Nimefurahi kukutana na ndugu zangu baada ya Mvutano wa neno Haleluya|Muhammad Bachu

  Рет қаралды 70,244

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

2 жыл бұрын

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

Пікірлер: 149
@rashid3562
@rashid3562 Жыл бұрын
Uyo Muhammad bachu mnafik San kuwani nae makini sna
@musabahaliou-lo9xe
@musabahaliou-lo9xe 23 күн бұрын
Wailaka! Mche mungu
@ElsieMunezero
@ElsieMunezero 2 ай бұрын
Manshallah tabarak allah nafurai saan uislam ni raaha
@user-ou2og1ze9d
@user-ou2og1ze9d 4 ай бұрын
Amin huu ndio uislam hongereni sana mashekhe tushikamane
@suleali4915
@suleali4915 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana shekh Muhammad ila ningependa ukutane na shekh izudin ili muondoe tofauti zenu
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 2 жыл бұрын
Mashaa Allah hivi ndivo alivo tufundisha kipezichetu waislam tuwe pamoja namtu akikoseya akubali kurekebishwa kukoseya siyo mtototu na hata mtumzima anakoseya kurekebishana niwajibu Allah azidi kutuongoza tuzidi kusamaheyana Allah awalinde na shaar za wabaya ilimupate kutuongoza katika njiya zakher Amin ❤❤❤💯
@hajjmohd3602
@hajjmohd3602 2 жыл бұрын
Alhamdulillah , , nimeipenda sna hii ALLAH akupeni mafungamano mazuri katika kupendana kwen na akupen hojja za kuwashinda wale wanaoichukia dini ya Allah
@SmilingArchery-mt9ok
@SmilingArchery-mt9ok 4 ай бұрын
Allah ndie mjuzi tupendane kwaajili yaallah
@chabunu3367
@chabunu3367 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Mohamed bachu umefafanua vizuri sana na kwa hikma ya Hali ya juu
@nurdinibakari2283
@nurdinibakari2283 2 жыл бұрын
Mohammadi Bacho umeanza kuwa na busara ktk kuelimisha.Allaah akuzidishiye.
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 2 жыл бұрын
Mashallah sheikh Muhammad bachu nafrah sana kukuona allah akubarik ww na sisi Allah akbar
@johntay8813
@johntay8813 2 жыл бұрын
Mashaallah nimefurahi kuwaona walimu wa midahalo yani kumuona kaka yangu said kinyogole nimefurahi nawapendeni kwa ajili ya Allah
@chabunu3367
@chabunu3367 2 жыл бұрын
Sheikh Mohammed bachu wanafanana na sheikh shafi Allah ajaliye nyonyo zenu zipendane mapenzi ya Allah
@shabanihassan8678
@shabanihassan8678 2 жыл бұрын
Alhamdulillah allah akupe umri mrefu Muhammed Nassor bachu
@saidswalehe2907
@saidswalehe2907 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah hakika uislam ni raha Kabisa Allah atujaalie pepo ya firdaus Áaaamiiin
@salmajumanne3634
@salmajumanne3634 Жыл бұрын
Allahuma amin
@amaroo1220
@amaroo1220 2 жыл бұрын
Natoa shukran kwenu nyote ndugu zangu ma Shekhe wangu. الله يسهل في أموركم كلها
@ahmedmanhalf3990
@ahmedmanhalf3990 2 жыл бұрын
Mashallah sheikh maneno mazuri ila kama ulivosema binadamu sio kamili... hakuna وقال الذين أُتوا العلم والإيمان.... hamna neno imani sheikh katika surah qasas aya ya 80. Allah akubarik akuzidishie elmu na fahamu njem inshallah.
@issaissah8832
@issaissah8832 2 жыл бұрын
Daaah laha Sanaa mtoto wa bachu amefata njia ya mzee wake Allah amu ifazi kijana wetu in shallah
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 жыл бұрын
Mashallah Nawapenda nyote wahadhiri wangu kakazangu Allah awazidishie ilmu zaidi tufaidike
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 2 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah nawapenda wote kwa ajili ya Allah Mwenyezi Mungu wafanyie wepesi masheikhe wote amin🤲🤲🌹🌹
@br.shillleea.k4946
@br.shillleea.k4946 2 жыл бұрын
Shkh Muhammad Bachu... Wallah! Nakupenda kwaajil ya Allah. Na nyote kwa ujumla.
