MUNGU MMOJA NI NANI KULINGANA NA BIBLIA

  Рет қаралды 5,744

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

16 күн бұрын

Пікірлер: 166
@egidiusedgar5626
@egidiusedgar5626 14 күн бұрын
Ndacha ww ni mwinjilisti wa kweli Na Mungu atazidi kukusimamia ili utusaidie sisi tulitambue vema Neno la Mungu. Ubarikiwe sana (Egidius)
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 күн бұрын
Mungu ni mmoja, anajitambulisha katika kazi zake. Baba (Kazi ya kuumba), nafsi ya Mwana( ukombozi), Roho Mtakatifu (Utakaso).
@user-iz5fm9rt6n
@user-iz5fm9rt6n 14 күн бұрын
Kwa nini Yesu Asiseme nasasa Baba Na roho mtakatifu mnitukuze mimi kwa ule utukufu nilio kuwa nao pamoja nanyi kabla ya Ulimwengu kukwako lakini Yesu Lugha ya Baba kumaanisha kabla ya Ulimwengu kuwako Alikuwepo Baba na Yesu full stop which is roho yupo ndani ya mungu si Mungu bali ni roho wa Mungu basi so Yesu Ni Bwana 1 wakorinto 8:6 _7 yohaha 17:3 yohana 17:5_9 God bless you ndacha ❤ and be with you all
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 14 күн бұрын
Kweli kabisa
@emmakimisha1221
@emmakimisha1221 14 күн бұрын
walimu wa utatu wanajenga imani kuwa ukipinga utatu unamkataa THE HOLY SPIRIT... hiyo ni sababu wanakuwa wabishi wakiteta hoja kwa kujinadi basipo kuoneshaa ukweli wa maandiko ambayo ndio msingi wa imani,, ndacha MUNGU azidi kukutumia ili uzidi kuwaamsha wengi .. Barikiwaa sana mjoli ndacha unaongozwa na MUNGU
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 14 күн бұрын
Mbona ndacha kazidiwa Kwa hoja 😂😂😂
@emmakimisha1221
@emmakimisha1221 14 күн бұрын
Hakuna hoja iliyomshinda ndacha.. wacha Ushabaki kwa maandiko
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 14 күн бұрын
Nakukubali sana ndacha kwa kufundisha
@shadyz9208
@shadyz9208 14 күн бұрын
Ila naomba ukubali Mungu zaidi
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 14 күн бұрын
Yaani hapa ndio wale Yesu akasema wanamasikio lakini wasielewe ndio hawa tanzania kwaheri kenya wapo pia wapo kule kongo pia tuliwaona nihuruma sana😢😢😢😢
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Inauma sana mtumishi
@qerysir4410
@qerysir4410 10 күн бұрын
HESHIMA ZANGU KWA MCHUNGAJI NDACHA, ROHO AMEMTUMIA KUTUFUNULIA SIRI HII👌
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 8 күн бұрын
Ndacha amefeli kabisa kwenye hii mada.,wewe huna tofauti kabisa na waislam. Daniel ni Mkristo wa kweli anayeongozwa na Roho Mtakatifu. Be blessed in richly!
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 3 күн бұрын
Kwa iyo anaeongozwa na roho mtakatifu anatumia nguvu nyingi sana kupayuka..,? Hakuna haja ya kupiga kelele [using agrression tone to get your point across]
@justine-2707
@justine-2707 14 күн бұрын
Moja mara. Moja mara moja ni moja was shida
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Hata mtoto we chejechea hiyo hesabu ataksambia ni 3😂😂😂
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Watu we jumapili wasipochunga, Yesu siku akiludi watanngamia, wabadilike waludi njia kuu
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 4 күн бұрын
moja jumlisha moja jumlisha moja jumlisha moja jibu ni moja kwa imani yako badala ya usawa kuwa ni tatu 😂
@BartolomeuHenrique-mx1fn
@BartolomeuHenrique-mx1fn 14 күн бұрын
Mwalimu mwankemwa ubarikiwe sana ndacha umempa kibaruwa,na meenyekiti wake Wana Hila Niko Mozambique Pemba ubarikiwe mwl Danieli
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 14 күн бұрын
Utatu ni upagani
@petromachanga5538
@petromachanga5538 6 күн бұрын
@@fredrickgitonga1972 mathayo 28:19 yesu nimpagan?
