Mbona watu wengine WANASEMA dagaa wanapenda muangaza wa taa
@tututz10010 ай бұрын
J.boys 1999
@monicambuva5299 ай бұрын
Kwa Davistar watuhumiwa wanakutana sasa hahha😆😆.....hao waliokwambia uvae kaush au lami kama sikosei nigenge la Wamayo na wenzake....kwa story yake kama ntakuwa sijachanganya alivamia mtumbwi akiwa na majambazi wenzake akawaambia wakae kaush au lami hahhah dunia hiii
@SevelinaPaul-jo1zf10 ай бұрын
Mhhhh jaman tusarini sana Dunia inamambo mengi
@bakari-si1pw10 ай бұрын
Safi sana karibu sana kijana
@babymkuya35910 ай бұрын
Mr ndio mr oke mr sawa mr mmmh 😅😅😅upo leo umerudi tena
@imhotepheru43610 ай бұрын
Tafadhali tueshimu wengine vile tunapenda tueshimiwe please 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@tinarmanka155010 ай бұрын
Angalau basy tukuone Mr Martin had lini utajficha kaka😊
@pendomwahalende48697 ай бұрын
Mbona sauti ya aliyemkalibisha mwenzake nimeijua
@odatysharon826710 ай бұрын
jaman mbn me sielewi davista yuko wap
@cptnbazil612110 ай бұрын
Si mlikua mmepandisha part 2?
@azizimaliki425310 ай бұрын
Huyo anayemuoji ni mwanakenge
@leaherasto9299 ай бұрын
Umeona eeh
@monicambuva5299 ай бұрын
Davistar natafuta part 2 sana mbona siionii.......
@kahindiwanje9010 ай бұрын
👊👊👊
@jesusislord919010 ай бұрын
Mwambie atuelezee yeye alikuwa anafanyaje?? Wakati wao walipofika kuvua jinsi alivyonyeshewa na mvua jinsi upepo ulivyo mkuta..
@tahirnephessalum36789 ай бұрын
kwani hii story haina muendelezo?
@Mpakauseme10 ай бұрын
Daga si mboga
@Irenes_Kitchen10 ай бұрын
Babe wangu wamayo nimuone hapa tafadhai 😢😢😢😢
@user-nt4bl1hn9w10 ай бұрын
Mm nimerudia story ya WOMAYO nipo ep 57😂
@edithaeugeni969510 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Nitumie link
@ZuberiOmari-gz3kk10 ай бұрын
Jaman watu mnakoshwa na wamayo polen ndo imesha hivyo😅😅😂 a.k.a. mzee wa shoo😢😢😢😢😢
@Irenes_Kitchen10 ай бұрын
@@user-nt4bl1hn9w me nataka kumuona tena
@Irenes_Kitchen10 ай бұрын
@@ZuberiOmari-gz3kk nataka kumuona tu davistar amludishe tena😔
@edithaeugeni969510 ай бұрын
Hizo ndyo ndoyo sawa na maswali ya syo Kuwa na msingi hatuzitakiiiiiii🗣️🗣️🗣️na pya kurudya maneno ya mtowa storii hyo nayo ina bowa wewe kaatu kimya sisi tunamwelewa sana Mtowa story
@husseinhussein997110 ай бұрын
Acha nongwa, mwandishi yupo sawa.
@mohammadumarzavallah97198 ай бұрын
Mbona mwendelezo wa story hii siioni!
@pendomwahalende48697 ай бұрын
Ndio inaanza
@peterstewart993510 ай бұрын
Mwanangu umeanza tena kuuliza maswal ambayo mtu ameshatoa maelezo🤬🤬