Ungana nasi muda huu; Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima anafundisha. Mungu akubariki sana
Пікірлер: 187
@DanielKawaya-pe5ox3 ай бұрын
Jamani nipeni namwa ya baba yangu gwajima Nimemupenda kweli uyu baba haishi milele ni le Congo
@matridalule64774 жыл бұрын
Nisipo msikiliza huyuu baba nais naumwa asante my dady Mungu aendelee kutumia baba
@jamesjosephm63584 жыл бұрын
Amen amen baba yangu kilasiku najifunza mengi ubalikiwe sana mtumishi
@onesmopaulmwacha5664 жыл бұрын
Wewe ni mtu ambaye Mungu anakutumia kwa kiwango kikubwa mno ..hivyo naomba Baba jamani usiende kwenye siasa ..waombee tu na kuwafundisha wanasiasa inatosha Baba ..Ahsante
@pericykiko61984 жыл бұрын
Hayo ni mawazo yako tu dear kiuhalisia Taifa linapendezwa liongozwe na wenye hofu ya Mungu
@estasage55063 жыл бұрын
@@pericykiko6198 Ni onyo tuu, kila Mamba na kifugo chake. Siasa ni playground ya ibilisi. Mara meetings nyingi mno, Mara hanasa, na kufwatana na hayo muda wa kufunga na kuomba haipatikane. Mitego nyingi. Najuwa mtumishi wa Mungu Dr Gwajima hawezi ingiya siasa pasipo kuzungumza na kupata maelekezo kutoka kwa Baba Mungu. Kama ikiwa nimtego Bwana atamuepusha nao. Kama mwanadamu, I miss him already. I know Pastor Amos is there but Moses was different from Josh.
@pericykiko61983 жыл бұрын
@@estasage5506 oooh inawezekana maana ibilis halali kwa ajili ya kutuwinda mmmmh
@estasage55063 жыл бұрын
@@pericykiko6198 True my dear. Myself don't understand why our God chosen bishop Gwajima will join the science. He helps more peoples worldwide as a man of God spiritually (which is important ) than being politician. Kama ni kujulikana, Mwenyezi Mungu amemujulisha dunia nzima, kama ni pesa, Yesu kristo wetu kamubariki. So, I don't understand. He could pray for them but not being a part. Sasa, hapo ndipo amejipeleka mwenyewe kwenye play ground ya muovu. I pray for his protection in Jesus Christ mighty name.
@pericykiko61983 жыл бұрын
@@estasage5506 hakuna kazi ngumu km kazi ya Mungu maana unawindwa kila mahali hata ukimuambia mtu achana na maweaving atakuambia kwani wewe Ni Mtakatifu yaani shetani anakuwinda binadamu nao hawashikiki wanapenda kubembelezwa Tena ukiteleza wanakucheka bt tujifunze kujishusha na kuombeana huenda ikawa wapo wengi tumekosea na yy akiwa mmoja wapo Basi Mungu atukumbushe tunapoomba tuwaombee warudi kwenye njia sahihi Amen
@OmAn-jw4jt3 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu ni kweli wewe ni zawadi ya Tanzania sifa na utukufu zina Mungu wetu kwa zawadi hii ❤
@alicensabimana72933 жыл бұрын
Nilogoweni vipawa mumepewa Ajiri yangu mimi nasumbuswa na wacawi Kwa wingi Funguweni ayoyooote Kwa jina la Yesu Mimi nalogwa myaka makumi naaa
@alicensabimana72933 жыл бұрын
Baba Mungu leo iyi nifunguriye fundo zote izi teleeee Kwa jina la Yesu
@gatoromuchee23674 жыл бұрын
Amen.tume fufuka ukweli.niombee Dr ngwajima nateswa na Marathi na mwanamke WA kisaudi arabia.nimemfanyia kazi miaka Kumi but thank you yake ni kunitumia jini.hope nitaweza kuishi Kwa jina la yesu
@hildpaul78233 жыл бұрын
Nyanyuka kwa jina ya yesu
@carolmuenicarolmueni45003 жыл бұрын
Man of God hiyo ibaada ya siku ya leo imenibariki sana barikiwa sana
@lyimorobert17614 жыл бұрын
Like father like son Pastor Komba uko vizuri
@munahellensimbiro50674 жыл бұрын
Naomba sana muniombee nakosa raha ndani ya nafsi yangu na pamoja na hasira za karibi zisizo na msingi kitu kidogo nikiambiwa tu hasira ziko juu tafadhali sana niombeeni nibadilike
@hassankombo44754 жыл бұрын
Imekwisha kkkwasababu umeishajitambua na mungu akusaidie
@caphaessimukoko99783 жыл бұрын
Thank God for the wonderful message. God bless you richly.