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 14 күн бұрын
Mwakema ukimsikiza utadhani akosawa lakin hjulikani anatetea nini
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 14 күн бұрын
Kumbe na wewe umeliona hilo😂😂🎉🎉
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k 13 күн бұрын
Ndacha, hoja zako zina make sense wallah bila ushabiki
@EVANGELISTJOHN-qb6bq
@EVANGELISTJOHN-qb6bq 14 күн бұрын
Mwakemwa Mungu akusaidie kuelewa unachokifundisha..akuondolee dhana..hakuna mungu wa utatu katika maandiko
@medadykyabashasa1794
@medadykyabashasa1794 14 күн бұрын
Wapi hujaelewa mpaka hapo au upofu umekufunika? Mwankemwa kaweka wazi UTATU
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
​@@medadykyabashasa1794analeta ushabiki bila kufatilia maandiko
@emmakimisha1221
@emmakimisha1221 14 күн бұрын
Imani huja kwa kusikia ,, na kusikia ni kusema imeandikwa,.... Leta andiko mzee
@denisbarasa2035
@denisbarasa2035 13 күн бұрын
Exactly ni vizuri ku prove na andika
@GodfreyErene
@GodfreyErene 10 күн бұрын
Barikiwa sana mch mwakema, tatizo wasabato wapo mwilini hawaelewi kabisa habari za rohoni, niatari sana kusikia mkristo haelewi utatu wa nafsi za mungu,
@estakenia
@estakenia 9 күн бұрын
😂unahitaji kujifunza vizuri
@BakangayaBantaba
@BakangayaBantaba 5 күн бұрын
Wew ndie huelewi unachozungumza ndugu nafsi tatu ni nini
@ChandeDaudi
@ChandeDaudi 5 күн бұрын
Mwenyezi Mungu ni mmoja tu ni muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote nae ni ALLAH sio yesu
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 14 күн бұрын
Kweli ndacha wewe ni mwalimu maandiko hayasemi mungu Baba mwana Mungu mwana Mungu roho hakuna kwenye bibilia imeandikwa hivi Mungu baba mwana roho mtakatifu kweli tunapotea ndacha elimu uliyo nayo niya roho mtakatifu hawa wakuenda shule wanapoteza watu
@paulkamula9117
@paulkamula9117 9 күн бұрын
Ndacha ni mbishi ndacha si mwalimu hata hajui kitu hata hajielewi chenye anaongea..
@MillanDunga
@MillanDunga 7 күн бұрын
Uongo ndugu,, MUNGU NI MMOJA.. Naye ni YESU,KRISTO,, kwa mfano raisi wa Kenya ni Ruto, mkewe ni Rachael, mwanawe ni Sharleen.. Nikisema enda umsalimie raisi wa kenya, bwana wa rachael, babake sharleen utagundua ni William Ruto.. Ni mtu mmoja ana titles Tatu baba, raisi bwana lakini haya si majina,, jina ni Ruto
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 6 күн бұрын
Kama hujui biblia kaa kimya, ndacha ni mwalimu lkn kipengele cha utatu wa Mungu hajui qnachemka sana, mkristo hakuna mkristo asiyejua utatu wa Mungu na ndio ukweli
@richardchimba3800
@richardchimba3800 5 күн бұрын
@@comsmkemwa2671utatu ni mapokeo tu
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 20 сағат бұрын
​@@comsmkemwa2671wasabato wote ni mbumbumbu wa Maandiko siyo Ndacha pekee yake. I stand to be corrected
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 күн бұрын
Mwalimu Daniel hapa ulimfundisha Ndacha maana ya Utatu Mungu mmoja. Asante sana, mwenye akili ameelewa vizuri. Mkawabatize kwa JINA la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Kwa JINA siyo kwa majina. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni JINA moja.
@JoshuaLeonard-y2w
@JoshuaLeonard-y2w 11 күн бұрын
Mungu ni mmoja TU
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 8 күн бұрын
Hizo biblia zina mgongano kila mtu anasoma yake na maana tofauti hii imani ya mchongo 😂😂
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 5 күн бұрын
anapotajwa Mungu baba ni katika hali ya uumbaji, Mwana ni pale aliposhuka kuja kumuokoa mwanadamu, Roho mtakatifu ndiye huyu anayetenda kazi ya Yesu hadi leo .
@Anza_tz
@Anza_tz 10 күн бұрын
Wasabato mnachekesha sana mbona elimu iko wazi sana hapo ...Mungu ameamua yeye kua katika Hali tatu Ili utendaji wake na mahusiano yake na wanadamu yafanikiwe ..kwa mfano ..Mungu baba kwa utukufu wake ukimuona kwa macho utakufa kwanza sauti yake tuu inasemekana ni kama radi hata malaika mbinguni sidhani kama wanauona uso wa Mungu baba kwahyo inabidi Mungu baba ajifanye yeye kua na mwili Ili aweze kuwasiliana na watu vizuri..lakini tunajua kwamba Mungu baada ya Yesu ameamua kufanya makao ndani ya watu sasa atakaaje kama hajawa katika mfumo wa Roho? Sasa Mungu ni mmoja lakini ameamua kua katika sehemu tatu Ili kuwezesha uhusiano wake na viumbe vyake uwe na ufanisi zaidi kuliko angebakia katika utukufu wake hakuna mtu angeweza kuongea nae Wala kumsogelea kwanza tuu ukiwa na dhambi hata kidogo ukisogelea utukufu wa Mungu unakufa na ndyo sababu Mungu akaamua kutoa damu yake mwenyewe kama sadaka Ili iwe Kinga kwetu kwa msamaha na ondolea la dhambi.
