Рет қаралды 32,607
Mwl. Christopher Mwakasege, anakukaribisha ufanye Maombi haya juu ya vijana, Maombi ya Kuokoka na kukata KITOVU cha Kiroho na kutangua Maagano na Viapo Kwenye Maisha Yako na mahali vilipotokea.
Maombi haya ni matokeo ya Semina ya vijana iliyofanyika Dar es salaam june 2022.