TAZAMA:MKURUGENZI WA ASAS ANENA KUHUSU MBUZI MWENYE MAAJABU MBELE YA RAIS SAMIA, 'UFUGAJI BORA'

  Рет қаралды 60,125

Millard Ayo

Millard Ayo

11 ай бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan leo August 08 ametembelea banda la Asas Dairies kwenye Kilele Cha Maadhimisho Sikukuu ya kimataifa ya Wakulima Nanenane yaliyofanyika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya ambapo ameonyesha kufurahishwa na kazi kubwa inayofanywa na kampuni hiyo katika kuinua sekta ya Ufugaji.
Akiwa kwenye Banda Hilo, Mhe. Rais Samia amepokea Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asas Ahmed Salim ambapo ametembezwa na kujionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa.
Aidha Mhe. Samia amepongeza uamuzi wa Kampuni ya Asas Dairies kuipatia Serikali Ng'ombe Mmoja wa kisasa wa mbegu kwaajili ya Mradi wa Vijana kupitia programu ya wa Build Better Tomorrow, Mbuzi 110 wa nyama na maziwa.

Пікірлер: 54
@bensonlameck6348
@bensonlameck6348 11 ай бұрын
MAMA SAMIA SHE IS UNDERSTANDING,LISTEN HOW SHE RESPONDING WHILE AHMED ASAS EXPLAIN ABOUT THOSE TYPES OF COWS AND GOATS.....SAMIA SULUHU HASSAN OEE......
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 9 ай бұрын
napenda kazi hiyi toka BURUNDI👌👌🙏🙏❤❤💯
@KaijageEvodius
@KaijageEvodius Ай бұрын
safisan
@TheElly1976
@TheElly1976 3 ай бұрын
Well explained hiyo ni mbegu gani tena
@frankfaraja4767
@frankfaraja4767 11 ай бұрын
Ulega umeiona hiyo..... Nimeiona mama😂😂😂
@Dunia129
@Dunia129 11 ай бұрын
nani amenotice mkurugenz anavotumia maneno ya kitalam mama anaitikia tu mm mmm mm mmmm😅😅😅
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 11 ай бұрын
Safi sana
@erickmalamsha6938
@erickmalamsha6938 10 ай бұрын
Good work ASAS
@meshackmlaki2066
@meshackmlaki2066 11 ай бұрын
Mama anapenda ufugaji😊😊
@davidrulobhavako8551
@davidrulobhavako8551 11 ай бұрын
Apo kwenye majike 30 hadi 50 mother kaguna😅
@PriscaKasmil
@PriscaKasmil 10 күн бұрын
A K MIHAMBO
@binuqaasha675
@binuqaasha675 Ай бұрын
Milard ayo.. wanapatikana wapi hawa nataka nikanunue mbegu za boer
@user-di5jr3wz2n
@user-di5jr3wz2n 8 ай бұрын
Hongera mama Kwa kutoa fursa Kwa watanzania wenye uhitaji wa kufuga. Nami sijui nitapataje hiyo mbengu ya Hawa mbizi wa gall
@HamisHamza-uf6uz
@HamisHamza-uf6uz 2 ай бұрын
Hongera Kwa maziwa ,,Ila kwenye upande wa Ku care maderva wako ni asilimia 0 kwa ukumbuke bila maderva pia kz zako haziwezi zikaenda jirekebishe broo
@athumanially712
@athumanially712 Ай бұрын
Tatizo Boer goats hapa nchini kwetu ni ngumu kuwapata em milad ayo waulize mimi naitaji.je?nikija kwao nauziwa pair ? Na ni bei gani?!! Nipo Kagera kwa sasa
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 10 ай бұрын
😂😂Majike 30 mpaka 40....noma
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 11 ай бұрын
GMO
@chuzilapweza6517
@chuzilapweza6517 2 ай бұрын
mm namtaka huyo boer goat
@godsonandwele5265
@godsonandwele5265 11 ай бұрын
Unaulizia mifuta tuu!😂
@josephmbena611
@josephmbena611 11 ай бұрын
Boer goat's ni mbuzi bora na wenyefaida
@saidkhamisi9592
@saidkhamisi9592 11 ай бұрын
Laahaulaa walaaquuwata illa bil laa kuna watu kazi yao nikutukana tuu hivi unadhani haya matusi yatapita hivi hivi ?.....kila kitu kiandikwa na utasimamisha mbele ya Allah acha kutukana bora kukaa kimya
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 11 ай бұрын
😂😂😂😂 mama tupe story za salim kikeke
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 10 ай бұрын
Jamani humu kuna watu wanatukana matusi mazito ! Afande muliro upo! Wakamateni kimya kimya muashuhulikie !!! Uhuru gani huu wakumtukana kiongozi wa nchi matusi mazito namna hiii!!! Jamani cyber crime wapo wapi! Au serikali imelalaa
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 10 ай бұрын
Polisi wajiongeze ,hawa watu wakiwataka ni dakika 5 tu, Haiwezekani umtukane raisi ,tena mama tusi kama " kuma' ,yaani ata kama hukubaliani naye toa maoni mbadala ili tujifunze kutoka kwako .
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 11 ай бұрын
Mama mafuta yamepanda petrol diesel mama pagumu wanao tunapita punguza mafuta angalau hata mwenye vtz aweze kumudu
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 11 ай бұрын
Tutapata vp hz mbegu ??
@HisaniMsigwa-lc6zk
