MUSUKUMA MBELE YA WANAHABARI, ACHUKIZWA KUMDHIHAKI HAYATI MAGUFULI

  Рет қаралды 276,617

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Anthony Dialo kuzungumza na Vyombo vya Habari na kuomba radhi juu ya kauli alizozitoa wakati wa mahojiano na kituo cha Televisheni cha Star TV, leo July 14 aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita ambae kwa sasa ni Mbunge wa Geita Joseph Musukuma ameongea mbele ya Vyombo vya Habari

Пікірлер: 1 100
@NoorAhmed-lg8xr
@NoorAhmed-lg8xr 3 жыл бұрын
Inatakiwa vichwa kama hivi viongezeke. Musukuma uko vizuri mungu akuongoze katika maisha yako
@hadijamatola5230
@hadijamatola5230 3 жыл бұрын
Kabisa
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
Mia%
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Pumzika kea amani baba yetu ,kwani uyo Diaro hautakufa nayy ipo siku yake
@stevensimtowe4511
@stevensimtowe4511 3 жыл бұрын
Najidai Sana kuishi kwenye uongozi wa JPM commando 🙏🇹🇿
@samwelzakayo3596
@samwelzakayo3596 3 жыл бұрын
Mzeee maguful hata wamseme vipi sisi tulimwelewa sana hawawezi kututolea hili kichwani mwetu mungu ampumzishe kwa aman tulimpenda sana ila mungu alimpenda zaid
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Hachafuliki
@pauloqaymo8925
@pauloqaymo8925 3 жыл бұрын
Wanajisumbua tu kumchafua hawataweza
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
...mwanangu natoamachozi babuu. Kuna Watu na Viatu babuu!. Dah! No Way R.I.P JPM for real recognize real.
@magrethgeorge9253
@magrethgeorge9253 3 жыл бұрын
😘😘😘😘
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Mh msukuma Safi Sana 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@ombenhezron144
@ombenhezron144 3 жыл бұрын
Polee Baba Msukuma unaumia Kama ninavoumia kwasababu likitajwa jina la jpm tofauti Nasikia kuumwa Nataman kukata mtu makof,,Asantee Mkuu kututetea pia nimependa sanaa mtu akifa faili Lake limefungwa wanataka kututofautisha sanaa
@jamesshao538
@jamesshao538 3 жыл бұрын
Well said Mr.Msukuma,sema Baba
@mussaramadhani5976
@mussaramadhani5976 3 жыл бұрын
aaaaaaah!,safi sana.Uzuri wa mh. msukuma yaaan huwaga hapepesi macho,darasa la saba lake alilimaliza vizuri hakutoroka darasani kwenda kuiba mapera aiseeee!!.
@hidayahassan8014
@hidayahassan8014 3 жыл бұрын
😂😂😂
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
Aiseeeeeeeh! ...chcyi!!
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 жыл бұрын
Hapo ndio wazalendo imekuwa too much sisi Magufuli Soldiers tuko nyuma yako yeyote akimgusa JPM tunalala naye mbele Viva JPM
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
Tutafungua chama. Kitaitwa the Decipals of Magufuli (DoM)soon au tukiite De Khamitian
@juliuslengai7106
@juliuslengai7106 3 жыл бұрын
😆😆😄😆
@juliuslengai7106
@juliuslengai7106 3 жыл бұрын
@@pendael02 😂😂😂😂
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
VIVA 🙌🏼 JPM
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 3 жыл бұрын
Kwa ajili ya nini
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
R.I.P. JPM 😭😭! .... Asante Sana mheshimiwa msukuma 🙏🙏 .
@michaelthadeo8318
@michaelthadeo8318 3 жыл бұрын
Good my daddy msukuma very big up ,,,,,,if God wish iwill come to meet with you very congratuation🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 жыл бұрын
JPM TUTAMKUMBUKA DAIMA
@lydiadotto3380
@lydiadotto3380 3 жыл бұрын
Usmga
@lydiadotto3380
@lydiadotto3380 3 жыл бұрын
Yanga
@salmaomar9251
@salmaomar9251 3 жыл бұрын
SSI tunamkumbuka kwa kuleta vifaru na kuuwa watu zanzibar ili ccm watawale
@hamzalyawa7981
@hamzalyawa7981 3 жыл бұрын
@@salmaomar9251 kuma wee unawashwa mtako
@saidnassoro9562
@saidnassoro9562 3 жыл бұрын
Hata wewe ulikuwa timu Lowasa kabla hajaamia Chadema.Usijikombe kuwa ni mweeema sana.Diallo kakosea lakini na wewe huna jipya.Unakumbuka ulivyoenda na Helicopter Arusha wakati Lowasa alivyoenda kutangaza nia?
