No video

''USINIPIGE MKWARA - USICHUKUE FOMU ya UCHAGUZI - HUFAI KUWA MWENYEKITI'' - MAKONDA AMCHANA MAKAVU..

  Рет қаралды 101,888

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

''USINIPIGE MKWARA - USICHUKUE FOMU ya UCHAGUZI - HUFAI KUWA MWENYEKITI'' - MAKONDA AMCHANA MAKAVU..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 120
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@AndersonShayo-kp9gj
@AndersonShayo-kp9gj 2 ай бұрын
Ddrrrd❤😅😮😢
@gervaskihwele
@gervaskihwele 2 ай бұрын
Huyu makonda mungu akupe maisha marefu
@user-kp2jf5jc2i
@user-kp2jf5jc2i 2 ай бұрын
Bila mbwembwe, hiyo ndiyo hali halisi ya nchi, na Makonda umewekwa na Mungu ufunue uozo uliopo, inatisha!
@ElinikeSoi
@ElinikeSoi 2 ай бұрын
Tumuombe dua❤
@kmassawe-en6yu
@kmassawe-en6yu 2 ай бұрын
Nakufatilia Sana mkuu! Kweli unapiga kazi. Yaani katika wakuu wa mikoa wewe kiboko. Umetolewa uongozi wa uenezi wakafikiri utapoa kumbe ndiyo kwaanza unachapa kazi. Watatulia To!
@KelvinElisa-gc1ko
@KelvinElisa-gc1ko 2 ай бұрын
Vzr
@ramadhaniakila4918
@ramadhaniakila4918 27 күн бұрын
Duuu hii kali maswali makali nakonda angekua mwalimu ningemwelewa sana ktk sheria
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Mfumo huu wa kuwasikiliza wananchi ulioasisiwa na Magufuri ni mzuri
@user-bn6rw3io2e
@user-bn6rw3io2e 2 ай бұрын
Mkuu Mimi Huwa cna kawaida ya kusifia viongozi ila Kwa kazi hiyo nakupongeza sana keep it up
@naomelizabeth4325
@naomelizabeth4325 2 ай бұрын
We are praying God to raise someone like u in Kenya.. men like u are a gift in our generation
@barryrioba3934
@barryrioba3934 2 ай бұрын
Thank you... Someone from Kenya, a neighbor and friend county.
@NeemaElisha-t5d
@NeemaElisha-t5d 2 ай бұрын
Tunakuombeaaa maishaaa marefuuu makondaaa
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 2 ай бұрын
Si mchague CHADEMA tu, muepuke hayo makero endelevu!!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 ай бұрын
Kwani chadema wao ni malaika? Chadema na CCM tofauti yao ni moja tu, mmoja yuko madarakani mwingine yuko nje ya madaraka. Kwa tabia ni walewale tu. Issue maadili ya watanzania kuporomoka ndiyo tatizo kubwa.
@eliadastan6021
@eliadastan6021 2 ай бұрын
😂😂..chama ambacho hakijiwezi hicho ndo mtakuja kutuibia kbsa nyie
@zamdageuka9153
@zamdageuka9153 2 ай бұрын
Hao wanaogombana kwa kuchezeana rafu kwenye uchaguzi wa KANDA ya NYASA au CHADEMA ipi??
@denisyohana8104
@denisyohana8104 2 ай бұрын
huko napo ni kubovu tu,hoja si chama hoja ni watu
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 2 ай бұрын
Uongozi siyo chama uongozi ni utu na kujituma kutumikia wananchi na siyo vingine,makonda chukua maua yako 💐🎉 good leader
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
APO SIO KUPIGWA PINI APO SUPANA ZIENDELEHE PEMBE ZOTE ARUSHA 😂😂😂
@ShabaniOmary-hd1dq
@ShabaniOmary-hd1dq 2 ай бұрын
Mungu akulinde
@NeemaElisha-t5d
@NeemaElisha-t5d 2 ай бұрын
Nakuombeaaa Manisha marefuuu mkúu wetu wamkoa makondaaa
@rosesilio9008
@rosesilio9008 2 ай бұрын
Nimeamini hawa viongozi wakichaguliwa wa nakuja kudhurumu tu watu kula ela tu na si yo kazi yani hayafanyi chochote kuhusu vijiji wanavyopewa hawajui matatizo ya wana nchi wao yani yenyewe ni kudhulumu tu na kula ela za kijiji basi kazi hayafanyi na ayaelewi chochote
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 ай бұрын
Kila kiongozi mwizi ccm😢
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Makonda ❤
@user-ey1fq6hd9l
@user-ey1fq6hd9l 2 ай бұрын
Matokeo ya kubaka uchanguzi unapata viongozi ambao Hawa heshimu Wananchi
@johnsway5253
@johnsway5253 2 ай бұрын
Yan izi kazi zakuajiriwa Bana daah shida sana
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n 2 ай бұрын
Makonda nakupenda bureee
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@DanielModesti
@DanielModesti 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 2 ай бұрын
Engineer mshukuru Diwani kakutoa kwenye Kikaango😂
@user-to7li9sj7x
@user-to7li9sj7x 2 ай бұрын
Duuuuuh,,,CCM bwàna😂😂😂😂 yaani kweli kiongozi halafu kumbukumbu huna!!!!! Utatulinda kweli?halooo,,,😢😢,imenisikitisha sana.
@user-xh2qp5zm5l
@user-xh2qp5zm5l 2 ай бұрын
Tunaomba mtuachie huyu mkuu wa mkoa asihamishwe mpaka arusha iwe safi
@SalimMhando
@SalimMhando 2 ай бұрын
Salim
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 2 ай бұрын
Du makonda kazi unayo kama tunaendeshwa na uozo huu wananchi wataendelea kuteseka serikali ingeunda tume ambayo ingehusisha viongozi wa dini zote ilikujua hujuma zinaendelea kwenye halmashauri zetu na vijiji na kata sunaona ww unahofu ya mungu ndo mana mambo yanaenda sawa
@user-yb6ut9in5c
@user-yb6ut9in5c 2 ай бұрын
Nikweli ila mama amuhamishe mkoa kwa mkoa azunguke Tanzania nzima yani kilaeneo ni vilio tu
@ElinikeSoi
@ElinikeSoi 2 ай бұрын
Mh​@@user-yb6ut9in5c
@YasminaMkali
@YasminaMkali 2 ай бұрын
Makonda kpnz cha wanyonge, fukuza kazi hawa mashetani! Hawafai kutumikia Uma kabisa.
@ludovicaraphael1371
@ludovicaraphael1371 Ай бұрын
Yani tungekua naviongozi kama huyu kamanda wa Yesu,hakika tanzania ingeonekana kama marekani.tatizo jamani hawa viongozi wa ngazi za chini ndio wanaitukanisha C C M.MAKONDA WANYOOSHE BABA,HUNA BAYA.
@bonifacemuthama-pi7vs
@bonifacemuthama-pi7vs 2 ай бұрын
Nilini utafika Kenya?
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 2 ай бұрын
Tz mkuu wa mkoa ni mmoja tu wengine wanakula mishahara na kutitumulia vumbi tuuu mtaani
@ShamsiKasoma-fn4cl
@ShamsiKasoma-fn4cl 2 ай бұрын
Yan mwananchi anauwezo wa kuongea kuliko kiongoz jaman HV kweli hawa ndio viongozi jaman
@EstherManundu
@EstherManundu 2 ай бұрын
Makonda aletwe Dodoma jamani hatuna mtetezi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
dah jamani huyu kasoma hata la kwanza kweli mbona hana akili kbx
@MwanaishaHussein-di2ty
@MwanaishaHussein-di2ty 2 ай бұрын
Naombeni namba ya Makonda mwenye nayo jamani
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 2 ай бұрын
Huyu Jamaa wa kitenge anajua anafaa kuwa ndio mw/kiti wa kijiji
@user-eu8ur4kt4v
@user-eu8ur4kt4v 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✊✊✊✊
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f Ай бұрын
Natamani makonda Angela dar labda kimanga tungetengenezewa barabara
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 2 ай бұрын
Kila sehem kwenye nchi hii madudu mengi kutokana na madudu mengi ya uongozi
@jacksportman5181
@jacksportman5181 2 ай бұрын
Iv kutoka 2017 mtu akumbuke watu walichanga sh ngap duuuh🤔 hi nchi ngum sana
@irhamseif
@irhamseif 2 ай бұрын
Fedha za serikali azivhangwi kiholela zinaandikiwa zimepatikana shng ngapi na zimefanya nn na nyaraka hiyo inatakiwa kutunzwa😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 ай бұрын
​​@@irhamseifhuyu nae ziro ndio wezi wenyewe au Elim nindogo
@user-to7li9sj7x
@user-to7li9sj7x 2 ай бұрын
Kiongozi lazima awe na kumbukumbu
@lanezboy7016
@lanezboy7016 2 ай бұрын
Fala ww government working by paper choko ww hela lazma ziwe na mfumo hata zikiwa za mwaka 1990
@jacksportman5181
@jacksportman5181 2 ай бұрын
@@lanezboy7016 kwahyo ww ukipewa hyo kazi una uwezo wa kujibu maswali yote ya tangu 1990 mpaka Leo
@oyay2821
@oyay2821 2 ай бұрын
Hii kweli ni Chama Cha Maharamia
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 ай бұрын
Wenzetu mume pata wakuu wa mkoa wazur. Makonda. Na chalamila pamoja Quinn sediga..... Hao mwengine mmmmh mkuu wa mkoa wa tanga hasikiki kabisa na kero za wanach
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Uchaguzi 2019 serikali za mitaa ilikuwa ni kuweka watu tu.. huyu mwenyekiti hakuchaguliwa
@livingmalisa2430
@livingmalisa2430 Ай бұрын
Makonda usiwaachie hao Wanakaa maoficsini tuu hawafanyi kazi ukimalizana nahao Kuna swala ia waalimu Wana mgomo baridi hawafundishi
@HabyarimanaEtienne
@HabyarimanaEtienne 2 ай бұрын
Was
@StanleyMolla
@StanleyMolla 2 ай бұрын
Naona watu wa arusha mmesahau hata kama kuna kula..mnashibia kwenye vikao
@ShabaniOmary-hd1dq
@ShabaniOmary-hd1dq 2 ай бұрын
Du!!!!hatar sana dunia hii
@JABIRIMOHAMED-yh8op
@JABIRIMOHAMED-yh8op 2 ай бұрын
Huyu mwenyekiti anaonesha mlevi
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 2 ай бұрын
Mwenye kiti hakuchaguliwa Ali wekwa tu Ashriki kitafunatu hajui chochote
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 2 ай бұрын
Makonda ni Jeshi
@MTUMEROBERTWENERA01
@MTUMEROBERTWENERA01 2 ай бұрын
Ukweli na uwazi kwenye idara ndio vitu muhimu kwa makonda
@salmahillu
@salmahillu 2 ай бұрын
Kiukweli inaumiza Sana mwekiti kutokujua wajibu Wake kama diwani we2
@jacksportman5181
@jacksportman5181 2 ай бұрын
Yani million 20 znajenga daraja la aina Gani 🤔
@juliuslengai5089
@juliuslengai5089 2 ай бұрын
Kuna mtu katoa nondo tani moja na mwingine katoa sement tani moja so ilibaki vitu vichache lkn m20 haiwez kutosha bado
@michaelfrenkline3429
@michaelfrenkline3429 2 ай бұрын
Haiwezi kutosha sawa. Je izo nondo na cement zilienda wap?
@boaziamos1224
@boaziamos1224 2 ай бұрын
Sio juyo tuu viongoz wengi wapo hvo
@ludovicaraphael1371
@ludovicaraphael1371 Ай бұрын
Jamani kwani watu wakistaafu wanaondoka na ofisi??Makonda naomba uwatumbue mpaka watumbuke hao wajinga,tena wanakuzeesha lembe letu.
@hanifamziray277
@hanifamziray277 2 ай бұрын
Hy jamaa kafanana na karia😊
@chumamasaka
@chumamasaka 8 күн бұрын
Makonda amevyaa viatu vya magufuli
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 2 ай бұрын
11:54
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 2 ай бұрын
Wezi kweli kweli siai tanga tuna shida kibao wezi weeengi
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa wa PWANI, watembelee wananchi utatue kero zao.Pita Kila halmashauri.Rufiji wakulima wananyanyaswa na wafugaji.
@jayspermlewa7425
@jayspermlewa7425 2 ай бұрын
KWA MAANA HIYOOO 😂😂😂😂
@SmartBlack-nj7jf
@SmartBlack-nj7jf 2 ай бұрын
Arusha mtaisoma kwa mkuu wa mkoa makonda
@user-yb6ut9in5c
@user-yb6ut9in5c 2 ай бұрын
Yani wenyeviti hawa shida tupu piga chini tu
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 2 ай бұрын
Makonda utaua watu au ipo siku watendaji wa chini yako watajinyea jukwaani.
