NAYCE MUSHI AMKATAA ZUCHU , AMKUBALI NANDY / SIJAWAHI KUSIKIA NYIMBO ZAKE NASIKIA NYIMBO ZA NANDY TAZAMA FULL ENTERVIEW HAPA #manaratv #niyce moshi #wasafifestival2023 #zuchu #nandy
Пікірлер: 190
@PaulHondi-hl8sz8 ай бұрын
Namkubali sana Nayce anajijua afu ana mipaka yupo smart sana❤❤❤ team nandy tuko hapa tujipongezeee 👏👏👏👏
@stellahwilfred57628 ай бұрын
Tumejaaaaa❤❤❤❤
@user-ng2ty9bm8k8 ай бұрын
Hongera kwa wadada wote 2naojihudumia.❤❤❤❤
@ibumajaamillah31958 ай бұрын
Ni kweli usiopingika hata mim nampenda sana sana Nandy Huyo bint nakumbuka nilikuwa natoka Moshi kuelekea Dar nilipanda tilisho nilitokea tu kumpenda ila saiv Kamaekuwa kazuri kweli kweli aseee pesa nzuri bhn 🙌🙌
@lucyannastacia63858 ай бұрын
Apo kwa mziki tunaendana kabisa Ila kazi nzuri nayce❤
@user-wh5zz5dk2g8 ай бұрын
Wew mzuri ila mbona unaongea kwa maringo
@tukuswigaikasu52278 ай бұрын
Huyu mtoto ana hekima ya kuongea sana. Haringi na ana adabu sana
@aishaabdul668 ай бұрын
Sure
@user-ug6df5kg7n8 ай бұрын
Mashallah uyu mtoto ni mrembo....chenye sifa kipewe sifa....ila asimdharau zuchu ni moto wakuotea mbaliii
@user-qo8eu1br6f8 ай бұрын
Nandy km Nandy 😍 ❤💞🔥🔥🔥💯
@MARIAMKEA8 ай бұрын
Ata bila kusikiliza bado team Zuchu tunaingia trending
@zenahmugo19748 ай бұрын
Mwambie 😂😂😂
@kantai7378 ай бұрын
Asitusumbue kabisa , 😊
@nahlahassan-fd6le8 ай бұрын
Ahahaaaaa😂😂😂😂
@user-pd8cm4sz7m8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rosemaryphilipo30098 ай бұрын
Kama mnaingiaga pekeenu endeleeni kuingia
@1961nungwi6 ай бұрын
Watoto wa Kichagga nawapendea hapo: hawachagui kazi! Hata Hoyce Temu, aliyekuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma, ambaye sasa ni Balozi wa Tanzania Geneva, Uswisi, alianzia kwenye U konda basi la Dar- Moshi-Arusha. Hii ni kwa mujibu wa Kitabu chake alichoandika miaka kadhaa iliyopita. Hongera Nayce Mushii🎉🎉
@Dihekafi8 ай бұрын
Team Nandy❤❤❤
@jacqueli188 ай бұрын
Nimemaliza degree na Sina Cha maana nachofanya hapa mtaani..hongera nice❤
@allyhussein33716 ай бұрын
Don't give Up
@mateusjoao55848 ай бұрын
Nakupenda kuliko uwezo ❤❤❤❤❤
@LeonardGeorge-jj4bu8 ай бұрын
I love this lady(Nayce)
@pascualemiliomartinezbaez39348 ай бұрын
Nayce muxhi beatifull ❤
@kantai7378 ай бұрын
Sasa huyu naye ni nani na anatoka wapi nkt, zuchu alimwambia anamkubali, nungunungu
@1961nungwi6 ай бұрын
Mitandao ya Kijamii ipo na democrasia sana! Kila mtu anaweza kuongea, kwa hiyo ni kubaliana tuu!. Huwezi kumzuia!
@Rabeccaedward-gr7wf8 ай бұрын
Hongera ❤❤ dada
@nahlahassan-fd6le8 ай бұрын
Kweli nandy anaimba❤hata mm namkubali kweli❤lkn ww kibinti nikwambie zuchu anaimba tena anaimba hatariiii fanya umskilize uyo nandi anapgwa na chini na zuchu
@MtuSafi8 ай бұрын
Zuchu muimbaji mzuri ila tatizo content zake chafu hazina maadili...Mm nyumbani kwangu siweki hzo nyimbo za zuchu labda watoto wangu wakazijulie mtaani ila sio nyumbani.