@stanfordshombe1379
@stanfordshombe1379 3 жыл бұрын
Safi sana Msukuma watu wanakuamini.
@augustinejohn1835
@augustinejohn1835 3 жыл бұрын
Dah, inauma sana Diallo anajabu kuleta unafiki kwa Marehemu. Sio vizuri kabisa. Huu sio uanaume na haswa eti Mwenyekiti wa Chama wa Mwanza. CCM liangalieni hili nii upuuziii sana
@sarahmwansile6007
@sarahmwansile6007 3 жыл бұрын
Pumbavu sana dialo ,nyoko kabisa ,achana magufuri wetu apumzike kwa amani
@bonymrengule6418
@bonymrengule6418 3 жыл бұрын
Nimekupenda bure ndugu yangu
@mussaelia8693
@mussaelia8693 3 жыл бұрын
Taratibu sasa jaman
@mattyhappy1581
@mattyhappy1581 3 жыл бұрын
Uko sawa Msukuma wew ,,mzalendo
@shabankiwesi8826
@shabankiwesi8826 3 жыл бұрын
Upo vzr kaka mwambie mzee huyo hajielewi
@mabeyainvestment5485
@mabeyainvestment5485 3 жыл бұрын
Yule mzee kwa kweli hajiheshimuu kbs na ni kichaaaaa mkubwaa
@williamloserian5999
@williamloserian5999 3 жыл бұрын
###Huyu mzee ni master zaidi ya proffesser yaani mungu amekujalia kipaji mzee wangu msukuma...##
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 жыл бұрын
Nyoko zake huyo Diarro pumbavu zake hakuwa analipa kodi
@mussampambichile8647
@mussampambichile8647 3 жыл бұрын
Dialo out
@mabeyainvestment5485
@mabeyainvestment5485 3 жыл бұрын
Chizi sana yuleee
@happinesshunashu2937
@happinesshunashu2937 2 жыл бұрын
@@mabeyainvestment5485 za
@brightnessmtigandi6755
@brightnessmtigandi6755 2 жыл бұрын
Tena hana akili huyo mwenyekiti
@ananiachelesi1486
@ananiachelesi1486 3 жыл бұрын
Musukuma tunakushukuru umetusemea ssi tusio na sauti ya kuwafikia hao weu
@salsoandreas5147
@salsoandreas5147 3 жыл бұрын
Fala weeee
@goodluckmboya6264
@goodluckmboya6264 3 жыл бұрын
Ahaaaa naamini kweli wasomi hakuna kitu Waanajamba alafu wanawashafeni
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dr.John Pombe Magufuli❤️❤️❤️ umetukomboa na tunafuata nyayo zako
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
Tusonge na Tunasonga. Kwa mwendo wa Farasi .
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 3 жыл бұрын
Fukuza Dialo , hafai, na Mwanza hatufai, kwanza kamdhalilisha pia Mama Janet Magufuli
@jumanguru8455
@jumanguru8455 3 жыл бұрын
Kwan kosa lake lip????
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
@@jumanguru8455 kujamba
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 3 жыл бұрын
Kamdhalilisha kweli kwamba mama janeth alikuwa anaishi na kichaa siku zote na hakuwahi kujua mbona hajawai sema kama kaolewa na kichaa huu ni upuuz
@saidsyande3728
@saidsyande3728 3 жыл бұрын
ccm kiapo cha mwanachama ni kusema kweli daima dialo kasema kweli
@hawashayo5526
@hawashayo5526 3 жыл бұрын
Angekua kichaa tusinge mkumbuka sasa
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 жыл бұрын
Hongera sana msukuma watanzania tunataka vichwa kama hivi pumzika hayati JPM tutakukumbuka daimaa
@elidarweyemamu5144
@elidarweyemamu5144 3 жыл бұрын
Tutamtetea mzee wetu hata kama ni kwa message,walifikiri akuna wa kumtetea tupo wengi Pumzika kwa amani JPM I will never forget you in my life ❤ 💙
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@fredkyara3278
@fredkyara3278 3 жыл бұрын
Mamilion ya watanzania tuna uchunguu tunaugulia kwa kifo cha mkombozi wetu mtetezi wetu na shujaa wetu kipenzi yaaaani heeeee hamjui tu tulivyo tokea kumshuba babayetu hayati Magufuli. Yeyote atakae jipendekeza kumsema Magufulu vibaya haaaa ajiandae kuchukiwa kuporomoka kisiasa na laana ya kumwandama had umauti wake mfano ni huyu chizi mr. Mibangi dialo
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Haswaaaaaaaaaaa
@pauloqaymo8925
@pauloqaymo8925 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
Lov Lov Jah bless dead bodies
@jamesmasome359
@jamesmasome359 3 жыл бұрын
Tunajuwa dialo ni mwizi.....
@paullameck592
@paullameck592 3 жыл бұрын
Nakukubalii saaana mheshimiwa msukuma!
@barakasegugu5494
@barakasegugu5494 3 жыл бұрын
Nakukubali msukuma huyu anaemponda mangufuli mama samia amfanyie kazi ili asichafue chama asafishe msukuma endelea nakazi wakilisha wananchi
@nedytheboy5579
@nedytheboy5579 3 жыл бұрын
Magufuli hatosahaurika kwa ushujaa wake,upendo,uzalendo wa kwelii na mengne mengi mazurii Hakuna Mwanadam asiye na Mapungufu yoyote..Dialo kazngua Sana Na n Mnafki Sanaa uyu jamaa Hafai kuwa Kiongoz anatuangusha wasomi..Msukuma Bigup Sanaa we N jembeeee
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 жыл бұрын
Mzee baba tutamkumbuka saizi wezi wameanza wengine wamekuja kupitia vilabu jizi Hilo halikuwa linalipa kodi
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Yani TUNAMKUMBUKA hadi afya zetu zinazo rota angekuwepo hata karia koo anefanyabinu ya kuwa futa jasho ange enda pale sokoni na kuwa uliza hitaji lenu kwadakika za haraka ni Nini wendemwambia hm RAIS TUNAOMBA HIFAZI YA MUDA KISHA MAGUFULI ANGE FANYA MAMUZI MAGUMU MAWILI LA KWANZA ANGECHANGISHA MCHANGO WA LAZIMA KAMA KAWAIDA YAKE JAFO TOA LAKI KITILA TOA LAKO AL HAJI LAKI BODY GANI LAKI MAMA JANETH LAKI KISHA ANGESEMA IMEFIKA NGAPI NA YY ANGEONGEZA KISHA ANGE WAMBIA WA HANGA MJIHESABU NIWAGAWIENI PESA KISHA ANGESEMA KWANZIA LEO KWAKUA MAJENGO YOTE YAME JENGWA NA KODI ZA WANA NCHI BASI MAJENGO MWILI YA SERIKALI YA HAPA K KOO NAPA WAHASILIKA WAFANYE BIASHARA HUKO HADI UCHUNGUZI WA SOKO KUU UTAKAPO KAMILIKA KISHA WATU WANGE FURAHI MAGUFULI KISHA ANASEMA ASANTENI WA TANZANIA MUNGU AWA BARIKI EE MUNGU WALA HATUJA ELEWA DADDY KALALAJE GHAFULA
@saromejusto9587
@saromejusto9587 3 жыл бұрын
Dialo ni moja ya washenz walokuwa wahujum uchum amwache mzee wetu apumzike Tena akome
@veronicasamson7121
@veronicasamson7121 3 жыл бұрын
You are very Wise. Tunakuelewa dear Kweli napenda busara yako kaka. Mungu akibariki zaidi. Kijana mdogo mwema mzalendo na akili mingi, safi sana🤝.
@celestinemahande5168
@celestinemahande5168 3 жыл бұрын
Safi sana msukuma inatuuma sana naomba atupishe tu uenyeketi wa chama
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 3 жыл бұрын
Mwenyekiti wa chama asiruhusu kina dialo kuendeleza kauli za kipumbavu Kama hizi. Atoke hadharani na kuzikemea.
@jumamglecs7684
@jumamglecs7684 3 жыл бұрын
Magufuli tutamtetea akiwa kaburini na kesho kiama.
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
Ameeeennnnn🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@shijalupondeja908
@shijalupondeja908 3 жыл бұрын
Amina
@prisillahmasherema8564
@prisillahmasherema8564 3 жыл бұрын
Aminaaa
@pauloqaymo8925
@pauloqaymo8925 3 жыл бұрын
Amen
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 3 жыл бұрын
Jitete wewe kwanza
@salsoandreas5147
@salsoandreas5147 3 жыл бұрын
Safi msukuma mnyooshe huyo Fala mdomo mkubwa kichaaa Yeye huyo diallo
@happymrema6728
@happymrema6728 3 жыл бұрын
Makoful.hachafuliki kabis kabis amwtutoa mbal amepand mbegu kwa watanzani ambayo haifutik
@prisillahmasherema8564
@prisillahmasherema8564 3 жыл бұрын
@@happymrema6728 sanaaaaaaaaa
@ibel4lf
@ibel4lf 3 жыл бұрын
Dialo hufai kuwa mwenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza ujiuzuru
@salsoandreas5147
@salsoandreas5147 3 жыл бұрын
Kambi ya membe wote mafisadi fyuuuuuuu
@yusufjuma3773
@yusufjuma3773 3 жыл бұрын
Hakika
@magnusdominicus8214
@magnusdominicus8214 3 жыл бұрын
Diallo ametuumiza sana sisi watanzania hajui maumivu tulionayo juu ya kifo cha Mpendwa wetu Magufuli.
@ismailmasagasimjilima3319
@ismailmasagasimjilima3319 3 жыл бұрын
Mimi wakwanza ilawalio furah mjomba magufuli kufariki mungu anawaona na anawalani
@hadijamatola5230
@hadijamatola5230 3 жыл бұрын
Ivi ss binaadamu tuna feel wapi binaadam mwenzia akipatashida ndio anafurahia mpk na kumshukuru kifo cha mwenzio utasema yeye anaishi milele jamani ALLAH atusamehe na atupe mwisho mwema
@magrethgeorge9253
@magrethgeorge9253 3 жыл бұрын
Nawao wanalio frahi wajue nimarehem watalajiwa
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Huyo Diaro ni mnafiki mkubwa alaniwe nani Kama magufuri
@laipazergy7938
@laipazergy7938 3 жыл бұрын
Dialo hajielewi, hana ushawishi na hata halijui kuongea. Namchukia basi tu.
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Lijinga sana
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 3 жыл бұрын
Nilipumbavu hilo lizee nilakuchapa makofi lizee lisenge sana lilizoea kuiba pumbavu sana. Hata familia yake yote yalisha lazwa milembe jinga sana
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 3 жыл бұрын
Diolo hafai ksbisa hayati msgu kazi sloifanya hakuna kiongozi yyte aloifikia
@augustinejohnnyakatoma8591
@augustinejohnnyakatoma8591 3 жыл бұрын
Nimependa Sana hotuba Yako Mhe Msukuma. Umebadilisha mtazamo wangu na SASA nataka kuwa kama wewe. Ni kweli elimu haina uhusiano na hekima. Wewe una akili na hekima kubwa Sana. Nakupenda Sana, napenda msimamo wako. Ubarikiwe. Diallo ni kweli yote uliyomsema ametuudhi sana hafai hata kuwa mwanachama wa CCM achilia mbali uenyekiti wa mkoa
@augustinejohn1835
@augustinejohn1835 3 жыл бұрын
Thanks a lot Mhe Msukuma
@mashamnyama5213
@mashamnyama5213 3 жыл бұрын
Huyo dialo mjinga hata hafai
@kudisalashija9823
@kudisalashija9823 3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kupaza sauti mhe Musukuma. Dialo katuaibisha sana wana Mwanza.
@williamsonwilson7350
@williamsonwilson7350 3 жыл бұрын
Nakukubari mkuu💪💪💪💪
@happykimaya2762
@happykimaya2762 3 жыл бұрын
Dialo kwa nini ulifungiwa? Lzm kulikua na matatizo au ulikua ulipi kodi, na hayati Hakua mchezo kwenye kazi. Hata hivo Dialo huna hata chembe ya busara. R I P JPM
@barrymichael9221
@barrymichael9221 3 жыл бұрын
Alikua ana daiwa kodi huyo boya
@hawashayo5526
@hawashayo5526 3 жыл бұрын
Kabisa
@jipozeonline3983
@jipozeonline3983 2 жыл бұрын
Sasa alifunguliwa kwa vigezo gani ndio ujinga na upumbavu wa awamu ya tano kama kweli alikuwa anadaiwa kodi je alilipa? Maana huyu msukuma anasema yeye ndio aliyemsaidia akafunguliwa kwa kifupi utawala uliopita ulikuwa wa upendeleo na ubaguzi
@ferdinandchilumba9887
@ferdinandchilumba9887 3 жыл бұрын
Pamoja msukuma nipo msumbiji lakini nakupata
@emiliaalyhibraimo6367
@emiliaalyhibraimo6367 3 жыл бұрын
Na mimi pia
@neggoh_kadjo4162
@neggoh_kadjo4162 2 жыл бұрын
Huyo diaro ndo alikuwa milembe amuache magu wetu apumuzike asitusababishe tuaze kulia tena
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 жыл бұрын
Msukuma mvueni gwanda la CCM huyo mzee diallo, hatumwitaji tena.
