#CloudsDigital Imekuwekea speech kutoka Chato Nyumbani kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli #JohnPombeMagufuli #Chato #PumzikaBaba
Пікірлер: 96
@rafikiwildlife42633 жыл бұрын
Barikiwa sana Mhe Ally Hassan Mwinyi, Rais mstaafu kwa hotuba nzuri na jinsi umewasilisha wasifu wa hayati Rais Magufuli, Umetufariji sana Watanzania kwa ujumla. Mungu akutunze na kukulinda Babu yetu
@pierreclaverhavyarimana87352 жыл бұрын
Asante Sana BABA WETU, RAISI MWINYI, Kukuona tena ukiutubia Wana Inchi Tanzania ata hapa kwetu Burundi. Tunammkumbuka Sana Raisi Magufuli. Mwenyezi MUNGU ammupokee veema kwake Mbinguni. Na Mungu azidi kuchunga vizuli, Familia yake na wa Tanzaniya wote kwa jummula.
@kahmardintebe92666 ай бұрын
Mzee mwinyi siyo mnafiki mungu ampe maisha marefu
@believerswords5793 жыл бұрын
Mpendwa wetu Babu Ali Hassan Mwinyi hata Sawa tunakupenda Sana pia. Tumefurahi kukuona.
@mohdndevu99105 ай бұрын
Natuwe pole sana Kwa mzeewetu ambaye. Mwenye hikima nabusara Allah ampe peponchema yafiridausi
@jeremiamisholi19992 жыл бұрын
Asante mzee Mwinyi Kwa busara zako za kweli
@sumaali8733 жыл бұрын
Huyu mlinzi anastahili sifa anajua kilakitu angalia anatoa ishara ss basi mzee hamudu tena big up sana mlinzi wa babuyetu
@kassimmurji28722 жыл бұрын
Viongozi wa Tanzania tujifunze mfano kutoka kwa mzee Mwinyi uadilifu na wema niakiba duniani na aghera
@michaelkimamule79793 жыл бұрын
Nifahari yetu watanzanzia tumuombee mwenyezi mungu aendelee kumlinda babu yetu kipenzi nafalijika sana wenzetu hawana
@dominabuxay9403 жыл бұрын
Jamani Mzee Mwinyi
@Mimi-wf7mb3 жыл бұрын
Mbona nazidi kumpenda huyu mzee?
@epafrangweshemi40142 жыл бұрын
Mzee ruksa, uliwapenda sana watanzania na walipokusumbua uliwapa ruksa kufanya watakavyo. Hongera kwa wema wako. Mtoto akililia wembe mpe!
@Chombezaflava3 жыл бұрын
Mungu amuweke anasoma bila miwani na bado vitu havimpotei sana
@eneamhama83113 жыл бұрын
Daa tuko mwisho wa dunia askofu kavaa barakoa waumini hawana Sasa hapo Nani anaimani na mungu zaidi
@sa3dasa3da873 жыл бұрын
Nami nimeona hata baadhi ya viongozi wameanza kuvaa wakati enzi za uhai wa jembe tulikua tunawaona wakiwa bila barakoa
@margarethsaramaki39663 жыл бұрын
Barakoa ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuchukua tahadhari kuna mtu anaona ni muhimu na kuna mtu anaona siyo muhimu hivyo yaani
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Wee inakuhusu nini ?
@abcxyz37403 жыл бұрын
Naangalia hii clip kwa mara ya nne sichoki ngoja kwanza kijana wangu mheshimiwa rais usinichoke
@dapiliharun79783 жыл бұрын
Mm huangalia daily sichoki🙈
@fumbukashangwe31732 жыл бұрын
Mzee Mwinyi hongera Mwenyezi Mungu azidi kukuhifadhi kweli maisha ni hadithi
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Safi sana rais mstaafu mwenye hekima kubwa sana nchini
@casmirpeter12933 жыл бұрын
Tunakupenda Sana babu yetu😍
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Huyu Mtu Mzee Mwinyi....Safi Sana... Huyu anajua tulipotokea....Tz
@tumainimalkiori71422 жыл бұрын
Asante baba
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Safi sana rais wetu mstaafu mkweli na mwaminifu.
@godlydanny15113 жыл бұрын
Bodyguard wa Rais anacheka hadi anajishtukia 😅😅
@jeremiahburton89993 жыл бұрын
Great leader!!!...Mzee Mwinyi uzee mwema kwako... hakika uwepo wako ni faraja kwetu kama taifa.
