MUSUKUMA AMWAMBIA WAZIRI MAKAMBA “NI KAMA DHARAU, TAARIFA ZA MAKARATASI HAZITAKUSAIDIA, HASARA"

  Рет қаралды 43,784

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 35
@khadijamaftah6830
@khadijamaftah6830 2 жыл бұрын
Natamani siku moja awe rais huyu❤
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 2 жыл бұрын
Hivi kweli we msukuma ni darasa la Saba,mi naona unatudanganya bana
@nkwabitz233
@nkwabitz233 2 жыл бұрын
Safii sana Msukuma👍
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 2 жыл бұрын
Hil ndiyo bunge letu sipika akiona unaenda kuongelea bwawa la nyerere la kufua umeme ana mwambia mbunge muda umeisha. Na watanzania wengi tunao umizwa na bei za umeme tuna washwa washwa kujua huu umeme wa maji umefikia wapi. Kwa sababu leo hiyo kazi ya kujenga mradi huo hatui ioni ikitangazwa kama zamani wafrika nani katuloga.
@fredrickkiliani4663
@fredrickkiliani4663 2 жыл бұрын
Exactly
@selemanjulius9660
@selemanjulius9660 2 жыл бұрын
Safi sana msukuma
@samuelseverua
@samuelseverua 2 жыл бұрын
Asante kwa kuwasilisha pointi yangu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Hivi mama huko uliko unafuatilia kweli matatizo ya wananchi wamechoka sana maisha ya ubabaishaji wa mawaziri wako uliowaweka wewe mama watanzania hawakutaki mama samia kwa sababu siyo mfuatiliaji kama hayati magufuli wewe hukuchaguliwa na wananchi
@naturelle1097
@naturelle1097 2 жыл бұрын
😆😆vioja bungeni. It is a headache listening to some things😤
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Hii inchi wasomi wanazidiwa ufaham na wasio Soma duh sjui kwann 😭😭😭
@MuviisTV
@MuviisTV 2 жыл бұрын
Walio krem ndio wanazidiwa akili na walikua Wana helewa.
@mariethajohn5637
@mariethajohn5637 2 жыл бұрын
huyo mbunge anayegonga meza anakera
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 жыл бұрын
Umenifurahisha nitumie namba yako nikupe zawadi
@ezeedi871
@ezeedi871 2 жыл бұрын
Yaan anakera balaa hasikilizi hata hoja anagonga tuu,jamaa anamshukuru Spika yeye anagonga tuu meza yaan sijui yupoje uyo mama sijui anaona fashion kugonga iyo meza
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Halafu anakera kafanana na Bibi tozo.😏
@rosemongi5273
@rosemongi5273 2 жыл бұрын
Makoro koro aliyo yatoa J,p,m sasa ndio mawaziri tena wa wizara nyeti jama mungu anawaoneni viongozi nyie,r,I,p jemadari wetu kwa yanayo endelea hatutaweza kukusahau,mwenyezi mungu tusaidie maana peke yetu hatuwezi,Msukuma ubarikiwe sanaaaa.
@salcle9702
@salcle9702 2 жыл бұрын
Huyo mama anagonga benchi hapo ni kero pumbafu atulize huo mkono
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Mimi sioni umuhimu wa bunge letu la Tanzania zaidi ya kupiga makofi. Yale yanayowagusa wabunge km huyu mwenye magari ya kusafirisha anatetea kwa kua anaumia.. Ila sisi wananchi yanayotuumiza ni mengi mno na hakuna wakututetea. Waafrika watatawaliwa mpk mwisho kwa ajili ya roho mbaya mno za viongoz wetu. Kwani mbona yalivyokua yakipanda hawakua na salio la mafuta? Mnajisahau mno mkiwa hapo , mnaona km hamtakaa uraiani ipo siku mtakua ombaomba na mtajuta mno kwa jinsi mnavyokaa na kufikiria sana kuwaumiza wananchi wenu
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
We huwezi kumpangia mtu nitajie mbunge ambaye ni omba omba hivi unajua .omba omba ni mtu masikini sana hata mlo wake mmoja shida harafu we siyo Mungu
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 Soma tena uelewe alf ujibu... Ni vyema ukatafuta mtu muelewa akakuelewesha nini nimeongea kisha utajua namna ya kujibu
@martinkigua8627
@martinkigua8627 2 жыл бұрын
Umeongea Br utopolo mtupu
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
@@martinkigua8627 Kosa kubwa ni kuruhusu walioshindwa kutulia kwenye elimu leo ndio wengi wakupenda kutoa maoni.. Hata km mada hawaijui utakuta anaandika vitu hata visivyoeleweka , au maneno anayoyapata kwenye vijiwe vya kahawa Some I maoni yao tu mtaona ..
@mpwamtaa5173
@mpwamtaa5173 2 жыл бұрын
Huyu sio darasa la saba bana ni msomi mkubwa
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 2 жыл бұрын
Yalipo panda mbona ukutete jamaa umekuwa wa ovyo Sana isee
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 2 жыл бұрын
Huwa nakuunga mkono kwenye uchangiaji wako ila kwenye uchangiaji wa leo sikuungi mkono . Wakati bei ya mafuta ikipandishwa kwa kigezo Cha vita Kuna watu walikuwa na stock lakini waliuza kwa bei mpya.
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
siyo kigezo ndo ukweli upo wazi yamepanda kwa sababu ya vita
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 2 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 Soma comment Mpaka mwisho ili upate Cha kujibu
@brunotinda4810
@brunotinda4810 2 жыл бұрын
Msukuma waambie Kaka!!!!!!!!
@yessemwakibete2458
@yessemwakibete2458 2 жыл бұрын
Musukuma kichwa saana huyu jamaa
@amenmushi5945
@amenmushi5945 2 жыл бұрын
Waziri analog
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Wangemtoa tu January makamba kuhusu swala la umeme kazi hawezi siyo mfuatiliaji uunakatika kila siku na maji hivyo huyo mama mtoe hamna kitu hapo kama ni mti mpapai
@mohamedmussa1236
@mohamedmussa1236 2 жыл бұрын
Hapana siungi mkono haja unazungumzia kupata hasara bei inapo shaka mbona huzungumzii bei inapo panda na unakuta mtu ana stoku yakutosha
@tausiathumani9408
@tausiathumani9408 2 жыл бұрын
Huyu akiwa raisi tutafurahi dana na kishimba Hawa watu wanaweza
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 жыл бұрын
Bwawa la Umeme linaugonjwa gani?CCM MSIPOKUWA MAKINI LITAWAPONZA MWAKA 2025
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 9 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 44 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 108 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 9 МЛН