MZEE MPILI AKUTANA NA MANARA, APEWA MILIONI MOJA YAKE, KAONGEA - "MPIRA SIO UADUI"

  Рет қаралды 137,716

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

MZEE MPILI AKUTANA NA MANARA, APEWA MILIONI MOJA YAKE, KAONGEA - "MPIRA SIO UADUI"
HATIMAYE ofisa habari wa Simba, Haji Manara, ametimiza ahadi yake ya kumpa Milioni Moja, Mzee Mpili, baada ya Yanga kuifunga Simba kwenye Derby ya Kariakoo, Julai 03,...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 166
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 3 жыл бұрын
Bravo Hajji Manara Ur namba 1 in a million nobody should make u feel otherwise. Long Live Hajji Manara ,Long Live.
@omarynado4201
@omarynado4201 3 жыл бұрын
Manara umenifuraisha broo huu ndo mpira
@doramsuya5294
@doramsuya5294 3 жыл бұрын
Jamani mbona unaongea kirefu wew
@johnbupimali5019
@johnbupimali5019 3 жыл бұрын
Manara You Did Brother, very good, Excellent, Good heart, Good man. tumekusamehe hata tukikufunga Tar 25 usiache kazi ujue wewe ndo umeukuza mpira wetu kwa hamasa zako. so keep touch, ila sijapenda dada yetu umembadili kabisa dah. nami naona Nioe mwana Simba. ila wadada warembo wako Yanga, ninashida mimi, hahahaaaa.
@mbonigabawilibard1280
@mbonigabawilibard1280 3 жыл бұрын
mke wa manara ni yanga damu hata manara mwenyewe ni yanga lialia sema kule ameajiriwa tu kama unalijua hilo gonga like yako hapa😂
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
af nkisha gonga like ndo inakuaje au unataka umpelekee mzee mpili😠
@ayubulukanda4977
@ayubulukanda4977 3 жыл бұрын
wewe boya sana unavosema manara yanga unakonda sana bwege wewe, unataka umuharibie ugali mtu? bwege sana wewe
@komboabdallah4451
@komboabdallah4451 3 жыл бұрын
Babu yake manara mzaa mama nisimba kindakindaki alishawahi kukataa posa ya Sande manara kisa Sande Ni yanga lkn wazee wakamwambia hiyo sio fea mzee.
@felixntenyange4593
@felixntenyange4593 3 жыл бұрын
Asante brother umenipa hatua nyingine katika maisha
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
Together We Can 😍
@leymaxcakes8008
@leymaxcakes8008 3 жыл бұрын
Kipo kitu ndani ya haji ambacho kama utamtizama kwa jicho la utani wa jadi unaweza usimuelewe ila zaidi ya hamasa ni mtu mwenye upendo sana.tumuombee katika moyo wake huu.
@jazzcellc6563
@jazzcellc6563 3 жыл бұрын
Manara kaka salut sana allha bless you na mzee mpili safisana bongo rahaa sana
@stanastana3199
@stanastana3199 3 жыл бұрын
Million Moja Tanzania kumbe rahisi sana kupata daah
@yusuphmo702
@yusuphmo702 3 жыл бұрын
Manara mjanja sana katangaza biashara ya asas hapo.. Hata pesa itkuwa imetoka asas,, mpira burudani... Vzr xana..
@jacksonbenson395
@jacksonbenson395 3 жыл бұрын
God give us strength
@poatv3898
@poatv3898 3 жыл бұрын
Mtangazaji unaelezea sana kuliko kusikiliza ulichokiweka
@zephaniaboniphace2974
@zephaniaboniphace2974 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@godlema6104
@godlema6104 3 жыл бұрын
anaongea saana
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
Asikurubuni mzee ukaacha msimamo wako..ukashindwa kurusha makombora trh 25
@hassanmwadini42
@hassanmwadini42 3 жыл бұрын
😂😂
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 жыл бұрын
TANZANIA 🇹🇿 NI NCHI YA AJABU saaana ni Upendo na jokes hakuna kudharauliana sio dini wala ukabila this is a Gifted country.......
@iddijumangakonda4207
@iddijumangakonda4207 3 жыл бұрын
Safi Sana MANARA,Ila mshauri Mtani wako aache MATUSI inampunguzia heshma.
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 3 жыл бұрын
Manara sasa amekua na kujifunza kuwa mpira ni mchezo na matokeo ni uchezaji si historia na viwango vya timu nje ya uwanja. Well-done my mwenezi.
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 3 жыл бұрын
Ebana uyu mzee kawa star bhana kumbe haya maisha usikate tamaa eeeeh
@salumdiaby297
@salumdiaby297 3 жыл бұрын
*NICE*
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Dah ushabiki wa mpira bhana raha sana tofaut na siasa kuuana
@ndwangilandwangila9334
@ndwangilandwangila9334 3 жыл бұрын
Huo ndio ushabiki nimeipenda.
@josiahsimon5333
@josiahsimon5333 3 жыл бұрын
Weldone mzee mpili vijana wa yanga mnafeli wapi
@sundayhassan1178
@sundayhassan1178 3 жыл бұрын
Jambo nzuri , maana yanga huku njaa tupu ndy maana alikuwa anakusumbua Kama deni
@ngeduletv2730
@ngeduletv2730 3 жыл бұрын
Ongera manara ongera Sana nakupongeza manara Sana tena Sana ubarikiwe upewe Maisha marefu
@shabanmwaisame8735
@shabanmwaisame8735 3 жыл бұрын
Manara ulichokifanya umeonesha kuwa unaujua mpira,mpira co ngumi wala uhasama Safi Sana manara.
@unclevirustv9772
@unclevirustv9772 3 жыл бұрын
Mm n shabiki wa Yanga leo kw mara ya kwanza nmeappriciate kitu manara amefanya. Huu ndio ushabiki safii
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 жыл бұрын
Mtangazaji umeboa San tunataka kumuona mzee mpili akiongea
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 жыл бұрын
Hahaha.....mama yeke nndogo
@benjaminpatrick6364
@benjaminpatrick6364 3 жыл бұрын
Akiliiiiii nyingiiiii sa naaaa mpiliii
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 3 жыл бұрын
Big up vizuri sana
@elymollel
@elymollel 3 жыл бұрын
Asas wajanja Sana.. wameona wapitie kwa mzee mpili kutangaza maziwa. Hiyo m1 sio ya bure Bali katangaza maziwa.. that's digital marketing work.
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
umeona wamemtumia mzee wa wa2 bila ya kujijua wanae wako wapi huyu mzee mbona wanamtumia sana kwa faida zao
@furahanazareth2638
@furahanazareth2638 3 жыл бұрын
Kumbe familia hii wana hekima na upendo wote safi sana haji na familia yote
@aminamkamba5406
@aminamkamba5406 3 жыл бұрын
Màashaallah
@philbertpaschal2968
@philbertpaschal2968 3 жыл бұрын
I like it
@dotomohd9156
@dotomohd9156 3 жыл бұрын
My God so nice
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Only Manara can do it,Ahadi imetimia
@petercosta1317
@petercosta1317 3 жыл бұрын
vizuri sana manara
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 3 жыл бұрын
"Na kama hanipi hyo pesa atanijua mm nani?"
@yagesakitumbu1164
@yagesakitumbu1164 3 жыл бұрын
Kwanza haji manara kafanya Jambo zuri maana angalisemwasa sana
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 3 жыл бұрын
Dah! Yanga sijui kama wakatoka Kigoma. Sio kwa kitita hicho... mpili kwisha habari yake
@abbaslivene
@abbaslivene 3 жыл бұрын
safi sana manara nime kukubali
@Agnes-qq4np
@Agnes-qq4np 3 жыл бұрын
Mze amejipatia umarufu uze eni😂
@aliabass9392
@aliabass9392 3 жыл бұрын
Ndio ahadi ya kiungwana ya haji manara hiyo!!!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
huo ndio mpira sio uadui , safi Haji
@sampachino5184
@sampachino5184 3 жыл бұрын
Safi Sana
@chrismasebo7455
@chrismasebo7455 3 жыл бұрын
Safiii
@ashaodilo370
@ashaodilo370 3 жыл бұрын
Mzee mpili usikuli rushwa ..leo milioni moja kesho utapewa zaidi ya moja .. upindue meza pesa ni ibilisi mzr sn.....
@younginspired3899
@younginspired3899 3 жыл бұрын
We mtangazaji ni Mpumbavu wa kiwango cha lami, unaongea pumba nyingi ambazo hazina Mana
@godchuwa1064
@godchuwa1064 3 жыл бұрын
Xafiii sana mmetufundisha kitu ss washabiki
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 жыл бұрын
Mpira sio uadui sema manara ndo sms anataka kucreate uadui
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 жыл бұрын
Haji Manara ww ni real sportsman,
@saidnassoro9562
@saidnassoro9562 3 жыл бұрын
Huyu mzee hana lolote,njaa ndo inamsumbua
@mathewndunguru6340
@mathewndunguru6340 3 жыл бұрын
Safii sana haji
@rashidyally8715
@rashidyally8715 3 жыл бұрын
Ushabiki sio uadui ni kweli kabisaa nashangaa sikumoja shabiki wa Simba alikaa viti vya yanga huku amevaa jezi ya Simba pale taifa walimpiga na kumchania jezi yake ule sio ushabiki ule ni upuuzi na upumbavu wa kiwango Cha lami
@hannoshabani5996
@hannoshabani5996 3 жыл бұрын
Manara nimefurahia sana
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 3 жыл бұрын
Duhhh lkn pesa za kuunga unga maan naona chenga na unga hizo pesa
@komboabdallah4451
@komboabdallah4451 3 жыл бұрын
Kapewa ivyo ili aweze kuzigawa vzr ktk familia yke,
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 3 жыл бұрын
mpili ww nimekushindwa tabia had sasa
@glorykalunga4849
@glorykalunga4849 3 жыл бұрын
Safi sana haji
@hijanissah7674
@hijanissah7674 3 жыл бұрын
Mbona kama pesa ya vikoba
@moviestrailer2394
@moviestrailer2394 3 жыл бұрын
Manara uko vizur ngoja tuwasubr tareh25 mbele ya kombe
@simonjoel6633
@simonjoel6633 3 жыл бұрын
Haijawahi tokea simba achukue kombe meezani mbele ya yanga emu chunga sana
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
@@simonjoel6633 umeanza kujichanganya na wewe 🐒🐒🐒🦖🐒
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
Mpili akr mingi🤣🤣🤣🤣🤣
@filexjohn1405
@filexjohn1405 3 жыл бұрын
Manara mjina sana inakuwaje anamlazimisha mke wake kuhamia simba aka mikia
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Alikiri kwamba kalazimishwa? au unajiongeza tu 🤫🤫🤫
@mwigakatumpula9817
@mwigakatumpula9817 3 жыл бұрын
Hapana ticket ya ndege tutamkatia Sisi wenyewe wana yanga 😃😃😃😃🏃🏃🏃🏃
@edigajoseph5130
@edigajoseph5130 3 жыл бұрын
Wenye mnamumiliki mpili mumempa sh ngapi? Simba babalao
@abdallahbakari6154
@abdallahbakari6154 3 жыл бұрын
Fulaha sana sana
@kelvinaudax8287
@kelvinaudax8287 3 жыл бұрын
Manara mbona hela kama ya kuchangwa changwa hii
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
🤓🤓🤓
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 3 жыл бұрын
Hongera manara
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 жыл бұрын
Tukutane tareh 25 kigoma
@imanjames5167
@imanjames5167 3 жыл бұрын
kaka manara naomba unipe utaratibu wa ufunguaji wa tawi,mi nimiongoni mwa wana simba napatikana Geita bukombe,vijijin,hvo tunahitaji tufungue tawi la simba ktk maeneo tunayoishi,ntashukuru km nitajibiwa
@adventureseth8676
@adventureseth8676 3 жыл бұрын
Toa namba zako tukuunge kwenye group la wanasimba utapata utaratibu wote
@zakayosilas6963
@zakayosilas6963 3 жыл бұрын
Vzr aid tena
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
safi Haji mpira pesa bwana
@shabanmzala6246
@shabanmzala6246 3 жыл бұрын
Safi manara
@rashidsuleiman1531
@rashidsuleiman1531 3 жыл бұрын
haji unamgeuza mkeo kwa nyuma ww vepe bana
@simonjoel6633
@simonjoel6633 3 жыл бұрын
Maanala eeh chunga sana utalala njaa umejimaliza
@ashelyabely7854
@ashelyabely7854 3 жыл бұрын
Kwani yanga nao wamempa kiasi gani au ndio maneno matupuu?
@nassormohamed2845
@nassormohamed2845 3 жыл бұрын
Haji Manara umefanya kitu kizuri huo ndio uzalendo ktk mchezo 5 kutoka kwangu haji niwekee namba yako nikutumie milioni moja yako
@subzigzig6726
@subzigzig6726 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana hiii jmn dah
@abdulaisha4145
@abdulaisha4145 3 жыл бұрын
Yani manara kawa bodigad Leo wa Mzee mpili
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 3 жыл бұрын
Hii inaitwa Asas markert strategic
@allymtata8669
@allymtata8669 3 жыл бұрын
jo blss
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 жыл бұрын
Mzee anaenda Kula Wali Nazi leo
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂sio ugali na dagaa tena🙄🙄🙄😂
@bennyflevas5700
@bennyflevas5700 3 жыл бұрын
Manara game ya kigoma ahidi tena zikutoke🤣🤣🤣
@nachinukufadhil4283
@nachinukufadhil4283 3 жыл бұрын
Nyie jaman huyo mzee amejikaza kiume tu kufika hapo lakin huku ikwiriri ukitaka kugombana na huyo mzee muelezee jambo linalohusu simba dakika sufuri amekuvaa achekagi na kima huyo.
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Chezea pesa wewe mwenye pesa si mwenzako
@taborimgeta4335
@taborimgeta4335 3 жыл бұрын
Umeua broh
@malandojames5151
@malandojames5151 3 жыл бұрын
Huyo mzee wenu Keisha habari yake. Chezea semaji la kimataifa weye. Mnazani ndani ya gari wameongea nini.
@edigajoseph5130
@edigajoseph5130 3 жыл бұрын
Mkolofi we😁😁👉😁😄
@alphoncesanga8609
@alphoncesanga8609 3 жыл бұрын
Ndip ukome kuahidi hovyo hovyo, maana ahadi zako zimekufanya uhamie Yanga tangu liverpool ilipoifunga baca goli 4, ila michango yako siioni huku Yanga mzee, ahadi ni deni.
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Nan akome hapo tena?
@lokindasamwel5305
@lokindasamwel5305 3 жыл бұрын
😂😂😂💪
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 3 жыл бұрын
Mtangazaji vp
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 3 жыл бұрын
Hiyo rushwa ili tarehe 25 asibane mzee.
@MightyLumber
@MightyLumber 3 жыл бұрын
Mbona sasa hawakupigana denda hadharani kama walivyotuahidi?
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@nassirjuma6308
@nassirjuma6308 3 жыл бұрын
Haji mpe mama ako Mdogo aoe
@magechuwa804
@magechuwa804 3 жыл бұрын
Habari ndo hiyo mpira pesa asikwambie mtu
@salehpandu2250
@salehpandu2250 3 жыл бұрын
Manara usicheze kamari wewe na huyu mzee mlicheza kamari dhambi
@mbogofrank1154
@mbogofrank1154 3 жыл бұрын
Ila manara bhna anaweza sana kututeka akili zetu Mrs bugati amechoma jezi za yanga
@edigajoseph5130
@edigajoseph5130 3 жыл бұрын
😁😁😁
@ahmediadam1463
@ahmediadam1463 3 жыл бұрын
tatiz mbn buk buk sas?
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 3 жыл бұрын
Tena kakomeshwa kapewa milion kumi badala ya moja chezea buggat ww ??
@davidkitundu9892
@davidkitundu9892 3 жыл бұрын
Bado ahadi moja tukimfunga trh 25 anastaafu usemaji wa Simba
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 3 жыл бұрын
Naona hamumtaki akiisemea simba pole sana
@obaidalbulushi6143
@obaidalbulushi6143 3 жыл бұрын
@@noelilyatuu8129 yeye ndo alitamka kwani kalazimishwa kuzungumza?
@bhtmtk3313
@bhtmtk3313 3 жыл бұрын
Haji bana yan umemfos mkewe kua shabk wa simba hahaha kaka huyo ndan yak ataish na yanga yan daima mbele nyuma mwiko
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 3 жыл бұрын
Ushabiki haufutiki moyoni..anabembeleza ndoa tu hapo🤓🤓
@happyshayo372
@happyshayo372 3 жыл бұрын
Tatizo mdomo wa manara uliponza wachezaji wa simba wakapigwa kimoja. Aibuuu.
@amrilukindo1353
@amrilukindo1353 3 жыл бұрын
Sina imani na mzee mpili
@happyshayo372
@happyshayo372 3 жыл бұрын
@@amrilukindo1353 mzee wa watu hana shida. Tatizo ni manara kudharau wachezaji wa timu pinzani. Na mnyama kakalishwa. Duh aibu sana🐈🐈🐈🐈🐈🐈
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 3 жыл бұрын
Huyo manara mmoja nisawa na Utopolo Elfu kumi. Manara wakereeee wanateseka wanaliaa wanaumiaaa
@happyshayo372
@happyshayo372 3 жыл бұрын
@@godfreymasele8853 wewe ndio unateseka. Kwani unateseka ukiwa wapi? Manara ni mwarabu wa nguruka hana jipya. Kapigiliwa kimoja tu kaenda kujificha pemba. Dadeq.
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 3 жыл бұрын
Mpili huwezi shindana namanala wemwenyewe umekili
@onesmomanase9856
@onesmomanase9856 3 жыл бұрын
Kama unamkubali mzee mpili like hapa twende zet
@richardwilison2909
@richardwilison2909 3 жыл бұрын
Manara good Sana ndio mpira huo
@jamilasaid3828
@jamilasaid3828 3 жыл бұрын
Mzee mpili kakiuka mashsrti huyo tarehe yanga mnapigwa
@nadymhamad2655
@nadymhamad2655 3 жыл бұрын
Manara unachek huku ukiitazama milion
@hassansalum5362
@hassansalum5362 3 жыл бұрын
Milion.si.nyingi kwako tuu
@sadamissa5687
@sadamissa5687 3 жыл бұрын
Unaongea sana mtangazaji acha waongee waoo
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Kaleta dawa kutoka zanzibar manara.
@danielijackson8700
@danielijackson8700 3 жыл бұрын
Mbona anakoroma?
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 57 М.
Messi or Ronaldo ? 🤔🤯 #football #talent #wonderkid
0:18
Alex and Deme
Рет қаралды 15 МЛН
BRUTAL leg kicks from Marco Ruas CHOPS Paul Varelans down back at UFC 7!
0:56