@Chombezaflava3 жыл бұрын
Mzee mwinyi anazeeka na kuzidi kupendwa na watu walitamani aendelee na hotba yake wapate kujifariji kwa kupunguza machungu
@Mimi-wf7mb3 жыл бұрын
Mzee yuko fiti mno💪💪 miaka 96 anasoma bila miwani👌👌👌👌
@valenakomba76865 ай бұрын
MZEE MWENYE ROHO NYEUPE HUYOOO.❤❤ ❤. MUNGU AZIDI KUMPA NGUVU. HANA ROHO YA WIVU MZEE WA WATU. ROHO YAKE NYEUPEEE KWA KWELI. BABA LA BABAA.🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@mrishojumaamrisho32123 жыл бұрын
Mzee mwinyi Allah Akuongoze
@lucasalphonce7820 Жыл бұрын
Mungu akupe heri ya miaka mingi baba.
@meshackmalele53863 жыл бұрын
Hahaha mzee yupo peace sana, kasahau alipo na jina la marehemu
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Pepo hiyoo mzee mwinyi.
@eliamwankenja70872 жыл бұрын
Ujumbe mamaafrica Mungu akusadie
@letshikuku393 жыл бұрын
Huyu mzee ruksa anapendwa sn na Watanzania kwa sababu ya ucheshi wake. Yupo poa sn babu yetu. Mungu akuweke mzee Mwinyi.
@suleimansadalla56062 жыл бұрын
Big up Mzee wetu
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
alitukanwa Sana na mwalimu huyu kisa kutetea wananchi wanyonge wa nchi huyu ndiye alikuwa mtetezi wa kweli wananchi..!
@sadikingonyani3153 жыл бұрын
Huyo ndio BABU wa TAIFA LETU
@bonifacemtei22073 жыл бұрын
Jamani mzee mwinyi ajengewe sanamu Kama mzee wa busara kamfanya Hadi mama Janet magufuli kusahau yupo msibani kumchekesha mfiwa sio kazi ndogo
@leaherasto9295 ай бұрын
Get well soon Rais Mwinyi
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Ally hassan mwonyi former president number 2 on Tanzania leadership soon after late Julia's kambarage nyerere Alli Hassan mwinyi was the leader and respected man who driving Tanzania leadership on open darection of Tanzania people to know where we are
@ZediKangulumira-pk2uu Жыл бұрын
Pliz current Samia suruhu (prezido) I kindly beg u to fullfil the late j p m plan Tanzania &Africa as large will pray for u allahuma amina
@ZediKangulumira-pk2uu Жыл бұрын
That's apoint mzee xprezido hassan mwinyi thx for your crutial speech long live mzee
@francisskapufi49722 жыл бұрын
More Great Memory
@levistv8385 ай бұрын
inauma sana
@michaelndilima62102 жыл бұрын
Hazina ya tanzania ni mzee mwinyi.
@kanyamageorge70152 жыл бұрын
Ugonjwa hukutaarifawa baba,kana kwamba alifariki basi na kuuguwa.Mwenyezi Mungu atatujereshea yaani kuwa yupo aliye au atakaye chukua mbadala.Kwakuwa Mungu huumba sie sote kwa binafisi tufanye kitakacho mpendeza
@user-zm9ox5xu9p7 ай бұрын
❤❤
@ChristopherMillanzi5 ай бұрын
Uombe mungu atupe umri na hekima kubwa Kama huyu mzeeeere
@aliymwazoa30512 жыл бұрын
miaka uliyonayo na bado unaona vyema kiasi cha kuweza kusoma Mungu akubariki sana.
@farajamwito72422 жыл бұрын
Kikwete je?
@abdulijongo13553 жыл бұрын
Hotuba Nzr Kabsa Na Yenye Mapenz Ya Kwel Kutoka Kwa Babu Yetu Mzee Mwinyi Tumekuelewa
@abcxyz37403 жыл бұрын
Mzee mwinyi pepo inakusubiri kwa kuwa mkweli na Busara nyingi sisi miaka 40 tumeshindwa mwenzetu 2 tu kajenga barabara nchi nzima kwa kipindi kifupi sana
@japhetdaudmaneno84402 жыл бұрын
Leo machinga wanalia na kujuta kuzaliwa Tanzania,kama si nchi Yao tena
@bensonatumbwa745 Жыл бұрын
Watanzania mungu amewabariki na ma rais wazuri tangu mpate uhuru .Kenya kwetu huku ni wakabila tu na matapeli
@fumbukashangwe31732 жыл бұрын
Maisha ya mwanadamu ni hadithi ifanye basi kuwa hadithi njema kwa kuishi maisha mema watakosimuliwa hadithi yako watabasamu kwa hadithi nzuri
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Shikamoo Babu
@AbrahamSekuza5 ай бұрын
Wote nyie ndio mliokula bila kujali wana nchi mungu atawashughulikia tuu
@washingtonmbiti93486 ай бұрын
Wapole hawa watanzania.Napenda mipangilio ya hotuba zao.Waadilifu wa maisha.
