Allah aendelee kukuongoza binti inshallah duniani na akhera...uwe mtto bora ktka jamii ..aamin yaa rabb
@user-en1fk7ei3y2 ай бұрын
Mungu akujalie kurusumu. (Amin)
@shairaseremani-zo4pq Жыл бұрын
Subuhana allah mungu amulinde huyo bint. Amepitia mtihani mkubwa
@salimmohd4999 Жыл бұрын
Allah tunusuru na vitimbi vya wachawi
@nasmasaid4055 жыл бұрын
kuruthumu nakupenda sanaaa tena sanaa kwa kuwa mtoto mwema kwa mzazi wako Allah akubariki akujaalie katika maisha yako yote uzidi kuwa mkweli Allah akujaalie uwe na subira Allah akujaalie ww pamoja na wazazi wako familia yako yote kiujumla muwe watu wema mupendane hakika mwenyezimungu atakulipa kwa kila unachokifanya inshaallah mm binafsi nampenda sanaa mtu anaependa kusema ukweli inshaallah allah atujaalie maisha marefu astuchukulie tukikosea inshaallah mwenyezimungu atujaze imani katika mioyo yetu amiin nawatakikia kila kher nyotee nawapenda sanaa ndugu zagu waslamu kila mwenye mitihani bas mwezimungu amfanyie wepesi katika shida zake amfungue riski zake inshaallah kher amiin
@halimasham28757 жыл бұрын
nmeipenda sana na pia ndo iwe funzo kwa wachawi au washirikina wengine ya kwamba hakuna ktu wanaeza Mwenyezi Mungu maana Allah ndie mpeaji wa kila ktu (ALLAHU AKBAR)
@dadirihamadi62689 жыл бұрын
mungu amsamehe mamake Ummu Kulthum na amuongoze katika SIRATAL MUSTAKIM i wish one day to see Sheikh NURDIN live
@ashamtarisi23485 жыл бұрын
Nyimbo za asily
@abdallahsalehe25654 жыл бұрын
Ameen
@abdullahsuleiman7601 Жыл бұрын
Aamin 🤲
@ummyyusuf Жыл бұрын
Ummu kulthum unayoimani mpenda dini Allah akustiri ummu akupe imani zaidi Mashallah my. Allah protect yuo Ameni!!!Ameni
@zamzamhassan1593 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah mtoto mbarikiwa,Allah akuhifadhi na akulinde na macho ya mahasidi in shaa Allah.
@mwanasitidzengo6691 Жыл бұрын
Asalamu alaikm warahma tul Allahi wabarkatu inasikitisha sana kwa binti uyu mdogo Allah akukinge na kila la shari akujaalie mwisho mwema
@hedayajamada7039 Жыл бұрын
Manshallah Allah azidi kuweka wepesi wa kila jambo. Ili watu wazidi kujifunza. dini inshallah
@jasminmushi94465 жыл бұрын
Maashaallah Allah atukinge na wachawi inshaallah na awaadhibu hapahpa dunian kweli kiboko ya uchawi no qur,ani pekee amini quruthum m/mungu akukinge na wabaya woote
@amernahdi12311 жыл бұрын
Kishki mwenyezi mungu subhamnahu wataalla akupe afya,sasa hivi saa nane asubuhi USA nimeshindwa kulala I was watching this and gonna b late for work but happy.thank u very much
@gracezabron44867 жыл бұрын
Inshaallah mwenyez mungu akuongoze Yah Ummu kuruthumu
@aishaabdullahi11236 жыл бұрын
Asalamu aleykum wallahi nimesikitika sana kwa huyu binti mdogo mwenyezi mungu amujalie kheri na ampe maisha mema na maisha marefu ameen na Allah amuepushe na na hiyo mambo yote insha Allah.nakupenda sana dada
@adensalma81615 жыл бұрын
Ummul ALLAH bless you
@SaotmAlohtmАй бұрын
@@adensalma8161❤
@WeBorn2DieAnyTime11 жыл бұрын
Umu Kalthum, andika buku ya habari zaki na wazazi wako InshaAllah, kinshasa uza that book.
@naimasafia75086 жыл бұрын
Yaa Allah ihdina swiratwal mutaqim
@nimhomusa15403 жыл бұрын
Amiin
@ZuleaMusa10 күн бұрын
Qur'an ndio dawa ya kila tendo hapa duniani
@rallyscosmeticandgasaccess4839 Жыл бұрын
Ma asha allah Mwenyezi Mungu akupe amani duniani na kesho akhira
@memusalim40199 жыл бұрын
MA SHAA ALLAH MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE DADA YETU UMMU KULTHUM YASIKITISHA KWELI :'(
@rayanassor34865 жыл бұрын
Daha pole Sana mtto kwa y'all yaliyo kukta allah atakufanyia wepesi ishallah
@abdulkareemchacha26259 күн бұрын
Tabaarakallahu Rabbul'alamin ✨💫🔥
@merryn48915 жыл бұрын
Allah akulinde mtoto pamoja na baba ako na Dada ako
@halimaa9367 Жыл бұрын
Subhanalha mungu wangu tustr na mabaya yadunia
@yahyaqadar17004 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie Dada yetu umul kulthum
@aishasuzy53448 жыл бұрын
kaka sheikh wislamu hautakufanya uridhi ufalme wa mbinguni na sio waislamu ndio watakatifu.Mtakatifu ni mungu
@fetymohamedi21196 жыл бұрын
Qur'an ni kinga jmn tupende kuisoma na uislam ni dini ya kweli
@mrindokomrindoko31996 жыл бұрын
Sheikh nurdeeen kishk allah akujaalieee uwendelee kutufundisha nakufuatilia sana kwenye youtobu
@abuahmad12065 жыл бұрын
Ameen
@faridaswaleh4661 Жыл бұрын
Marshall mungu akuongoze Katk kheri
@mejumaabaraza80206 жыл бұрын
Mashaallah ummh kulthum Allah akuongoze dadangu kwa ilo
@amenaallahawazidishieumrin62352 жыл бұрын
Inshallah Allah akuongoze njia ya khery na amsamehe mamake amjaze iman ya uislamu
@ZuleaMusa10 күн бұрын
Ummulkulthum Allah bless you
@maimunamselemo8427 Жыл бұрын
Allah akulinde mdogo angu na shari za shetwani na zawanadam
@ashahassan8131 Жыл бұрын
Na waswahili wanapenda hizi urogi..sisi watu wa nairobi hatuitambui
@habibhabiba.saleh.55904 жыл бұрын
Mungu akuzideshie-imani.yadini.mdogo.wangu.kurusumu
@samutykuntathebantu84023 жыл бұрын
Yesu Kristo ni Mwema Mungu azidi barikiwa.
@FatimaFatima-wz2qt Жыл бұрын
Subuhanallah Dunia imeisha Alla atupe mwisho mwema inshaalla
@assaneanliassane4680 Жыл бұрын
Mashallah, nimempenda sana uyu mdada maana ni jasili na pia yuko makini
@ahmed5344211 жыл бұрын
mash mungu amzidshie imanii
@ahdahmed83835 жыл бұрын
Sheikh Mimi nakupenda sana mungu akulinde
@mariamvicent73125 жыл бұрын
kwa kweli inasikitisha sana Allahu Akbar
@aishaabdullahi11236 жыл бұрын
Na insha Allah nitamuombea Allah ampe shifaa
@rukayyaaliy9713 Жыл бұрын
Assalam allyum sheh kshi jaman kiuukwel uyo mama mungu Amsameh makosa yak ajui alitendal hila mambo ayo yapo nasi yana2tokea na wachaw wap jaman hinaum sn 2wafanye nn Awa wachaw
@sumamkamba83864 жыл бұрын
Allah amlipe jannah
@mwanaidishaweji5268 Жыл бұрын
Mungu amzidishie kila LA heri
@zainabamiri82028 жыл бұрын
Mola awahifadhi wao paoja na sheikh wetu insha'Allah
@alimussa65287 жыл бұрын
Asalama alaiku hujambo
@fadumaali19216 жыл бұрын
Zainab Amiri aslamu alaikum
@fadumaali19216 жыл бұрын
Ali Mussa asalamu alaikum
@hodhanmuhamud52475 жыл бұрын
Mola akusaidia
@aishamasudi79695 жыл бұрын
Zainab Amiri ppppppp0
@saumjengi89154 жыл бұрын
Uchawi wa kurithishwa mbaya sana, Allah a2saidie,,.
