Waliokwishaondoka ni Mickson, Saido, Chama na Inonga
@cyprianboniphace-oz5lw11 күн бұрын
Jobe na Michael Kublan wanaweza kufanya maajabu msimu ujao.
@suitbertmaro579211 күн бұрын
Sina shaka na MICHAEL
@WizkidMwkalundwa11 күн бұрын
Simba were the best all time
@babaabro884711 күн бұрын
Kuna Augustine kutoka River United katangazwa mchana huu Muna lala sana
@SaidMana-dp4et11 күн бұрын
Ahmed ali tutajie majina ya wachezaji wa simba tuliowaacha mpaka sasa umetuacha njiapanda hatuelewi kitu hatujui nani kaachwa na nani kaingia tafadhari sana tupe majina kaka
@@flova7022 Ina maana sawadogo, Jefferson, outarra Dejan, okwa na akina jobe ni wazuriii ila hawakulindwa ?? Then ayoub Lakred, Chama , tshabalala, Inonga na che Malone ni wazuri pia ila wao wamepewa ulinzi ?? Basi ongezen kampuni za ulinzi kk security na suma jkt kwaajili ya kuongeza ulinzii 🤣🤣🤣