MWINISONGOLE AMLIPUA MWIGULU -A-PLAY USHAHIDI WOTE KWENYE SIMU MWIGULU AKISIKIKA -''UNA SHIDA GANI?"

  Рет қаралды 10,029

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MWINISONGOLE AMLIPUA MWIGULU -A-PLAY USHAHIDI WOTE KWENYE SIMU MWIGULU AKISIKIKA -''UNA SHIDA GANI?"
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 48
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Mwuguru ataihalibu hii nchi anatamaa sana
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur Ай бұрын
Hongera sana Mh, Mwanisongole Mungu akuzidishiye maisha marefu
@GodfreyMwambwalo-ev9nh
@GodfreyMwambwalo-ev9nh Ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Mwanisongole kanyagia tena tena bado kodi elekezi
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Ай бұрын
Safi sana mbunge wetu wa mbozi
@user-is4jg9gr1p
@user-is4jg9gr1p Ай бұрын
Uko vizuri mwanisongole
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Ай бұрын
Asante mh spika umetuumba mwigulu akiwatetea T R A
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Kwa issue ya wakulima uko safi sana, hongera sana
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Sema kaka tumecho na wafanyakazi waovyo
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Wabunge wasio na aikili ni wengi bungeni, Rais Hana fedha sema serikali imetupatia fedha, hizo ni Kodi za watanzania, yeye Hana biashara anahofanya kuhudumia nchi,poleni mliompigia kura huyu jamaa.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Waziri wa fedha anasema "uvivu wa kufikiri...."! Halafu anadai kwamba sheria na kanuni zetu zinazuia kutumia lugha zinazoudhi! Sasa hizi kauli zake ni za kufurahisha? Mbona jeuri inavuka mipaka?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Anakula urefu wa kamba yake
@allymwakasege8620
@allymwakasege8620 Ай бұрын
Na hayo mageti ukweri nimateso kwa wafanya biashara dogodogo ukweri wabungewwtu munamapugufu sana kwenye mamzi yenu sijaona ichi inayo toza ushulu wa matuda na mbogamboga wakati mungu ametupa badari ametupa madini kila Haina wanyama leo taifa ritegemee wakurima
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Mwigulu nakushangaa sana. Nilikuwa na kuheshimu lakini ulikuwa unaenda Nigeria kwa TB JOSHUA ulikuwa unaenda kufanya nini ili kupata nafasi hiyo ili uwaumize wanainchi.
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 Ай бұрын
Hivi nchi hii Haina wasomi wakushika nafasi ya waziri wa fedha, mpaka awe mwigulu? Kwanini asiondolewe.
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 Ай бұрын
Hakuna waziri mpuuzi kama huyu mwigulu ni wa hovyo sana
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Mwigulu amekaa muda murefu kwenye hii widhara. Lazima Ana njia ya wizi. Mama Samia mutenguwe huyu jamaa anawanyonya watanzania.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Huyo Mwigulu anajiona sana anataka WARABU ndiyo watawala wa Tanganyika. Samia na hao wakina Mwigulu hawana shida na wanainchi wa Tanganyika bali wana interest ya wa WARABU tu take over Tanganyika. CCM wanaificha Tanganyika ili wapate kumaliza mali za Tanganyika 1. Ili waweze kunufaika kwa ufisadi wao na kuzidi kuibia Tanganyika kwa kujifanya Tanganyika haiko ila Zanzibar ipo Iwasaidie wazanzibar kuja kwenye bunge na kulipwa ili kufilisi Tanganyika.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Wewe Mwigulu huna shida na wanainchi hata mara moja. Nadhani wewe uliweka hii sheria kama hizo. Wewe Mwigulu unatia kichefuchefu sisi wanainchi tunakereka hiyo imewekwa na Mwigulu.
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 Ай бұрын
Huwa nasema kira mara mwigulu hakunakitu huwa naona madudu naugaidi wa mwigulu yakuwambia wananchi tuhamie Burundi niyule aliemteua anakubaliana naye
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Mwiguru ni mwongo mbona Gali kirikuu wanalazimishwa kuwa ifd machine Sasa kirikuu inaingiza milioni kumi na Moja Kwa mwezi
@allymwakasege8620
@allymwakasege8620 Ай бұрын
Tatizo la bunge letuu mamuzi bila tafiti ya kweri mkurima mdogo awe na madhine
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Mwigulu anadharau sijui analindwa na nani?
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Ай бұрын
Ndiyo tabia yake
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Mama asiposikia ya watu, atatuhumiwa na huyu Waziri. Pengine ana nia nzuri, lakini kazi hii is beyond his intellectual scope. Ampe Uwaziri wa Michezo kama...