@philipjoseph5931
@philipjoseph5931 5 күн бұрын
Usiseme Wasabato, Sema Ndacha.
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 8 күн бұрын
Nyote mmepotea ndio maana maana mpaka leo mna mgongano katika kumjua mungu huu mtihani
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 14 күн бұрын
Wapendwa Huu ndio mwisho wa Dan mwakemwa kusikika.. wote walio jadili na mtumishi Ndacha leo hii wasikiki maana sio Ndacha wanao pinga ila ni Mungu Baba kupitia Mwanae kwa Watumishi....sio Utani huu
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 14 күн бұрын
Kweli kabisa
@zacharynganga2124
@zacharynganga2124 13 күн бұрын
❤❤❤
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 14 күн бұрын
Tatizo wajumapili wanaisoma biblia kwa theologea. Mungu. Awafungue macho. Muelewe. Wote niwamoja.
@HellenLemilya
@HellenLemilya 14 күн бұрын
Logically hata haieleweki Mungu kuja duniani mbinguni alikuwepo nani?
@jamesrichard1084
@jamesrichard1084 10 күн бұрын
Upeo wako wa kufikili mdogo kwani mchawi awezi kuwa paka na muda huo yuko nyumbani amelala sasa kama huyu anaweza Mungu je?
@msemakweli243
@msemakweli243 14 күн бұрын
Leo ndo nimejua mwalimu mwankemwa yeye kakalilishwa elimu ya kusoma chuoni sio kusoma biblia na kuomba maarifa kwa mungu amuongoze
@kulwasandali2279
@kulwasandali2279 14 күн бұрын
Anachotetea huyo mwalimu mwakemwa hakipo anatia huruma Sanaa Mungu amsaidie tu maan hatak kukubali ukweli
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 14 күн бұрын
Wewe ndo hujitambui .wayahudi hamna jipya. Dhehebu lenu lilianzishwa saa6 mchana siku jumamosi 7 .7.1945 na mwanamke Ellen Gabriel white . Michigan marekani aliyekuwa mtawa wa estern orthodox alipoasi akajiundia kikundi cha wabishi
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
​@@vincentdaud9954ondoa mhemko, Zile amri za sinai zlianzishwa mwaka huo?
@kulwasandali2279
@kulwasandali2279 14 күн бұрын
@@vincentdaud9954 hahaha pole sana ndugu eti limeanzishwa 1945...sasa akili zako ziko sawa kweli daah huyo unaemsema unajua kuwa amefariki miaka ya 1880 huko sasa unasemaje 1945 ndio ameanzisha hahahah aisee unatia huruma sabato Iko Toka mianzo ya ulimwengu imewekwa hiyo ibada na ndio maan Yesu had anakuja akaendeleza tu hkn Kipya acha kufuata mkumbo kijana unapotea Sana unatia huruma
@user-iz5fm9rt6n
@user-iz5fm9rt6n 14 күн бұрын
YOHANA 17:11 Wala mimi simo tena ulimwenguni lakini hawa wamo ulimwenguni nami naja kwako Baba mtakatifu kwa Jina lako ulilo nipa uwalinda hawa ili wawe na Umoja ka sisi tulivyo ;;;: Swali sasa kwanini Yesu asiseme nami naja kwenu baba mtakatifu na roho mtakatifu lakini anasema nami naja kwako Baba mtakatifu ni kwamba wewe mwl.? Mwankwemwa unataka kutuambia kwa andiko hili yesu hakujua kama na roho ni Mungu na yupo mbinguni na ndiko anako kwenda??? Wewe hujui ingelikuwa ni kumukosea Mungu roho, na ingelikuwa ni kumshusha Mungu roho hazi ya uungu ila Yesu anacho kijua au anacho tufundisha ni kuwa Mungu ni Baba na Mungu ana roho wake kwahiyo roho si Mungu wakujitegemea bali roho ni roho wa Mungu ndiyo maana yesu hakuona sababu yakumusema roho kama Mungu, bali kuna roho wa mungu Mwanzo 1:2 issaya 40:12_13 Mattayo 3:16
@zakayomwalongo9330
@zakayomwalongo9330 10 күн бұрын
Matendo ya Mitume 28:25 [25]Na walipokuwa hawapatani wao kwa wao, wakaenda zao, Paulo alipokwisha kusema neno hili moja, ya kwamba, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya, [26]akisema, Enenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua; Hilo fungu linasema Roho mtakatifu alinena kupitia kinywa cha nabii isaya... haya tuone huyo roho alinena vp na nabii isaya..👇👇 Isaya 6:8-9 [8]Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi. [9]Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione. Jibu liko hapa tunaona Roho Mtakatifu anazungumza na nabii isaya akisema naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu. Ko tunaona hapa Roho Mtakatifu anasema kwa niaba ya nafsi zingine ambazo ni MUNGU BABA NA MUNGU MWANA. hivyo Roho Mtakatifu ni nafsi hai ya inayojitegemea. Roho Mtakatifu azidi kukusaidia pale unaposoma bible uzidi kuelewa jinsi Mungu alivyojifunua.
