HAI KIMEUMANAAA...OCD AKIMBIA Mbowe LIVE!!
9:29
MAMAAAA....Video ITAKUTOA MACHOZI
21:39
Пікірлер
@user-og6cf2rw4r
@user-og6cf2rw4r 2 сағат бұрын
acha ujinga vaeni nguo msikae uchi alaaaaaaah!!!😂😂
@MsafiriMoshi
@MsafiriMoshi 2 сағат бұрын
Josh@1223
@pauloropian2367
@pauloropian2367 14 сағат бұрын
✌️✌️✌️
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 15 сағат бұрын
Rais alijibu haya maswali kiwaki sana..yaani kama sio rais aseee
@thomsonlyimo3009
@thomsonlyimo3009 2 күн бұрын
Watanzania wengi hawagungua hii Siri MUNGU aliiweka roho ya mpendwa wetu magufuli kwa makonda tuendelee kumwombea MUNGU atatupea siku Moja atuongoze
@thomsonlyimo3009
@thomsonlyimo3009 2 күн бұрын
Watanzania wengi hawagungua hii Siri MUNGU aliiweka roho ya mpendwa wetu magufuli kwa makonda tuendelee kumwombea MUNGU atatupea siku Moja atuongoze
@simiongasirigwa6316
@simiongasirigwa6316 2 күн бұрын
Muheshimiwa sugu mheshimu mama unachotakiwa kufahamu mama ndie raisi wa nchi kwa hivyo usubiri uchagulliwe uone hata na ww utalaumiwa
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 күн бұрын
I Inau.a sana duh
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 2 күн бұрын
Wahimizeni watu wasusie kusombwa na mabasi,malori nk kuudhuria mikutano ya ccm
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 2 күн бұрын
Ukimuona mtu anamtukana marehemu tambua ni taahira, anastahili kuogopwa
@zuhurahamisi1639
@zuhurahamisi1639 2 күн бұрын
Muache Makufuli apumzike kwa amani
@BIGCHENDREADLOCKS
@BIGCHENDREADLOCKS 2 күн бұрын
Hawez kupumzka yule ww😅😅
@SUMAIYAFILAM
@SUMAIYAFILAM 2 күн бұрын
Muogo ogea na Samia tuu mbwa ww acha zalau muache mngufuli wa watu
@BIGCHENDREADLOCKS
@BIGCHENDREADLOCKS 2 күн бұрын
Moto anao uko alko
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 2 күн бұрын
Mh. Generally , hujatuambia kwanini Nyerere alishindwa kufikia malengo ya maendeleo ya haraka ya taifa?
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 3 күн бұрын
Huyu jamaa ana akili sana mtabiri mzuri sana kweli kweli
@cuteliciacutelicia3968
@cuteliciacutelicia3968 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂hii video imepata like nyingi kuliko zote😅😅😅 ila wanaume 😂
@cuteliciacutelicia3968
@cuteliciacutelicia3968 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂vifupa😂
@cuteliciacutelicia3968
@cuteliciacutelicia3968 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂weewe tu😂😂
@issakazi2758
@issakazi2758 3 күн бұрын
Kichaa huna lolote
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 3 күн бұрын
Vichaa wasazi wako pwa hii..
@user-lk1wu8cs5c
@user-lk1wu8cs5c 3 күн бұрын
Big up.........! Wape vipande......!
@SimonKibasa-z4s
@SimonKibasa-z4s 4 күн бұрын
Ustadhi waelimishe watu, while yako iko vizuri na ni ukweli usiopingika
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 күн бұрын
Lipumbavu limsukule la fisiyemu halijitambui
@rashid3562
@rashid3562 4 күн бұрын
Hayo majibu ni sahihi kwa upande mmoja maana hao ni chawa tu kutoka BBC
@issakazi2758
@issakazi2758 4 күн бұрын
Mpumbavu huna lolote ,huna hekima
@issakazi2758
@issakazi2758 4 күн бұрын
Mpumbavu huna lolote ,huna hekima
@josephnjellah280
@josephnjellah280 4 күн бұрын
Mlikuwa wapi
@YustoBashweka
@YustoBashweka 4 күн бұрын
Afadhali serikali imeanza upya ufatiliaji
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 4 күн бұрын
Mbona Inchi imeuzwa madini Bandari wanyama masitu nk hao wameiba kidogo kama pipi tu sad
@TatuYufuramadhan-zw2ln
@TatuYufuramadhan-zw2ln 4 күн бұрын
Dada tufundishe kufinyia kwandani❤
@sandaymgunyi6268
@sandaymgunyi6268 5 күн бұрын
Ahsante
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 5 күн бұрын
Yani nyie wakristo sijui mnauchukuliaje unabii Yani nyie mtu akijisemeatu mie nabii bc mnamkubali tayar
@jamals.mbarak8638
@jamals.mbarak8638 5 күн бұрын
Mzee umegonga kwelikweli. UTAMBULISHO, nachukia kuitwa WATU WETU
@angelsulle7177
@angelsulle7177 5 күн бұрын
Kwa Iringa mmechemsha .Msigwa anasababu na atakuwa waziri acha ahongweee we mbona ulinyamazishwa kwenda Ngorongoro???
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 5 күн бұрын
Machawa wakubwa ni wabunge ni bunge la ajabu Africa ambalo limezingatia maslahi Yao kukaa bungeni milele ndio maana rais hatoki midomoni mwao masikini watanganyika
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 6 күн бұрын
Wale ambayo hawana uwoga na wanasema ukweli wanaandamwa na kupewa adhabu kama Mh. Mpina huyu Ni msema ukweli na Mungu atamlinda
@Dominant97
@Dominant97 6 күн бұрын
Safiiii safiiiii
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 6 күн бұрын
HAPO MKUU WA MKOA UMENENA!!! NI LAZIMA SERIKALI IFIKE MAHALA IANGALIE MASILAHI YA WENGI!!!
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x 6 күн бұрын
Hivi huu muziki unatusaidia nini?
@leobalige7069
@leobalige7069 6 күн бұрын
Tabaka itauwa nchi hii.
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 6 күн бұрын
Ni kweli mtu akisema kweli, haeleweki, kiongizi mmoja alisema kuhusu hatari ya ukopaji mkubwa unaofanywa na serikali, kazi ikaishia hapo !
@manumunemanumune-uj6jq
@manumunemanumune-uj6jq 6 күн бұрын
Hii haiponyi Bali inasaidia
@hassanimainde9971
@hassanimainde9971 7 күн бұрын
Hongera sana mzee, najua ukweli unauma, lakini hili ni somo kwa wenye akili timamu. Tafadhari itumieni hazina hii.
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 7 күн бұрын
Waambie mheshimiwa
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 7 күн бұрын
Mzee nakusifu sana wewe na butiku siyo wasita anayeendelea kua chawa mungu anamuona
@paulobanzi5962
@paulobanzi5962 7 күн бұрын
Mzee ukweli unakuweka huru
@paulobanzi5962
@paulobanzi5962 7 күн бұрын
Mzee nimekuelewa vizuri sana lakini naonaunapoteza muda wakobure kwa hao unaowafundisha maana Hilo ni darasa tosha ilakwa sababu kusifu kumekuwa kwingi kuliko kukosa nanuku hata msani mmoja alisema wanao kukosoa ndiyo wanao kupenda kuliko hao wanao kusifia kwakuwa mkweli walimteka Mungu akubari sana mzee wangu umimi imetamalaki sijuitunaelekea wapi
@mwinyisaruni8974
@mwinyisaruni8974 7 күн бұрын
Hao wachache bro tuende nao usiwatafute wengi ambao hawapo pamoja nasi, watutosha kama ulikubali kama wapo hao hao watutosha sawa bro?
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 7 күн бұрын
HAMNA KIONGOZI NI JINAMIZI TUPU KAZI ni uchochezi kutaka kuifitini nchi Kuweni makini watanzania huyo ni muongo ukweli ukidhihiri hatomuona MTAMSIKIA BBC TENA anaongea mafichoni Hana kubeba bango Wala risasi Ni unafiki MTUPU
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 7 күн бұрын
Wabunge wa ccm wenge ni maboya tu wachache ndo wakweli