu.Uwe unataka au utaki, Ruka juu, kaa chini, galagala, ukweli wa maandiko ndiyo huo. Ndacha tunakupenda sana lakini kwenye hilo la kukataa utatu, hapana.
@augustinomathan4385
@augustinomathan4385 6 күн бұрын
Thibisha kimaandiko
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 11 күн бұрын
Neno MUNGU ni ofisi,Baba ni Mungu,Yesu ni Mungu, Roho Mtakatifu ni Mungu katika etendaji kazi. Yesu alisema kuwa Yeye si Mkuu kuliko Babaye japo Yeye ni Mungu kwa utukufu wa BABAYE (Isaya 9:6; Wafilipi2:5-11)
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@davidochiengbuoga7165 duh huu ndio ukristo mtu anasema chochote akishashiba makande mungu imekua ofisi sasa mtihani mzito
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@davidochiengbuoga7165 jumla mna miungu wa ngapi?
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 8 күн бұрын
Sasa mna miungu wa ngapi nyie watu baba mungu yesu mungu ndacha huweki wazi mna miungu wawili mnakwepa nini ? Nyote mmepotea mumgu ni mmoja tu hana mshirika hakuzaa hakuzaliwa
@sirpleasureb
@sirpleasureb 13 күн бұрын
MBONA HAMKO LIVE
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 7 күн бұрын
Hiyo mada ni ngumu sana lakini pia inachanganya sana ,
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@dennisezakiel3380 ni uongo ndio mana haieleweki fanya uamuzi kabla hujachelewa
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 7 күн бұрын
@@user-mc2xd4eu2p 😂😂😂😂 Mimi nipo kwa Yesu ndugu niko kwenye uzima wa milele
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@@dennisezakiel3380 kujiliwaza tu lakini hao walinu wenu mungu hawamjui imani iliyofeli
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 6 күн бұрын
@@dennisezakiel3380 mna miungu wangapi ?
@ackimackim1880
@ackimackim1880 12 күн бұрын
YAANI HAPA NDACHA KICHWA NGUMU, WAISLAMU UKIWASOMEA MAANDIKO YA UUNGU WA YESU,WANAKUSOMEA MAANDIKO YA UBINADAMU WA YESU,MTAKESHA NDACHA FUNGUKA
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Wewe ndo hauelewi
@qerysir4410
@qerysir4410 10 күн бұрын
​@@Shomariamuri1Hili somo sio wengi wataelewa katika wakristo, seuze waislamu😮 Kwa kweli Mungu ni mmoja aliyemzaa YESU kisha akamtuma ulimwenguni. YESU alirithi mamlaka yote akawa Mungu machoni petu!!
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 10 күн бұрын
@@qerysir4410 Kabisa ndo mana unaona mwalimu Daniel na team yake wako ndani ya shule. Wataelewa tu 😁
@ackimackim1880
@ackimackim1880 12 күн бұрын
NIKUELEWESHE TENA NDACHA, YESU AMEPEWA MAMLAKA YOTE DUNIANI NA MBINGUNI,JE MUNGU YEYE MAMLAKA YAKE IKO WAPI??????, UNATAKA KUSEMA MUNGU HANA MAMLAKA.???? YESU NI MUNGU KAMILI NDACHA.
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Mungu hajawai kuja hapa Duniani ndugu yangu. Yesu mwanae ndo alifanyika mwili. Mtaelewa tu. Hata mimi nilikua na imani iyo ya waungu watatu 😂
@ackimackim1880
@ackimackim1880 12 күн бұрын
JINA LA MUNGU NI YESU,MUNGU ALIPO VAA MWILI JINA LA MWILI HUO ULIITWA YESU. YESU NI EMANUEL YAANI MUNGU PAMOJA NASI. (Mathayo 1:23, isaya 7:14). UKISHINDWA KUELEWA HAPO NDACHA RUDINI KENYA,HATUTAKI WATU WASIOELEWA TANZANIA.
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Mungu wa Mbinguni hakuna siku alivaa mwili ndugu yangu
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 күн бұрын
@Shomariamuri1 ukristo jamani sio dini huyu yesu mara yeye mungu siku nyengine mungu ni mmoja aliebaba Yan mngongano
@binseif2216
@binseif2216 14 күн бұрын
Mtabishana sana na Bible 1 ndo mjue bible ni maneno ya watu,Quran ishamaliza kila kitu
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Quran ni ya majini bwana 😂
@iddiwamasha
@iddiwamasha 11 күн бұрын
Kwni Mungu si yesu tena
@binseif2216
@binseif2216 11 күн бұрын
@Shomariamuri1 Hakuna hata Aya moja ndani ya Quran au bible ikisema uislamu ni Dini ya majini,hayo maneno mtabakinayo kwenye vinywa vyenu na makafiri walokwepo wakat wa nabii Muhammad S.A.W
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 10 күн бұрын
@@binseif2216 Enda fanya mdahalo na Dr Sule kuusu majini alafu utaona cha moto 🤣🤣🤣
@binseif2216
@binseif2216 10 күн бұрын
@@Shomariamuri1 Siwezi kumfata Dr sule me nasoma kitabu ndo kinachonielekeza nilisoma bible na Quran nikaamua kuifata Quran sabb haina uongo ndani yke,na alhamdulillah walosilimu wanasema kumbe tulikuwa tunaimanishwa kanisani uislamu ni dini y majini kumbe uongo
@ackimackim1880
@ackimackim1880 12 күн бұрын
NDACHA NIKUELEWESHE KIDOGO,JINA LA MUNGU NI LIPI? JE? KATI YA JINA LA YESU NA JINA LA MUNGU LIPI LINANGUVU YA KUTOA MAPEPO??????????,UKIELEWA APO NDACHA NDO UTAJUA YESU NI MUNGU KAMILI.
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 11 күн бұрын
Mungu hajawai kuja Duniani, ila Yesu kristo mwanawe. Mtaelewa tu
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 7 күн бұрын
Ndacha hajakataa
MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
40:46
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 113 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 9 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA
1:33:33
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 15 М.
UJUMBE WA WAKATI WA MWISHO  TANZANIA
2:12:06
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4,9 М.
PASTOR WA GC SDA APATA KIBANO BAADA YA MADA YA ALLAH, BAMBA KILIFI COUNTY
3:13:21
SAUTI NYIKANI MINISTRY
Рет қаралды 19 М.
JE YESU NI MUNGU?
29:27
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 27 М.
Rafiki Aliyeshambuliwa Na Majambazi Kwa Kuzuia Sadaka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
15:05
Maswali leo yamwagika kama maji wanawake wakikristo wauliza maswali kali kali
1:25:26
ALLAH SIO MUNGU WA WAKRISTO: MCH NDACHA
19:09
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 3,6 М.
ДОЛГОЖДАННЫЙ СОЮЗ | Сюжет skibidi toilet 75
10:57
НАСТОЯЩАЯ ЖИЗНЬ КОТА В ВР ( I Am Cat )
22:48
perpetuumworld
Рет қаралды 1,7 МЛН