@abubakarmpole40003 жыл бұрын
Wallah kweli kabisa.Umulkulthum Mungu akusamehe, akuongozer
@fetymohamedi21196 жыл бұрын
Maashallwah mtoto nakupenda saaana tyuu allwa anipe watoto wenye imani kama ww allaw akulinde na wazazi wako wachaw wamrudie allwah
@zamzammeme3997 Жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH AMUONGOZE MTOTO MZUR SANAAAA ANAJUA KUJIELEZA
@daikimaulidi55688 жыл бұрын
rabbi jaalin ila siratan mustaqin
@aishahassan1477 Жыл бұрын
Alhaa atamuongoze mtoto huy ishaalh
@fatmababaz65739 жыл бұрын
Allah azidikuwaongoza family hii na nyengine aziepushe na balaa na shari za washirikina Amiin.
@taimulialli79345 жыл бұрын
dawa yachunusi
@taimulialli79345 жыл бұрын
dawa ya chunusi
@maryamfarhaji94914 жыл бұрын
Mm muisilaam natamn sikumoja niolewe niyaache niyatendayo mbeleyamungu mm nitafanya nn (mungu nijaalie nipate mume mweny hof yamungu)
@zalhathasaid20604 жыл бұрын
Amin na mm pya
@kijikomuhammad25574 жыл бұрын
Utakuwa mke watu kwangu bi maryam
@daudipaulo55567 жыл бұрын
mashaallah Allah awaongoze famiria hiyo
@zuubyjamal71048 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR,,,
@ifkamedia83344 жыл бұрын
Mashallah sheikh Nurdiin nakupenda kuajili ya Allah inshallah
@MrAtoti2211 жыл бұрын
just bumped into this 5.35 am my time.would like to be in touch so i dont know if is possible.Sorry swahili yangu mbovu
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Yarabil mwili unatetemeka nimechoka
@WeBorn2DieAnyTime11 жыл бұрын
As Salaam aleykum waRahmatullahi waBarakaatuh , Tafadali sana wekeni The English translation ili wengine waweze kufahamu. BaarakAllahu feek for sharing, Wa Salaam aleykum waRahmatullahi waBarakaatuh .
@tumajunior60804 жыл бұрын
Mashaallah jazzakallah natamani kukutana na shekh nurdin
@khadijamalifedha58628 жыл бұрын
mashaallah huyo mtoto mungu ampe roho ya imani ishaallah
@hanadialabed86357 жыл бұрын
Khadija Malifedha ameen
@user-eg1dr6so4c4 жыл бұрын
Siwezi kuandika kwa kulia
@lukasjnr8865 жыл бұрын
jamani hata mm nataka kusilimu kwasababu nimeiamini din ya islamic mnambie taratibu za kufanya hivo please
@Awatee3 жыл бұрын
Tafuta mashahid wakutamkishe shahada insha ALLAH karib ktk din ya hak
@kkkkkkk2714 Жыл бұрын
Alahakubar Allah akuongoze
@user-ln3nm8ui4e5 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤🇧🇸🎉🎉🎉💙💵💸💰
@abuahmad12065 жыл бұрын
Allah akuhfadh kwa shar akupe subraa
@khurbayismail7933 Жыл бұрын
Mashallah alla akujalie dad yang
@rallyscosmeticandgasaccess4839 Жыл бұрын
🧡❤nakupenda mtoto wewe ni mjasiri ,uzidi kusimama imara na Uslamu in sha allah💜❤
@farhannahomary55052 ай бұрын
Muwe makini na ujio wao hao jmn msiingie miguu yote
@hamdihassanahmed976 Жыл бұрын
Mashal my sister fere weal islam good
@zuenaomary99877 жыл бұрын
NIMEIPENDA SANA INAMAFUNDISHO SANA INSHAALWA