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 Жыл бұрын
MashAllah..! Wallahy nimefrahi sana kuwaona Hawa masheikh wetu Tena vijana wenzetu kuwa pamoja ..Tena katika harakati zao kuufundisha uislamu na dini.Allah awape umbri mrefu wenye barka telee...awape afya Bora wazidi kutuelimisha sisi jamii....Allah barik!
@suzanramadhan4231
@suzanramadhan4231 2 жыл бұрын
Allah awajalie afya njema na umri mrefu tuzidi kunufaika na elimu Yao amiin
@ramadhanishaibu7788
@ramadhanishaibu7788 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah nami binafsi nmefurah sanaa shkh muhammad
@ummesaniyah
@ummesaniyah 2 жыл бұрын
... I love sheikh wangu Shafi, sheikh Bachu na kinyogoli...ma shaa Allah... It takes a courage for a man to admit mistakes in public... Only real man (arRijaal) can do that... Barakallah fiikum...wajazakumullah khairan
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 2 жыл бұрын
Mashehe zetu mmefanya jambo zuri sana kukutana na kuondoa tofauti zenu wote mko vizuri
@mwechizumbabaraka708
@mwechizumbabaraka708 2 жыл бұрын
Nmefurah sana kuona Masheikh zetu wanakumbatiana kwaajil ya ALLAH
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 10 ай бұрын
Nawapenda kwa ajili ya Allaah. Allaah Amuhifadhi Sheikh Said Juma Kinyogoli mda mrefu hatupati vitu vyake. Allaah Amtie nguvu na subra Sheikh Muhammad Bachu asichoke kuwanyoosha masufi
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 2 жыл бұрын
MashaAllah. Hakika ndugu yetu sheikh muhammad nassor umefanya jambo zuri sana. Allah akuhifadhi wewe, sisi na wazee wetu waliotangulia mbele ya haqi.
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Allah amrehemu Mzee wako Sheikh Bachu, ametuachia msomi na muhadhiri mzuri wa dini, kisima cha elimu wallahi
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 8 ай бұрын
Sheikh bachu Allah akupe heri, ila kuwa makini hii, dini yetu tulie pewa na Allah, watu wamejificha ktk dini, ila hawako na Allah wala Mtume,
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Masheikh wetu allah awalinde awajaalie kher dunian na akhera inshaallaha
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Mashallah Allah atuwekee Mashekhe wetu ni Almasi kwetu waislamu.
@ndikumanaallymugisha
@ndikumanaallymugisha 2 жыл бұрын
MashaAllah 🙏🙏
@judieyasmiin9789
@judieyasmiin9789 Жыл бұрын
Mashallah 🕋🕋
@khadijaallykhadijaally
@khadijaallykhadijaally Жыл бұрын
Mashaallah raha sana Mashekh wetu kukutana kamaivo
@salehjuma3926
@salehjuma3926 2 жыл бұрын
Masha allah nuru alla nuru
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 2 жыл бұрын
maa shaa Allah
@mrishobhaya8965
@mrishobhaya8965 Жыл бұрын
Kwa akika nimefurahi Sana kuasikia Shekhee Masawe Shekhee Said Shekhee Mohamed bachu Shekhee shafii Hikima kubwa mnayo Allah awazidishie kheri nyingi
@br.shillleea.k4946
@br.shillleea.k4946 2 жыл бұрын
Allah akulipe kheri katika jitihada zako na wote mujitahidiina ktk dini (njia) ya Allah.