@ramadhanintayogora5763
@ramadhanintayogora5763 3 жыл бұрын
Wewe nani?
@missmrs829
@missmrs829 2 жыл бұрын
@@ramadhanintayogora5763 mm ni TM Magufuli
@ayubmohamed6620
@ayubmohamed6620 3 жыл бұрын
Dialo in mjinga sana MTU akifariki asiongelewe kwa mabaya. Dialo ndiye kichaa
@festokillingo8912
@festokillingo8912 3 жыл бұрын
Pole Sana mama janeth ,kwa haya ambayo majitu majinga yanaongea kuusu hayati Magufuli,, inaumiza Sana,
@casmirygregory4990
@casmirygregory4990 3 жыл бұрын
Ni kwel Msukuma ila sio kila msomi ana Akili
@severinebagenyi4745
@severinebagenyi4745 3 жыл бұрын
CCM jitafakarini sana, yaani huyo Diallo kwanini mpaka sahizi bado ni mwenyekiti? Anaudhi sana kusema Magufuli alikuwa kichaa!!! Huyo ni mpumbavu, mnafiki na mpigani tu.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 3 жыл бұрын
Mtaachana uchi na bado.
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 3 жыл бұрын
Watuachie Rais wetu apumzike kwa amani 🙏😭
@steventilubuza9247
@steventilubuza9247 3 жыл бұрын
Na alaaniwe mtu yeyote amneneaye maneno mabaya...Jembe letu, tingatinga, kamanda JPM..vizazi vitapita bila kupata mtu wa calibre ya JPM. Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na utendaji wa JPM. Dialo kwa unafiki wako hutakaa ushibe.
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@leocadiaonesmo2614
@leocadiaonesmo2614 3 жыл бұрын
Kabsa
@theresiamushi1619
@theresiamushi1619 3 жыл бұрын
Mlaaniwe nyie mlio furahia udhalimu wa magufuli
@petermusa4745
@petermusa4745 3 жыл бұрын
@@theresiamushi1619 tunawajua mliokuwa na vyeti feki mtampenda vipi wakati mlizoea vyabure polesana maana naona unaumia sana
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 3 жыл бұрын
@@theresiamushi1619 mtanyooka mnajifanya mmesoma kumbe hamna mnatumbuliwa mnapiga kelele
@jamesjohn9160
@jamesjohn9160 3 жыл бұрын
Ilikua vigumu saana kuangalia clip ya Diallo ama kweli niliumia😭😭😭
@pascalkirway832
@pascalkirway832 2 жыл бұрын
Nasikitika sana nchi yangu imejaa wanasiasa wanafiki kuliko wazalendo, hayati Magufuli amefanya mambo mazuri mno wakati wa uhai wake.
@godfreyntambi7763
@godfreyntambi7763 3 жыл бұрын
Nina mashaka na huo udokita wake,,Dialo
@salsoandreas5147
@salsoandreas5147 3 жыл бұрын
Dr wa kienyeji huyo Fala harafu sio msukuma Mchunguze sanaki
@zengomikomangwa9969
@zengomikomangwa9969 3 жыл бұрын
Diallo hana Doctorate. Kama anayo atupe thesis yake. Hana hekima, hana ushawishi. Ni mkwepa Kodi nk
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 2 жыл бұрын
Point huyu Dr uchwala tu anaonekana
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 3 жыл бұрын
Msukuma afadhali umeliongelea hili, Diallo n mpumbavu na alaaniwe maisha yake yote 😭😭😭
@gervinangowi5696
@gervinangowi5696 3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni mpe pumziko la milele magufuri wetu tutakukumbuka daima magufuri huyu dialo ni mjinga sana
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Diaro olifa kubi adi nimeandika kiruga kwa uchungu nilionao wa kumpoteza baba yetu jembe ,pumzika baba
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Laana anaipata yeye dialo, watoto wake, na ndugu zake woooote
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Mungu akujalie msukuma wallah unafanya kazi kubwa
@rajabumsofe3045
@rajabumsofe3045 3 жыл бұрын
dialo aachie ngazi kwa kumshutumu magufuli. msukuma na kuunga mkono
@joniijovin3559
@joniijovin3559 3 жыл бұрын
Mzee mwenye elimu ya kuzaliwa
@KopakopaTv
@KopakopaTv 3 жыл бұрын
Alizaliwa na phd huyu fala
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 3 жыл бұрын
😭😭 Dialo ni mbwa ameshalaaniwa ametuumiza sana Watanzania wengi
@allyiddi5866
@allyiddi5866 3 жыл бұрын
Kakuumiza wewe kenge mpenda klelewa mlaum mzazi wako aliyekuzoesha na kukulea na vya kuiba
@zachariajustine873
@zachariajustine873 3 жыл бұрын
Akijamba huku hanafeni,atafanyaje. .bug up msukuma, Dialo bangi zinamsumbua
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhh, oy xyo pw
@allysaid3443
@allysaid3443 3 жыл бұрын
Safi sana msukuma
@noelfande3983
@noelfande3983 3 жыл бұрын
Jamaa anaongea content
@msenegal.3933
@msenegal.3933 3 жыл бұрын
Mzalendo pekee nae mtambua ktk hii nchii msomi mwenye akir ya kuzaliwa,,,sio hawa washezi wenye elimu na hawana akir pumbavu kbx.
@fabiansaid6847
@fabiansaid6847 3 жыл бұрын
Fact sana kiongozi,diallo yampasa atambue nafasi aliyo nayo akumbuke kuwa anaetoa mamlaka ni mungu kwa mwendo huo hawezi kudumu.
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Nakukubali SANAAAAA Msukuma
@rahabujohn739
@rahabujohn739 2 жыл бұрын
Ondoka usemwe c aliwafunga mdomo Acha diaro aseme msukuma we ndo mbweha tu
@sansisansi3686
@sansisansi3686 3 жыл бұрын
haha ety kapiga faru joni ama konyagi haha mpe makavu msukumu nakuelewa sana watu wengeni ovyo sana shenzi sana
@jamesselemani4562
@jamesselemani4562 3 жыл бұрын
Big up sana msukuma ,,,,,..... dialo anajifanya kidume baada JPM kufariki,, kwann asingeombia kipind mwanaume akiwa hai........pumbavu sana huyu dialo tena akafie mbele
@leonardshilatu399
@leonardshilatu399 3 жыл бұрын
Hivi majirani zangu tarime kwann mmempatia bangi diallo?
@beatussagalani1397
@beatussagalani1397 3 жыл бұрын
Hahahahahaha
@magrethgeorge9253
@magrethgeorge9253 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@mzakirurashidi3591
@mzakirurashidi3591 3 жыл бұрын
Jamani mama samia tumbua diaro
@janetmichael5611
@janetmichael5611 3 жыл бұрын
waache wabaya wale nchi, kwani wataishi milele? tutakutana mbele ya haki, watapokua kitandan wakifa watajua laana iliyopo juu yao
@500gts___7
@500gts___7 3 жыл бұрын
Neno.
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
😆😆huyu ndio Musukuma bwanahanaga kuremba..kwann asipewe uwazir huyu jamaa namkubali Sana huyu jamaa kwa KUTOKUA mnafiki..
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
Sikupingi ila hiyo position nayo anakandamiza ki weledi Kama Askari Polisi Trafki Ashirafu. Ni Fire!!.
@cheppefredcheppe5049
@cheppefredcheppe5049 3 жыл бұрын
Ahsante Msukuma,tumejua sasa kumbe jamaa alikuwa kambi ya wale jamaa.....baada ya kupigwa ndo vibaya na kupotezwa ndo wameanza kuongea ongea hovyo kutukana watu!!
@samsonmkengi6972
@samsonmkengi6972 3 жыл бұрын
Kaka msukuma usihangaike na mtu mpumbavu rofa mkubwa ,
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 3 жыл бұрын
Ni aibu sana kuwa na Mwenyekiti wa ccm kama huyu. Mimi nimekuwa mwanachama wa ccm tangu tarehe 18/08/1977 kadi Na. A 377845. Nimekitumikia chama zaidi ya miaka20 katika ngazi mbali mbali sijawahi kuona kituko kama hiki.Kama mwenyekiti huyu bado ana mawazo na rafiki yake, amfuate huko ACT wazalendo, badala ya kuwa ndumila kuwili Adui wa ndani ni mbaya zaidi kuliko adui wa nje. Kama yeye alikuwa na akili timamu, mbona alipewa uwaziri wizara ya Mali asili na utalii ukamshinda akatimuliwa?Nakuomba Katibu Mkuu wa CCM usiwe mzito kujibu upuuzi kama huu Unapotokea. Kwa kuwa sisi wanachama tunakutegemea sana kama mtendaji Mkuu kukihami chama wakati wote na mamuluki. .Hongera sana Mheshimiwa Musukuma.umetusemea tunakupenda Sana.
@enockboidy7829
@enockboidy7829 3 жыл бұрын
Katba moya ndio suluhuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
@gervaswmigayo386
@gervaswmigayo386 2 жыл бұрын
asante sana msukuma hilo,nijizi mafisad,makubwa linajifanya liwe lishauli la rais
@geopolitics94
@geopolitics94 3 жыл бұрын
Asante sana Mhe Musukuma kwa kulisemea hili
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 3 жыл бұрын
Dialo pumbavu zake kabisa msenge hana akili mbwa mshamba hajitambui.
@oimermollelzephania139
@oimermollelzephania139 3 жыл бұрын
Wewe kweli una akili timamu au unajisemea tu kwa sababu unajua kuandika . Tafakari usije kujuta.
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Msukuma asante kwa kutusemea uyo mbwa
@charleskagaruki8849
@charleskagaruki8849 3 жыл бұрын
Mhe Rais nakipongeza kwa juhudi ulizonazo kwa watanzania! Nakuomba Sana kwa jina la Bwn ,kwamba utuondolee uwanja wa ndege katikati ya mji wa Bukoba, ulipanuliwa na viongozi wababe wakaleta msongamano kamji kadogo nakuomba uupeleke nje ya mji vijana wa taxi na bodaboda wafanyakazi!!! Natanguliza shukrani! Bwn akubariki!!!
@bensonjr4879
@bensonjr4879 3 жыл бұрын
True man! Rest in peace JPM
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Dialo kumanyoko zake mbwa huyo
@ayoubkikoti6344
@ayoubkikoti6344 3 жыл бұрын
Hivi walimpa Kiti Dialo kwa sifa gani? Huyo hawezi kupita tena uchaguzi ujao,,hana akili kabsa,
@enosmasasi6217
@enosmasasi6217 3 жыл бұрын
Ni lijinga sana ilo li Dialo
@jumaabdalla3798
@jumaabdalla3798 3 жыл бұрын
Dialo hafai muondoeni ndio anaanza kupazwa huyo
@clementmwaitebele7687
@clementmwaitebele7687 3 жыл бұрын
Asante sana Msukuma kwa kusema...yaani Ametutukana Wananchi wote . ..Kumtukana JPM ambaye amefanya kazi ya miaka 6 ni kama imefanyika kwa miaka 60 sasa anatukana Taifa LA Tanzania
@richardmakene7780
@richardmakene7780 2 жыл бұрын
Hyo diallo n msenge tyuuu magufuli daima ttamkumbka maisha yetu yote magufuli hakna kama yy
@samweltv2064
@samweltv2064 3 жыл бұрын
Ni haibu sana kwa mtu kama Antony diaro kuzungumza upuuzi kama ule sion ata kama kuna uthamani ya msamaha wake maana ajaikosea familia tu bali katukosea watanzania ambao tulipokea kwa mikono miwil upambanaji wa hayat dk magufuri anachofanya nikutuumiza sana😭😭😭😭😭
@abelmipwa9854
@abelmipwa9854 3 жыл бұрын
Huyo diallo hafai kbs
@andreamakalla6000
@andreamakalla6000 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@subawaba2321
@subawaba2321 3 жыл бұрын
Safi mzee msemakweli._jpm. jembe daima hawawezi. kutupoteza kamwe jpm R.I.P baba amir jeshi mkuu. tuna kukumbuka "tuko nawachawi wanatuwangia. watashindwa kwa uwezo mungu amen
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 жыл бұрын
Diallo huyu mzee ajiuzulu ,hatumwitaji tena hawezi kumtukana jpm,mvueni nguo za kijani
@martine.pumzikakwaamanmaga6771
@martine.pumzikakwaamanmaga6771 3 жыл бұрын
Piga chini mazee manafiki
@swalehemsengesi3575
@swalehemsengesi3575 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana sana. Dialo umeota ndoto unakunya.
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 3 жыл бұрын
Nakupenda sana siku zote Msukuma. Umenyooka na ni mkweli siku zote. Haunaga unafiki. Huyu Dialo kawakosea sana Watanzania wote. Degree si kitu bila heshima na maarifa. Anajikomba kwa Mama Samia kwa njia ya unafiki. Mama yetu wanafiki anawafahamu vizuri tu. Ni Mama anayejielewa sana.
@daudkutokaarushanawapatavi6518
@daudkutokaarushanawapatavi6518 2 жыл бұрын
Msukuma akili mingi san mzee wangu mungu akuongoze
@ignasiissaya1718
@ignasiissaya1718 3 жыл бұрын
Upo vizuri sana sana Mh.Musukums nakukubali sana.
@rajabumsofe3045
@rajabumsofe3045 3 жыл бұрын
huyo dialo aachie ngazi watu wanao mchukia magufuli waliguswa kwenye kodi walikua wanataka watu wa chini wawalipie kodi na hata hivyo umri umemtupa mkono.
@alfanmussa3041
@alfanmussa3041 3 жыл бұрын
Dialo nimpumbavu ambae sijawai kumshudia
@prisillahmasherema8564
@prisillahmasherema8564 3 жыл бұрын
Mpumbafu wa mwisho
@kelvingwaza9142
@kelvingwaza9142 3 жыл бұрын
fala dialo
@kelvingwaza9142
@kelvingwaza9142 3 жыл бұрын
msenge sana dialo kisimi yeye
@kelvingwaza9142
@kelvingwaza9142 3 жыл бұрын
muache baba apumzik anafikir atapewa ukubwa mbwa huyo dialo kuma sana tena sana siogop ananitafute anipeleke polis kuma mamayoo
@daressalaampost5785
@daressalaampost5785 3 жыл бұрын
Nakupendaga sana mhe. Msukuma, kwenye ukweli huwa hulazi damu. Huyo Diallo hajitambui, badala ya kujenga anawanufaisha wapinzani, hafai kuwa mwenyekiti wa CCM, hafai kuaminiwa!
@HusseinMwakyoma
@HusseinMwakyoma 15 күн бұрын
Mm hussein mwakyoma msukuma natamani ujekuwa raisi wa hiiii nchi unaweza mmnaishi mbeya ira kati yaviongzi ninao wakubar msukuma namba 1.nakuerewa brooo mungu akuongezeee siku uwepo wa nimsaada kwetu
@magrethgeorge9253
@magrethgeorge9253 3 жыл бұрын
Uyo dialo sijuh pua yake yeye imeangalia juu,Kila binadam nimarehem mtalajiwa jamani mm mtu akimsema magufuli naumia sanaaa,msukuma one day utakua Mr president 🙏
@jmalifedha479
@jmalifedha479 3 жыл бұрын
Diallo =0% brain
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Safi Sana msukuma nakupenda Sana hata bungeni uko vizr,japo Mimi mnyaturu.
@stellahmollel7081
@stellahmollel7081 3 жыл бұрын
mimi ni mmasai, ila magufuli ni alikuwa rais wetu ,ni mwenzetu, ni ndugu yetu , na ametufanyia kazi nzuri, inatukera sana mtu anayembeza ndugu yetu rais Magufuli
@stellahmollel7081
@stellahmollel7081 3 жыл бұрын
ametuachia alama ya pendo, amefanya kazi yake akimtanguliza Mungu, hadi huku kijijini tunaona matunda ya ndugu yetu Dr magufuli, despensaries zimejengwa, hospitali,zimejengwa, pamoja na madhaifu ya kibinadamu ya ndugu yetu Rais magufuli amefanya kaz kubwa sana inayoonekana, alikuwa mtetezi wa wanyonge kwel kwel muda mwingne nikimkumbuka machoz yanidondoka, mwacheni magufuli wetu, Mungu ampe heri mbinguni.
@franksam8581
@franksam8581 3 жыл бұрын
Umeongea point kabisa amelewa na madaraka huyo
@samwelsumbuka7613
@samwelsumbuka7613 3 жыл бұрын
Daa kweli kanda ya ziwa sijui diaro sijui ngwandu beyu ametuuzi sana
@rahmarahma920
@rahmarahma920 3 жыл бұрын
Hongera sana nakupenda sana baba
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Asante mheshimiwa msukuma una uwezo mkubwa wa kujieleza na kutetea hoja kushinda wasomi wengi.Nimepata wazo tuanzishe taasisi ya kutambua michango na busara za waliokosa elimu ya vyuo vikuu kutunukiwa PhD kwa michango yao katika Taifa letu.
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 3 жыл бұрын
Msukuma nakupendaga tu, hunaga kuogopa. Wamuache JPM wetu, mpaka Leo cjawahi mtoa ndani ya moyo wangu anaishi Magu. Tuko nyuma yako kumtetea asiyeweza kuongea sasa. RIP baba yetu
@drmapigimasunga3408
@drmapigimasunga3408 3 жыл бұрын
Safi sana Magufuli tunalia mpaka leo halafu mpumbavu1 asiye na imani ya Mungu mtumishi wa shetani anamsema vibaya
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 26 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 11 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
ALIYEPEWA MSAMAHA WA RAIS ARUDI MWANZA KUCHUKUA REDIO YAKE YA MKULIMA
4:44
Mwananchi Digital
Рет қаралды 427 М.
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 26 МЛН