No video

NILIKUWA MTEKAJI WA MELI SOMALIA/ KISIWA CHA MIZIMU/ MAHARAMIA, PART 02

  Рет қаралды 82,674

Dar24 Media

Dar24 Media

3 жыл бұрын

#Maisha #Taarifabilamipaka #Mbanga
MBANGA, nikipindi kinachokupa nafasi ya kujifunza mengi kuhusiana na maisha kwa kupitia simulizi za kweli za maisha ya watu,kipindi hiki kinaruka kila siku za jumamosi katika kila wiki..USIKOSE KUTAZAMA.

Пікірлер: 126
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Alie skia allah'akbar gonga like 👍♥
@mpangampanga1609
@mpangampanga1609 3 жыл бұрын
Dizaini kama historia ya Bulcheka kwa wahenga wataniekewa
@kammgisha1300
@kammgisha1300 3 жыл бұрын
Yah bro it is true no truth in this
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 3 жыл бұрын
Janja janja kibao kweli😁😁 nature mdogo .. sema sio kesi story zako zinaleta picha💭💥
@edsonbasesa5587
@edsonbasesa5587 3 жыл бұрын
This guy knows how to tell stories. bring him again
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 3 жыл бұрын
Daaaah jamaa anaweza kusimulia sana namkibali sana
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 3 жыл бұрын
Exactly like me bro Mungu si hathumani 😎😎
@sanityonline4512
@sanityonline4512 3 жыл бұрын
Hahaaahha dah jamaaa anajua kutunga uongo
@tishtash5531
@tishtash5531 3 жыл бұрын
Ww mwenye ukweli si uhadithie
@nadildylan6124
@nadildylan6124 3 жыл бұрын
We still learning 💥💯
@innomsangi5321
@innomsangi5321 3 жыл бұрын
Chief fanya mpango umrudie tena na yule jamaa wa mabibo. Nakufuatilia all the way from Germany 🇩🇪
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 3 жыл бұрын
Habari ndugu yangu.nakuomba kama itakupendeza naomba tuwasiline whatsapp no.±225621131072 abdallah magera niko musoma mara tanzania
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Jamaa anaweza kutunga bonge la movie
@clementbabuu4811
@clementbabuu4811 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 3 жыл бұрын
Good story 🤙✌️💕💖💓💘
@deadcrush
@deadcrush 6 ай бұрын
Life of PI.
@ramog6132
@ramog6132 3 жыл бұрын
Kaah gogo namjua sana tuu
@fredrickjohn8412
@fredrickjohn8412 3 жыл бұрын
Epsod zinachelewa sana
@shamsahussein7265
@shamsahussein7265 3 жыл бұрын
Wawo huyu Jamani namkubali sana
@lucyanyango8710
@lucyanyango8710 3 жыл бұрын
Historia safi
@rashidinangungwa2673
@rashidinangungwa2673 3 жыл бұрын
Sema nakukubali kiongozi tunainjoi sana.haa haa haa eti kuna mtu anasema baada ya kupiga vitu vyako ndo ukaisi kama umeenda kwa ngoma ya myani kumbe bado ulikuwa umelala kwa kinda
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@bestonmfikwa8510
@bestonmfikwa8510 3 жыл бұрын
Jamaa kafanana na juma nature
@yassinmsabah1913
@yassinmsabah1913 3 жыл бұрын
Anajua Sana kusimulia mwamba uyo
@mohamedfogo8820
@mohamedfogo8820 3 жыл бұрын
Huyu kaka yake na juma nature
@abuuemanuel4432
@abuuemanuel4432 3 жыл бұрын
Nikweri wewe kaka ake na juma netur
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 3 жыл бұрын
Wanafanana Sana
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 5 ай бұрын
Jamaa muongo huyu, anatusimulia movie moja inaitwa "The Blue Lagoon" kama hujawahi kuiona, unaweza kuitafuta KZfaq utaipata. Exactly the same story 😂😂😂
@agneskabalika800
@agneskabalika800 3 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri atoe kitabu
@mohamedghasia95
@mohamedghasia95 Жыл бұрын
Upepo wa kusi ni upepo utokao kusini kwenda kaskazini. Pia Kuna upepo wa kaskazi ambao hutoka kaskazini kwenda kusini. Kupewa ni kukaukiwa na maji. Mfano boat maji yakipwa Huwa linapwewa kisha yakijaa Huwa huelea.
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
kaa gogo wapo mtwara.
@amekindamba9197
@amekindamba9197 3 жыл бұрын
Kupwerewa boy
@rashidinangungwa2673
@rashidinangungwa2673 3 жыл бұрын
DA uyu jamaa kwa stor kila sehem ye yupo kumbukeni wadau ameanza kuvua samaki wakati ana miakA kumi sita na baada ya kutoka sauz akawa muindaji sadaivi ameludi tena anateka meli we kweli kiboko
@11658221
@11658221 3 жыл бұрын
Story nzuri na ya kusisimua sana lakini wapi continuation yake...??
@clementbabuu4811
@clementbabuu4811 3 жыл бұрын
Latino mitano tena🔥🔥🔥😂😂😂
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 3 жыл бұрын
Jinai haifi Akamatwe
@hafidhali618
@hafidhali618 3 жыл бұрын
Jamaa anajua
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Mzee wajombo leo akuja na kali
@millardayooriginal6655
@millardayooriginal6655 3 жыл бұрын
Huyu jamaa namuelewa sana
@mohamedfogo8820
@mohamedfogo8820 3 жыл бұрын
Dah jamaa muongo
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
Jamaa ni muongo mbaya..
@suleimanmwasaru6160
@suleimanmwasaru6160 3 жыл бұрын
Nadhani zingine ni tungo tu ili wafurahishe watazamaji sema tu anajua kuzipangilia
@szyjr3148
@szyjr3148 3 жыл бұрын
Dah huyo jamaa nilimuuzia saa makumbusho ase🤔😅😅
@abigagogo3484
@abigagogo3484 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@AhmedAli-oq4km
@AhmedAli-oq4km Жыл бұрын
🍁 mti dawa bila hofuuu
@salimkiembaemba8840
@salimkiembaemba8840 3 жыл бұрын
namkubali saana huyu mwamba
@sose6960
@sose6960 3 жыл бұрын
😂😂👊🏿👊🏿 sherehe ya masokwe
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 жыл бұрын
Huyu bora atoe movie
@hilarymungure8590
@hilarymungure8590 3 жыл бұрын
Dah
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
Huyu ni beach boy tu sio baharia anaharibu kazi zetu
@clementbabuu4811
@clementbabuu4811 3 жыл бұрын
We baharia wawap
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@clementbabuu4811 melini na bado nipo kazini
@alsonmohamed9805
@alsonmohamed9805 3 жыл бұрын
@@milomohamed7201 kwahiyo?
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@alsonmohamed9805 nimekwambia huyo jamaa apunguze uwongo na ajue wtz mabaharia wapo wengi na kuhusu hiyo Somalia tupo wengi tunaishi hapo na wengi wameoa ktk karibu miji yote hadi Djibout. Asiwe muongo hivyo hasa kwa dunia ya sasa ambao hutembeleka kama njugu tu.
@dicksonhaule6612
@dicksonhaule6612 2 жыл бұрын
Vandame
@dj26number2
@dj26number2 2 жыл бұрын
Mwingine TEMBO🐘🐘pia
@Mwinyi79
@Mwinyi79 3 жыл бұрын
kasema nimeshakulavitu yangu, kavipata wapi huko kisiwani??? kaa gogo. moto wa kumchomea hapo kisiwani aliupata wapi>????
@rashidinangungwa2673
@rashidinangungwa2673 3 жыл бұрын
Umelala kwa kibanda kumbe ulikua unaota mzee baada ya kushiba kaa gogo
@dancemedfuture
@dancemedfuture 3 жыл бұрын
Hahaha 🤣 inawezekana ikawa BIRTHDAY 🎉 haha 😂 mtangazaji bana hahaha 😝
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 Жыл бұрын
gOrilla wako na ujanja sana kisayansi wanafikiria sana eeh kaka umepitia mizingilie kweli
@jozi1511
@jozi1511 3 жыл бұрын
Kaangalia movie ya cast away, ndio anakuja kutudanganya
@EricMeddah-vc7ns
@EricMeddah-vc7ns Жыл бұрын
Kumbe tunadanganywa
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 3 жыл бұрын
Naomba part 1 jamani
@basesabasesa8660
@basesabasesa8660 3 жыл бұрын
Rastaman never die This guy should contain with the Story
@lewismpangala927
@lewismpangala927 3 жыл бұрын
Sijapata kuona mtu muongo Kama huyu ladri nilivomsikiliza amebobea anafanana na nature bangi mbaya sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Anafanana na Juma Nature
@saidswalehe2807
@saidswalehe2807 3 жыл бұрын
Hapo umechanganya kidogo kiberit na kisu amevipate wakat hapo nikisiwa hamna mwanadam anae ishii hapo
@bornifacecharles9555
@bornifacecharles9555 3 жыл бұрын
Umeona bwana
@hajirama6909
@hajirama6909 3 жыл бұрын
Uyu jamaa anatumia jina gan insta
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
😳😳😳
@seifhassan7652
@seifhassan7652 2 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya movie
@ramog6132
@ramog6132 3 жыл бұрын
Nishekula vitu vyangu😄😄😄😄
@dreamproduct217
@dreamproduct217 3 жыл бұрын
ase ni muongo sana
@abigagogo3484
@abigagogo3484 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jacksonletema6071
@jacksonletema6071 3 жыл бұрын
Mbona stori haina mwendelezo
@oscarkibate1913
@oscarkibate1913 3 жыл бұрын
Kiberiti kapatawapi. Hadithi Njoo utamu kolea. Kama za abunwasi
@hamadeddy3046
@hamadeddy3046 3 жыл бұрын
c walikuwa navyo kwenye mashua au hujasikiliza kaka
@leahjohnsimba1628
@leahjohnsimba1628 3 жыл бұрын
Huyu jasiri jamani
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Mpangilio sifuri,,, sipendi yani jitahidi kupangilia sio mtu unaanza kuitafta story hadi unachoka
@omarimziya390
@omarimziya390 3 жыл бұрын
Mh kama uongo vile
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Mhihi atari😂😂
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 жыл бұрын
Mbanga kama mbanga na latino mtu mbad
@fadilissufoissufo5995
@fadilissufoissufo5995 3 жыл бұрын
Una undugu na juma necher
@catyedokigutu7366
@catyedokigutu7366 3 жыл бұрын
Hahahahaha eti majani wanatunza kama ela hahahahaha... Uyu jamaa Muongo
@salimyusuf1586
@salimyusuf1586 3 жыл бұрын
Anafaa kupewa certificate ya uongo huyu chuma
@hamadeddy3046
@hamadeddy3046 3 жыл бұрын
kwanini sasa
@suleimanmwasaru6160
@suleimanmwasaru6160 3 жыл бұрын
Anajua kupanga maneno mpaka anasisimua
@kammgisha1300
@kammgisha1300 3 жыл бұрын
Uongooooo
@ramog6132
@ramog6132 3 жыл бұрын
😁😁😁😁Sauti
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Mtangzaji eti labda birthda😅😅😅jaman nyie waongo
@davidkitundu9892
@davidkitundu9892 3 жыл бұрын
Huyu jamaa nipesa Dar 24 jamaa anajua anapaswa apewe ata ajira aweanatoa story mbalimbali anamaneno matamu ktk story mzee wa jombo/palastiki anajua balaa
@mussachichajr
@mussachichajr 3 жыл бұрын
Nishapiga vitu vyangu
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Ivyo vitu vyake alivikuta wap?
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
Itakuwa majani ya mpapai hayo😂🤣😂
@madeestar5228
@madeestar5228 3 жыл бұрын
Alikua pekeyake mahali apo kisiwani lkn alipata kisu na kiberiti how?
@suleimanmwasaru6160
@suleimanmwasaru6160 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Nimecheka kishenzi eti wanashughur ya kutoa wali daaah Apo umetupiga changa😅😅😅😅na ivyo vitu vyako ulivyo piga ulivitoa wapo na wakati uliibuka na dumutu je nakisu je ulikitoa wapi
@simonmathayoshepi2537
@simonmathayoshepi2537 3 жыл бұрын
Sikiliza vzr utaelewa alivitoa wapi
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
hii story ni yakufirika, sio kwamba yeye imemtokea, sisi ni mabaharia hakuna kitu kama icho.
@captendunga1392
@captendunga1392 3 жыл бұрын
Sasa unataka kila baharia yamkute yaliyomkuta huyo? Bahari ni uwanja mpana usizani matukio mtafanana.
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Wewe ni baharia wa mshipi ujawaifika maji marefu lazima ushangae
@captendunga1392
@captendunga1392 3 жыл бұрын
@@shaloboy3861 hahahaha kabisa kwa maelezo yake tu anaonekana ni baharia wa kwenye mabwawa sio baharini.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
@@captendunga1392 🤣🤣🤣🤣🤣 eti baharia wakwenye mabwawa kule kinondon mahakamani
@captendunga1392
@captendunga1392 3 жыл бұрын
@@Mpakauseme baharia wa jangwani huyo kipindi cha mafuriko.
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Unaona bwana mala ngapi?
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
😅😅😅😅
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Kibwagizo
@jkmtv260
@jkmtv260 3 жыл бұрын
Huyu jamaa muongo kuliponyesha hiyo kibiriti cha kuchomea kaa hakikuingia maji
@alsonmohamed9805
@alsonmohamed9805 3 жыл бұрын
Hhhhhh
@yaraernesto986
@yaraernesto986 2 жыл бұрын
Poá
@mohamedahmed4027
@mohamedahmed4027 3 жыл бұрын
Tuwekeeni basi part 2
@bleiyzstephan2057
@bleiyzstephan2057 3 жыл бұрын
Mwanang unajua kujieleza na kutetea mada yako mikaxa ya kuxiximua umepitia
@abdirahmanabdishakurfans6922
@abdirahmanabdishakurfans6922 3 жыл бұрын
uyu jamaa muongo sana alivyo hadisiwa nae anawaadisia watu
@rashidmughairy6456
@rashidmughairy6456 3 жыл бұрын
Muongo huyo... story yke haina afya..dar24 unajishusha kwa stori za kutunga uongo
@thesonofficial1897
@thesonofficial1897 3 жыл бұрын
Unauhakika gan Kama katunga , watu wanamapito kweny maisha yao bwana.
@consokeic1472
@consokeic1472 3 жыл бұрын
@@thesonofficial1897 kabisa hebu yeye atunge yake Kama ataweza .
@beckooh
@beckooh 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sweet liar
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 жыл бұрын
Ivi mtaalam una udugu na juma nature 🤣🤣
@omarymohammed3873
@omarymohammed3873 3 жыл бұрын
Kweli wamefanana hadi kuongea
@hamadeddy3046
@hamadeddy3046 3 жыл бұрын
wamefanana hadi kuongea
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 жыл бұрын
👍
How a sexual assault case unmasked the Malayalam film industry| Dileep
22:21
MPIGA DEBE ANAYEMILIKI SHULE YA SEKONDARI MBEYA
18:18
Millard Ayo
Рет қаралды 184 М.