Ni vizuri ujifundishe Kiswahili kwanza. Unachekesha sana. "Pishi" Kiswahili ni kipimo cha ujazo. 😂😂 Kupika ni MAPISHI. Jogoo umemwita kuku.😂😂 Usituharibie lugha yetu. Bora uzungumze kichaga tutatafsiri wenyewe.😂😂😂
@princessmendowzzah1211 Жыл бұрын
Da malkia nyama umechemshia viungo gani
@aminaabdy2063 Жыл бұрын
Thanks malkiaaa
@hildammari52 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@carolinemwakagali39092 ай бұрын
Sasa kama unapika ndizi nyingi za shughuli utageuzaje?
@badawyhaji9288 Жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Kichocheo chako ni kitamu
@EstherChiremeji2 ай бұрын
Wanasema zinachelewa kuiva??
@marianamushi696 Жыл бұрын
Mbona wachaga uwa wanasema baba aandaliwi ndizi zilizokatika🌚
@malkiafoods Жыл бұрын
Wachaga wa wapi my wangu?? Sema familia yenu neweee🙈