Рет қаралды 919
Nimuhimu sana kwa mfugaji anayefuga mbuzi kibiashara kuhakikisha watoto wanatuzwa kwa uangalizi wa hali ya juu kuhakikisha kila mtoto ananyonya na anapata maziwa ya utosha. Kadhalika mfugaji anapaswa kuhakikisha kuwa watoto wa mbuzi na kondoo wanalala katika banda safi na lenye hewa ya kutosha