@JohnNchimbi-i8t
@JohnNchimbi-i8t Күн бұрын
Na wewe acha nikuswalike Mwanzo 1:26 kwanini Mungu asiseme "na nifanye mtu kwa mfano wangu?"
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 2 күн бұрын
YESU ni yote ndani ya yote , Bikira atazaa mwana ,mshauri wa ajabu Mungu mwenye nguvu ,mfalme wa Milele,hata YESU aliwaita wanafunzi wake wanangu.
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 10 күн бұрын
Munayo sema mungu wa utatu au mungu wa uwili nyie wote muapotevu, Mungu ni mu moja ni Yesu tu ,
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 10 күн бұрын
M'mungu mmoja ni Allah? Silimu ndacha
@Nolithajack12
@Nolithajack12 14 күн бұрын
Mwalimu balikiwa sana❤❤❤❤
@zakayomwalongo9330
@zakayomwalongo9330 10 күн бұрын
Ndacha ndacha ndacha we ni mchungaji ni na unafwatiliwa na watu wengi angalia jinsi unavokataa utatu na kuwaaminisha watu... kumbuka watoto wa eli walivyokua makuha n wakawa wakaidharau sadaka ya Bwana. Dhambi inayofanywa kinyume na mpango wa Mungu kwa ajili ya ukonbozi wa wanadamu hawawez kusamehewa hata wakaomba toba . waebrania 6:6. Wanadamu hatuwez kupata wokovu kama hatutaamini katika utatu. Usimuhuzunishe Roho wa Mungu hata akawa adui yako. Mungu akupewepesi wa moyo na uelewe vile Mungu kajifunua kwetu kupitia neno lake
@DrNelsonJohnMuhirwe
@DrNelsonJohnMuhirwe 14 күн бұрын
Mheshimiwa Ndacha
@orestsanga6294
@orestsanga6294 6 күн бұрын
Kumuelewa Ndacha kwanza unatakiwa kuwa mpinzani wa hilo fundisho. Ukweli ni Ndacha umeshindwa kwa hoja za maandiko matakatifu
@ChandeDaudi
@ChandeDaudi 5 күн бұрын
Mwankemwa imefeli na ndacha umefeli kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbuiza wote shimoni
@user-hu3uw4pd7y
@user-hu3uw4pd7y 8 күн бұрын
haya sas mmesahatueka njia panda hatujui tumfatane nani sas na nyote mnatumia kitab kimoja lakin hatujui yesu ni nani nshagair kuingia kwa ukirsto mana biblia inachanganya
@albertvalentino130
@albertvalentino130 10 күн бұрын
Wasabato kwa habari ya doctrine mko hoi kweli kweli --- mnataka kumfafanua Mungu A to Z kwa kuzitegemea akili za kibinadamu,yaani kwa kujenga hoja --- yaani mwanadamu umfafanue Mungu,kwamba anaanzia wapi na anaishia wapi ? Hapo sasa mwanadamu,si atakuwa uwezo kuliko Mungu --- neno linasema," Siri ya utauwa ni kuu... 1 Tim 3:16.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 9 күн бұрын
Mungu amejifunua mwenyewe ww
@IsackMntaji
@IsackMntaji 4 күн бұрын
Mch,ndacher,punguza munkari ninyi wote ni wakristo,nakuomba uongozwe na roho wa bwana kama mwenzako danieri ili tuwaelewe vizuri mbona danieri tunamuelewa?
@CHRISTOPHERKAKINGO
@CHRISTOPHERKAKINGO 7 күн бұрын
Aliva mwili akaitwa yesu kabla hajavaa mwili alikuwa nani
@AlfredMusemakweri
@AlfredMusemakweri 23 сағат бұрын
Yani kumjua Mungu wakweri katika utata wake ni ufunuo waroho mutakatifu siyo hakiri za kibinadamu mc ndacha wewe niwakuwahubiri waisilam ili wamjue yesu tu waokoke wasiingie jehanam
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Mwankemwa asipo angalia andiko la Uf 22:18-19 linamshtaki, anajalibu kingiza maneno yake ya nje ya biblia
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 11 күн бұрын
Kwa umoja ya Uungu Daniel mwakemwa akosahihi hapo Ndacha umelemewa mbona Yesu amwita Roho yeye,,na Kuna Mungu Baba na Kuna mwana na hawa wote ni umoja unasema nafasi tatu Kwa Uungu shida ni Moja unasoma Bibilia na fixed mind funguka Wacha kufundisha Bibilia jinsi unavyo fanya kwenye mdahalo wa kislamu naye Roho wa Mungu atakuongoza vyema
@FelixGitonga-co8ng
@FelixGitonga-co8ng 14 күн бұрын
Daniel mwalimu kubali tua mungu baba na mwana mungu na roho mungu hio kwa bilia akuna ?
@EvgLeonidas
@EvgLeonidas 9 күн бұрын
Mbona uyo mwalimu mmemkata maneno yake kumbe mna upendeleo
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 4 күн бұрын
Kwahiyo hapo Myahudi ni nani na asiye Myahudi ni nani? 😢Yesu tuhurumie imeshindikana kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi? Ninachoona hapa ni kuumana na kulana woiii 😢 bytheway MWALIMU MWANKEMWA SIKUELEWI KWENYE HII MADA.
@EvgLeonidas
@EvgLeonidas 9 күн бұрын
Kumbe mwankemwa ni hatari hivi nimempata kiboko wa ndacha
@ChandeDaudi
@ChandeDaudi 5 күн бұрын
Yesu ni mtume kwa wana wa israel
@robertjoseph4196
@robertjoseph4196 8 күн бұрын
Ndacha hapa umeferi % zote
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 14 күн бұрын
Mwl mwakemwa amekaririshwa theology wachungaji mukubali ukweli UTATU NI Giza totolo
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 10 күн бұрын
Kabisa ndugu yangu. Hata mtoto wa nursery hawezi kubali Mungu mwenyezi alikuja kuzaliwa duniani laaaa 😂😂😂
@albertvalentino130
@albertvalentino130 10 күн бұрын
Hayo ni mambo ya rohoni,hayafundishwi kwa hekima ya kibinadamu --- yaani " kwa kujenga hoja kama anavyojaribu kufanya hivyo NDACHA " Hayo ni mambo ya kiroho,ysnayofundishwa na Roho -- mambo ya rohoni,yanafasiriwa kwa maneno ya rohoni ---- akina Ndacha,ni watu wa tabia ya asili --- (1) Hawna wokovu (2) Hawana Roho mt --- ni watu wa dini tu --- washika sheria kimwili, Mf SABATO,kama ilvyokuwa kwa mafarisayo --- Hawawezi kuyapokea mambo ya rohoni,likiwemo fundisho la utatu,kwao hilo ni jambo gumu,kwa akili zake atasema ni " Upuuzi " --- 1 Kor 2:10 --- 16 --- Ndacha nyenyekea,kaa chini ufundishwe --- " Hauko mbali na ufalme,ikiwa utakubali kufundishwa "
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Simple like that kama Mume na mke kuwa mwili Mmoja why not Mungu anashindwa kuwa ktk hutatu?..... Ndacha ni mwalimu Mzuri Hila nae anaitikadi za Ubishi Ubishi kama wayaudi.
@philipjoseph5931
@philipjoseph5931 5 күн бұрын
Ndacha Tulia kwanza Ujifunze Biblia. Tatizo lako umesoma Biblia kwa njia ya Qur'an. hapo lazima uchanganye Mafaili.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Nilicho kiona Kwa ndacha anacho kiamini Huwa ataki kuelimishwa zaidi ya hapo Yeye anaamini anajua kila kitu hiyo Ndio shida.
@Kanyawela
@Kanyawela 10 күн бұрын
Ili ujue Yesu razima uwe rohoni kwenye akili utafeli ndacha
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Kwani Mungu anashindwa kitu?..... Maana hata Musa alisema nae Kwa njia ya Moto Akuna kitu Mungu anashindwa kuwa anauweza wa yote Ndio maana tumeambiwa alikuwa mwili kwa jinsi ya mwili mbona Hiko wazi sana.
@habililailo271
@habililailo271 13 күн бұрын
Wacha mm niongozwe na roho wa Mungu
@user-du3pd7gb4c
@user-du3pd7gb4c 11 күн бұрын
Mungu ni mmoja !! Ila anafanya kazi kaktika nafsi tatu,Yesu Roho mtakatifu ni Mungu huyohuyo Yesu ni mwokozi ,Roho mtakatifu nimtendaji ,,Yesu tuko kila mahali Roho mtakatifu anajuwa yote!!! Hizi sifa ni za Mungu tu. Huwezi kumuomba Mungu bila kutaja jina la Yesu,na huwezi kuomba ipasavyo bila Roho wa Mungu Mungu!! Kwahio Mungu ni mmoja katika nafs tatu Baba ,Mwana,na Roho mtakatifu, hizi nafsi tatu ndo anakamilika Mungu alie hai.Kwahio Yesu ni Mungu,
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 10 күн бұрын
Maelekezo mengi no fungu
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 9 күн бұрын
Wew mwongo
@JohnNchimbi-i8t
@JohnNchimbi-i8t Күн бұрын
Wafilipi 2:6 kuwa SAWA na MUNGU maana yake nini?Mwl ndacha nifafanulie!!?
@paulkamula9117
@paulkamula9117 10 күн бұрын
Ndacha hakuna kitu anajua..
@albertvalentino130
@albertvalentino130 10 күн бұрын
Kuhusu kuwasingizia waroma ni kwasababu ya matango mwitu aliyolishwa na Nabii wao White.
