NAIBU WAZIRI MKUU AWAVUNJA MBAVU IGP, RC CHALAMILA, VIONGOZI NA MAAFISA WA POLISI AKIELEZA KU..

  Рет қаралды 33,150

Tiki Tv

Tiki Tv

8 ай бұрын

NAIBU WAZIRI MKUU AWAVUNJA MBAVU IGP, RC CHALAMILA, VIONGOZI NA MAAFISA WA POLISI AKIELEZA KU..
.
.
.
.
.
.
.
.
.#MAHAFALIYAKIPOLISI #JESHILAPOLISI #naibuwazirimkuu #dotobiteko #igpwambura #POLISI #tikitvkiakilizaidi #RCCHALAMILA

Пікірлер: 30
@marcelinojunior6340
@marcelinojunior6340 8 ай бұрын
NWM huwa nazipenda sana speech zako.
@user-td5ye9zb1l
@user-td5ye9zb1l 8 ай бұрын
Hongera Biteko kwa hotuba nzuri.
@ramadhanibakar
@ramadhanibakar 8 ай бұрын
Hongeleni makamanda
@kikiswahili
@kikiswahili 8 ай бұрын
Nmecheka kweli mwenzenu inaonekana IGP kabana kweli kicheko😂😂😂
@msafiriomary893
@msafiriomary893 8 ай бұрын
Shuhurieni umeme au mnafanya sisi hatuna akiri maana mbona mnakata kata umeme hovyo
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 8 ай бұрын
Wimbo mzuri sana sana. Hongereni Polisi wetu
@amanafi1288
@amanafi1288 8 ай бұрын
Hii Nchi tuna Vyumaa... Huyuu kama huyu daaa... Dotto uko Juu Mungu akuongoze Inshallah utafika mbalii.
@fundivigaetzchannel1899
@fundivigaetzchannel1899 8 ай бұрын
Doto biteko wewe nikiongozi wa kweli kweli mwenye akiri ataelewa ulimanisha nini 🫂
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane 8 ай бұрын
Kumbe na wewe Naibu waziri mkuu Huwa unachekeshaga, Yan had Mh. Chalamila hoi😂😂😂
@MacdonaldElifas-xg2rv
@MacdonaldElifas-xg2rv 8 ай бұрын
Hotuba nzuri sana
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane 8 ай бұрын
Hongereni Askari wetu
@jameswanyancha5940
@jameswanyancha5940 8 ай бұрын
Naibu waziri mkuu unaenda vizuri endelea hivyo hivyo Mungu atakusadia.
@mhenitv
@mhenitv 8 ай бұрын
Mbona sauti kama ya JPM
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 8 ай бұрын
magufuli pure no blablaaa
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 8 ай бұрын
Wimbo mzur sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Polisi kwà kubambikia watu kesi MUNGU anawaona
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Uzuri wa mungu anawaonaa viumbe wake wote ukiwemo na ww
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Mmeongeza askari wakubambikia watu kesi
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 8 ай бұрын
Naibu Waziri Mkuu; una hekima na akili nyingi sana. Kwasababu WIMBO WA POLISI unawaaoisha wenyewe; na hao maofisa wakafanye hivyo, hasa ktk bio-industrie vya UCHAGUZI; wasielemee Chama kimoja bali wakasimame katikati ili apatikane mshindi wa KWELI, siyo wa UONGO kama kule nyuma tulikotoka. Inauma sana MSHINDWA kutangazwa MSHINDI. Polisi, waoneeni huruma walio wengi.
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 8 ай бұрын
This man knows how to speech perfect 🙌🙌🙌🤝
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@kikiswahili
@kikiswahili 8 ай бұрын
Kumbe Naibu waziri mkuu ni msimuliaji mzuri kweli
@kikiswahili
@kikiswahili 8 ай бұрын
Weee😂😂😂😂
@asajileraphael1951
@asajileraphael1951 8 ай бұрын
Hekima na busara ndio chachu ya mafanikio yako Mungu akubariki
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Watu wakanda ya ziwa tuna akili sana yakuongoza basi tuu waisilamu wanag'ang'ania madaraka
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 8 ай бұрын
Huo ubaguzi wa ukanda ndio utawamaliza.
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 8 ай бұрын
Hatuongoz kwa ukabila masuala aya Nyerere.aliyapiga vita sana
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 8 ай бұрын
Uongozi na Uislamu ni mambo mawili tofauti,kwani Rais kajenga Msikiti Ikuru?au unamaanisha nini?Mama Samia ni Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba yetu,kasome katiba yetu sio unaleta maneno ya kuwagawa Watanzani Kikanda,Kikabira na Kidini kwa tangu nchi hii ipate uhuru Marais wote waliopita wote walikuwa Waislamu?Nduniani kote kumejaa watu wenye akili nyingi sana,maarifa mengi sana hata hapa nchini hivyo hivyo kila Mkoa wapo watu wazuri sana,waaminifu sana na wana sifa za uongozi lakini sio kila mtu anapata nafasi ya kuwa Rais kwa sababu ya dini yake au kabira lake au sura yake,kumpata kiongozi kama huyo ni utaratibu maalum kupitia kwenye Chama chake na kadharika sio kama unavyofikiri Wewe na akili zako.
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 8 ай бұрын
Ni akili huna au ni hekima? Au vyote viwili! !?
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu
5:29
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН