Рет қаралды 14,616
Karibu utazame wimbo huu wa shukrani kutoka Kwaya ya Mt John Bosco inayohudumu katika Kigango cha Mkwajuni, Parokia ya Mwambani, Jimbo Kuu la Mbeya.
Mtunzi: Damian Joseph Moddu (DAMIAN J.M)
Organist: C.Y Luseba
Sound engineer: Shimanyi F.M
Directed by : Ludovic & MDETE TM
Audio & Video - Tanganyika Productions #africangospel #kwayakatoliki #christmassongs #family #weddinsong