#MWASITI/HEMEDY PHD/RAYUU/HIDAYA NJAID/DUMA/BONGO MOVIE 2020
Пікірлер: 281
@angelfarijala63583 жыл бұрын
Ambao wanasoma comment kabla yakuangalia movie gonga like hapa ili tujuane.
@user-ot8zy5lt7u3 жыл бұрын
Hua natafuta m2 aliye 2nga movi nijue
@fettyasedi87793 жыл бұрын
Mimi apa
@fettyasedi87793 жыл бұрын
@@user-ot8zy5lt7u😂😂😂😂😂😂😂😂
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Nampendaga rayuu tangu wakat mdogo mdogo anaanza Sanaa wengi tulimpendaga mzur na anajuwa kuhekt. Na uyo mama mwasit asiyeyetaka kuitwa mama, nampendaga yeye anahektig shangingi tu
@beverlykadenge20953 жыл бұрын
Kama umeskia kiporo kiko uko kachemshe ukule gonga like 😂😂😂😂
@issaabdallah24173 жыл бұрын
Rayuu kitambo sana toka kaole umeanza sanaa ukiwa mtoto san nakukmbuka sana mm shabik yako namacho yako yale yale
@jacquelineprisca2963 жыл бұрын
Shukurani kwa kutuletea filamu zuri sana ooh kama hii filamu unaikubali bonyeza like
@muhiirwasadiki4483 жыл бұрын
Filamu nzuri keeli
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Nimeipenda Sana Jacqueline kabla sijaimalizia
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Hata nanii alivyopewa simu aweke face book nampendaga
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Yani mama mwasit namfananishaga na mama mmoja anaitwa mama asha wanafanana na mambo yake
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Uyo anayeuliza kumbe mama yako nilijuwa maskin wanazinguwa kumbe kwel nilimuonaga kwenye mikanda iliyopita
@shaaabdull1443 жыл бұрын
Kama umesikia haaaaloo chezea Daboemu wewe , gonga like