@samahamed24183 жыл бұрын
Mzee rukhsaa i 😀
@JOHNKKULULINDA-pc6gy7 ай бұрын
KWELI, MZEE NDO MAANA KILA MWEMYE HEKIMA ANAKUPENDA. MUNGU AKUZIDISHIE AFYA NJEMA.
@ignasnyembo12565 ай бұрын
Hahaha maisha bwana. Mzee ruksa amezeeka sana hajui anachoongea. Binadamu si kitu
@safarisimukoko50892 жыл бұрын
Kweli kabisa Mheshimiwa natamani hutob yako iendelee
@mohdndevu99105 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂
@clarencehilary55887 ай бұрын
Sasa huyo delila mbona kafirisi alivyotafuta.mwezake
@nathaliaerasmi55623 жыл бұрын
Mama sitti hahaha
@biswalouniversal25862 жыл бұрын
Baby wa jamhuri ya Tz ishi zaid bado tunahitaj ushauri wako babu mwema usiye naupendeleo kwa wajukuu zako
@kanyamageorge70152 жыл бұрын
Shaka na Mso....Shughuli zimezidi...zipi?
@ramadhanmgaya1775 Жыл бұрын
Rais Magufuli alifanya Yale ambayo viongozi wengi hawakuweza na hawaweezi fanya. Rip Jpm.
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Kisima cha busara na hekima
@brevickkanai8627 Жыл бұрын
MUNGU akusidishie umri Tena Babu
@mickidadynhayo7073 жыл бұрын
Mung mlaze mh: jpm mahali pema peponi amina
@chakubutaedmond6298 Жыл бұрын
Kwakweli tutakukumbuka daima hayati Rais Dr Magufuli, pia babu Rais mstaafu wa awamu ya pili Mungu azidi kukujalia miaka mingi zaidi. Amen
@user-fe2ed5ej9f7 ай бұрын
Hekima ni ya uraisi
@babulomitu1402 жыл бұрын
Wazee ni hazina
@kassimloav24022 жыл бұрын
Ningependa kwenye mazimisho ya mwaka Wa magufuli mgen rasmi away mstafu All Hasan mwiny
@williamdaudi55882 жыл бұрын
Novena ya siku 54 na Padri Mbiku
@ZediKangulumira-pk2uu Жыл бұрын
It's long time since the late prezido jpm past away but I as a ugandan , Tanzania & Africa as large we miss him and we will miss him may Allah for give him his sins and give enough light kw kaburi yake
@ibrahimomari24584 ай бұрын
But you have a good president in your country(museven)...
@user-pg9lo3dz1f5 ай бұрын
Kmc yanga
@dezasumailcostaricahamis54292 жыл бұрын
Mkutano wotee huo sijaona mtu ambaye anauzuni sana kama mlinzi aliyosimama nyuma ya raisi mstafu mwinyi
@tusaangulile14002 жыл бұрын
Wote wamejaa wamefulahi naumia mm myonge JPM ameumiza moto wangu
@makupeamri56592 жыл бұрын
Namwenyewe magufuri alisema atakuja raisi wamana zaidi yake najiuliza aliyemsema ni uyu ama
@pendojeremiah91113 жыл бұрын
Huyu mlinzi kama.ana hasira Sana kwn hajui Kama.huyu Ni mzee sna
@believerswords5793 жыл бұрын
Yuko kazini. Ni kawaida
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Akicheka hapati mshahara
@elizabethfaustine31143 жыл бұрын
Hajanuna ndo alivo commando sura ya kazi
@pendojeremiah91113 жыл бұрын
Oooh
@casmirpeter12933 жыл бұрын
Hata Mimi cmuelewi
@haitumikitena49783 жыл бұрын
Watanzania tunajivunia kuwa na wewe Babu yetu wa Taifa