Mashaallah Mashaallah wa barakallah Shaikh MselemBinAliy
@hakimjuma Жыл бұрын
Masha Allah sheikh am also getting you here in Uganda Assante
@KhalfanOmar-pb8eo Жыл бұрын
Mwezimungu akupe maisha marefu
@murtalla2826 Жыл бұрын
Yenye afya njema ndan yake
@masteraboupizza10223 ай бұрын
Mungu akupe hucni hatima
@jumagora34625 ай бұрын
Mashallah Mashallah
@SaidiHarunaSimai3 ай бұрын
Alwah akujalie neema
@alisaleh58634 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI FITNA ZOTE
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Shukran sana Shekhe ❤
@hamedayubu47637 ай бұрын
Mashallah
@ahmadabubakary4843 Жыл бұрын
Uhibbuka fillah shekh Musellem
@ussihamza-xn7bx Жыл бұрын
Shukran ( Sheikh Mselem) Tunakusoma Tukiwa , DSM.
@user-tv8ub4fk5i7 ай бұрын
Shekh Allah Skype afya njema uzidi kutuelimisha
@FeroozNassor7 ай бұрын
Tunafatilia sana
@MrAthensiya-qf8qi9 ай бұрын
Asalam alekum Ombi. Kama sisi ni wateja wakubwa wa hi chanal yenu . Tunaomba haya mawaiza ya shekh mselem . Yatengezeeni ups . Kwa sababu hizi recklama za mabiasha zimekuwa nyingi mpala zinakera hupato utulivu wa mawaiza . Ahsante
@othmanhamad6991 Жыл бұрын
kwanini huwa munandika headings za mipasho? kwanini usiandike tu "tafsiri ya qurani suratul Al amran aya fulani hadi fulani?"
@omaryramadhani6664 Жыл бұрын
Mi nahisi Hawa hawapo kwa ajili ya dini bali kwa ajili ya biashara ya dini,kwa sababu heading hizo zipo kwa ajili ya kuvutia biashara.Pia Nina mashaka na uadilifu wao,wanakera kuzidi magazeti ya udaku.
@omaryramadhani6664 Жыл бұрын
Kama ambavyo ukisoma heading za media zingine ukakuta maudhui tofauti unafutilia mbali ,na hapa pia ukianza kusikiliza ukakuta ni maudhui tofauti siku ingine unapita mbio tu,yaani Hawa waingia ktk kuzuilia watu ktk khayr sijui hawajitambui? Kero tupu.
@YASINIIDRISA9 ай бұрын
Nymaz boya
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Salam walykum
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Ataka kuuliza swali
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Adil tv
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Naweza kuuliza swali
@kassimali2273 Жыл бұрын
Bila shaka uliza Akhii
@saifalbarwani4509 Жыл бұрын
MashaAlla Sheikh Mselem Allah akuhifadhi na akujaalie maisha marefu
@FeroozNassor7 ай бұрын
Tunafatilia sana
@user-zr4dl6gc6d10 ай бұрын
Upumbavu wa hali ya juu kwa mtu anae weka title ya uongo usitafute views kwenye dini ya mwenyenzi mungu , una waibia waislam na kuuzusha uongo wa maandish, sheikh wetu tuna mpenda na tuna mfatilia sana msimtumie sheikh wetu kwa kupata views kwenye tv yenu
@shahabdallah94075 ай бұрын
Sihaba kuna mtu kasema mana nlizani mie tu.. wanaujinga wa kupindukia