Mimi nishawahi kuishi na mwanaume mwenye virusi miaka 3 na hakuniambukiza cz tulitumia ushauri wa daktari mpaka amefariki,2022 na Mimi bado niko mzima na naishi,Mwenyezi mungu ailaze mahali pema peponi
@saidmeza82875 ай бұрын
True love hongereni sana ndugu zangu
@SelinaMdoe-jv1pu5 ай бұрын
Kweli kabisa Asante msambaa mwenzan gu
@mashramadhani19895 ай бұрын
Naamini MUNGU MUUMBA ATAFANYA Jambo ktk maisha yenu mtaishi maisha marefu Sana sana
@juniorsonofgod56755 ай бұрын
Nawapenda sana hawa watu, wenye upendo kama huyu jamaa tupo wachache sana duniani. Mi nimmoja wapo niliewahi kuwa na mwanamke mwenye H.I.V na nilimpenda sana. Na hata Leo nikimpata mwenye virus na tukapendana naweza kuwa nae, coz Upendo ndo kila tu. Ukimpenda mtu unaweza kuwa hata na mlemavu na ukawa proud nae. Kweli huu ni mfano wakuigwa🎉
@rajah93285 ай бұрын
Hongereni sana ata mim nishawai pata msichana mwnye HIV n alinitel ady sai nmefanikiwa kiac n mtafuta kupitia marafiki zke atleast nimptie chchte
@bizzyjunior_tz5 ай бұрын
Toka nije kwa hiii Dunia Leo ndo nimeona True love 💯💯
@katabaroonlinetv96885 ай бұрын
Bizzy Babylon 😂😂😂
@bizzyjunior_tz5 ай бұрын
@@katabaroonlinetv9688 wako really hao jamaaa
@user-jb7bb5nz4x5 ай бұрын
True love.
@sostenesndemela89825 ай бұрын
Namuona tony mzee wa spirituality
@user-gi2jv4kl7s5 ай бұрын
😅😅😅mwinjakuuu unafeli dua yako mungu awaondolee hekma. Hahaa
@user-xu4cm5wn6k5 ай бұрын
❤❤
@aminaomary55675 ай бұрын
Kweli mwijaku❤❤❤
@nsiamasawe45785 ай бұрын
Nimewapenda, msiogope kunyanyapaliwa; wenye virusi ni wengi kuliko wasio navyo
@youngtomuller-vh2pu5 ай бұрын
Gostaria de viajar para poder vir vos visitar ❤❤❤
@vibetz99915 ай бұрын
Kawakaba kama kashika wezi
@katabaroonlinetv96885 ай бұрын
Mr vibe on vibe😂😂😂
@robertmrindoko40385 ай бұрын
WAPI SASA AMEMPIGIA SIM HARMO MEDIA ZINGINE BN ZA KISENGE KABISA 😢😢
@juniorsonofgod56755 ай бұрын
Kwaiyo ww hujaskia point kwenye hio interview boss. Kilichokuleta nikuona harmonize kapigiwa simu tu ndo ungefurahi? Kweli wamekosea kuandika uongo lkn Kuna chakujifunza kuhusu wao watu na kumpongeza mwijaku alichoongea.
@JulianaMushi-nq3kc5 ай бұрын
Simpendi huyu mwandishi habari lina tabia ya kuegemea upande mmoja hasa kwa daimond mjinga san