Kikwete akumbushia ukaribu wake na Manji, akumbushia misukosuko iliwahi kumkuta Manji

  Рет қаралды 42,999

Azam TV

Azam TV

9 күн бұрын

“Baba yake Mehbub Manji ndiye alikuwa rafiki yangu” maneno ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akisimulia ukaribu wake na aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC, marehemu Yusuf Manji.
Kikwete anasema Yusuf Manji alikuwa ni kama mwanae kutokana na ukaribu aliokuwa nao yeye na baba yake Mehbub Manji.
Rais huyo mstaafu wa Tanzania amesimulia pia namna Yusuf Manji alivyokuwa akimshirikisha nyakti za misukosuko na yeye alikuwa akimtuliza.
Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
#Dua #MaishaYaManji #YusufManji

Пікірлер: 44
@nuhuallyzsung
@nuhuallyzsung 7 күн бұрын
Hongera sana mheshimiwa hakika wew ni muungwana sana! Sijui chalamila anajiskiaje na kauli yake ila anatukumbusha tukipewa dhamana tusijisahau tukatoa Siri za serikali au watu wengine
@lindatogether
@lindatogether 7 күн бұрын
Very humble man. Live long Jakaya
@user-fs7bs6gy4z
@user-fs7bs6gy4z 7 күн бұрын
Congratution former president kikwete always I do apreciate him long live mr ,you live with all people friendly .
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 8 күн бұрын
Duuu dunia inamengi sana
@stn4873
@stn4873 7 күн бұрын
Miraji Mrisho Kikwete sio mtu wa camera ni mtu wa juu kwa juu yani😂😂😂
@Coffted
@Coffted 6 күн бұрын
Chakaram sana
@stn4873
@stn4873 6 күн бұрын
@@Coffted Since wayback.
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Күн бұрын
Tunakutakia maisha marefu baba yetu Dr jakaya kikwete Rais mstaafu Umejaa hekima busara itoshe kusema asante baba
@samgaya
@samgaya 7 күн бұрын
Jk yuko humble sana
@lindatogether
@lindatogether 7 күн бұрын
Sana
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 8 күн бұрын
Hongera sana
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 6 күн бұрын
Allah amsamehe makosa yake aliyofanya kwa siri na dhahiri amfanye wepesi ktk safari ammyn yaraby
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d 6 күн бұрын
Amiiin
@abednego3876
@abednego3876 7 күн бұрын
Raisi wa matajiri bwn.
@shabanrufumbo3701
@shabanrufumbo3701 8 күн бұрын
daaah mzeee yupo real sana muungwana sana
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 5 күн бұрын
hana uungwana wowote so called mwanae amekaa jela mwaka mzima hakwenda kumuona hata siku moja
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 5 күн бұрын
Kumbe alikuwa anauwa vijana na madawa kwakuwa alikabidhiwa ngao kumbe!tushukuru kwakuwa mwazi
@AndrewMtweve-pm7gl
@AndrewMtweve-pm7gl 7 күн бұрын
Stori nzuri japo ya kuskitishaaaa
@hassanimlacha8479
@hassanimlacha8479 4 күн бұрын
Wakaloleni Moshi tz aksante jambo Tanzania nimeamka nanyi niipe pole familia iliyopoteza Yusuphu manji kwakweli poleni mno aksante jambo tz
@RahimhalmasRahimhalmas
@RahimhalmasRahimhalmas Күн бұрын
Mi napenda sana kumsikiliza kikwete anaongea vzr
@georgesolos344
@georgesolos344 7 күн бұрын
Pesa zako umeficha sana upande huo, business zake wewe ulikuwa nyuma yake. Pesa alizokopà kwenye mabenki na kukimbilia Marekani, mpaka Samia alilalamika sana.
@edithamboya5016
@edithamboya5016 5 күн бұрын
We ungekataa? Punguza makasiriko !!
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 күн бұрын
​@@edithamboya5016 Kikwete no baba yako au kujipendekeza
@raphaelondego7703
@raphaelondego7703 8 күн бұрын
Mbona hakujimwambafy!!, wakati ule, siku kujenga ikulu, sg, mwendo kasi, msukosuko wa manji, pia hata cocoa beach😂
@leokamil6284
@leokamil6284 7 күн бұрын
Kufa usifiwe ndugu, aliteseka sana bila sababu Mungu ampumzishe kwa Amani
@hilarymark7583
@hilarymark7583 8 күн бұрын
Mehbub wewe utaweza kuvaa vizuri viatu vya mzee wako. Inaonekana kijana Muungwana kabisa
@OmariZayo
@OmariZayo 4 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu jakaya
@denismasele4130
@denismasele4130 6 күн бұрын
Kuna comment naitafta siioni😢
@DM_15
@DM_15 7 сағат бұрын
Ooh kumbe alikua bado kojana kbsa
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 6 күн бұрын
😢😢
@RamadhaniAyubu-nv5qz
@RamadhaniAyubu-nv5qz 7 күн бұрын
Mzee hongera sana umelea wengi
@RamadhaniAyubu-nv5qz
@RamadhaniAyubu-nv5qz 7 күн бұрын
Makubwaaa
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 8 күн бұрын
Allahumma Ameen
@ZulekhaBaksh-ii4fk
@ZulekhaBaksh-ii4fk 8 күн бұрын
Innalillah wainna ilayhi Rajuun
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 7 күн бұрын
Poleni sana familia
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 күн бұрын
👍✌️🙏
@VenitaRugemalila
@VenitaRugemalila 5 күн бұрын
Pumzika kwa amani mtani wetu wa jadi.
@njemamehuna9821
@njemamehuna9821 2 күн бұрын
Hapo ndo utaelewa kwa nini Manji alikuwa mfadhili wa Yanga na sasa hiyo kazi anafanya GSM
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 5 күн бұрын
Mbona ya madawa husemi?
@maylusasi1239
@maylusasi1239 8 күн бұрын
Chakaramu sana 😂😂😂
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 4 күн бұрын
Kwenye utawala wako ufisadi ulizidi nchini ccm ilikaribia kufa mikononi mwako, wagonjwa walilazwa chini hospitalini lakini wewe ni kupanda ndege kila wakati. Halafu marafiki zako mbona ni wapigaji kama rostam aziz.
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p Күн бұрын
Unaushahid ndg
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 4 күн бұрын
Yusufu rafiki wa MIRAJI!!!!! Yusufu papa wa hadaway ya ...... Ndege wa ranging moja hutembea pamoja. Za mbayuwayu changing na zako.
@RahimhalmasRahimhalmas
@RahimhalmasRahimhalmas Күн бұрын
Mi napenda sana kumsikiliza kikwete anaongea vzr
Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga
9:02
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 13 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 99 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza
1:00:51
Nilimnyang'anya Kikwete Mic Nikamzuia Kuongea - Dr Slaa
5:24
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 14 М.
Maalim Seif Akimjibu Raisi Kikwete
4:29
The Habari
Рет қаралды 123 М.
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
Chadema Media TV
Рет қаралды 10 М.
야차룰 2대1  #valetudo #2vs1
0:58
야차클럽
Рет қаралды 17 МЛН
❗️РОНАЛДУ С ДРУГОЙ ПЛАНЕТЫ🪐😱
0:56
ОСТОРОЖНО: СПОРТ !
Рет қаралды 1,5 МЛН
Triple jump man #shortvideo #athlete #jump
0:10
sports facts
Рет қаралды 12 МЛН
ENGLISH OR SPANISH EA FC 2025
0:14
Jhow GK
Рет қаралды 6 МЛН
Georgina & Ronaldo Rare Moments ❤️ #3
0:31
Score 90 Shorts
Рет қаралды 119 МЛН