@andrewkim60567 жыл бұрын
ɷ I Have Watchedd Thisss Movie Leakedddd Version Hereee : - t.co/SjZpZXw5gt
@rehemaalu23207 жыл бұрын
Andrew Kim
@mariamusimon81076 жыл бұрын
You. To
@aishamohamed44125 жыл бұрын
Mola wetu tuongoze katika njia ilionyooka na familia ya kuruthum
Yaallah tuepushe naushiriki na yarab subhana kufuru
@sarahronoh5404 жыл бұрын
Mashaalllah Allah ampe Kila.la Kheri Binti Ummy
@jasminebaibe84317 жыл бұрын
mashaallah mola akuzidishie mami kila la kheri
@hadjakhamiss52505 жыл бұрын
Huyi
@ngunitv Жыл бұрын
Ngunitv Mtoto mwenye kukataa ucwawi
@ngunitv Жыл бұрын
Ngunitv
@janenachalwe81505 жыл бұрын
kumbe waislam nao mnamtaja Yesu kweli Mungu no mwwma
@hamdihassanahmed976 Жыл бұрын
Mashalah boy islam nealate Kenya good
@mtipulaiddy66944 жыл бұрын
M/mungu amuongoza amtakae
@hamishamis65085 жыл бұрын
Mashallah kulfum mtoto mzuri allah akuongoze pamoja na sisi .
@martinmartialibrahimu9940 Жыл бұрын
Mungu akujaalie dadayetu
@naseernaseer39695 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda namabayaa inshallawah 🙏
@madinaomar679 Жыл бұрын
nimebadikwa na athar kubwa ya imani, najitahid kufanya dhikr , kusali ,ibada zote zalazimu na sala za usiku, lkn athar bado ipo inaniuma sana
@Nassor201211 жыл бұрын
waelukum salaam nashukuru sana kwa kuonesha moyo wa huruma kwa ndugu yetu huyu ila mimi sihusiki na hao kabisa.mimi ninachofanya ni kuyatafuta haya mawaidha na kuwawekea katika youtube.ila kwa mchango zaidi sheikh nurdin kishki anapatikana daresalam katika msikiti wa vetinari temeke.unaweza kumtafuta na kuwasilisha mchango wako.shukran.
@halimamwishehesaid34366 жыл бұрын
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL sante sana lnsha Allah mung na ataqabar touba zet
@aminayahaya74145 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepes katk majamb yak ya kher umukuluthum
@rashidikatunzi52964 жыл бұрын
Kanumba
@rashidikatunzi52964 жыл бұрын
Kanumba
@latifakassim4914 жыл бұрын
Wallaahi mungu atunusuru
@3xaidy2737 жыл бұрын
Allah akbar
@zawadkidunda14845 жыл бұрын
KWA YESU NI KILA KITU JINA LA YESU LINAPONYA
@alishamlan7434 Жыл бұрын
Sheikh Kishki ALLAH Atakukihifadhi
@khadijahussein52982 ай бұрын
Amiin
@muminashughuli68856 жыл бұрын
mungu tunusuru na hila za shaitwani
@abdulraja25056 жыл бұрын
acha kutoa comments za ujinga hakika ghadhabu IPO juu ya wale wenye kukufuru Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar
@babbysalim23325 жыл бұрын
Innah lillahi WA innah illaihi rajiun, hakika huu ni msiba mkubwa mungu atunusuru.
@aishalukas96895 жыл бұрын
Allah Akbar
@idiamina59744 жыл бұрын
Machaallah allah akbar que allah te protege ichaallah
@kisrabeni69674 жыл бұрын
Asalaam aleykum?? Skhehe nurdini naomba umchukue huyo mtoto ili umusomeshe aijue dini vizuri inshaallaah allaah atakulipa