@elizabethtarmo71763 жыл бұрын
naomba nikusaidie kwa sehemu kwa shida yako tunaweza kuwasiliana kwa namba 0767690260
@gracenyangusi62303 жыл бұрын
Very true Bishop. Adui wa nyumbani ni mbaya sana
@NancyNaomi-od6ng4 ай бұрын
Namshukuru Mungu Kwa maubiri ya kunivuta karibu sana na Mungu ningependa sana unikumbuke Kwa maombi dhidi vifungo nipangacho hakifaulu naishi maisha kupanguka Kila wakati hivi natamani kuimba nyimbo ambazo niliziandika miaka kumi na Tano zilizo pita Wala Bado nisaidie pliz natokea kenya
@viddamgeneka88814 жыл бұрын
Hakuna wa kufanana na Mungu baba wa mbinguni.
@newadsong73233 жыл бұрын
A men. Bishop. Mungu. Hakubariki. Sana. Kwa Maombi. Uliomba. .nlikuwa na. Mapepo. Yakaondoka. Kupitiae. Kutambika. Nashukuru. Kwa. Maombi. Yako
@newadsong73233 жыл бұрын
Bishop. Naomba. Uniombe. Sana nisirudi. Yuma
@suzanthomas90434 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia haijalishi mbweha wanapiga kelele kiasi gani
@faithkavete29674 жыл бұрын
Mtumishi wa yesu niombee npo Kenya nina umri wa miaka 29.maisha yangu yote sina hamu ya mwanaume hata kidogo. Nafanya masterbation, natamani kuacha lakini nashindwa. Niombee.
@josephkaka69634 жыл бұрын
Tuma no yako 0757275885 wsp
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Yesu akufungue kabisa,mastubation kwa mwanamke??kweli shetani amekufunga
@mtuwasaayangu66514 жыл бұрын
Pole unaenda kupokea uponyaji wako kwa jina la Yesu hilo ni pepo
@faithkavete29674 жыл бұрын
@@mtuwasaayangu6651 amen
@user-me3ee4fu8w4 жыл бұрын
Chukua namba hapo kwa screen ya Bishop Gwajima
@user-yl9fb8uw3k6 ай бұрын
Barikiwe sana from ruvuma mbinga
@harunisalingo137411 ай бұрын
Amen Baba Askofu,Unanisaidia sana.
@We2k74 ай бұрын
Nyiyi fundo fundo fundo vyote maali pote pote pote ndani yangu nawa fyatuwa na bombe kutoka kwa Mungu Baba kwa jina la Yesu Christu wa Nazarethi .
@elizabethkasimila97714 жыл бұрын
AMEN AMEN KWA MAMLAKA YA JINA YESU NATOKA NA LAZIMA NISHENDE KWENYE UBUNGE KATIKA JINA LA YESU
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Ameeeen ubunge wa jimbo gani,
@user-po7ns4dm6w11 ай бұрын
Mtumishi Bwana Yesu Asifiwe nashukuru naomba msaada wa maombi mana hofu imenitawa naumia sana naomba msaada
@user-mg5hu1dc3i3 жыл бұрын
Thanks lody axntee Baba kwa somo zuri pia nahitaji maombi Zaid nilimfanya mahusiano na mtu kumbe Ni wakala na kaz yke nikitoa kafala ss ana nifuatilie ili anitoe kafala Baba nipo nchi za kiarabu jina Mrs Felix mwakyusa axntee Baba nisaidie Nina familia nimeiacha TANZANIA nisaidie Baba na MUNGU akubariki na ABARIKI neno lakw
@godfreynghwasa85624 жыл бұрын
Ameen Baba hakika tumebarikiwa
@graceufufuo15024 жыл бұрын
Very true Bishop wanaokuzunguuka ndiyo wanaokuroga
@evangelistedominique8002 жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi ,kwa kadiri unavyo nipa maarifa kila mara .Wewe ni Baraka kwangu sana
@BabyRas59274 жыл бұрын
Amen ...Asante Mungu Wngu
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Bishop UInajua kiukweli Unajua Mungu Akutunze
@estherngaro4894 жыл бұрын
Mmmmh Mungu staki kucheleweshwa kwa jina la Yesu
@frolacharles67884 жыл бұрын
Aminaaaaa Mungu Akubariki sana Mchungaji
@lilyabel23204 жыл бұрын
Mungu akubariki baba mchungaji Gwajima, na barikiwa na mafundisho yako. Yesu kristo aendelee kukutunza.
@raphaelsalimenya51044 жыл бұрын
Amen MTU WA MBINGUNI
@doctorzero-dj5xg3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na nyimbo hii, natamani ningekuwa jirani .
@eriantawumenya32574 жыл бұрын
Nawapendasan muchungaje kabs wew unaongeaukweli natamani kufika katika kanisa RAUFUFUO nauzima japo mimi ni murundi ningekua nawuwezo ningefeka kwako mimi bado ni kijana mudogo
@abigaellcharess63704 жыл бұрын
Ubarikiwe mnoo 🙏baba
@user-dt1ct1db9i7 ай бұрын
Navuka kwa jina la YESU
@rechomsuya3524 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Askofu napenda mafundisho yako na vitabu vizuri ulivyo andika mfano kitabu cha maombi ya kushindana
@KiKenya-lu1by7 ай бұрын
Ameen
@janetjanet86693 жыл бұрын
Ameni ameni mtumishi wa mungu niko na shida niombee
@josephmutemi74944 жыл бұрын
Nakupenda Mtumishi wa Bwana
@rosemukuri13273 жыл бұрын
Maman ajambo Sikunyingi Alindwe na kubarikiwa Mwana Weee Good sunday
@MirriamMeshach-j2c6 күн бұрын
Kweli saana
@erastosanga1694 Жыл бұрын
WACHAWI WABAYA SANA ,YESU TUKOMBOE TUMEFUNGWA SANA,HATA KUOA HADI LEO HATUJAOA YESU UNATENDA UNAKOMBOA SISI WAJA WAKO TUMEFUNGWA SANA.
@user-po7ns4dm6w11 ай бұрын
Naomba msaada wa mawasiliano baba
@marthaaron73183 жыл бұрын
Amen,najungamanisha na madhabahu katika jina la Yesu
@nesielias3174 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana
@eben_ezer88532 жыл бұрын
Kabisa Baba kimya ni dawa 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeen ubarikiwa sana man of God
@suzanthomas90434 жыл бұрын
Nakupenda baba yangu Dr Josesephat Gwajima
@johnfund13603 жыл бұрын
0 l0lllll0ll000
@alicensabimana72934 жыл бұрын
Masikiyo wanatobowa Imebadirishwa Woooga kuzugumuza muwatu wengi yoteeee ni history Nimengi
@catherinemuoka13228 ай бұрын
Amen apostle watching from kenya
@alicensabimana72933 жыл бұрын
Vunja vifungo na leo iyiii vivunjiswe Baba chika caisse iyooo Sifa Kwa Mungu. Ni mengi
@rithersospeterkati23032 жыл бұрын
Nataaa kwa jina la Yesu. AMEN AMEN Baba
@germainndayishimiye86844 жыл бұрын
Mungu akujaze tena nguvu
@lucykanuti61384 жыл бұрын
Tafuta kwa jina la Yesu kristo
@wycliffeojijo35604 жыл бұрын
Amen amen and amen bishop I pray to meet you one day.from Saudi Arabia
@esterdonald54972 жыл бұрын
Amen, be blessed,
@edwinmalila86032 жыл бұрын
Baba Askofu vifundo vimefunga wakristo wengi bila kujifahamu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@violetteredateresaviolet94684 жыл бұрын
Oh my God, na Israel iseme kweli
@Shalom20184 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, nabarikiwa sana na mafundisho yako.kwa muda wa mwaka mzima natafuta mawasiliano yako sikuwahi kukupata,nimetuma mesej kwenye watsap kama tatu nikiomba nataka niongee na wewe ila haikuwezekana mesej zangu hazijibiwi,pia kwenye messenger.nipo nje ya nchi
@rosemukuri13273 жыл бұрын
Amen alléluia Amen Napoteya Mubarikiwe
@roberthenerico59633 жыл бұрын
God give you strong power bishop gwajima one day I will meet you
@pyelesyagamwamengo78114 жыл бұрын
Barikiwa kwa elim kubwa
@bumijamkumbwa1732 Жыл бұрын
Tunakuwa huru Sasa kabisa Kwa Damu na Kwa Jina la Yesu aliye hai...
@SERGESENGI-me2iq8 ай бұрын
Mungu akubariki askofu
@jasonchoi14263 жыл бұрын
Blessings Bishop
@newadsong73233 жыл бұрын
A. Postoli. Nahitangi. Maombi. Mimi. nimefugwA. Na. Wachawi. Na. Sina. Raha. Inchi. Ya. Saudi Arabia
@newadsong73233 жыл бұрын
A. Men. Apostoli. Mungu. Hakubariki. Sana
@yusuphsanga44292 жыл бұрын
BABA UKO JUU SANA TUNA KUTEGEMEA KWANZIA MAFUNDISHONI ADI KUTETEA WANA NCH WAKO WOTE,UKO JUU HAD NDAN YA BUNGE NIVEMA UNGEKUWA M MBUNGE WA MIKOA YOTEEE,KWAMAANA WENGINE WAMEKALIA PESA TO BUNGENI.
@alicensabimana72934 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Nakubenda
@princes6045 Жыл бұрын
Nakata mafundo yote ya kichawi kwa jina la Yesu
@vivahofficial90664 жыл бұрын
Ameen man of God
@erastosanga1694 Жыл бұрын
MUNGU WANGU HAKIKA UNATENDA, YESU ANAWEZA, TUOKOE WAJA WAKO TUMEFUNGWA SANA,TUNATESEKA SANA
@We2k74 ай бұрын
Kwajina la YESUS CHRISTO WA NAZARETHI. Aciya MEMOIRE AKIRI etc.... Rudisha Sifa kwa MUUMBA
@mariemwaidi61033 жыл бұрын
Amen baba unikupuke ku maombi
@violetteredateresaviolet94684 жыл бұрын
Amina
@faithkioko6894 жыл бұрын
Ameeeeeen God bless you Bishop
@marykombe21893 жыл бұрын
Aksante askofu mungu akubariki sana.Aksante kwa mafundisho mazuri.
@marykombe21893 жыл бұрын
NAVUNJA KWA JINA LA YESU
@daudinjoolay58882 жыл бұрын
Barikiwa
@newadsong73233 жыл бұрын
A men. Hata. nimefugwA USO. Wangu. Nahitangi. Maombi
@beatricemwamini2044 Жыл бұрын
Amina Kubwa.
@user-zi6bf6fq2k10 ай бұрын
One day I will meet this man
@tinaadongo54474 жыл бұрын
My couch may God bless you and live longer in Jesus mighty name