No video

Mzee WARIOBA ajitoa MUHANGA: Naye Haridhishwi na Mambo yanavyokwenda NCHINI

  Рет қаралды 6,305

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@simiongasirigwa6316
@simiongasirigwa6316 Ай бұрын
Long live AG mstaafu we ni Kama kioo Cha jamii??
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Ай бұрын
Ni kweli mtu akisema kweli, haeleweki, kiongizi mmoja alisema kuhusu hatari ya ukopaji mkubwa unaofanywa na serikali, kazi ikaishia hapo !
@hassanimainde9971
@hassanimainde9971 Ай бұрын
Hongera sana mzee, najua ukweli unauma, lakini hili ni somo kwa wenye akili timamu. Tafadhari itumieni hazina hii.
@mohammedsaqry3036
@mohammedsaqry3036 7 күн бұрын
Very good Mzee Warioba well presentation your contribution to this content it's very Very valuable for anyone who understands and is a clear message for ourselves if really we want to step ahead.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Mzee nakusifu sana wewe na butiku siyo wasita anayeendelea kua chawa mungu anamuona
@paulobanzi5962
@paulobanzi5962 Ай бұрын
Mzee nimekuelewa vizuri sana lakini naonaunapoteza muda wakobure kwa hao unaowafundisha maana Hilo ni darasa tosha ilakwa sababu kusifu kumekuwa kwingi kuliko kukosa nanuku hata msani mmoja alisema wanao kukosoa ndiyo wanao kupenda kuliko hao wanao kusifia kwakuwa mkweli walimteka Mungu akubari sana mzee wangu umimi imetamalaki sijuitunaelekea wapi
@FarajiMsafiri-n8o
@FarajiMsafiri-n8o Ай бұрын
Huyu mzee badoyupo vizuri
@jamals.mbarak8638
@jamals.mbarak8638 Ай бұрын
Mzee umegonga kwelikweli. UTAMBULISHO, nachukia kuitwa WATU WETU
@leobalige7069
@leobalige7069 Ай бұрын
Tabaka itauwa nchi hii.
@eliasshiloti9983
@eliasshiloti9983 Ай бұрын
Huyo ndiyo mzee pekee aliyebaki sida kuu ya mzee ni kysema ukweli
@sandaymgunyi6268
@sandaymgunyi6268 Ай бұрын
Ahsante
@paulobanzi5962
@paulobanzi5962 Ай бұрын
Mzee ukweli unakuweka huru
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc Ай бұрын
Machawa wakubwa ni wabunge ni bunge la ajabu Africa ambalo limezingatia maslahi Yao kukaa bungeni milele ndio maana rais hatoki midomoni mwao masikini watanganyika
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 27 МЛН
MGOGORO WA ELIMU. ISHARA ZA UNABII WA RAISI SAMIA WAZIDI KUTIMIA.
16:03
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16