@HisaniMsigwa-lc6zk 11 ай бұрын
Mama ntakuja unipe story za Salim .Mama Leo hii nimejua hobby yako
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 11 ай бұрын
Eti anaweza akapanda majike thelathini adi amsini 😂 apo rais kanunu tu uuumh😅
@mosseslazaro610
@mosseslazaro610 11 ай бұрын
Vijana wa hovyo mmechukua hiyo tu😂
@josephmbena611
@josephmbena611 11 ай бұрын
Yap nikwer broo kwaupande wangu tumechanganya mbuzi mmoja kwa majike arobaini
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 11 ай бұрын
Kila Mtu Mama Kila Mtu Mama Sasa Inamana Chini Yake Viongozi C Wapo Na Wao Ndio Wako Kalibu Na Watu Wa Kila Kundi Raisi Kila Akienda Mabodigadi Sasa Shida Zote Atazijua Vipi Ndio Mana Amechagua Viongozi Wa Chini Yake Hao Ndio Wanapaswa Wapigane Zaidi Kwa Watu Wote
@bongo39
@bongo39 11 ай бұрын
Safibsana hivi ndio tunavyotaka kupeana ushirikiano sio kubwaka tuu kama mbwa mtapata maradhi ya makoo kwa kusema uongo na kubadilisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 10 ай бұрын
Kila ndiyo raisi Gani huyu
@sulimanmzee2310
@sulimanmzee2310 11 ай бұрын
HUYO MMBWA TU C RAIS WALA NINI KIBARAKA WA MABEBERU SERIKALI MNAJIVUNJIA HESHIMA KWA KUMLINDA HUYO KIBARAKA
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 11 ай бұрын
Kuwa na heshma kaka hata ww una mama akitwa hv utafurahi
@paulmushi2428
@paulmushi2428 11 ай бұрын
Laa! Wakati mwingine hata Mimi Mama huwa simuelewi ila mwenzetu umeenda mbali sana hayo Matusi hata kama una stress ya maisha la! Kumbuka una mama, Shangazi, Dada! Matusi na chuki haziwezi kukupa nafuu ya maisha Mwombe Mwenyezi Mungu atakusaidia!
@asalkhan9168
@asalkhan9168 11 ай бұрын
Ok ushatukana je tatizo lako lomeondoka? Bado unaendelea nalo matusi hayasaidii kitu
@SAM_163
@SAM_163 11 ай бұрын
HUNA ADABU MSHENZI WEWE UWE NA ADABU NA RAISI WETU. Huyo unayejitoa ufaham kumtusi si rais tu Bali pia Ni Mama yetu . NINGEWEZA NINGEKUFUNGIA HIYO ACCOUNT YAKO MAAANA UNAKICHAA WEWE
@mohamedsuleiman2785
@mohamedsuleiman2785 10 ай бұрын
Mbwaaa mwenyeooo na nguruwewee
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 11 ай бұрын
Rais nakupenda ilaa GMO achana nayo
@sulimanmzee2310
@sulimanmzee2310 11 ай бұрын
ETI MWESHIMIWA KUMA KIBARAKA ANAWAPA MALI ZA WATANZANIA WAARABU NA ANAJENGA KWAO NYINYI MNALINDA MSHENZI TU
@bongo39
@bongo39 11 ай бұрын
Hayo matusi unayo tukana yatakufikisha sehemu mbaya sana jee mama yako angekuwa nafasi hiyo jee ungekubali unajiamini sana
@asalkhan9168
@asalkhan9168 11 ай бұрын
Ndugu sio ustaarabu huo kutukana matusi, zungumza jambo lako usitoe matusi
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 10 ай бұрын
Mama muza bandari huyo
@coj7920
@coj7920 11 ай бұрын
Msiangalie tu faida ya kuuza, wa kienyeji ndio salama kwa afya ya watanzania. No to GMOs
@joesimba
@joesimba 11 ай бұрын
Huwezi kukwepa GMO kwenye dunia ya leo mdogo angu, hizi zama sio 1940s wakati dunia bado ilikua na population ya billion 2 tu.
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk 11 ай бұрын
Shukuru kwanza!!! Mengine baadae..... ASAS angalalau wana moyo wa kutoa, wapo wangapi mbona hawatoi?
@coj7920
@coj7920 11 ай бұрын
@@ME-kb8rk kuna faida gani yakushukuru poison. The issue sio asas tu, kuna wengine wengi tu.
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 10 ай бұрын
Majambazi wanakupa SoMo situka wote hao wapigaji
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 ай бұрын
wamemuibia baba yako?! chuki tu.
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 10 ай бұрын
Bandari zetu
@ElishaJoakim-ir2qf
@ElishaJoakim-ir2qf 10 ай бұрын
Sasa kamer man mbon mshamb san unamchu rais t chukua n mifug tuione
@KEVINPHANUEL
@KEVINPHANUEL 10 ай бұрын
Tuko vijana tunapenda mifugo tusaidie tufunge
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 50 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 134 М.
Biashara ya Ufugaji Mbuzi wa Maziwa | Boresha Kilimo
12:04
KUTV Kenya
Рет қаралды 37 М.
BANDA BORA KWA AJILI YA KUFUGIA MBUZI NI LIPI???!!!
7:15
Mulap Farm
Рет қаралды 12 М.
Njiwa wa urembo.
28:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 9 М.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
MAVUNO TIME
Рет қаралды 56 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН