No video

"MWANANGU USISAHAU KUWATETEA WANYONGE" KAULI YA MAMA JANETH MAGUFULI MBELE YA MAKONDA

  Рет қаралды 100,067

Millard Ayo

Millard Ayo

4 ай бұрын

Mama Janet Magufuli, Mke wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano nchini Tanzania amemtaka Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Paul Makonda kuendelea kuwatetea wananchi na kushughulika na kero zao.
Mama Janet ametoa kauli hiyo mbele ya Mh. Makonda mara baada ya kuwasili jijini Arusha kuhudhuria Misa maalumu ya kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine itakayofanyika kesho Ijumaa huko wilayani Monduli mkoani Arusha.
Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Makonda ameahidi kuendelea kujitoa katika kuwatumikia wananchi wa Arusha na kumshukuru Mama Janet kwa kumuombea kheri katika kazi zake.
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu mara mbili, tangu tarehe 13 Februari, 1977 hadi 7 Novemba, 1980 na mara ya pili kuanzia tarehe 24 Februari, 1983 hadi tarehe 12 Aprili, 1984 alipofariki kwa ajali ya gari.

Пікірлер: 205
@blackhood76tv
@blackhood76tv 3 ай бұрын
Makonda ameongea kwa adabu hari ya juu na mama janeth
@barakarobert1029
@barakarobert1029 3 ай бұрын
Anajua magu aliko mtoa
@tukuyufm
@tukuyufm 3 ай бұрын
Asante mama wa taifa kwa baraka zinazonena ukweli, Mungu aendelee kukulinda siku zote za maisha.
@gaspermoko171
@gaspermoko171 3 ай бұрын
Amina
@GRACE-ru2nn
@GRACE-ru2nn 3 ай бұрын
Hatuna mtu abayeitwa mama wa taifa. Tuna Baba wa taifa tuu hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na kama wadhifa huo ungekuwepo basi muhusika yupo na simwingine ni Mama Maria Nyerere. Period.
@GRACE-ru2nn
@GRACE-ru2nn 3 ай бұрын
Hatuna mtu anayeitwa mama wa Taifa, tuna wadhifa wa Baba wa Taifa pekoe ambaye ni hayati Mwlm Julius Kambarage Nyerere na laiti wadhifa wa mama wa taifa ungelikuwepo basi yupo mhusika na simwingine ni mama Maria Nyerere.
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 ай бұрын
We naweeee? 😂😂😂​@@GRACE-ru2nn
@tukuyufm
@tukuyufm 3 ай бұрын
@@GRACE-ru2nn ❤
@victorcephas3618
@victorcephas3618 3 ай бұрын
My future president of this country naiona spirit ya Magufuli ndani yake Mungu amtunze Rais wetu ajaye
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 ай бұрын
Mungu akusimamie makonda respect sanaaa ❤❤❤❤❤umebaki niww kwenye jicho langu kwajili ya wanyonge🙏🙏🙏mungu akusimamie ingewezekana ungepewa nafasi ya urais
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 3 ай бұрын
Safi sana.. Keep it up makonda.... Baraka zote.. Kama namwona magufuli mm
@rhodanangoma7386
@rhodanangoma7386 3 ай бұрын
Asante Mama Janeth kwa maneno mazuri Mungu aendelee kukutunza
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 ай бұрын
Mungu AKUBARIKI sana MHESHIMIWA Makonda kazi yako iwe nzuri sana ktk mkoa wa Arusha Geneva of Africa.
@aminafrancismwandu5789
@aminafrancismwandu5789 3 ай бұрын
Mungu akulinde kwakila jambo kazi kazini nakazi iendelee
@chalespamagila4783
@chalespamagila4783 3 ай бұрын
Makonda fanya kazi iliyohaki kwa watanzania tunaona kama magufuli alipanda mbegu basi hakukosea alipanda kwenye udongo mnzuri we na ally hapi mko vizuri pambaneni mashaidi wenu ni watanzania tu
@africayetutv329
@africayetutv329 3 ай бұрын
Na Sabaya pia umesahau
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 3 ай бұрын
Asante Mama kwa Baraka ulizompatia Mh.Makonda. Mama ni Mungu wa pili daniani aisee❤
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 ай бұрын
Mungu mbariki Makonda, Mungu mbariki mama Janeth na familia nzima ya JPM 🙏
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 3 ай бұрын
Amin amin amin kazi njema kamanda
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 ай бұрын
Allah akupe umri wenye manufaa daiman mama kipenzi, uwepo wako ni alama kwa tz na imani mkuu wa mkoa nasakh zako zitampa uimara kwenye majukum ya kuwatumikiya watanzaniya ❤..usisahu kuwateteya wanyonge
@faustinhommedetatnifasha9669
@faustinhommedetatnifasha9669 2 ай бұрын
Mama nilikuwa nataka kukuakikishia uriomuagiza makonda.yupo kazini.swala la kuwatetea wanyonge uku Arusha yupo kazini kabisa💪💪💪🇧🇮🇧🇮
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akusimamie Akupe Baraka nyingi zingatia wosia wa mama yetu janeth hakika ww ni kijana mchapa kazi Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
@user-ox1pe8uz9d
@user-ox1pe8uz9d 3 ай бұрын
Nawapenda sana na Mungu awabariki zaidi🌹🌹🙏
@JoshuaMatagane-cb2cj
@JoshuaMatagane-cb2cj 3 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mama yetu kwa maneno mazito na mazuri
@mathiasmhoja8540
@mathiasmhoja8540 3 ай бұрын
Ushauri mzuri wa mama janeth
@lapyahappines5451
@lapyahappines5451 3 ай бұрын
Mama Mungu akubariki ck zote kwa hekima na busara 👏👏👏❤️
@paulojohn5504
@paulojohn5504 3 ай бұрын
Mungu akulinde wajina wangu chapa kazi
@nuruelmada2877
@nuruelmada2877 3 ай бұрын
Mungu mbariki mama Janeth magufuli pamoja na makonda amen
@rehemaabdalah1863
@rehemaabdalah1863 3 ай бұрын
Mungu akulinde mama janet pamoja na mhe,mkuu wa mkoa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 ай бұрын
My lovely teacher
@user-jf1sq7lk4g
@user-jf1sq7lk4g 3 ай бұрын
Hongera sana mama janethi Kwa kumtakia kazi njema
@user-fx6zp2xy7k
@user-fx6zp2xy7k 3 ай бұрын
Mh Makonda Mungu akubariki sana,mama Janeth anakuamini sana
@filimonmwashambwa8988
@filimonmwashambwa8988 3 ай бұрын
Mama wa taifa ninae mjua mm❤️❤️ Makonda keep going
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 3 ай бұрын
Mh. Paul Makonda may God bless you and your work in Jesus name Amen 🙏
@user-tl1nz7qx2l
@user-tl1nz7qx2l 3 ай бұрын
Asante mama nikisikia sauti Yako na hisi baba yupo nyuma ubarikiwe sana mama una hekima na busara sana mungu akulinde❤
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 3 ай бұрын
Barikiwa Janeth Magufuli,Makonda barikiwa
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 3 ай бұрын
Hongera sana mama wa pili wa Taifa hili kwa nasaha na baraka kwa kijana Makonda. Nakupenda Janeth Magufuri unahekima ya Umwanamke sana. Ila usikubali wakupe madaraka wataharibu CV yako.
@user-cp5cp8no6w
@user-cp5cp8no6w 3 ай бұрын
Blessed
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 3 ай бұрын
Mimi nakutabiria yaliyo mema napia makubwa sana papaa/Mkuu Makonda.Naona njia yako kwa nguvu zake.MWENYEZI MUNGU.Attraction yako kwakila sehemu utakayopatiwa na mhe Rais mama yetu umeweza kuitikia na kufanya kazi kwa moyo na utanzania uliyotukuka.Nakuombea.Paul
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 3 ай бұрын
Hongera sana mama wetu kwa mashauri wako kwa makonda mungu Akulinde daima Bando matumaini ya watanzania wanyonge inawakumbuka daima milele mama wa Taifa letu jpm
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 3 ай бұрын
Mmama wa taifa katoaa baraka zake...🎉❤❤
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 ай бұрын
Be blessed 🙏🙏 makonda,
@subirajohn728
@subirajohn728 3 ай бұрын
Mwenyezimungu akuweke na akupe afya njema Mama Janeth Magufuli❤❤❤
@mussatete2618
@mussatete2618 3 ай бұрын
Well said
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 ай бұрын
Masikini Asante mama wa Waafrika wote Asante na ww kwa kukubali mumeo awe baba yetu sote mtetezi wetu sote Mwenyezi awapeni sawabu ya kazi
@CharlesChunda-ms3ss
@CharlesChunda-ms3ss 3 ай бұрын
Mungu akulinde
@user-dt9st1ko1f
@user-dt9st1ko1f 3 ай бұрын
Mama mungu akubariki🙏🙏
@masilingimbilinyi5589
@masilingimbilinyi5589 3 ай бұрын
Namuomba mungu anipe maisha marefu nije nikushuhudie ukiwa rais natunamuomba mungu hakika ww ndio rais wa miyoyo yetu makoda nakuombea namaliza bando kukufuatili nafarijika sana kwakauliza za kimamlaka na baraka kutoka kwa mungu wetu
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 3 ай бұрын
Mungu akulinde bro dhidi ya wenye hila
@josiacharles2778
@josiacharles2778 3 ай бұрын
Nimependa sana hii
@innocentsteven1676
@innocentsteven1676 3 ай бұрын
There is no failure in God's will. I pray for you!!
@astrinomgesi-np5xv
@astrinomgesi-np5xv 3 ай бұрын
Amina
@Muddy2024
@Muddy2024 3 ай бұрын
Baraka za mama, Mungu akuweke uishi miaka mingi Kama mama Maria nyerere❤
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 ай бұрын
Safi sana aiseee Makonda for President
@Broken_Beats__23
@Broken_Beats__23 3 ай бұрын
Mwamba hajala suti wala nini ila ana shine❤
@tabutabu8900
@tabutabu8900 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤acha nimwage makopa tu
@Bwenge-minecraft
@Bwenge-minecraft 3 ай бұрын
hata mimi naamini Mh Makonda atakuja kuwa Raisi wa Tanzania mungu yupo tu. ❤
@mginatv.
@mginatv. 3 ай бұрын
Huyu mama Huenda Ataishi muda mrefu kama mama Nyerere 🙌
@nyanjalamagesa3226
@nyanjalamagesa3226 3 ай бұрын
Amina
@IsraelKisaila-vm6vj
@IsraelKisaila-vm6vj 3 ай бұрын
Sana,halafu MAISHA yake Hana mambo MENGI kabisa,tazama nywele zake Yani,Hadi Raha,wakute WENYE 200 Mia 300 SASA wanavyohangaika na dunia Yani,MAISHA tunatofautiana sana
@NgassaSupila
@NgassaSupila 3 ай бұрын
Pamoja sana nawatakia mahusiano mema hapa kazi tu
@saiditasher8362
@saiditasher8362 3 ай бұрын
Mama yetu jannety tunakuombe usiku na mchana kwa mng uzima ishahla
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 3 ай бұрын
Asante mama maguli
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 3 ай бұрын
Bila mungu ss hatuwez
@mwanahamisinyenzi-vo6mj
@mwanahamisinyenzi-vo6mj 3 ай бұрын
Amina mama Kwa duanyak
@allyabdallahmsusa
@allyabdallahmsusa 3 ай бұрын
Mungu Azidi kukubariki muheshimiwa mkuu wa mokoa
@elisante6838
@elisante6838 3 ай бұрын
Hiv nisisi tunaitwa mnyonge😢 nakwanini ukubali uitwe nyonge na Mungu amekupa nguvu na afya, ndugu zangu tujitume kufanya kazi Kwa bidii tupate kipato tuweze kuendesha maishayetu
@marcopoul116
@marcopoul116 3 ай бұрын
Wapo wanyongevna sio wewe,,wapo ukimuona utakubaliana kuwa ni mnyonge kweli,acha wewe
@comradeandrewsaul5459
@comradeandrewsaul5459 3 ай бұрын
Mungu akubariki na akulinde sana mama Janet,mh.Makondo Mungu akupe afya na maarifa ya kuitenda kazi aliyokupa kupitia mama yetu Rais wetu Samia Suhulu Hassan.
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 3 ай бұрын
Mama Magu shikamoo
@irenekalinga323
@irenekalinga323 3 ай бұрын
Huyu mama bado anamaumivu moyoni
@hijazhija316
@hijazhija316 3 ай бұрын
Ya nini
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
Sana 🥹
@user-ut3fn5ko8i
@user-ut3fn5ko8i 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 3 ай бұрын
​@@hijazhija316hujawahi mpoteza mtu umpendae
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@user-dt9st1ko1f
@user-dt9st1ko1f 3 ай бұрын
Tunakupenda pia mama yetu kipenz
@user-gx4vx5ru2u
@user-gx4vx5ru2u 3 ай бұрын
Makonda baba Mungu akubariki karibu Arusha tembea kila sehemu baba kwa ajili ya wanyonge tunakuhitaji huku kwetu oljoro tuna shida ya maji barabara ikinyesha watoto hawaendi shule sababu ya makorongo umeme huku oljoro no mbili wengine hawapati kisa hakuna njia na viongozi bado wapo tunakuhitaji baba
@allydugovisima3120
@allydugovisima3120 3 ай бұрын
Amiina 🤲
@barakamanga5502
@barakamanga5502 3 ай бұрын
Uyu mwamba Mungu amlinde
@menelus911mene5
@menelus911mene5 3 ай бұрын
Ubarikiwe mama magufuri nakupenda sana kwaushauli wako kwa mtoto ❤
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 3 ай бұрын
Mkuu, mimi nakuelewaga sana. Na kiukweli husisiste kutetea wanyonge, tuko nyuma yako bro
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy 3 ай бұрын
Maneno yaliyotoka kinywani mwa mke wa marehmu magufuli, ndio tumaini letu. Wanyonge wengi katika nchi hii, tuna imani na makonda. Watanzania tusiache kumuombea maana kuna vita kubwa katika kupata vyeo vya kimamlaka. Tusichoshwe wala kuvunjwa moyo na maneno ya wasaka vyeo. Sisi watanzania tusimame nae. Tanzania kwa sasa ina viongozi wachache sana, wenye imani na watanzania. Ukitaka kuamini nisemacho! soma ripoti za c.a.g kila mwaka.
@stephenjonas4866
@stephenjonas4866 Ай бұрын
Kawatetee wanyonge❤
@lutumbinduta1702
@lutumbinduta1702 3 ай бұрын
Mungu akutunze Makonda. Wewe ni kichwa wala siyo Mkia. Amen 🙏 🙏
@mariamwaziri7451
@mariamwaziri7451 3 ай бұрын
Makonda hizo ni baraka kutoka Kwa mama zipokee Kwa moyo woote
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 ай бұрын
Tunajua ila kila anae weza kutetea watu wangonge anatakiwa kujiksna nafsi Kama alivyo kuwa Baba yetu JONH POMBE MAGUFULI❤❤❤❤.Hivyo usiwaopoge pigania kile Mwenyezi Mungu amekupatia kumjua Mwenyezi Mungu siyo kutoa ZAKA KANISANI NA SADAKA bari nikuwasaidia watu ambao ni wangonge, wenye shida, waitaji na wale wanao kosa haki zao kwa ajili ya watu furani
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w 3 ай бұрын
Amen
@molenicharles9107
@molenicharles9107 3 ай бұрын
Mungu...IPO SIKU atajatenda haki!!....maana kila nafsi ipende isipende. Lazma ijekuonja maiti!!😭😭🙏🙏😭😭
@matukutajuma156
@matukutajuma156 3 ай бұрын
Dah!
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr 3 ай бұрын
Kila la kheri kamanda makonda natamani ukitoka Arusha uje mtwara 💪💪💪🙏🙏🙏
@setiseti5281
@setiseti5281 3 ай бұрын
Alihamdulilah
@unclegmihale455
@unclegmihale455 3 ай бұрын
🔥🔥💪💪
@user-hz9tx1mi1h
@user-hz9tx1mi1h 3 ай бұрын
Mama janeth mpole sanaa
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 ай бұрын
KIUKWER MAKONDA NAONA NAPEND A SANA MANA SIJAWAI ONA MAKONDA AFULAI IV DAAAA🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 3 ай бұрын
Ujue mama kakupa wosia mzuli sana ila naimani na utendaji wako wa kazi
@user-bj6bo1gy9l
@user-bj6bo1gy9l 3 ай бұрын
Dah mama mkarimu jmn
@MaulidHaji-ol1no
@MaulidHaji-ol1no 3 ай бұрын
Makonda Namkubali sana
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 3 ай бұрын
Mungu kwanza kaka
@petermabula4492
@petermabula4492 3 ай бұрын
Mh makonda shikilia maneno ya mama Janeth maana malaika kutoka mbinguni ndio amemtuma kukuambia maneno hayo
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 ай бұрын
Mama yetu ,mke wa mwamba hatari kweli ulikuwa na mume mwema hatukujutia muda aliofanya kazi magufuli,hakuna hasara na mama samia anaendeleza,amen
@redastampwepwa
@redastampwepwa 3 ай бұрын
Sijui ata nalia nn...😢😢 ila Mungu atutetee..atupe tena mtetezi was wanyonge tushajifunza
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 3 ай бұрын
Daaaah
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-sv6cd2kp7k
@user-sv6cd2kp7k 3 ай бұрын
Fanya kazi kwa uaminifu zingatia mipaka yakooo
@user-nl3vl3fh1r
@user-nl3vl3fh1r 3 ай бұрын
Tuna kupenda mama
@danielkawanga4131
@danielkawanga4131 3 ай бұрын
Nimemuona huyu mama machozi yamenitoka rest easy dad magu one we will prove ur words
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 3 ай бұрын
MUNGU akulinde na akutangulie kwakila jambo
@petermgaya9693
@petermgaya9693 3 ай бұрын
Our becoming President 2035
@yomamausafi1137
@yomamausafi1137 3 ай бұрын
team Magufuli..like hapa..
@BertaAtanasio
@BertaAtanasio 3 ай бұрын
Naona km ndo magu alikuwa anaongea jmn mama mungu akubariki Sana
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j 3 ай бұрын
Saf sana
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 3 ай бұрын
Comed
@clemenceparokola
@clemenceparokola 3 ай бұрын
Jamani mama Janet huwa anahekima sana
@user-go7tn5jm5q
@user-go7tn5jm5q 3 ай бұрын
Daimond
"WADUDU TAFUTENI HELA" MAKONDA AKUTANA NA WADUDU AWAPA MBINU
5:36
Millard Ayo
Рет қаралды 137 М.
Azam TV - JPM azungumzia sakata la elimu ya Makonda
2:52
Azam TV
Рет қаралды 51 М.
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 19 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Maajabu ya mtu asiye na mikono na jinsi anavyo andaa Chakula
4:50
emma nassor
Рет қаралды 8 МЛН
Nairobi residents grapple with aftermath of floods in Kenya
1:03
Associated Press
Рет қаралды 345 М.
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 73 М.
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 19 МЛН