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Hata huo hatoweza
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 Ай бұрын
Kaka Leo umeripuka Hilo limeisha hukonkunaitwa kujilipua
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Sheria mbovu ni ya kukuruhusu wewe kuwa waziri kwa muda murefu. Mwigulu lazima unyatuke
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g Ай бұрын
Kweli ni ujinga uliokithiri! Ushamba mkubwa!
@user-rh3gz7fo2n
@user-rh3gz7fo2n Ай бұрын
Wewe ni mtetezi Wawa nyonge mh,mbuge
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Tatzo liko na rais Hana kauli
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Yeye ndie aliwaruhusu mwenyewe kuwa wale urefu wa kamba zao
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Ай бұрын
Rais hana muda huo
@robertzingu9889
@robertzingu9889 Ай бұрын
Hivi ni Rais anawapa mbegu au serikali? Ooh, mheshimiwa Rais katupa mbolea? Huyu Rais ana mbolea toka wapi?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Viongozi wa nchi hii inayoongozwa na Samia ni uchafu mtupu 🚮💯
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y Ай бұрын
Wewe ni mbunge wa ovyo sana na waziri wa kijinga katika nchi hii
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Muwape waarabu wakusanye
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Huyu waziri ni mtu waajabu sana kuwahi kutokea hapa Tanzania namshauri mama mtoe huyu shetani hafai kuwa kiongozi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Unamshauri mama......! Haya bwana!
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Ай бұрын
Hawezi kukuskiliza hapa awekwe makonda
@awadhally1052
@awadhally1052 Ай бұрын
Kwel kabisaa mwigulu ni nguruwee kabisaaa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Huyo mama sio wakusikiliza wananchi ni wakupokea mapokeo kwa mzeee wa mzoga
@maximilianludovick5407
@maximilianludovick5407 Ай бұрын
Hivi rais huwa hakosei? Kwa nini kila baya liibukalo serikalini wanatupiwa mawaziri na kila jema lililopo anatupiwa rais? Ukweli ni kwamba mawaziri wanakutana na uhalisia wa hisia za wabunge na wanasiasa, kwa sababu tu hawana mamlaka makubwa yenye uwezo wa kuuminya na kuubananga UKWELI. Changamoto iliyopo ni kwamba, Rais wetu wa nchi hufunikwa kwa MWAMVULI wa unafiki dhidi ya KWELI, kwa kuwa tu anayo mamlaka makubwa yenye na uwezo wa kuuminya na kuubananga UKWELI. NAMNA PEKEE YA KUIFANYA NCHI YETU IONGOZWE KWA MISINGI YA HAKI NA KWELI HALISI, NI KUWAPUNGUZIA MAMLAKA VIONGOZI WOTE WALIO NA MAMLAKA MAKUBWA YALIYO NA UWEZO WA KUUMINYA UKWELI. IKUMBUKWE Rais ni mtumishi mkuu wa watanzania anayeifanya kazi yake kwa mshahara, na si mzazi au mlezi wa nchi anayeilea familia yake kwa majitoleo binafsi yaliyojazwa upendo asili kwa wote anaowahudumia.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Unaakili sana watu wepesi hawawezi kukuelewa tz nchi ya hovyo mnoo raisi anaonekana kama Mungu hivi ndo mana akitokea mtu kumkosoa watu wote humgeuka na kumshambulia
@maximilianludovick5407
@maximilianludovick5407 Ай бұрын
@@FahadAbubakari Kabisa ndugu yangu, hali hii inaniumiza sana rohoni, maana fika ndio sababu inayotufanya sisi kama nchi na taifa tuendelee kuwa masikini.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
@@maximilianludovick5407 kusifia tu Leo raisi anakwenda Korea kusaini mkopo wa bilioni 2 dola ikiwa 5 yrs ago tulikua tunasema mapato ya dsm kwa b ambapo ukiangalia hiyo hela ni too little hakuna anaeuliza zaidi yakusifia sifia na uchawa wakipuuzi puuzi tulisema tz ya viwanda je hilo limelufa hatutaki tena viwanda na Sera yetu ya sasa haswa baada ya kutupa iyo tz ya viwanda ni nini
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Hakuna hela matumizi makubwa kuliko mapato
Mohamed Issa alia na udalali kwenye dola, Mwigulu amtuliza
15:04
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 42 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 45 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
Mpina ataka wizara nzima ifukuzwe kazi kuanzia waziri hadi mfagiaji
9:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 42 МЛН