@sifamtasha42918 ай бұрын
Hajui uimbaji huyu wala tones wala punch atamjuaje mwimbaji mzuri sasa? Labla angesema anampenda tu Nandy nasi kusema Nandy anaimba zaidi ya Zuchu
@IrenePhillip-nv2og8 ай бұрын
iyo honey
@PrincessHellen-pg1oy8 ай бұрын
We hata kama humpendi na hupendi nyimbo zake usiseme hadharani Kuna leo na kesho yaani hapo tu umenichefua nayce
@nahlahassan-fd6le8 ай бұрын
Ahahaaaa team zuchu😂😂😂😂mumekuja juu😂😂😂😂zuchu anaimba bhana sema nayce hajawah kumskiliza TU ndo alivosema
Mbna n wakawaida sana mdada jikubali Kila Mt mzur kwa nafas yakeee
@faithfaith-zr6gz8 ай бұрын
Sura na rangi kapewa, Ila mjanja anajua mavazi ya kusitiri shape yake.
@awatifalghanim11068 ай бұрын
Madamu ni mweupe basi hapo mweusi wote wanamuona 😂😂😂😂😂 mzuri lazima watamsifu..
@awatifalghanim11068 ай бұрын
@@faithfaith-zr6gzLakini nywele kakosa. Hakuna mtu kamili…
@user-eq8cu2yi5k8 ай бұрын
Kabisa
@SekelaJakson-ls7dd8 ай бұрын
Wanamlemaza uyu mtoto wanaomsifia jaman ona kanavoongea😮
@nancyg86648 ай бұрын
Acha wivu wewe
@SekelaJakson-ls7dd8 ай бұрын
@@nancyg8664 wivu kwa kipi
@user-ly6qc3nh7c6 ай бұрын
Hongera sana mdogo Wang ❤❤❤❤❤
@njuka35158 ай бұрын
Nakukubali
@PriscaCassian-xd6dw8 ай бұрын
Nandi hata mm namkubali sana
@user-tu2lr5oq4b8 ай бұрын
Nayce Looking very nice❤❤
@HabibuHoseni-sv8hd8 ай бұрын
Uyu bint yupo smart afu mzuriii mnooo
@princessofficial25587 ай бұрын
Nampend sn yani Nancy❤❤🇨🇩😍
@mlawatvonline37206 ай бұрын
Mashaallah
@user-ko4tl9tj5t7 ай бұрын
Mm macho kwenye vidole tuu mbona rangi mbili
@mudasina69688 ай бұрын
Kila mtu na mapenzi yake ila unapompenda unaempenda hutakiwi kumdharau usie mpenda maana kama humpenzi wewe kuna msururo wa watu wanampenda haijalishi yuko vipi ?
@mohammadoman89638 ай бұрын
Kanazarau kale hukaoni kanavyoongea ss nasi mapenzi yetu yapo kwa zuchu ❤khalasi
@fainajaffary40708 ай бұрын
@@mohammadoman8963 sema.mapenz yako usitujumlishe wengine mm mwenyewe nampenda Nandy😀😀😀
@RakaPk8 ай бұрын
Nikweli kabisa
@nahlahassan-fd6le8 ай бұрын
@@mohammadoman8963😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@marinteldaisy8558 ай бұрын
Comment section ur bitter its just a preference that she prefers Nandy than zuchu😅you know the bitter thing with Tz pple is that,they think Zuchu is everyones taste😂😂 relax not everyone listerns to kwikwi😂😂
@beyondintrusion16638 ай бұрын
nyimbo za mapenzi zimepitwa na wakati sasa kwikwi waliimbiwa watoto ww mtu mzima ulikuwa unataka kuzielewa
@sylviaalphonce11378 ай бұрын
😃😃😃
@user-sy9kq5mt7o6 ай бұрын
Nice comment from Kenya
@svt38 ай бұрын
MTANGAZAJI ACHA USHAMBA NA ZHARAU LWA WAGENI, KUWA NA ELIMU KUHUSI KAZI YAKO SHULE GANI ULISOMEA UTANGAZAJI UKAAMBIA UMHOJI MGENI UNAVAA SUNGLASSES 🤔🤔🤔🤔 Ama ndio kuajiriwa bila elimu ya kazi ufanyayo usijaribu tena kuhoji mtu ndani ya nyumba ukuvaa SUNGLASSES it's extremely wrong unprofessional, disrespect to your guests, uncivilised act
@sirajshelali62098 ай бұрын
Aisee bora umesema! Kinaonekana ni kishamba sana😅
@QueenMishy8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ts2ug6wy9f8 ай бұрын
Mashallah❤❤❤
@user-jn6ec7qv5p8 ай бұрын
❤❤
@user-wz8ig9xl8i8 ай бұрын
Kwani yee zuchu anakukubali Ata kukujua akujui chogo refi kama treni
@neynicenkembo95138 ай бұрын
😂😂😂
@faridayasmin-yi8vd7 ай бұрын
😂😂😂
@ZakaboyMusa4 ай бұрын
But your so beautful nayce hongera sana.
@David_keyan8 ай бұрын
Niseme ukweli toka naice afanyiwe interview hii ndio interview bora na kali imetulia,mtangazaji ana mpangilio mzuri wa maswali haichoshwi kusikiliza hongera manara tv naona tv yenu kuwa kubwa mnapindua meza
@sifatiiman8 ай бұрын
watasubili sana kwa miladayo
@neemapeter-vl7le8 ай бұрын
Kazur ila vidole vyake sasaa utavipenda
@user-ts6fh4si3m8 ай бұрын
Sisi watu kasikazini Huwa tuna Tabia ya ukabila,asingeweza mkubali zuchu wakati ndugu yake nandy wa kasikazini nawaza tu😂😂msinitukane ila ukweli ndo tulivyo
@user-he3me7co9y8 ай бұрын
Hata ujakosea na wapare walivyo wabinafsi eti ampende zuchu thubutuu,
@rosemilingi78607 ай бұрын
Nikweli kbs
@beyondintrusion16638 ай бұрын
Ongea vizuri ww 😂 😂
@njuka35158 ай бұрын
Uko Sahil kabisa pigs kazi Tafu ya pesa
@user-mz9ng6ur6c8 ай бұрын
Nimekupenda dada yangu onger
@EvodiusMtabihirwa-dp8pu8 ай бұрын
Huyu nae ana maajabu Gani kwani yeye nani anamkubali🌝🌝
@JasminKalaghe-fp9ff8 ай бұрын
Mbona nyimbo zake anasikiliza mbon mnafik kwer huy dada mwehu huyo
@user-vx1pw5dq7k8 ай бұрын
Jmn uyu konda tu watu wanachanganyikiwa ingekuwa anafanya kaz kwenye ndege sasa ingekuwaje
@user-hk3vr7wh5c8 ай бұрын
Mh mbna sielew old song n diamond jmn na kina less wanyika rangi ya chungwa n za lin?
@mariamibrahim67388 ай бұрын
Shiiiii
@fbr51138 ай бұрын
MKABILA HUYO NA AMESHAPOTEZA MASHABIKI KWA AUBAGUZI WAKE YAANI HUJUI NYIMBO ZA ZUCHU HATA SUKARI ALIICHEZAGA MUHESHIMIWA SPIKA🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@HadijaZabroni-pu1lt8 ай бұрын
Yeye aimbi
@MsAggie58 ай бұрын
Na wewe unampenda Zuchu Kwa sababu ya ukabila au udini? Kila mtu na chaguo lake
@israelkisaila84018 ай бұрын
Kwanza hata kwenye gari analofanyia kazi zinapigwa,eti hajawahi kusikia?, mm,anavyojishebeduwa ,wachaga hawapo hivyo wewe,husiwatie aibu
@sifatiiman8 ай бұрын
kwani lazima kumjua huyo kinga'ang'awenu?
@user-bs1pc4nx9z6 ай бұрын
Naombeni namb za nayc
@provianapaul66348 ай бұрын
Mko sure mnawaajua warembo nyinyi 😂😂
@goodluckmagod22808 ай бұрын
😊
@user-yc4vm5vd1f7 ай бұрын
❤❤❤
@jippejaphety72738 ай бұрын
❤❤❤❤
@ZakaboyMusa4 ай бұрын
Wewe ni jasiri sister pambana achana na maneno ya watu sister sawa.
@naomimbilinyi20856 ай бұрын
❤
@brendashow47878 ай бұрын
Nimetoka kwenye page yake ya TikTok mbona kaimba sasa Shika by Zuchu??? We acha kutuchanganya buana we shabiki yake na Zuchu nivile una nja unataka trend 😂
@user-de3vn9vv3n8 ай бұрын
Sawa wamkubal Nandy,ila mwenzio anaingiza hela hat aimbe utopoloo.....Mm sin msanii ambae simkubali
@Joyce-qf5px8 ай бұрын
Kwwli mtu hapendwi nawote na wewe ivo ivo wapo ambao hawakukubali ivo ivo
@RosemaryMaruba8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kama mtu nyimbozake hazieleweki tunasema tu
@user-db4ol7tx5j8 ай бұрын
😂😂😂😂wabongo mniache🙌❤️
@berthasamuel45078 ай бұрын
Chapati
@sharlharl58908 ай бұрын
Nyie wote washenzi
@hidayahamisi33837 ай бұрын
Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma😅
@Neema-lh8pi8 ай бұрын
Sasa unabana nn sauti ongea vizur
@batulnyange27238 ай бұрын
😅😅
@aminabashir11678 ай бұрын
😂😂😂😂
@1961nungwi6 ай бұрын
Anaongea vizuri sana ipo clear!
@user-gp3le3vr1v7 ай бұрын
Amna aliyekuona Super star Tulia Fanya kazii
@sefuehango52316 ай бұрын
Siyo amna, ni hamna. Jifunze kuandika kwanza
@wahidamaulid95278 ай бұрын
yeye kama nani
@user-ef6tl6fy1g8 ай бұрын
Kuto kuisikiliza wewe unatusumbuwa Nini tim zuchu kichogo chako kwendraaaaaaaa
@AgnesMichael-gs7ix8 ай бұрын
Kichwa kirefu kama bas unalofanyia kazi tulia chakula ya madereva wa moshi ww
@NaomiSolomon-cj7hr8 ай бұрын
Jiangalie kwenye kioo ndo utoe kasolo Kwa mwenzake we ni mfuasi wa ibilisi kabisa
@sifatiiman8 ай бұрын
bila shaka unasura baya ndio mana makasiliko mingi
@sifatiiman8 ай бұрын
bila shaka unasura baya ndio mana makasiliko mingi
@vero578 ай бұрын
Sasa mbona unavaa, sun glasses wakati una interview mtu??? Sio poa kabisa 😮😮
@nancyg86648 ай бұрын
😆🖐
@user-up1tb7sj2f8 ай бұрын
Si unaona anaemuoji anawaka kama jua🎉🎉🎉
@1961nungwi6 ай бұрын
Hajafundishwa atequettes za uandishi na uongeaji mbele ya watu, Sasa atajuaje?
bi dada ehhhhhh super star my foot aliekwambia we superstar kakudanganya hataufaniii ehhh bidada ka kwakutulia tena kunywa maji ya baridi Eti Diamond platnum funga bakuri hilo
@user-up9wi9co4w8 ай бұрын
7. Gv
@iam_brenda39248 ай бұрын
Anavyojichetuaa sasa 😢 mbn alianzag vizury tu
@nancyg86648 ай бұрын
Inachosha kuelezea stor moja mara 10
@rahmamambo25976 ай бұрын
Nayce umefanya cha maana daaa nakupongeza
@solangebagal1498 ай бұрын
ss sin ukweli ❤❤❤ team mm nayaNaya ❤
@Rolinejames-tg2mc8 ай бұрын
Kwan akimkataa anamuongezee kitu gani
@beatricesanga78568 ай бұрын
Punguza maringo yatakupunguzia cv zako
@user-rj8us3cx9k7 ай бұрын
Na Kako na maringo kweli aka kanajikuta Nan sjui
@user-xc2kr1cb7d8 ай бұрын
Ata mm namkubali nandy Sana huyo zuchu Na chapati zke apelekee watoto wa chekechea
@sylviaalphonce11378 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@autoimmunesecurity21407 ай бұрын
Ana ukabila huyu. Eti hajawahi kusikia nyimbo za zzzz uongo.