@frankathanas
@frankathanas 7 күн бұрын
sina Hakika kama unauelewa unabii yaan roho ya unabii vzr
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Hukisema handiko lisomwe huyo Msemaji anakuwa kama hajui kusoma nikijana ambaye anaenda kishindani shindani kama mwalimu wake Ndacha analazimisha kutokuelewa sababu ya ushindani tu kukalili alivyo amini na kuona wao wanajua zaidi kuliko wengine ngumbe sivyondivyo maashi yalivyo hunacho kijua ktk Elimu yako yuko mwingine ambaye anajua tofauti nawe.
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 9 күн бұрын
Usiwe na ushabiki ndugu yangu. Ebu soma Waebrania 1-8-9 Mungu wa mbinguni hawezi kua tena na mungu wake. Pia soma Yohana 17-3 Yesu anasema uzima wa milele ni kumjua Mungu wa Pekee na Yesu kristo uliyemtuma Maandiko yako wazi kabisa. Hata mimi zamani nilikua na imani iyo. Jaribu kujisomea mwenyewe
@IsabelClementeNtengo
@IsabelClementeNtengo 10 күн бұрын
1yohana 5:8-9 dacha ni WA mwili tuu.
@livetrendmedia
@livetrendmedia 12 күн бұрын
Elohim is one of the Hebrew words for God, usually referring to the one God of the monotheistic religion of the Israelites described in the Hebrew Bible. However, Elohim is not the only Hebrew word for God, nor is every usage of the word Elohim a reference to the God of Israel, whose name is Yahweh.
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 13 күн бұрын
Ndana na mzee wa upako ni ndugu moja
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Watu wa jumapili mchungaji wao Mwankemwa kakubali hakuna andiko la Baba, mwana na roho kuwa Mungu mmoja hakuna, ndio atubu dhambi yake ya uongo
@Nolithajack12
@Nolithajack12 14 күн бұрын
Ndasha nimukweri hakuna mwalimu wa jumapiri mukweri wote ubwamuntu
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 14 күн бұрын
Yah umbwa walio bubu isaya 56:10-12 si matusi
@BakangayaBantaba
@BakangayaBantaba 5 күн бұрын
Sasa unapaswa ubatizwe kwa jina gani
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 14 күн бұрын
Tuzidi kujitakasa,hayo mengine tutayaelewa mbinguni,mwenye kujitakasa azidi jitakasa
@barakaharony4396
@barakaharony4396 13 күн бұрын
Ndacha MUNGU ni mmoja TU naye jina lake YESU kristo ndiye MUNGU Baba na ndiye mwana ye mwenywe hawako hawo wawili unao wasema
@qerysir4410
@qerysir4410 10 күн бұрын
kwa hiyo YESU alipoomba alikuwa anajiomba mwenyewe?! LAHAULA!
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 10 күн бұрын
Hakuna andiko inayosema ivo 😂
@thomasrodriguez7684
@thomasrodriguez7684 14 күн бұрын
Mwalimu mwankemwa unaeleweka tupatie namba ya mpesa tufanye jambo. Uyu anaekataa utatu Wa Mungu ni kafiri km walivyo waisilamu.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 14 күн бұрын
Hii sawa kabisa😂😂
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 14 күн бұрын
Hata wayahudi sio wote walio amini Yohana mbatizaji na Mwana wa Mungu
@Pablolookman
@Pablolookman 8 күн бұрын
ukita kujua umepotea fikiria manabii waliopita kabla ya yasu kuwepo duniani walifundisha utatu ?
@davidwambura5915
@davidwambura5915 13 күн бұрын
Usipomuelewa mwankemwa hautamuelewa mwingine yeyote.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Ndacha ktk hili humefeli inabidi kusaidiwa
@salimobeid1470
@salimobeid1470 7 күн бұрын
Masikini wakiristo fungueni akili zenu mtafute ukweli na njia ya haki yavkwenda kwa mungu wa ukweli hapa kuna usanii mkubwa sana unatumika wa kucheza na akili za watu jamani kila mmoja atazikwa pekee yake tafuteni ukweli someni quran mtaona ukweli jamani njia sio sahihi hii ya ukiristo namuomba mungu awafungue macho na nyoyo kila anaetaka kuona njia ya mungu ya ukweli
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 10 күн бұрын
Ndacha Nauliza swali Yesu ni Mungu au sio Mungu?.... Kuna maandiko ambayo Huwa unayasomaga wewe mwenyewe nitakuzibitishia kwanza Naomba nijibu Hilo Yesu ni Mungu au sio Mungu?....
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 10 күн бұрын
Tuwawekee shehe apo au tuwaache?
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 10 күн бұрын
Mashehe habari za Roho mtakatifu Unawachanganya tu na hawajui chochote mpaka Yesu anarudi
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 10 күн бұрын
NAOMBA NISOMEWE LIKA 2:1-23 AU MWISHO WA AYA MNIFAFANULIE SURA HII YA LIKA NANI KAZALIWA NANI KAZAA NANAI KASEMA MARIAMU UTAPATA MIMBA NANI KAPOTEA NANI ANATAFUTWA NANI KAJA KUWAKOMBOA WA ISRAELI NANI KAUTWA MTOTO KWA MUJIBU WA LUKA NISAIDIENI.SURA HII AIO METHALI WALA FUMBO IPO WAZI HAIITAJI KACHUMBALI KAMA ASEMAVYO NDACHA
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 14 күн бұрын
Tena Mungu aangalii Elimu ya vitabu maana anasema yaitwa Elimu kwa uongo 1 Tim 6:20-21, hatutaki Elimu iyo ya kungeuza maandiko uko shule wakindaganyana, to hell
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 13 күн бұрын
Ndacha mimi nilikuwa nakufatilia ila kwa mafundisho yako ya kukataa utatu wala skufatilii
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 13 күн бұрын
Kataa kwa hoja sio kwa sababu unaamini hivo ndo maana utaki
@HellenLemilya
@HellenLemilya 14 күн бұрын
Mbona unafupisha have relationship with father umeacha
@realramjen3270
@realramjen3270 14 күн бұрын
Mch Mwakemwa una kitu
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 9 күн бұрын
Mwakema ameshindwa hii mada
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 14 күн бұрын
Wasabato Wana matatizo ndiyo maana kunakipindi walitangaza mwisho wadunia wakaanza kuwambia waumini wao wauze vitu vyao 2020 kutafasiri maandiko kwako ni ngumu kipindi kingine wakaenda uwanja wa ndege wa Julias Nyerere kupanda bure kwa imani 😂😂😂😂
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 14 күн бұрын
Sifa za msabato unasijua ww, eti wasabato alf mtu mwingine akiamuka toka na uko kusema vitu vyake inaunganisha na wengine, huoni io ni kuchanganyikiwa lakini sikulaumu ww uko uko tu, Babylon(confusion)
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 14 күн бұрын
You can't combine people to blame, judgement will come to an individual, u must be conscious
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 13 күн бұрын
Nyinyi walimu mbona munatuchanganya
@OmaryKawambwa
@OmaryKawambwa 6 күн бұрын
Fafanua
@MillanDunga
@MillanDunga 7 күн бұрын
Ukiwa makini unaposoma (YOHANA 13 NA 14). Jiulize hili jambo 1."nitamuomba BABA awatumie msaidizi kwa Jina langu" "YESU KRISTO 2." Msaidizi huyo dunia haimjui ila nyinyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi na baadaye atakuwa ndani yenu"", YESU ALIKUWA PAMOJA NAO KATIKA KIMWILI NA BAADAYE ATAKUWA NDANI KIROHO 3."Nitamuomba BABA awatumie msaidizi,,,,, ni vizuri kwenu nikienda, nikienda nitamtuma" "YESU ANASEMA ATAMUOMBA BABA AMTUME HUYO MSAIDIZI MBELE KIDOGO YESU MWENYEWE ASEMA NIKIENDA NITAMTUMA.. 4"MUNGU NI ROHO na wamwaputuo wapaswa kumwabudu kwa uwezo wa roho." ikiwa MUNGU NI ROHO NA TUNAELEWA MUNGU NI MTAKATIFU KUMAANISHA ROHO MTAKATIFU Kwa hiyo YESU KRISTO ndiye MUNGU BABA MUUMBA, NDIYE MWANA NA BADO NI YEYE TU ROHO MTAKATIFU
@petersammy218
@petersammy218 5 күн бұрын
Na ni nani huyu atamuomba ama yesu ni muongo??
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Күн бұрын
Wafundishe ndugu yangu . Kimsingi maandiko yanakubali kwamba yesu ni Mungu sasa wanaokataa wanasemaje kuhusu maandiko hayo yanayokubali kuwa yesu ni Mungu?
@FelixGitonga-co8ng
@FelixGitonga-co8ng 14 күн бұрын
Mbona Daniel wako watatu wazundia mbunguni daza anakubali hio
@user-jy8cg2ly1j
@user-jy8cg2ly1j 14 күн бұрын
Metronomy 29:29
@rasitkipkoech7441
@rasitkipkoech7441 14 күн бұрын
Tunajaribu kujionyesha upabe wetu kw hii mjadala. Kitu moja tu munatofuutiana.... Mipakilio y MUNGU BABA, MWANA, N RONO...... WOTE WAKO NA JINA LAKE LAKINI WOTE WAFANYA KAZI PAMOJA ndio tunasema wote ni MUNGU KWA MAHANA WANAFANYA KWA NGUVU YA MUNGU... muko sawa pmoja
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 14 күн бұрын
Akuna Mungu watatu
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 14 күн бұрын
Sasa ukiulizwa Mungu wa pekee wa kweli ni nani utasema nani? Tunaongelea Mungu mmoja
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Күн бұрын
​@@programminglanguagestutori9118Naomba nikujibu rafiki yangu NI yeyote utakaye mtaja Baba itakuwa sawa Mwana itakuwa sawa Roho Mtakatifu itakuwa sawa kwa maana ukitaja baba ni sawa na kusema mwana na ni sawa na kusema ROho Mtakatifu.Hili ndo fumbo ambalo wengi hawalijui YESU AKASEMA UKINIONA MIMI UMEMUONA BABA. akimaanisha kuwa yeye Si tofauti na baba
@programminglanguagestutori9118
@programminglanguagestutori9118 Күн бұрын
@@christophersimwinga6689 mimi nikauliza swali wapi imeadikwa yeyeote? Unajua andiko la mathayo 28:19 huwa mnalitumia vibaya?
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Күн бұрын
Niliposema yeyote namaanisha MUNGU BABA AU MUNGU MWANA AU ROHO MTAKATIFU Yani ukisema Mungu wa pekee ni Yesu ni sahihi au ukisema ni Mungu Baba ni sahihi kwa sababu Mungu baba na M ungu mwana Si vitu viwili ni Kitu kilkile kimoja
@peternyaga-jh7zb
@peternyaga-jh7zb 14 күн бұрын
Leo ndacha amepelekwa shule
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 14 күн бұрын
Shule kwa Elimu ngani isipokuwa mithali 14:15 mtu mjinga huamini kila kitu bali mwenye busara hufikiria njia zake
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 10 күн бұрын
Huo unaitwa ushabiki 😂
@estakenia
@estakenia 9 күн бұрын
😂mwakemwa hua unajichanganya katika maelezo yako. Aya ziko wazi kuwa Yesu ni mwana wa Mungu.
@daudmtoba191
@daudmtoba191 14 күн бұрын
Mbona hawa wamadhehebu wana badilisha maandiko
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 14 күн бұрын
Hawajui maandiko😂😂😂
@daudmtoba191
@daudmtoba191 14 күн бұрын
@@DanielErnest-nn2zj ni mungu wao atuwez kataa maana makanisani wamejaza masanamu sana
@DimaDaro-ts1kq
@DimaDaro-ts1kq 4 күн бұрын
Danieli wewe hueleweki kabisa
@GodfreyErene
@GodfreyErene 10 күн бұрын
Alafu nyie waabudu siku mnapotoa comment muwe mnafikiria vizuri, ndacha anapokataa hakuna mungu mwana maana yake ana Manisha yesu sio mungu ? Hayo ni mafundisho ya kishetani, hata kule congo ni huyo huyo ndacha aliwafundisha watu kuwa yesu ni mungu, na Leo anakataa. Anaitaji shule kuhusu mambo ya rohoni😂
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 14 күн бұрын
Tatizo wajumapili wanaisoma biblia kwa theologea. Mungu. Awafungue macho. Muelewe. Wote niwamoja.
@daudmtoba191
@daudmtoba191 14 күн бұрын
Apo kuna mpotoshaji na mwalimu sasa awa wajuma pili awaelewi
@medadykyabashasa1794
@medadykyabashasa1794 14 күн бұрын
Umeelewa UTATU SASA
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 14 күн бұрын
Mungu amewapofusha wasiweze kujua siri yake. Sabato ni Siku ya kupumzika na kustarehe. Andiko gani linasema sabato ni jumamosi. Ukiamini hivi inamaana umefuata mapokeo ya watu kwa kutengeneza kalenda
@fredykiluka6606
@fredykiluka6606 13 күн бұрын
​@@obedkalinga9704soma neno kijana utapotea ooh 😢😢😢
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 13 күн бұрын
Mwalimu mwamkema uko sawa wasabato wabishi sana
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 13 күн бұрын
Ndacha ukikataa utatu mtakatifu undoka Tanzania mafundisho yako potofu
MUNGU MMOJ@ NI NANI KULINGANA NA BIBLIA
28:02
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,5 М.
UJUMBE WA WAKATI WA MWISHO  TANZANIA
2:12:06
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4,9 М.
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 63 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 469 М.
SILAHA MUHIMU WAKATI WA CHANGAMOTO YOYOTE MAISHANI
40:42
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 58 М.
USHUHUDA WA ASKOFU ELIBARIKI SUMBE ALIVYOOKOLEWA NA MUNGU
24:01
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 26 М.
ALLAH SIO MUNGU WA WAKRISTO: MCH NDACHA
19:09
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 3,6 М.
JE YESU NI MUNGU?
29:27
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 27 М.
MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA
1:33:33
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 15 М.
Rafiki Aliyeshambuliwa Na Majambazi Kwa Kuzuia Sadaka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
15:05
MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | SOMO LA 12
59:52
Hope Channel Tanzania
Рет қаралды 3,3 М.
Workshop | AI: A Serious Look at Big Questions (360°)
2:34:24
Harvard Data Science Initiative
Рет қаралды 15 М.
СМОТРИ, КАКОЙ ВКУСНЫЙ ПИРОЖОК!
12:56
ViteC ► Play
Рет қаралды 1,2 МЛН
СБЕГАЮ ОТ ЗЛЫХ РОДИТЕЛЕЙ в Schoolboy Runaway
44:32