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah Mashelhk tupopamoja
@mwantumjaff2589
@mwantumjaff2589 2 жыл бұрын
Mashaallah!! Yaan mi nafurah sana nikiwaona,,kinyogoli, shafi, sulle, mazinge baba lao, ALLAH AWAWEKE WALLAH NAWAPENDA KWA AJILI ALLAH
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 2 жыл бұрын
Allah Akbar 🙏 baba lao Mazinge
@rehemamahmood
@rehemamahmood Жыл бұрын
Maashallah Allah akulipe kila LA kheir
@adilhabib8988
@adilhabib8988 2 жыл бұрын
Maa shaa allah mashekh kwa kukubaliana na shekh mwenzenu Nassor Bachu
@nahlakhaleel8573
@nahlakhaleel8573 2 жыл бұрын
Maasha Allah. Tabarakallah sheikh Muhammad Bachu
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 жыл бұрын
Masha Allah sheikh wangu nakupenda kwaajili ya Allah
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 2 жыл бұрын
Mualm wang muhammad
@habibaly5322
@habibaly5322 2 жыл бұрын
MashaAlla
@mtemi
@mtemi 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah Tabarakal Llah
@abyazeliud9271
@abyazeliud9271 2 жыл бұрын
Wallahi raha sana
@rokiroki1825
@rokiroki1825 2 жыл бұрын
Walaykum salam Warahmatullah Wabarakatuh
@mshengeli2449
@mshengeli2449 2 жыл бұрын
Maashaallah jazakumLLAHU khayra
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
MA SHAA ALLAH
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 2 жыл бұрын
MashaaAllah hii imeleta mapenzi sana, inshaaAllah mashekhe zetu muendelee kushikamana hivyo hivyo nakupendana. Fajazakumullahu khairan
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
Masha"Allah
@salhacker7728
@salhacker7728 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@kassimali511
@kassimali511 2 жыл бұрын
Maash-Allah. Inatia moyo sana
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 2 жыл бұрын
Maasha Allah
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 жыл бұрын
Mashaallaah Allah awape umli mlefu mashekh we2 na a2pe mwisho mwema inshaallah
@othmanalnabhany3208
@othmanalnabhany3208 2 жыл бұрын
Mashallah Sheikh Muhammad bin Nassor na wenzako Mola akulipeni kheri insha Allah lkn pia tunakuombeni sisi maamuma wenu au wanafunzi wenu mnapoona kuna sheikh mwenzenu kateleza musiweke raddi hadharani ila tafutaneni kwa busara na hekma ili kuelekezana ktk khayrat na mapenzi juu ya dini yetu si vizuri kupeana vijembe masheikh kwani hawa makafiri hufurahi wanapoona masheikh wanahitilafiana na kukosoana hadharani Insha Allah Mola atupe mapenzi soote waislam na masheikh zetu
@azizisulay6005
@azizisulay6005 2 жыл бұрын
Umeongea vizur Mashallah
@faridmbarouk2401
@faridmbarouk2401 Жыл бұрын
Happy umenifurahisha sana hivi ndivyo dini inatak
@hassanawadh6130
@hassanawadh6130 2 жыл бұрын
Uislamu unahitaji matabiligh اللهم ثبت قلوبنا على دينك
@bongomix7566
@bongomix7566 2 жыл бұрын
Matabligh ni kina nani kaka
@abdulswamdenyambuka1902
@abdulswamdenyambuka1902 2 жыл бұрын
Hakuna shehe hapo
@ibrahimjuma10
@ibrahimjuma10 2 жыл бұрын
@@abdulswamdenyambuka1902 nenda wewe bc
@abdulswamdenyambuka1902
@abdulswamdenyambuka1902 2 жыл бұрын
@@ibrahimjuma10 wap??
@jamaliramadhan5167
@jamaliramadhan5167 2 жыл бұрын
Hakika waislamu woote Nindugu suluhisheni baina ya ndugu zenu Allah Awaongoze na Muwe na ikhras katka hilo ishallah.
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 2 жыл бұрын
una hekma nyingi sannnah maa shaa Allah, unajua kujishusha
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 2 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الله
@minahadi2190
@minahadi2190 2 жыл бұрын
MashaAllah tabarakAllah Allah awaifadh 🤲
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Nakupata sheikh wangu from dubai
@abasisimai1546
@abasisimai1546 2 жыл бұрын
Safi sana
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Maashallah!
@hamadkombo8560
@hamadkombo8560 Жыл бұрын
Alhamdulilah mwenyez,Mungu atuongoze kwenyemapenzi yakheri
@amurisabiti7037
@amurisabiti7037 2 жыл бұрын
Man'shallah ma sheihk wetu hii ndo dini sio kulumbana tuna waomba mtu samehe na sisi waumini wenu kwa matusi tulitoa kwenu ma sheihk wetu tuna wapenda sana
@muuhjunior3139
@muuhjunior3139 Жыл бұрын
Shekh mi naomba Kama uko dar nikimaliza masomo yangu nijiunge na darsa yako inshallah
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Waaaleikum salam warahmatulah wabarakatu
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
Allahamdurillah jaazakallahkhery
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 2 жыл бұрын
Uislam kwa kweli ni Raha Sana hakika hii ndio dini ya haki mbele ya MWENYEZI MUNGU
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 2 жыл бұрын
Hakika
@selemanealmasse6276
@selemanealmasse6276 2 жыл бұрын
Sheikh Muhammad apo umepatia kama kila siku. Shiekh Said juma yuko fire sana.
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 2 жыл бұрын
Masha Allah
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Maashallah tabarakallah
@ahmednurdin1928
@ahmednurdin1928 10 ай бұрын
bachu kasome sheikh said anakusubiri ukamjibu
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 жыл бұрын
Tunawategemea mnatupa raha wallah Allah akuwekeni
@chabunu3367
@chabunu3367 2 жыл бұрын
Kinyogolee kinyogolee ukipanda juu ya jukwaa makafiri roho zishawapasuka wallah tena
@saumsaid5717
@saumsaid5717 2 жыл бұрын
Mm nimwanamke wa kiisilaam natoa posa kwa shekhe kiogolee
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
Mashaallah
@maryamkali9548
@maryamkali9548 2 жыл бұрын
Mashaa Allah
@ibrahimrashid951
@ibrahimrashid951 Жыл бұрын
mwalimuwenu nasoro bachu
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 2 жыл бұрын
Mashallah
@wiseboywissebo3856
@wiseboywissebo3856 2 жыл бұрын
Allah akulipen kila lakheir
@ahmadamwawalo5651
@ahmadamwawalo5651 Жыл бұрын
Takbiir.
@abuorbakar7490
@abuorbakar7490 2 жыл бұрын
Alhamdu Lilah kuwelewana kwenu kwetu tunapata chakujifunza
@papiliomad2464
@papiliomad2464 Жыл бұрын
Mashaa Allah, Allah awalipe kheri, nmeipenda hii
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 2 жыл бұрын
MashaALLAH
@salehsuleiman8519
@salehsuleiman8519 2 жыл бұрын
Naam naam sahihi kabisa
@abasisimai1546
@abasisimai1546 2 жыл бұрын
اتحاد القوة ........
@idaroussaleh8259
@idaroussaleh8259 2 жыл бұрын
Wafanye kwa ikhlaas
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 2 жыл бұрын
Wow nimependa sana mlivyokutana pamoja na kuongea wallah Allah awadumishieni upendo na amani inshaallah ❤️❤️
@jumamuna2315
@jumamuna2315 2 жыл бұрын
Shaf mkwel xana ndo mapenzi ktk uislam
@aziza9093
@aziza9093 7 ай бұрын
Hatutaki mtafurukujaman muugono diyo selah yetu
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 2 жыл бұрын
Allah akulinde InshaAllah wew ndo mthubutu wa kukosoa hao wapotoshaji
@jumamuna2315
@jumamuna2315 2 жыл бұрын
Nakukubali ndugu yangu unamajibu ya kisomi ,hasa kwenyekisa cha qaruun ujumbe mzito sana kwa watu wanaofuatilia unavotuelimisha
@hassanramadhani-qb5zb
@hassanramadhani-qb5zb Жыл бұрын
Hivi ndio sawa uwache kukurupuka kijana
@tahiraabdul1701
@tahiraabdul1701 2 жыл бұрын
Tendo zuri kutoka Kwa Bin Bhachu
@muhamadyusufu6663
@muhamadyusufu6663 2 жыл бұрын
Muhamad bachu unasikia ulinganizi ulio uunga mkoni kuwa unaupenda upo muhamadi bacho
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Жыл бұрын
Unaonaje ukajitokeza na ukaanza kulingania kwa vile wewe uonavyo ni sawa?
@idaroussaleh8259
@idaroussaleh8259 2 жыл бұрын
Mpe daawa sheikh aache din mseto
@zuwenasleiman3587
@zuwenasleiman3587 2 жыл бұрын
Tuwe wamoja tuliyohitilafiana tuvumiliane
@zuuseifu2962
@zuuseifu2962 2 жыл бұрын
E.g. siyo
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|SEHEMUYA KWANZA| Muhammad Bachu.
1:06:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 31 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
INAFAA MWANAMKE KUTEMBEA ( NAKED ) NYUMBANI KWAKE ? || Muhammad Bachu.
22:14
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 2,6 М.
Muhammad Bachu WAMEKUSUDIA KUHARIBU NI WAJIBU WETU KUSAFISHA
15:05
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 26 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TANO |Muhammad Bachu
42:09
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 43 М.
Muhammad Bachu AWALIZA WATU KUWAKUMBUSHA SHEIKH NASSOR BACHU MSKITINI KWAKE.
37:46
Majibu kwa Othman Maallim||Sheikh Qassim MAFUTA Qassim.
35:01
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 47 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA NNE |Muhammad Bachu
49:45
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 63 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 88 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН