NYOKA AZUA TAHARUKI KWENYE MAKAZI YA WATU, ANADAIWA KUWEPO ZAIDI YA MIAKA 40

  Рет қаралды 453,970

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Taharuki iliyoibuka na kujenga hofu kwa wakazi wa eneo la Mliman City mtaa wa Kizigo kata ya Ng’ambo baada ya kusikika sauti ya Nyoka aina ya Koboko anayekisiwa kuwa na urefu wa zaidi ya futi 10 akipiga kelele juu ya mti wa mwembe katika eneo la makazi ya watu

Пікірлер: 518
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Mburaaa. Huyo mtaalam wa jadi mwenyew muoga namna hyo. Kasema hatokaa arudi tena. Kama nyoka huyo hana shida mnamchokoza wa nini jamn hivyo ni vyombo vya ulinzi na usalama tuliachiwa na mababu zetu . Ulinzi konk
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@n.y.smedia4145
@n.y.smedia4145 2 жыл бұрын
Uyo nyoka ni hatali Sana ndugu yangu ni halali kukimbia
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 2 жыл бұрын
😂😂
@fatmamnangwa9131
@fatmamnangwa9131 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@khamisfarouk9493
@khamisfarouk9493 2 жыл бұрын
Mlimani city hakuendeki tna😂😂😂😂
@rachelsilvester7901
@rachelsilvester7901 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@OmaryDunda
@OmaryDunda 2 ай бұрын
😅😅😅😅mlimani City Hakuendeki tena
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 жыл бұрын
Millard Ayo usikose kutupa muendelezo wa hii habari maana inaonyesha Tz tuna maliasili nyingi tafadhali tujulishane kitakaco endelea
@ramadhanzengwe3876
@ramadhanzengwe3876 2 жыл бұрын
Hao maliasili ni waoga walishaiona hatari hapo hao hawarudi tena
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni muumbaji yaani Mungu wetu fundii sifa na utukufu tumrudishie Muumba
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Mnamchokoza wananchi mnapenda kuvamia vamia.
@mtelewalindi84
@mtelewalindi84 2 жыл бұрын
Dah mwenye nyumba kazi anayo
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Hapajengeki aongee nae amwambie tu kuwa ee mzimu wa mababu mm ni kijana wako nataka kujenga hapa nakuomba usinidhuru mm pamoja na wajenzi wangu aone km kweli ni wa mzimu hatowadhuru we imagen toka walipoanza kujenga mok hapo ilipofikia mbona hakuwazuru ila Sasa hivi wanamchokoza ndio mana wamuache tu hana madhara na mtu
@leilafsadickfsadick5471
@leilafsadickfsadick5471 2 жыл бұрын
Daaahhh hatarr sana ila kwasisi tulio kulia huo mkoa wa tabora kukutana na nyoka ni kawaida maana ni lazima twende kuangua maembe, ukwaju Sungwi,ila kama ninyoka wa kawida tuu hua hadhuru bila.kummchoka unaweza.fanya mambo yako mpaka uka maliza na yeye ana kwangalia tuu na asifanye kitu ila huyu sio wa kawaida kwakwer
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 2 жыл бұрын
Bibi nimekuelewa Sana Sana!
@user-gq8ox7wb7f
@user-gq8ox7wb7f 2 жыл бұрын
Bibi bibii
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Bibi mchawi uyu
@GameOnMobile_
@GameOnMobile_ 2 жыл бұрын
Huyo bibi huyo wakae naye vizuri, maongezi yake tuu yanaonesha anamjua vizuri huyo nyoka kuliko mtu mwingine yeyote.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@jesusyoulovemetoomuchwanji8860
@jesusyoulovemetoomuchwanji8860 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@AziziMsuya
@AziziMsuya 2 жыл бұрын
Umeona ee😁😁😁
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔
@alicemwalimu8791
@alicemwalimu8791 2 жыл бұрын
Koboko jmn kwa mkoa wa tabora wamezidi ila huyo koboko ni wa maajabu make koboko ni mkorofi san
@khatibali195
@khatibali195 2 жыл бұрын
Nilipoona Mlimanicity nikajua ya dar na nyoka huyo vp
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Жыл бұрын
Hata mm nikafikiri mlimani city ya dar kumbe kijijini duh🤣🤣🤣🤣🤣
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Asante sana Millard ayo kwa Taarifa daaahr hadi naogopa hatari sana
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
Usiogobe Sabi Mamii ,njoo nikukumbatie!!
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
@@reubenkissinga5802 😅😅😅😂🤣wewe chizikweli
@user-xs7bw2im8h
@user-xs7bw2im8h 2 ай бұрын
Inatosha nyoka huyo sio sawa kama anamiaka kazaa ana wenyewe
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op Ай бұрын
Kbs anawenyew
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Bib fanya mpang nyoka aondk kwa aman Jins unavyoongea km wamjuw hivi
@giftmbogela2435
@giftmbogela2435 2 жыл бұрын
Hee😂😂😂
@nizclemencelampslabiche2007
@nizclemencelampslabiche2007 2 жыл бұрын
Hi hi
@rachelsilvester7901
@rachelsilvester7901 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@janguboitz4316
@janguboitz4316 2 жыл бұрын
Waseme Vizuri na uyu Bibi,Bibi anaonekana mchongo anaujua,Taratibu wamwombe atoe mchongo wake,Bibi anakwambia mdudu ajachokoza mtu,mbuzi Wala kuku na Mwaka huu ndo wamemuchokoza😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Bib hapn chezea
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 2 жыл бұрын
Bibi anajuwa history lakini hausiki
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Yeah Bibi anajua mchongo mzima 🤣🤣🤣🤣
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 жыл бұрын
😃😄😃😃
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 2 жыл бұрын
😂😂😂
@moonaamli6835
@moonaamli6835 2 жыл бұрын
Sasa mnasema kuna nyoka hapo kwenye mwembe Sasa mbona mmekaa hapo hapo?Sasa mtuletee mrejesho tunausubili kama wamemuondoa au la
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawa wanamjuwa vizuri haswa huyo bi mkubwa inaonekana nyoka wake
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 2 жыл бұрын
Nyoka hao kuna wakati wanatema mate kisha uyoga unaota tunapata chakula
@rachelsilvester7901
@rachelsilvester7901 2 жыл бұрын
Heeeee kumbee
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
Siri tena uyoga
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 2 жыл бұрын
@@Mazoeambona asali unakula wkt nyuki hutumbua hata mizoga kutengeneza asali?
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 жыл бұрын
Nyoka wa mizimu,ni maombi tu
@jumakasim8784
@jumakasim8784 2 жыл бұрын
huyo jamaa namjua vizuli toka nikiwa mdogo na sijawahi kuona anakamata nyoka ni mjanja wa town tu
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 2 ай бұрын
😂😂😂
@marrymenas
@marrymenas 2 жыл бұрын
Kama hasumbui mwachen nyoka wa watu afanye maisha yake
@marcelpaulbiste5268
@marcelpaulbiste5268 2 жыл бұрын
Ingekua mlimani City ya kwetu dar sasa hivi nyoka kashagongwa na gari tu🤣
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 2 жыл бұрын
basi awe ni nyoka lakini sio nyoka yule
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Nyoka Wa Ivo Morogoro Kuna Mahali Alikuapo Yuko Na Upanga Kama Wa Jogoo 🐓 Anawika Watu Tulibadili Njia Alikua Anaishi Kwenye Kichuguu Au Vichuguu Vyenye Mashimo Marefu Sana
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
😳😳😳
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Mpk leo yupo
@momosaid6193
@momosaid6193 Жыл бұрын
Mm sio mkaz wa Moro lkn niliwah kuskia hii story cjui n kwel
@franckjumanne6626
@franckjumanne6626 2 жыл бұрын
Mimi naweza kumamisha bila shida kwani anawatisha kuingiza kichwa kwenye uji mmi naingiza kichwa kwenye moto wa petroli
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@chynizboy7520
@chynizboy7520 2 жыл бұрын
Bibi kamaliza nyie jifanye wa digitali mtakufa sanaaaaah
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 2 жыл бұрын
digital
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 2 жыл бұрын
tena kamaliza mazimaaa
@DotoJuma-m3g
@DotoJuma-m3g 13 күн бұрын
Mbona huyu bibi kama anahusika na huyo nyoka😢😢...Yan anaongea kirahisi eti wamuacheee
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 2 жыл бұрын
Au uyu nyanya yuamfahamu nyoka wa nani
@vumilialukas200
@vumilialukas200 2 жыл бұрын
Unatokea Mombasa sehemu gani?
@ygtvonline2104
@ygtvonline2104 2 жыл бұрын
Hhhhhh
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 2 жыл бұрын
Hizo ni story za vijiji tu hakuna ukweli ni uvuni kaboko ni nyoka hatari sana kwa jina marufu ni black Mamba hana ukweli hapo
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
Uyo nyoka sio wa kawaida mawili Mizimu au kuna zahabu hapo chini sema wazee ndio washapotea tumebaki vijana wazungu
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@AishaAisha-rh1fc kweli kabisa
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 жыл бұрын
Alafu koboko hana kichwa kama cha jogoo sijui anawika.. yaan kuna uongo
@kivujrking7492
@kivujrking7492 2 жыл бұрын
@@treyvissy9854 huwajui nyoka wew kama hujaishi kijijini huwezi kujua nyoka kama hao wapo na hawanashida mpaka usogee karibu na mazingira anapoishi ndio utamuona mkorofi
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 2 жыл бұрын
Haujui unachokisema.....
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 жыл бұрын
Bibi maelezo yako yana kitu ndani yake mjuku wako anaenda kuchuma maembe na analudi salama du ??
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Kama tunaendana kimawazo vile Mungu atusamehe sana kwa kuhisi tusichokijua ila nna wasi wasi sana na Bibi kama anajua ukweli hivi
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 anaongea kwakujiamin eti mjuku wake anaenda kuchuma maembe kwenye uo mti akati kuna nyoka hatal anae wika
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@michaelsamson9663 Mhh ndugu yngu anatupa mashaka sana Bibi kama anaelewa kinachoendelea hv
@FatmaFatmaAbubar
@FatmaFatmaAbubar 24 күн бұрын
Mmh pole kwahil mung awafanyie wepis aondoke
@ZuberiNahoche
@ZuberiNahoche 2 ай бұрын
Shikamoo bibi kazi iendelee
@nassoropigauwa2503
@nassoropigauwa2503 2 жыл бұрын
Mmmmmh Bibi mbona anajiamin saaaana kuna nini ama
@tanzaniatravellers1718
@tanzaniatravellers1718 2 жыл бұрын
Mmh Tanzania yangu hii😂😂
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Suh hanallah mtihan wallah polen sn wakaz wahapo
@MariamBenedicto-tz3yj
@MariamBenedicto-tz3yj 6 күн бұрын
Mmmmmmh huyu bibi siyo mtamu kwa kweli au ndy utajiri wake
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 2 жыл бұрын
Koboko hawezi ishi miaka zaidi ya arobaini. Akiishi mingi ni 20. Ungebeba chungu cha mafuta ya moto .Na kweli Black Mamba akikugonga huponi na ikitoke ukapona basi utapata kilema cha maisha kwenye mfumo wa fahamu maana sumu yake inaatack neurons.
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Sure ndio mashangaaa eti kapona na anasimulia
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
@@flova7022 🤣🤣🤣
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Ule mzimu tu sio nyoka wa kawaida na angetaka kumdhuru angemdhuru kwa sababu hayupo hapo kwa ajili ya kudhuru wanaadamu ndio mana kapona na uji haukumuunguza hao viumbe ni wabaya lkn kwa sababu yy hayupo hapo kwa ubaya ndio mana watu wanaishi eneo Hilo mpk leo ila Sasa wanachotaka kukifanya Sasa hivi kitawakost si wameamua kumchokoza atawamaliza
@thabitiykitwana1271
@thabitiykitwana1271 2 жыл бұрын
Sijajuwa kiundani zaidi Ila huyu bibi ni hatari Kwa maelezo yake.
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Huyo Bibi huyo nyoka pengine wa Baba Ake na anamjuwa vizuri huwenda hata anamfanyia mambo ya jadi.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
Rabda anawalinda jaman! Na kwakua miaka yote yupo na hajamdhuru mtu na nyie ndo mnaanza kumtibua aanze kutafuna one after one
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 2 жыл бұрын
nyoka halindi ndugu
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 2 жыл бұрын
Anaelinda ni Mungu tu...
@kaizamandike8771
@kaizamandike8771 2 жыл бұрын
😂😂😂 nyoka anamlinda nani, akiamua kutafuna one after another atatafuna tu.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
@@kaizamandike8771 huez jua labda joka la mizimu
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 2 жыл бұрын
mmh toka lini nyote akawa urafiki na mwanadamu, wala haitawi tokea hii ni ahadi ya mungu binadamu kua adui wa nyoka na nyoka kua adui mwana ADAM
@user-iw7gy9dt1c
@user-iw7gy9dt1c Ай бұрын
Wangapi wanamsikiliza bibi 2024😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
🐍 Nyoka Ni Adui Wa Mwanadamu Wacheni Kukulupuka
@JerdaInnocent
@JerdaInnocent 9 күн бұрын
Nikweli kabisa mungu alitoa mamlaka kukanyaga nyoka na mnge kulikoni uyo nyoka kuishi miaka yote iyo
@swahiliinspirations7953
@swahiliinspirations7953 2 жыл бұрын
Hawa Nyoka huwa ni Mizimu, yaani ukithubutu kumuua Asilimia kubwa Mito ya Maji hukauka na Baadhi ya Mambo kutokea Vijijini. Asilimia kubwa ya Vijiji wapo wengi.
@hancepopessau2527
@hancepopessau2527 2 жыл бұрын
Mliman City hakuendeki tena
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 жыл бұрын
Kule siwezi kuludu angekuwa wa kawida ningeenda 🤑😳😂😂😂🏃🏃🏃🏃
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 2 жыл бұрын
Ni hivi kwa wale tuliopitia maisha ya kuchunga ng'ombe,koboko ni nyoka mstaarabu,mpole na hapendi kelele. Watu wanadaganya kuwa ana miaka 40 hapana isipokuwa hufa na kuacha watoto. Siku ya kumtoa ndipo mtamjua vizuri
@magrethopundo9460
@magrethopundo9460 2 жыл бұрын
Unawatisha wenzio😂😂😂😂
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 2 жыл бұрын
@@magrethopundo9460 🤣
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Mmmm 🙄 koboko mpole kobo huyuhuyu ninaemjua mm
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 Жыл бұрын
@@lulually5209 trust me. Nyoka wa ovyo ni Kobra yule anayevibisha kichwa
@user-jc4qj6lr3r
@user-jc4qj6lr3r Ай бұрын
Wampe bibi maokoto awatolee
@Miasa-rz8le
@Miasa-rz8le 2 ай бұрын
Nilipo kua na umri wa miaka 8 nilitumwa kuchota maji uko Kijiji Cha kisangata sinikasikia saut ya jogooo akiwika bila kujua kumbe alikua ni nyoka nikajiuliza uyu jogoo kapotea mpaka kufika uku ? Kila nilipo piga atua kwenda mbele alinitolea saut ya ukali uku nikiona majan malefu yakilala nikahis atar nikakimbia
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op Ай бұрын
😀😀 jmn nliwah kutana na chatu uso kwa uso nliliona kaburi nlikimbia na sjui nguvu ya kukimbia sjui nliitoa wapi hata nlovoruka kwenye jiwe sjatambua nlivoumia sjuu nilipofika nyumbn ninamaalama kila sehem za miguu
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Subhannallah huo ni mzim siyo joke hiloo jitahadhalini hapojamani kamawatoto ndio muwemachoò naoo
@justinethobias374
@justinethobias374 2 жыл бұрын
Kaeni na bibi vizuri🤣🤣🤣bibi anakwambia sasa yuko pale ,ndo wananchi wamepata woga ",sisi wote tumepata woga" 😂😂hapana bibi yu ajua kitu apo ,bibi anajua something behind the scene,bibi anajua muulizen tuu vzr
@aishashomali2716
@aishashomali2716 2 жыл бұрын
Yaani hata mimi nina shaka na bibi bibi anajua kumtoa ongeeni nae vizuri 😂😂😂
@machinefannatic99
@machinefannatic99 2 жыл бұрын
Kila nyoka bongo wanamuita koboko🤣🤣🤣🤣 hamuwajui nyoka nyie
@moonaamli6835
@moonaamli6835 2 жыл бұрын
Koboko wanapatikana uko mwanza Kwaiyo kote ndio uko uko
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 2 жыл бұрын
Ahahahah
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 жыл бұрын
@@moonaamli6835 kwel wako mwanza
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 2 жыл бұрын
Ni nyokaa mmoja hatati Sana na anapatokana porini mara nyingi
@machinefannatic99
@machinefannatic99 2 жыл бұрын
TATU RAJABU KHALFANI black mamba hawiki hawa jamaa waongo sana
@christopherngunwa9522
@christopherngunwa9522 2 жыл бұрын
Jamani nihatari sanaaaaa
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
Uyo sio nyoka wa kawaida fanye mila nyoka aende zake sasa muuweni muone baraha lake
@denissilas9379
@denissilas9379 2 жыл бұрын
😃😃😃😃sio nyoka wa kawaida uyoo..... Jamaa kashasema harudi tena
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
Nmecheka walah
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 жыл бұрын
Fanya kazi tafuta hela acha hizo imani za ajabu denis
@saudaally4109
@saudaally4109 2 жыл бұрын
Yani uyo nyoka Kama anawika ni wakupazwa coz kashakuwa mkubwa ila kama mpaka sasa ajapazwa bs kusemeya uyo baba siyo nyoka wa kawaida
@basilmswahili3685
@basilmswahili3685 2 жыл бұрын
Mbona nyoka atujamuona sasa😂😂
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
Kuna video moja wametuma watu wengine ana onekana milard haja ipata iyo
@rashidiasantemwalimngandil4890
@rashidiasantemwalimngandil4890 2 жыл бұрын
Karibuni mlin city nikivutio chautalii
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 жыл бұрын
Subhannallaah
@RUFUS_97
@RUFUS_97 2 жыл бұрын
wasimuue ila wampeleke hifadhi za taifa awe kivutio kwa watalii, kama anawika ataleta watalii wengi sana sana.......
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
nawazungu wanawapenda sana hao black mamba
@maridadi8
@maridadi8 2 жыл бұрын
Nyoka anawikaje? Huyo arudishiwe makazi yake. Watu wanapenda kununua viwanja bila ya kujua kilikiwepo kitu gani before. Wamuache huyo nyoka. Hiyo labda Ilikua sehemu ya ya matambiko.
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 жыл бұрын
Kobogo akisha pea huwa anawika Nandini mana anakile kidude kama chajogoo
@magrethopundo9460
@magrethopundo9460 2 жыл бұрын
Duuuh Mungu awasaidie sana
@user-rl1fj9tn3q
@user-rl1fj9tn3q 2 ай бұрын
Huyo nyoka mwenye anamiliki ni huyo kikongwe kama utabisha msikilize vizuri maelezo yake hata andolewe anasema kama kuna mtu anaweza kumuondoa akamuondoe
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 2 ай бұрын
Jaman we Acha tu
@janethvictor1386
@janethvictor1386 2 жыл бұрын
Huyo Bibi Kuna kitu anajua
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Kama hajathuru mtu yoyote miqka yote hiyo mwacheni tu.
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op Ай бұрын
Duuh kwajins nlivoskiliza huyu sio nyoka
@nandopapihno143
@nandopapihno143 2 жыл бұрын
Mlimani city hapafai tena😂😂😂😂😂😂
@arafatharoub6215
@arafatharoub6215 2 жыл бұрын
Hap nd utajua story za koboko au black mamba ni kweli
@meherdadkarambeck2110
@meherdadkarambeck2110 2 жыл бұрын
Mhhhhhh hizi imani zetu zitakuja kusiha lini huyo nyoka yuko wapi mimi nikamchukue?Kazi yake ndogo sana..
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Asiuawe.... Waletwe wataalamu wa nyoka atolewe akafugwe na kutunzwa kwa utalii... Ni kiumbe kipolee sana....éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 2 жыл бұрын
Una balaaa ww achana na huyo nyoka kbsa ni hatar kbsa black mamba we ni hatar sana
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
@@vivianvivian8585 hakuna kiumbe asiye fugika kwa Mwanadamu... .. Ni uoga wetu tu... Mwenyezi Mungu katupa mamlaka kamili....
@liliankessy1255
@liliankessy1255 2 жыл бұрын
Haumjui Koboko ww,hata hao wa maliasili hawawezi Kwnda kichwa kichwa..
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Etiii kiumbe kipole nenda bs kamchukue uishi naye nyumbn kwako....!!!
@binhussain3445
@binhussain3445 2 жыл бұрын
@@johnmalembo6464 We unafuga kiumbe ganii usije ukawa unafuga njiwa halafu unajimwambafy
@zawadisaidi4723
@zawadisaidi4723 2 жыл бұрын
Bahati yako amekusamehe huyo nyoka🤣🤣🤣
@AmanMhonjwa
@AmanMhonjwa 2 ай бұрын
Bibi bibi bibi nakuita mara Kumi, Hilo joka ndo usafir wako wa usku
@user-jb1fi5iq8g
@user-jb1fi5iq8g 2 ай бұрын
Ummmh! Huyo bibi kuna kitu anakijua ndani yake wamuulize vizuri tu
@JerdaInnocent
@JerdaInnocent 9 күн бұрын
😂😂😂😂 duuh polen sana wa tabola
@user-pj4jw7jd6e
@user-pj4jw7jd6e Ай бұрын
Yn mhmhmh, huyu ni htrii nyok
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Hata Chatu Pia Yuko Na Tabia Za Kuwika Ukijichanganya Itakula Kwako
@RahmaaMsekwa
@RahmaaMsekwa Ай бұрын
Apoumeongea koboko mngekufa kijiji kizima
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 жыл бұрын
Kama yupo mda mrefu na hajawah kudhuru mtu wala mnyama, si mmwache tu, ingawa hizo sio Sifa za koboko, coz ukigongwa na aina hiyo ya Koboko ukipona bas Kila sekunde sali na ukawe Shuhuda umeona utukufu wa Mungu live
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Hawa nyoka nilishawahi kumuona aliletwa mkoani kwetu namaji akawa anakaa kwenyemti usiku ndioanasikika. Alikuwa anasumbua usiku kweli kufukuza watu Ila jeshi walimuwinda mpaka akauliwa walimpiga risasi
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Mizimu hiyo anawezaonekana kama nyoka lkn shetani
@kokuhabwarutechura6272
@kokuhabwarutechura6272 2 жыл бұрын
@@mashramadhani1989 ushetani wake nini sasa?
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
@@kokuhabwarutechura6272 una umri gsni?
@RehemaMohamed-ky9xh
@RehemaMohamed-ky9xh 2 ай бұрын
Atali sana
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
muwendelezo uko wapi Millard ayo wa hi stor pleass twahitaji muendeo ilishia wapi
@abdihq4228
@abdihq4228 2 жыл бұрын
Wanadam mnanyodo sana MWENYEZIMUNGU ANAWAONYESHA KUNA VIUMBE WENGINE ALHAMDULILLAH NAMPENDA HUYO NYOKA TOKENI HAPO VUNJA NYUMBA ZENU
@anuarikikoti1782
@anuarikikoti1782 2 жыл бұрын
Aly.ismail.kasida
@patrickobat8258
@patrickobat8258 2 жыл бұрын
@@anuarikikoti1782 nice one
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Huyo nyoka kwetu tanga mwaka 2000 kulinyesha mvua kukajaa maji akaletwa kutoka juuya milima ya wasambaa mana wa napendaga kukaa kwenye mapango basi akawa anakaa juu yamti. Mana ule mto ulipitakwenyekambi ya jeshi basi usiku jeshi wakitoka ulaiyani kuzurura usiku anawakimbiza usiku sauti anagonga miti basi jeshi walimuwinda mpaka wakamuuwa tena walimuua usiku mtialiokuwa. Anakaa niilemitimilefu mweupe nilimshuhudia. Akiwa hai anamkatiza mjini nimlefuu kweli sijawahi ona nyoka kqmq Huyo tena alivyouliwa hakuwepo tena wanakuwaga adimu NA mchana hawaonekani hovyo
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 2 жыл бұрын
@@user-po8hz7xw9j huyo sasa ni nyoka kweli, hata mimi ni watanga mwenzio na niliwaji kukaa lindi huyo nyoka ana uwezo wa kigonga hata zaiya mara arobaini na anaegongwa na huyo kiumbe hana maisha na bahati mbaya nyengine ukimchokoza au ukijaribu kumuua halafu ukamshindwa ujue lazima akuue wewe hata ukiwahi kuingia ndani ya gari atajifunga popote pale ukisimama tu unajua umemkimbia tayari ukifungua tu mlango wa gari hata kabla ya kushuka anaweza akakugonga zaidi ya mara tatu na bado haondoki mpaka ufe hadi ahakikishe mapigo ya moyo yamesimama ni nyoka mwenyechuki na hasira sana ispokuwa huyu wa tabora ni kiumbe mwengine kabisa anaeonekana kwa umbo la nyoka huyu mtu wa nyoka kugongwa zaidi ya mara mbili asingeweza hata kunyanyua mguu kupiga hatua maana unapogongwa na nyoka koboko unapa short mwilini na mwili kuanza kifanya kazi vice versus kwa dakika tatu baada ya hapo maji ya mwilini hukauka na kupelekea damu kuganda, wakati nyoka wa kawaida sumu yake haina uwezo wa kukausha maji mwilini.
@horacemnyasa5400
@horacemnyasa5400 2 жыл бұрын
@@davidcurtis8556 😃
@InvocavityNdossi
@InvocavityNdossi 13 күн бұрын
Mh nimahajabu lakin tufanye maombi ndg zang
@jamessichimata36
@jamessichimata36 2 жыл бұрын
Tafadhari msimtoe huyo Nyoka
@IsayaShauri-kn6ef
@IsayaShauri-kn6ef Ай бұрын
Bibi kasema mwenye uwezo akamuondoe kama hawawezi wamuache😂
@chachawambura4030
@chachawambura4030 Ай бұрын
Sasa kama hadhuru mtu yanini kumsumbua nyoka wa watu.
@fadhiliissa2109
@fadhiliissa2109 2 жыл бұрын
Anakuambia badala ya kufa akatoka kwenye uji kwaiyo alikufa pia akafufuka mganga kapagawa had anachapia
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Unafanya mchezo na nyoka lazima achapie yule sio nyoka alowazoea ule mzimu atawapa tabu sana na wakiendelea kumchokoza atawamaliza wamuache tu
@suzanambatta1126
@suzanambatta1126 23 күн бұрын
Yupo sahihi amesema badala na si baada
@SalmaAbrahman-pe4ge
@SalmaAbrahman-pe4ge Ай бұрын
Bibi amesema wamtoe bila kumdhuru coz hajawahi muumiza mtuu hana mchongo ila ameona kama nyoka hajaleta madhara wasimuue kwann wamjeruhi? Na wanaweza kumchokoza then waumie wao
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Uyu bibi mumuuulize vizuri maana anateteya saana😁mwambieni bibi kwa upole2 akamchukue nyoka wake
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 2 жыл бұрын
Umemuonaeee pia mm nashaka nae
@abdulbora812
@abdulbora812 2 жыл бұрын
Hahaha
@dgffydyeu4014
@dgffydyeu4014 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@chuzilapweza6517
@chuzilapweza6517 2 жыл бұрын
Huyo bibi Nina shaka nae kidogo!!
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Wamemuingilia kwenye himaya yake waiteni watu wa madini wapime hapo chibi pengine pana madini wanakuwa kama nyoka wa mapango wa amboni hao.
@johnmushi8739
@johnmushi8739 2 жыл бұрын
Mliman city, 😉🥰
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 2 жыл бұрын
Sasa walimwengu kwanini munamtafuta muacheni uyo sio nyoka wa kawaida uyo ni jini muacheni na maisha yake
@burudaninamatukio5389
@burudaninamatukio5389 2 жыл бұрын
Watu wa maaliasili mkamtoe huyo nyoka au mpaka alete madharau ndio muanze kubwabwaja upumbavu wenu
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 2 ай бұрын
Bibi tumuombe ita wazee wenzako mjadili namna yakumtoa hiyo nyoka
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 2 жыл бұрын
SubhanAllah 😳😳😳🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️,Naomba Muendelezo Plz.
@fridamwenda5728
@fridamwenda5728 Жыл бұрын
Kama hamuwezi kumtoa bora mumuache msikilizeni bibi na wazee wengine wa hapo mshirikiane nao kimawazo
@ShitantaRashidy
@ShitantaRashidy 2 ай бұрын
Bb hajui bana ila mwulizen vzuri
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 2 ай бұрын
Huyu nyoka atakae muua lazima azulike
@singinggirl6554
@singinggirl6554 2 жыл бұрын
Tupe muendelezo wa hii taarifa kwa kweli
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 2 ай бұрын
Mbona mmekaa apo kwenye mwembe tena jaman uyo nyoka ayupo apo siniatali sana jaman
@ayeshiiddi302
@ayeshiiddi302 2 жыл бұрын
Atar sana
@isayakazimoto4826
@isayakazimoto4826 2 жыл бұрын
bibi acha utan na maisha ya watu, mchukue nyoma wako bhana
@hamidamnyika5866
@hamidamnyika5866 2 жыл бұрын
Mbna unawaza Kama mm
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
@@hamidamnyika5866 hahahahaha
@joharijohn7005
@joharijohn7005 2 жыл бұрын
Hata mimi nimewaza kuwa bibi anajua
@moonaamli6835
@moonaamli6835 2 жыл бұрын
Ahahahaaaaa na kweli amchukue Maana walikua Fisi Sasa washazuka Koboko
@Shadya-ju2el
@Shadya-ju2el 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32