UTANI WA WAZIRI BITEKO KWA SPIKA AKIJIBU HOJA ZA WABUNGE / BUNGE LAFURAHIA MAJIBU

  Рет қаралды 16,589

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 ай бұрын

Пікірлер: 37
@wilbroadsiyonga5889
@wilbroadsiyonga5889
Iki mpendeza Mungu,uwe kiongozi wa juu kabisa wa inchi yetu.
@zariadunia6328
@zariadunia6328
Tunaokula samaki wa kutoka maziwa makuu hebu gongeni hapa maana hivi vichwa ni vya hataree muheshimiwa Biteko ana akili sana huyu kijana
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284
Hongera sana kiongozi wetu na MUNGU azidi kukulinda na kukupa anfya njema.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@swahibmakumulo9329
@swahibmakumulo9329 14 күн бұрын
Language shapes Character....Hongera sana bro na endelea kumshika Mungu!!!
@mkamamkama105
@mkamamkama105
Pia waangalie sana viongozi wenzio fanya Kazi leo sisi nimatajiri wa umeme.
@mkamamkama105
@mkamamkama105
Mungu akutie nguvu naibu, lakini kunatatizo la umeme kuto kuwa na nguvu.
@user-sb5dd7wb8m
@user-sb5dd7wb8m
Daaa ! Bonge la waziri . Samia mtunze sana huyu . Epuka kuwasikiliza wanafiki . Huyu Biteko ni kichwa
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763
Nice spich Mr beteko mungu akusimamiye kaka hutubq yenye ukweli na ukiskiliza unafarajika
@filbertsimon5362
@filbertsimon5362
Safiiiiiiiiiíiiiiiiiii sana mh Biteko, Rais hakukosea, tungepata viongozi wa kweli kama wewe basi Mama yetu asingepewa ushauri wa kinafiki
@elikanamusa
@elikanamusa
Kiongozi upo vizuri sana na ndiyo sifa ya “goodleadership”.
@zariadunia6328
@zariadunia6328
Hapa samia alimuona waziri anayefaa nishati hongera mama kwa kutupa Biteko sio wale wasaka vyeo watoto wa wakubwa
@ThadeyMboya
@ThadeyMboya
Hongera mheshimiwa naibu waziri mkuu angalau mioyo inapona majeraha
@geey7893
@geey7893
The New Magufuli in Town. Atakufa Magu lakin vijana wake wengi wataibuka
@ejkholdingscompany186
@ejkholdingscompany186
Baba kazi nzuri
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117
sijuii nimeleka
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763
Beteko doto namuona magufuli ajae.mana magu wizard alizopita mote alijuwa jembe.mola akuongoze beteko
@Sangaadam
@Sangaadam
Hapo kweli jicho la Rais liliona mbali na kumpa Biteko hii Wizara naamini mambo yakiendelea hivi tutaondokana kbsa na hizi shida zilizopo kwenye hii Wizara -Biteko ni Jembe!!
@geey7893
@geey7893
Makamba aliwekwa akaanza wizii. Sahiz mwenzie anamuonyesha kazi. Saafi. Kanda ya Ziwa ndio inatoa Viongozi. Sio waswahili
@chrissymarcus5051
@chrissymarcus5051
Umeme haujawahi kutolewa bure. Watanzania wamelipia bill za umeme miaka yote. Kwann hamfanyi regular maintenance au kuondoa miundombinu iliyochoka???
@rehemakayuga7051
@rehemakayuga7051
Unastahili Kuwa Mkuu Wa Nchi Ajaye Maana Kila Nikikuona Na Kukusikiliza Naona Wewe Unaweza Kuwa Mtetezi Wawanyonge Mark My Words Awamu Ya 7 Ni Ya Kwako Biteko
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН