FOLLOW US BY CLICKING THESE LINKS BELOW: INSTAGRAM: / edmound_mys. . KZfaq: / edmoundmuye. . AUDIO PODCASTS: player.fm/series/edmounds-pod... FACEBOOK ACCOUNT web. Edymystic?_r... church.heavenlyimagemanifest.org
Пікірлер: 48
@HAAM67021 күн бұрын
Naam, tutapita pagumu tutalia lia 2025, lakini mwisho wa siku Bwana atalitukuza Jina lake. Giza nene lakini mwisho wa siku nuru itang'aa gizani, wala giza halitaiweza. Mwisho wa yote Kusudi la Bwana litasimama. So, tuombe SANA ili kufupiza giza nene au kuliondoa kabisa ktk Jina la Yesu, Amen.
@mselimsuya6952Ай бұрын
Nimepata kwa asilimia 70 kwa vile Napenda siasa. Nazidi kuombea Nchi yangu. Asante Prophet
@LispafulgenceSimon-rs1zg14 сағат бұрын
Mawio ni asubhi na machweo ni jion
@innocentcareen818Ай бұрын
Mungu ATUKUMBUKE
@why-ir8zl4 күн бұрын
Wapiga ramli mmelaaniwa!
@ShalomNissitvАй бұрын
Hii ni kubahatisha,sema wazi
@3leggedbird222Ай бұрын
Nimeelewa sana Baba Mungu autunze unabii wako
@user-uj7mm1jv5n14 күн бұрын
Mi najua Mungu akisema na mtu ndani yake ipo nguvu ya kuzuia tatizo kutoka juu
@mchisraelimbarikiwanassari3588Ай бұрын
Aya bhana tunangojea
@elishampoki8751Ай бұрын
Nyota nikiongozi Bora atakae ibuka bila matalajio ya watu,
@JOSHUAMWAKALAGOАй бұрын
Wenye akili tu ndio wataelewa.
@elishamafulu1068 күн бұрын
AMEN AMEN
@leahmgunda415417 күн бұрын
Mawio ni kule jua linkotokea, linkoiShia ni machweo.
@malkiarosemuhando3310Ай бұрын
Linaitwa Machweo mtumishi
@lulanjamd3886Ай бұрын
Niliona maandamano mkubwa watu wakitokea barabara ya gongo la mboto njia ya airport watu wengi wameuwawa na hasahasa wafuasi wa Ccm niliona serikali ya Ccm imeondolewa madarakani kwa maandamano makubwa ya raia huku biashara za watu zikihalibiwa Mungu atusaidie sana inatosha sana.Ombi langu uchanguzi 2025 ufanyike kwa amani na asiwepo kiongozi wakutaka kuiba kura maana ndiyo chanzo cha fujo zote
@mariamfaicalhassan28903 күн бұрын
Umemsikia Nape ?.
@pastorabraham7551Ай бұрын
The watchers we are on .
@cosmasshauri9002Ай бұрын
Jua huchomoza Mashariki na kuzama Magharibi, hivyo mawio ni Magharibi na machweo mashariki
@elishamafulu1068 күн бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah
@Shalom803Ай бұрын
We need our Tanganyika back❤
@josephmutalemwa1461Ай бұрын
Let's pray 🙏
@samuelmakaraАй бұрын
Sema Tanganyika na Zanzibar
@jesusismyeverything1630Ай бұрын
Ameen
@elishampoki8751Ай бұрын
Maombi Ya watakatifu Ndiyo yatakayoishikilia nchi hii isingie kwenye machafuko,
@JosephMunisi-xj5yuАй бұрын
Amen
@rweumbizalugaimukamu4905Ай бұрын
Ubarikiwe Nabii
@rweumbizalugaimukamu490518 күн бұрын
Amen Edmund mwanangu
@Ushashi2616 күн бұрын
Saw nabii ila naamin MUNGU amekupa njia yakufanya lisitokee hili inabidi useme suluhisho pia kamajinsi manabii wakale walivyo fanya,,
@mariamfaicalhassan28903 күн бұрын
Suluhisho mama suluhu aachie ngazi kwa amani
@JamesPesambili-yt2cm21 күн бұрын
Mimi sikupingi ila nia ya Mungu kukupa ujumbe ni ili tuombe mabaya yasitokee au yatokee tufe? Hata ninawi walitakiwa wafe ila wakamgeukia Mungu na Mungu akagili kuwaua, nataka manabii mjue kuwa mimi sifurahii unabii wenu kutokea,nafurahia mnapotumia mamlaka zenu kuzuia mabaya kwenye taifa, nasiyo kufurahia kutimia unabii wawatu kufa,
@edmoundmystic21 күн бұрын
Baada ya ujumbe wa Nabii Yonah Ninawi walimgeukia Mungu wakatubu. Swali ambalo Tanzania tunajiuliza: Je, Tanzania baada ya unabii tumeshuhudia tendo lolote la kumgeukia Mungu lililotolewa na kiobgozi wa nchi?
@user-pr7pe4lf8p25 күн бұрын
Makonda ndio aliyetabiriwa
@DottoKagoroАй бұрын
Nimeielewa
@lanezboy7016Ай бұрын
Hapa nimeanza kuelewa 😅😅😅😅
@timothyzablon3224Ай бұрын
Something is happening
@gabrielsulle8756Ай бұрын
Ndoto
@MillenMlayАй бұрын
Nataman ningeelewa
@gervasmakalo1787Ай бұрын
Mimi sijaelewa kinachotabiriwa kwa hiyo mawingu ambao ni wapinzani watasambaa na atachomoza makamba kung'aa watumishi wa Mungu mwacheni yeye afanye anavyotaka kwa sababu humpa amkatakae na humnyima amtakaye munakosea kuingilia siasa hubirini neno watu waokolewe
@mathiasmichael991523 күн бұрын
Mungu hutoa unabii juu ya jambo lolote maana tawala zote za Toka Kwa Mungu kwahiyo Mungu anaweza kusema chochote juu ya lolote
@Leeeeeeee-9619 күн бұрын
ko mungu akiwapa unabii wa siasa wasiseme
@JaneChissawilo-dr7nn18 күн бұрын
Kwani siasa iko chini ya nani acha utoto! Mungu ndiye anaamuru kila kitu kinachotokea ulimwenguni.Sasa wewe!!