@janethjonas1700
@janethjonas1700 2 ай бұрын
Huyu injinia Makonda anamkosea
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Mtaweza.watu.ni.wengi.sana.tafuteni.njia.ngine.usawa.kwa.wote
@mohamedali7544
@mohamedali7544 2 ай бұрын
Wanahujumu chamaa cha CCM
@user-lj7go6gq7l
@user-lj7go6gq7l 2 ай бұрын
Mhe. baadhi ya watumishi wa takukuru sii waaminifu nao wanakula rushwa naomba mhe. raisi Samia Suluhu Hasani Hasani mama yetu uwafuatilie hawa takukuru.
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 2 ай бұрын
Watu wa mwenda zake hao tunao wengi tu makwetu huku
@wiliminawiliams9384
@wiliminawiliams9384 2 ай бұрын
Mheshimiwa naomba huyo Mwananchi ambae ametoa taarifa sahihi apewe Uongozi,anafaa sana .
@ryandamarobert195
@ryandamarobert195 2 ай бұрын
Joo MKOA MARA
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Jamani.hii.kazi.ni.ngumu.makonda.pekee.bila.msada.raisi.awe.anatoa.sauti.ya.kukemea.maovu.kama.magufuli.nyerere.waovu.wangeogopa.hawaogopi.wanaendelea.wasikii
@SelemanSaid-qy7ge
@SelemanSaid-qy7ge 2 ай бұрын
Makonda oye
@JosephinajosephNdemelai
@JosephinajosephNdemelai 2 ай бұрын
Mtakatifu Antoni wapandu
@reginaluhombo6483
@reginaluhombo6483 2 ай бұрын
Unalijua Hilo daraja?😂😂😂
@faisalahmed7757
@faisalahmed7757 2 ай бұрын
Arsenal pole bhn
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Arusha upigaj mwing sana
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Wajumbe.nymba.kumi.wanafanya.nn
@user-jj1sx1ow4h
@user-jj1sx1ow4h 2 ай бұрын
😂😂😂
@alawi6796
@alawi6796 2 ай бұрын
Makonda tunaomba uje mkoa wa Tanga mama akullete uje ufanye kaz tanga cc hatuja pewa ela zte za barabara hatujui ttzo ni nn
@mdl6463
@mdl6463 2 ай бұрын
Tutafika tu
@bhmulizeanahamawasaf1189
@bhmulizeanahamawasaf1189 2 ай бұрын
Xf
@mrwemaraphael6624
@mrwemaraphael6624 2 ай бұрын
Unajua kama umesoma public administration ukiona maswali anayouliza makonda ukajumuisha na ka msemo ka kupga supana unabakia kucheka
@otienojohn372
@otienojohn372 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Unafika mahali unashindwa hata kushangaa kwa jinsi watumushi walivyo wachivu. Du! Haya yote kujuana na rushwa mwisho wa siku aibubtupu.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
duh huyu mwenye kiti kweli kaweka kwenye kiti hana habali kabx Yani lenyew lipo2
@Leminelimited
@Leminelimited 2 ай бұрын
Mukono unamana gani Kichwani wewe makonde.
@juliasmolellmolell4815
@juliasmolellmolell4815 2 ай бұрын
Wana CCM wakora wote
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 2 ай бұрын
Hakuna kama wewe
@salmahillu
@salmahillu 2 ай бұрын
Paga spana
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 2 ай бұрын
Piga spana wote watumishi wako
@NeemaElisha-t5d
@NeemaElisha-t5d 2 ай бұрын
Tunakuombeaaa maishaaa marefuuu makondaaa
@ludovicaraphael1371
@ludovicaraphael1371 Ай бұрын
Yani tungekua naviongozi kama huyu kamanda wa Yesu,hakika tanzania ingeonekana kama marekani.tatizo jamani hawa viongozi wa ngazi za chini ndio wanaitukanisha C C M.MAKONDA WANYOOSHE BABA,HUNA BAYA.
@EstherManundu
@EstherManundu 2 ай бұрын
Makonda aletwe Dodoma jamani hatuna mterezi
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 2 ай бұрын
Kumbe upinzani kanda ya Kaskazini ulishakomazwa na serikali kwani kero nyingi ni za watendaji serikalini
@user-yb6ut9in5c
@user-yb6ut9in5c 2 ай бұрын
Piga chini makonda hao ndy wanaosumbua wananchi tunapata shida kweli na viongozi hasa Hata kwetu huku wapo watendaji wa kijiji kata viongozi wa vitongozi yani shida kwer
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 39 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 11 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН
Full Debate: Biden and Trump in the First 2024 Presidential Debate | WSJ
1:38:19
The Wall Street Journal
Рет қаралды 22 МЛН