@user-ms9lt1mt9t8 ай бұрын
Kichogo km tv ya chogo😅
@mkasihamad72258 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-lm8xw7hi3t8 ай бұрын
Sasa yeye mchaga atamkubalije zuchu
@aminabashir11678 ай бұрын
Umkatae zuchu kwani zuchu anakujua wewe
@user-he3sf4ey5c8 ай бұрын
Tafuta era dad
@lucymtuka31998 ай бұрын
Hata usopozosikoliza ila habari unazo
@mohammadoman89638 ай бұрын
😂😂😂😂mpeni huyo hajui zuchu wetu tunampenda
@kafedhayaa73898 ай бұрын
Tafuta kazi airport
@jeffyasin29778 ай бұрын
Hana sifa ya kuwa air hostes
@anethjoseph45428 ай бұрын
Dada mrembo ila una darksport nyingi
@jescajulius80488 ай бұрын
aaaaah we ziko wapi hizo dark stop
@azizaissa40108 ай бұрын
Wala hashitui😅😅😅
@sifatiiman8 ай бұрын
tukuone unae shitua😮😂😂
@GracieTyno8 ай бұрын
Una wivu na sura lako la kiume😂😂😂😂😂
@QueenMishy8 ай бұрын
@@GracieTynokumekuchaaa😂😂😂😂😂
@HajjShaban7 ай бұрын
Nandy mkali
@user-vx1pw5dq7k8 ай бұрын
Aka sinikatoto kafupiii kangekuwa kalefu sasa tusinge pumua 😢
@MaryMmole-en9qz7 ай бұрын
Yani mh
@joojombi23417 ай бұрын
Huyo alokurikodi ni mpuuzi elimu ndogo na mjinga kwakweli
@awatifalghanim11068 ай бұрын
Naona Kama kwa mkao wako umefeli hapo kwenye interview wacha kupiga piga makofi kwenye mwili wako haipendezi lazima utuliye Kama huyo anokufanyia interview.
@asiamohd55168 ай бұрын
Si kila mtu na mapenzi yake
@lilianemeena7688 ай бұрын
mbna kila cku namwona na pete kwan ameolewa?
@irenemuniku22258 ай бұрын
Rozari hiyo
@enocksilungwepondajr97078 ай бұрын
Kwani Hana.....!?
@asiamohd55168 ай бұрын
Jmn maajabu mbona Pete tunavaaga sana tu si ni maamuzi tu
@user-rj8us3cx9k7 ай бұрын
Huringi nan kasema??cjui Unajikuta nan vile huijui kesho yako ww ooohhh
@hamisaabdulhamid5298 ай бұрын
Unasauti nyingie tafazali
@GMD8208 ай бұрын
😂jmn hamisa wewe😂😂
@aminabashir11678 ай бұрын
😂😂
@saumumasha49008 ай бұрын
Mrembo gni uyu 🤔🤔🤔🤔🤔
@rahmamct8 ай бұрын
Mrembo wa mabas
@sifatiiman8 ай бұрын
wewe na msura wako huo kaa kimya sura kama uvungu wa pumbu 😂😂😂hebu ona aibu bas doooooh😂😂
@QueenMishy8 ай бұрын
@@sifatiimandaaah 😂😂😂😂
@mkasihamad72258 ай бұрын
@@sifatiiman😂😂😂😂😂😂😂😂
@sifatiiman8 ай бұрын
@@QueenMishy 😂😂😂😂😂nilienda kumtizama bahati nzuri kajipost kwenye chaneli yake uchwara 😄😄🤣🤣
@salamajuma15137 ай бұрын
Hujataka kusikiliz n hano uzur
@jamilajamila45728 ай бұрын
Hakuna kz mbaya
@MsAggie58 ай бұрын
Mno!
@Fx_expertmoneymaker0018 ай бұрын
@@MsAggie5 amesema hakuna kazi mbaya, sasa mno ni ya nn.. 😂😂
@dianamonyo19608 ай бұрын
We acha dharau, hujui wimbo wa zuchu ata mmoja😏
@sifatiiman8 ай бұрын
kwan ni lazima ajue? anaimba nini huyo kinga'ang'awenu?
@dianamonyo19608 ай бұрын
@@sifatiiman tafuteni Jina lingine ilo tumeshalizoea ukiona ana ng'ang'ania jua na yy kang'ang'aniwa sikuizi hakuna mwanaume anae taka kugandwa upo
@congratulationmayunga38337 ай бұрын
Nayce aligoma kusema ukondakta akasema anafanya kazi kampuni ya tlisho😂😂😂