JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI

  Рет қаралды 1,059,280

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Ibrahim Fadhili ni mkazi wa kata ya Magugu mkoani Manyara amekatwa masikio yake mawili pamoja na kuumizwa kwenye macho baada yakukutwa na mume wa binti aliyekuwa naye kwenye kichaka majira ya usiku akidai kuzungumza naye ili aweze kumsaidia kupata chuo

Пікірлер: 2 300
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 Ай бұрын
Zinaa mbaya mcheni Mungu,kuishi bila uzinzi inawezekana!
@nebatymwashiuya7588
@nebatymwashiuya7588 2 жыл бұрын
Kujificha kichani na mkeee wa mtu hongera kijana kwa kazi nzuri ili wakome kwa wake za watu
@williamgeorge150
@williamgeorge150 3 жыл бұрын
tulio oa tujuane hapa, yaan me napambana kwaajili ya familia yangu afu mjinga mmoja unaleta fyokofyoko iseeh sikuachi salama,maelezo yako yanaonesha wew ni mchepuko mmoja nyambafuuuu
@saumuissa4429
@saumuissa4429 3 жыл бұрын
Wanawake tuna mitihani mikubwa sana ww upo nyumbani umechoka na ujauzito mume anahangaika na vimada, mungu tusimamie wanawake wote
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Wasomaa comment mko wapii jameniii 🙄😂😂😂😂😂
@sofiaadihussain8968
@sofiaadihussain8968 3 жыл бұрын
Tupo 🤗😃
@rehemakasebele7240
@rehemakasebele7240 3 жыл бұрын
Tupo
@emmykiroma3230
@emmykiroma3230 3 жыл бұрын
Tupoooooo
@dgochuibra588
@dgochuibra588 2 ай бұрын
tupooo
@margrethmateru4812
@margrethmateru4812 3 жыл бұрын
Kaka mhuniii huyuuu etiii tutafute mda mpanaa!!! Woiiiii🤣🤣🤣wachaaa wamcharangee..
@elwinkomb9558
@elwinkomb9558 3 жыл бұрын
Umenichekesha....bila Shaka Ni waarusha
@shufaashabani998
@shufaashabani998 3 жыл бұрын
Alikuacha nini
@noelaonditi2453
@noelaonditi2453 3 жыл бұрын
😂😂😂
@cathe-wr7gb
@cathe-wr7gb 3 ай бұрын
😂😂😂
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 ай бұрын
Bora hakuliwa ndogo
@ramadhanisaidi5729
@ramadhanisaidi5729 3 жыл бұрын
Kama umegundua kua huyo mwanamke kapangwa na ndugu wa mume gonga like
@reginaldhhayuma6907
@reginaldhhayuma6907 3 жыл бұрын
Umesema vyema
@hamisizamiru9918
@hamisizamiru9918 3 жыл бұрын
Liko wazi uyo demu kapangwa na mshikaji😥😥
@stephanosimkoko630
@stephanosimkoko630 3 жыл бұрын
Ndivyo ilivyokua ila malipo ni hapahapa dunia.
@hancswalehe8653
@hancswalehe8653 3 жыл бұрын
Polesana swayiba
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Kabisa!!!
@simonmisri6968
@simonmisri6968 3 жыл бұрын
Kama umesikia kwenye minyaa na maziwa alibeba na alianza mahusiano baada ya ushauri kupeana like hapa
@boazambokile2587
@boazambokile2587 3 жыл бұрын
Kitupekee nacho kijua mke wa mtu siwezi kuchat naye na siwezi kumpa msaada wa siri pia kuonana naye usiku kichakani hiyo ni michepuko hakuna mipango
@maggieandrew995
@maggieandrew995 3 жыл бұрын
Khahahahah
@maggieandrew995
@maggieandrew995 3 жыл бұрын
Nimecheka kama mazuri
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 жыл бұрын
Kwaiyo sisi wake zawatu hatufai au?? 😂😂 minimehelewa hapa walikosea kuuafanya yasiri Kama ange mshirikisha mmeo yasinge mkuta
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Muongo huyu Happy muongooooo
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🏃🏃🏃🤝
@kamilusmgaya4806
@kamilusmgaya4806 3 жыл бұрын
Miladayo salut kwenu hadi magugu ninyi ni zaidi ya tv zote
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 3 жыл бұрын
Habari zao ni za kweli
@saidijuma3934
@saidijuma3934 2 жыл бұрын
Poresana bro
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 4 ай бұрын
Hakikaaa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
SHUKURU MUNGU HAKUKU UWA KWAUWEZO WA MUNGU KWA UWEZO WA MUNGU JE KWAUWEZO YA MUNGU MBONA ULIFANYA HAYO YOTE
@sadamumpepo3650
@sadamumpepo3650 3 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa,pole sana bro Mke wa mtu sumu usijisahau shukulu TU mungu umepona
@mrchakaboycosma7047
@mrchakaboycosma7047 3 жыл бұрын
Dunia imeisha hawana uluma
@user-kf6wy8gs1s
@user-kf6wy8gs1s 3 ай бұрын
Hakuna mke wa mtu hapo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@user-kf6wy8gs1shatakama ni mke wake atakata wanaume wenzie wangapi? Adili na mkewe
@emanuelmtenda6419
@emanuelmtenda6419 3 жыл бұрын
Solution. Mwanamke Malaya ni kumwacha tu, utakata masikio wangapi, na wewe maisha yako yatakuwa nikutafutwa na police tu
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 3 жыл бұрын
Jamaa anazungmza kama mapenda mungu😂 ila muache tamaa na mademu za watu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
huyo mdada kapanga inshu jike lenyewe sijaona hata uzuri wke hata alomkta c mme kazaa nae 2
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 жыл бұрын
@@heyumi2340 Uyu jamaa fundi inaonyesha anakula wake za watu sana kwa hiyo kakomeshwa
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@sweetbertrwiza5982 maelezo umesikiliza vizuri hapo hakuna mke wa mtu huyo jambazi habar zake umezisikia c mke huyo wacha kusema mke wa mtu
@rosetembe3785
@rosetembe3785 3 жыл бұрын
Waambie hao,watu wanagharamia etii
@gidioniezekieli9896
@gidioniezekieli9896 3 жыл бұрын
Mmmmmmh jmnn
@Conshamusic
@Conshamusic 3 жыл бұрын
Dah!!! Wakina Happy bhana sio powa 😂🤣🤣😂
@hamisizamiru9918
@hamisizamiru9918 3 жыл бұрын
Uyo mwenyewe anaonekana tyu ajatulia kuma uyo
@MonicaMhina-sf4pz
@MonicaMhina-sf4pz 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@sagayefamily5149
@sagayefamily5149 3 жыл бұрын
dada ni msema kweri,, ila ni mzinzi Sana..... Huyo kijana ni bonge la muongo.. Na kavuna alichopanda
@rosetembe3785
@rosetembe3785 3 жыл бұрын
Kuwa na huruma hata kidogo basi🤣🤣🤣🤣🤣
@jonacnkuni6353
@jonacnkuni6353 3 жыл бұрын
@@rosetembe3785 huruma gani?
@suzanamkate4676
@suzanamkate4676 3 жыл бұрын
Mke wa mtu sumuuu
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 3 жыл бұрын
HUYO DADA ALIPOOONA HUYO JAMAA ANAUWAWA AKAKIMBIA WHY? HAKUPIGA KELELE KUOMBA MSAADA???.?
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 жыл бұрын
Kama ulikuwa unaushauri mzuri,kwanini usingemuita aje nyumbani kwako mbele ya makeo?ila pole,sumu mke ya mutu
@gracerossiejohnny9887
@gracerossiejohnny9887 3 жыл бұрын
ETI...wapenda wake za watu
@ashamwamba9088
@ashamwamba9088 3 жыл бұрын
Ijamanii Polee
@winnerkaaya2488
@winnerkaaya2488 3 жыл бұрын
Duh
@khamissaid7394
@khamissaid7394 3 жыл бұрын
Nashangaa ushauli wa kweny nyasi
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 жыл бұрын
Kwenye minyaa,tena ucku
@paulmaro6708
@paulmaro6708 3 жыл бұрын
Pole sana kaka
@andrewsteven5375
@andrewsteven5375 3 жыл бұрын
Mke wa mtu asaidiwi kwa cho chote hatakama anakufa muache afe kwa usalama wako zaidi, sitakaa nikamsaidia mke wa mtu, Mungu anisaidie kwa hili.
@rahmadizer1744
@rahmadizer1744 3 жыл бұрын
We nisaidie mm bhana
@user-kf6wy8gs1s
@user-kf6wy8gs1s 3 ай бұрын
Hairuhusiwi kuwa falagha na mwanamke wa mtu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@user-kf6wy8gs1saliyataka mwenyewe
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 3 ай бұрын
Hahaaaa kwahiyo hata kama nidadako anauliwa na mumewe utamwacha hahaaa
@veronicasanga2126
@veronicasanga2126 3 жыл бұрын
Kumbe na ww mwanamke huna akili! Kama ulikuwa humtaki ilikuwaje uendelee kupanga mikakati ya kutana! Huna haya walla hujui vibaya
@bakarihamdouny1956
@bakarihamdouny1956 3 жыл бұрын
kweli kabisa mtu kama humwitaji usimvute uwe nae kalibu, alafu hao wote wanaonekana waongo washafanya yao sana tu....
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 3 жыл бұрын
Dahhh pole sana
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 3 жыл бұрын
Daaa pole sana
@barakamalipula9010
@barakamalipula9010 3 жыл бұрын
Mke wa mtu ni sumu😆😅🤣😂😃
@maximilanangila8762
@maximilanangila8762 3 жыл бұрын
Gospel in me,🎶🎺🎷🎤 kachimbe kisima chako mwenyewe unywe maji yako pekee yako...........
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 3 жыл бұрын
Hayo mambo ya vichakani na mke wa mtu sio powa kabisa bro. Eti tumekutwa heheheheehe
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 3 жыл бұрын
Saluti ayo Asante sana nashukuru kwa elimu hii
@migwa100
@migwa100 2 ай бұрын
Vijana kaeni mbali na wake za watu mna penda mteremko sana mwana mke akiolewa nimke wamtu kaambali nae wapo W 0:06 ana wake wana tafuta mwanaume umejitia kilema kitu hupendi usifanyie mwezako
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 3 жыл бұрын
Huyu msichana ndio chanzo cha yote,,cha msing akamatwe huyu msichana ili mume wake aje Kam anampend kwel huyo mke wake
@nemesshayo9370
@nemesshayo9370 3 жыл бұрын
Umekatwa sikio na bado unadai maziwaa hahahhaa brother haupo serious
@billocesamwel2637
@billocesamwel2637 3 жыл бұрын
Hahahaahaaaa nimecheka wiki nzima
@happinessm1919
@happinessm1919 3 жыл бұрын
Hahahahahahaha na simu akakumbuk kwamba kachukuliwa woiii
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 3 ай бұрын
Wachaga Bana hajaa
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 3 жыл бұрын
Subuhanallah uwiii,,,,,,,,,, mke wa mtu sumu haijalishi ni hawara ya mtu au mke halali lazima uheshimu Ona kilichokukuta sasa uzinzi siyo mzuri Nani atamuamini km kweli hawakua wazinifu
@boburasa6799
@boburasa6799 3 жыл бұрын
Ungefanikiwa kula mzigo akuna ambaye angejua umekula siku 39 atimaye 40 imefika pole mkuu
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
🤣🤣
@remiomar7154
@remiomar7154 3 жыл бұрын
Kulingana n maelezo y huyu kàka mm kama mdada hy mschana hii nijama walipànga kwanini akimbie bila kuita msaada
@ridhiwanikhalifa9036
@ridhiwanikhalifa9036 3 жыл бұрын
Nafikiri huyo dada ndio alipanga mchongo mzima
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 3 жыл бұрын
Remi omar YES UR ARE RIGHT NIMEWAZA HAYO HAYO KWA NINI ALIMWITA QSOGEE PEMBENI ZAIDI
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 3 жыл бұрын
SUBHANA Allah tusiwe hivi peleleza mke wako mume mkate miguu mkeo
@remiomar7154
@remiomar7154 3 жыл бұрын
@@salmaalbarwani2618 hvyo alivyojielza tuu utajuwa kunakitu kimejificha Kwa hy dada
@happyjohn7630
@happyjohn7630 3 жыл бұрын
Yes
@madamboss348
@madamboss348 3 жыл бұрын
Baba mtoto wangu siku zako zinafika umezoea mabibi za watu. I wish ungekuwa wewe
@princesstunda7307
@princesstunda7307 3 жыл бұрын
Usimuombee haya jaman muombee aache hayo mambo ya wake za wa2, ila pole dada.mana me bado sijaolewa na sijui uchungu wa hayo yote, ila hata mm mpenz wang akinicheat naumia😭😭😭😭
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
Wanakeraaa mi pia nimewaza sijui kwanin hawakat sikio zake mana kila siku ni wake za watu tu anankera akatwe hata moja
@julianapaulo7298
@julianapaulo7298 3 жыл бұрын
Daa pole madam boss
@omarymakota8252
@omarymakota8252 3 жыл бұрын
@@princesstunda7307 saiv atasikia vizuri
@billocesamwel2637
@billocesamwel2637 3 жыл бұрын
Madam nawe kuja kwangu
@habibaa9503
@habibaa9503 3 жыл бұрын
Subhanallah
@josephdomi9393
@josephdomi9393 3 жыл бұрын
Jamaa kaamua kumrudia mungu wake baada ya kupata zawadi ya uzinzi maisha yanaenda kasi sana
@eliyazacharia7660
@eliyazacharia7660 3 жыл бұрын
kosa lako wew ni kusimama na yeye kichochoron ata mim nikiwakuta sikuelew kabsa, msaada gan mpaka mjifiche bana sema mnajuana tu
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Umeona eee
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Umeona eee
@ndambajuma7077
@ndambajuma7077 3 жыл бұрын
Ww dada sio mstalabu kama alikuaidi inshu yachuo ulivyoona aeleweki ungeachana nae lakin umedeti nae miez miwili ukanogewa mpaka kumsaliti mme wako ww nimshez tu kama washez wengine jieshimu bas kwenye minyaa kweli je ? Ungeumwa namadudu ungesema nn mungu amekuzalilisha uache ushez wako
@muzyexperience
@muzyexperience 3 жыл бұрын
Jamani kuweni makini na haya mamboo ilaa tumpee Pole sana huyu jamaaa 🙏🙏🙏🙏 gonga like twend sawaa 🙌🙌
@nassorozubery7394
@nassorozubery7394 3 жыл бұрын
mambo,, au mamboo
@mwanahamisiabdi3320
@mwanahamisiabdi3320 3 жыл бұрын
Duuuu maskn
@user-ug9nl8lo1o
@user-ug9nl8lo1o 2 ай бұрын
Pole mdogo wangu, inaonekana, huko kwenu Kuna ugonjwa wa kuhisi kama huku kwetu Kigogo Mapera Dar,
@mimahmadau7442
@mimahmadau7442 3 жыл бұрын
Pole Sana Kaka Angu Huyo hapnes kakuponza Na ukome kuchat na wake zawatu ona sasa masikio huna 😭😭
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@mtitagirloriginal6890
@mtitagirloriginal6890 3 жыл бұрын
Mapenz yanauma Sana Ila na nyie wanaume tafuten pesa mtunze wake zenu khaa mnakaa na mke mpak anataman msàada na mtu mwingin
@justcenturion1275
@justcenturion1275 3 жыл бұрын
Shame on you. Did she marry coz of money. That's prostitution.
@shabanfitnesstv3977
@shabanfitnesstv3977 3 жыл бұрын
Pole kaka Ila statement ako ndg, sio, yaan kwenye minyaa, tena usiku giza na mke wa mtu? Kwanini sio mchana kweupe, ata kama mambo ya shule
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Hat kam ni usiku basi ingekua sehem ya uwazi ingepunguza makali
@shabanfitnesstv3977
@shabanfitnesstv3977 3 жыл бұрын
@@neemamayco3238 ndiyo, maana giza halafu kwenye minyaa, halafu ukimsikiliza huyo dada anadai wanamahusiano, maana izo za kukutana jion magengeni kigiza giza ziko sana. Izo ndo zinanifanya niwe single, maana akuna demu ako peke ake
@josephkomba64
@josephkomba64 3 жыл бұрын
Angekutana nae kwa Mme wke xaxa
@edenihighness8691
@edenihighness8691 3 жыл бұрын
Broo Happy kafunguka ukweli😂😂😂😂
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 жыл бұрын
SubhanAllah
@ashamwamba9088
@ashamwamba9088 3 жыл бұрын
.kama.nikwelii.niushahidi.mpaka.kwamungu..uyooo.wazinifu
@faithmlayda5306
@faithmlayda5306 3 жыл бұрын
Dah! Pole Bro haya ndo maisha but no way
@shadrackmajikwa4770
@shadrackmajikwa4770 3 жыл бұрын
Pole. Sana.
@lusiiddi6514
@lusiiddi6514 3 жыл бұрын
Pole sana
@davidkumulaga9419
@davidkumulaga9419 3 жыл бұрын
Mkuu..wew Ungemwita kwako ,,na ilo jambo ilitakiwa umshirikishe mkeo,,kwenye minnyaa,,afu mnaombana namba za simu za nin
@zainabuhamadi1363
@zainabuhamadi1363 3 жыл бұрын
hahaha muongo uyo
@abdirazaaqhussein3318
@abdirazaaqhussein3318 3 жыл бұрын
Funzo kwa wengine acheni kula mizigo ya watu sema kweli usiongopee umma
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Allah amsaidie🤔
@andrewmsofe6667
@andrewmsofe6667 3 жыл бұрын
Ifike mahali ujielewe akili hauna mbona unatudanganya wakati binti amefunguka kuwa unakula mzigo pumbavuuuuuuu
@cuhgds4320
@cuhgds4320 3 жыл бұрын
Poleni sana, i understand .
@user-hk1ci2yg8m
@user-hk1ci2yg8m Ай бұрын
Pole sana kaka yangu
@8pistons194
@8pistons194 3 жыл бұрын
Walikua wamekumbatiana wakiambiana mambo ya shule.Hahaha
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hatarrrrrrr
@doreencharles2836
@doreencharles2836 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aminamtikaonlinetv7305
@aminamtikaonlinetv7305 3 жыл бұрын
Hahahahaha..........nimecheka kwa sauti kubwa 🤣
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Mdada kasema walikuwa na mahusiano ya miezi 2 Basi wamkate masikio tu MKE WA MTU SUMU 🙏🏼
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 3 жыл бұрын
Mdada atawekewa biti aseme lile mumewe anataka
@tugabiz4286
@tugabiz4286 3 жыл бұрын
Labda ameamua kusema hivyo ili kumuokoa mume wake. Maana huo ushakua msala maelezo kupindishwa ni kitu cha kawaida kabisa kwenye kesi kama hizi.
@antiochiandyetabula960
@antiochiandyetabula960 3 жыл бұрын
Walikatilie mbali wanaume nisiyo kabisa
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 3 жыл бұрын
Huyu dada nae mshenzi Sana. Unamsaliti mumeo kwa ajili ya msaada???? Na kmaa kweli mumeo alikuahidi atakusomesha so ungevumilia. Inaonekana hata angekupeleka chuo bado ungeendelea kudanganywa na wengine wenye kipato zaidi ya mumeo kwa kisingizio unahitaji msaada??? Amaa kweli duniani Kuna mambo
@estherimbotsi7553
@estherimbotsi7553 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@jumaothman9449
@jumaothman9449 3 жыл бұрын
Pole sana broo
@emmatz5251
@emmatz5251 3 жыл бұрын
Shukuru uyoo kakukata masikio, ingekuwa mm kifungo cha maisha kingenihusu
@jamilakangezi4640
@jamilakangezi4640 3 жыл бұрын
🤣🤣🙌🙌nimecheka kama mazuri,kaamua kukata masikio kwasbb hayasikii🤣🤣pole sana kaka yote maisha🙏
@judithoyier7100
@judithoyier7100 3 жыл бұрын
Nmecheka jamani
@rachelphilbert7394
@rachelphilbert7394 2 жыл бұрын
Umenichekesha ati hayasikii
@wiliminajustin7636
@wiliminajustin7636 2 жыл бұрын
Ahaaa
@user-ou9sq6dl9b
@user-ou9sq6dl9b 3 ай бұрын
Hahahaha hahahaha hayasikii!!!!
@salha.d5060
@salha.d5060 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kanifurahisha huyu Dada kwa ukweli wake pole bro yataota mengine.
@janemsigwa7343
@janemsigwa7343 3 жыл бұрын
Yataota Lin hayo masikio duuuu
@fredrickbuteye7153
@fredrickbuteye7153 3 жыл бұрын
😆😆😆yataota mengine
@Angeltryphone
@Angeltryphone 3 жыл бұрын
@salha.d chizi wewe😂😂😂
@mudykai4950
@mudykai4950 3 жыл бұрын
Ahhhhhhh salha umeua duu yataota vp au aanze kumwagilia maji yachipue.🤣🤣🤣
@amosyohana5351
@amosyohana5351 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ednanyangoro924
@ednanyangoro924 2 жыл бұрын
Wewe mtoto Mwenyenzi Mungu anakuona wewe!!!!! Acha uongo!! Dhambi sana!!!
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 жыл бұрын
Nanyinyi wanawake mnasumbua sana. Mimi Kuna mwanamke tulijuana fb, nikamtongoza akagubali anakaa mbalikidogo, Sasa tumeanza mahusianotu yakwemye cm nabado hatujaonana huyumwanamke kanipenda mpaka ananitumia picha zake zachumbani. Saanyi gine anajirekodi yukouchi anachezea kisimi Sasa juzi nimetumia sms haikujibiwa badae nikapigiwa namba ngeni kumbe nimmewake. Wakati Mimi najua hajaolewa Yaani wanawake? Nimasjetani kabisa
@sethkavenuke123
@sethkavenuke123 3 жыл бұрын
Huyu kweli kafumaniwa kweli,wangeenda kuongelea kwake na mkewe akiwepo, why vichaka?
@maderden7076
@maderden7076 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/fZ9gi7CEt6zFd4E.html
@agneskapwani3484
@agneskapwani3484 3 жыл бұрын
Kwann asimshirikishe mkewe
@venencemgani6099
@venencemgani6099 3 жыл бұрын
Mmmmm jamani nani aujuaye moyo wa mtu
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 жыл бұрын
Kafumaniwa huyo tena mshenzi sana mkewe ana mimba kamuacha nyumbani kaenda kucheat na mke wa mwenzie
@user-gv4sp6ut5b
@user-gv4sp6ut5b 3 ай бұрын
Pole
@everiusbyalushengo9197
@everiusbyalushengo9197 3 ай бұрын
Safi san
@daudiminde8496
@daudiminde8496 3 жыл бұрын
Mbona mmemuachia pua mngekata na hiyo pua kabisa mamae 😂😂😂
@judithsalufu5688
@judithsalufu5688 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mudykai4950
@mudykai4950 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 noma sana
@drwebangila
@drwebangila 3 жыл бұрын
Excellent story balancing. Jamaa alikuwa anachepuka na mke wa mtu
@sumeiyatatumohammed2608
@sumeiyatatumohammed2608 3 жыл бұрын
Ulikuwa ni mtego huo 🇰🇪🇰🇪
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 3 жыл бұрын
Pole sana Kaka,Mungu atakuponya na ubarikiwe kwa kutoa msaada maana Mungu anakuona sirini mwako ila ushauri tu siku nyingine ukitoa msaada kwa mtu msijifiche vichakani na pia umshirkishe mkeo
@huseinikaji8208
@huseinikaji8208 3 жыл бұрын
Mwenye kujiingizia kwenye shakabasi amejiingiza kwenye haramu wewe msaada kwende minyaa tena wa masomo afadhali angekuwa mgonjwa au mtu aliyepata ajali hata ningekuwa mimi nisingekubali
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Duh sina la kusema 🙏🙏
@sniperinktattoo1407
@sniperinktattoo1407 3 жыл бұрын
wote ni wazinzi tu hao
@gilongachristian1740
@gilongachristian1740 3 жыл бұрын
Haaaaahhh
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
Umeonaee🤣🤣
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 жыл бұрын
Na sawa sawa alivyokatwa masikio yaani mda huo baada kukaa na mkewe tena ni mjamzito akimliwaza kaenda kufanya uzinzi na mke wa mtu jamaa hatosheki looh hapewi pole mwenye kilanga
@ditrickmilinga1054
@ditrickmilinga1054 3 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu..Mungu akuponye..
@user-bg1uf8ws6p
@user-bg1uf8ws6p 3 ай бұрын
Alaaaa
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Daaah 😥 Pole Sanaa broo ila ukweli nahisi huyo binti mlikuwa na mahusiano ya kimapenz nyny bhn,,Haiwezekan mtu aje akuvamie na kukutaka masikio 🙄
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 3 жыл бұрын
Hata mm nahisi hivyo
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Kwel mzee umefanyiwa ukatili Sanaa ilaa ndo ujue mkee wa mtu sumu mbwaa wew maana mkiambiwa hamsikii
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@jamalahmed7057 huo ndyo ukwel Kaka huyo jamaa alkuwa anamnyaduwa mke wa mtu
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@Teacher_01 mke wa mtu sumu kwel 😂😂😂
@lwitmwamba1732
@lwitmwamba1732 3 жыл бұрын
Naww mwenyewe nichanzo unafanyaje siri namke wamtu afu vichochoroni kua naakili utakufa
@msetikebwasi1469
@msetikebwasi1469 3 жыл бұрын
Ni mshenzi kabisa ogopa sana kutombewa.
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
@@msetikebwasi1469 😲🙄🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤝
@msetikebwasi1469
@msetikebwasi1469 3 жыл бұрын
@@beera.g5302 yani huwa ni zaidi ya machungu dada.
@lellovenance5702
@lellovenance5702 Ай бұрын
Shida jamaa kaoa mke mzuri, Sana nzi wanamzungukia
@fairamkhan4744
@fairamkhan4744 3 жыл бұрын
Weuweee magugu ake ayo tv big sharaut kwenu
@kamilusmgaya4806
@kamilusmgaya4806 3 жыл бұрын
Mtu wa mtu nisumu ila jamaa alikuwa anamla huyo demu
@faithsumukwo2113
@faithsumukwo2113 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 aki ww 🤣
@marcoisaack9811
@marcoisaack9811 3 жыл бұрын
Jaman jamani nakumbuka nikiwa na miaka 9 yaan cjabalee niliona jamaa mmoja anapigwa kisa mke wa mtu nikasema nikiwa mkubwa ctaki mke wa mtu hadi kufa kwangu.wewe ni mwana kulifindi ni mwanakuligeti
@mjelwajackson2346
@mjelwajackson2346 3 жыл бұрын
Hata mimi boy nilishawai kuona mtu anapigwa kisa fumaniz ,nakumbuka nilimwambia mama sitokuja kutembea na mke wa mtu
@zainabuathumani2703
@zainabuathumani2703 3 жыл бұрын
Pola
@rosetembe3785
@rosetembe3785 3 жыл бұрын
Acha kabisa mwana
@user-kf6wy8gs1s
@user-kf6wy8gs1s 3 ай бұрын
Kwa maelezo ya mwanamke hakusema huyo ni mumewe bali ni baba watoto msiseme mume huyo ni mzinifu tu
@user-kf6wy8gs1s
@user-kf6wy8gs1s 3 ай бұрын
Wote wawili ni wazinifu watupu hakuna mume hapo vip mnasema mume kwenye ndoa mlikuwepo?
@muxxacaxxan9535
@muxxacaxxan9535 3 жыл бұрын
Nic
@muxxacaxxan9535
@muxxacaxxan9535 3 жыл бұрын
Chuma ya jexh
@sabraomar9638
@sabraomar9638 3 жыл бұрын
Dah pole Sana broo ndio mitahn hy il saiv usiwamin tn wat asilimia 💯
@ntalepselestine7529
@ntalepselestine7529 2 жыл бұрын
Pole San kak
@chrispinchristopher3914
@chrispinchristopher3914 3 жыл бұрын
Duuuu,haya mambo so powa nimekoma Mimi kutembea na wake za watu,kama unaamini kuwa Mimi nitaacha hii tabia gonga like japo Mimi sina tabia hiyo,
@hamiskengwa6148
@hamiskengwa6148 3 жыл бұрын
🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@manchejameselias1537
@manchejameselias1537 3 жыл бұрын
Acha mke ya m2
@halimamuhamed6060
@halimamuhamed6060 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 akiiiiiii jaman ww ucseme huna ss utaachaje km huna
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k 8 күн бұрын
Mpk wakukate iyo chururu ndo utaacha
@eviepretty2646
@eviepretty2646 3 жыл бұрын
Mmh pole bro lakin mngeend sehem ya wazi bana jamaaa alikuw analinda utamu wake 👌
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 3 жыл бұрын
Wew mkuu umekutwa juu ya mzigoni bna acha kumchelewesha miladi ayo na mambo yake mshukuru mungu ujauawa make una bahati Sana broo
@abduljuma2147
@abduljuma2147 3 жыл бұрын
Na masikio hana ataambia watu nini
@vodaphone9825
@vodaphone9825 3 жыл бұрын
Yaani Mimi natamani kuwa polisi kwa sababu nipo tayari kujitoa hata mwili wangu lakini lazima niwatete wananchi yaani mtu anafanya uhalifu kama huo alafu polisi wananyamaza duh kwa kweli mweshimiwa rais hawatungui bure rais wangu watumbue hao embu mliopewa mamlaka wasaidieni wananchi hiyo kazi mmepewa na mwenyenzi mungu
@user-sg7tr9fl5q
@user-sg7tr9fl5q 3 ай бұрын
Ulikuwa unataka kusemaje nikielewe
@livingstonesariah7765
@livingstonesariah7765 3 жыл бұрын
Hilo ni fumanizi kama mafumanizi mengine... Kama unaungana na mawazo yangu nipe Like👇
@user-sg7tr9fl5q
@user-sg7tr9fl5q 3 ай бұрын
Hyu jamaaa ni malaya umbwa wewe ungekufa tu kabisa tena amekuonea huruma
@user-sg7tr9fl5q
@user-sg7tr9fl5q 3 ай бұрын
Yani wewe wewe wewe unastahili kufaa bila huruma angekutoa shingo pembeni na kuhakikishaa mboro imekatwa na kutopwa motoni
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 3 жыл бұрын
Kwa namna yyte ile,mhusika ANATAKIWA AKAMATWE haijalishi walikua wana UHUSIANO or not
@billocesamwel2637
@billocesamwel2637 3 жыл бұрын
Ila yeye kampatia Tuition
@livingmunisi5963
@livingmunisi5963 3 жыл бұрын
Mke wa mtu sumu bro
@kastokyando5347
@kastokyando5347 3 жыл бұрын
Pole sana ndg Mwamini Mungu
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 жыл бұрын
Dada km unasema uwongo ipo cku utauliwa na wew au ukatwe kisimi chako
@ruthmariki5731
@ruthmariki5731 3 жыл бұрын
haaaaaa
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maryamkenya1306
@maryamkenya1306 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Huyu msichana amemuuza jameni 😂😂😂😂😂
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 3 жыл бұрын
Nikweli walipa gana nahuyo jama wake
@sophiangena6104
@sophiangena6104 3 жыл бұрын
Watanzaniaaaaaa mtaniua duuuuh when I think I've seen them all then boom.
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 4 ай бұрын
Pole sn kakaangu Allah akuponye wema umekuponza hujafa hujaumbika kwakwel
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 3 жыл бұрын
Dah!! Kweli hujafa ujaumbika pole sana Kaka Kwa kupata ulemavu Kwa sababu ya wema wako mda mwingine huruma inaponza
@themoneytalktmt6521
@themoneytalktmt6521 3 жыл бұрын
Next time utakatwa chululu.! Mazoea na mke/mme wa mtu mwiko.
@linahedward6873
@linahedward6873 3 жыл бұрын
Hahaha umenichekeshaa wewe atakatwa kweliu
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 3 жыл бұрын
Hahahaha AAA chululu tena anayejua chululuuuuuuuu🤣🤣🤣
@tinasulle101
@tinasulle101 3 жыл бұрын
Hahahaha
@pyuritjuvenal7657
@pyuritjuvenal7657 3 жыл бұрын
Hahhahaahhahahahahahaahh hahaahhhahahah uwi 😃😂
@dianamsigo4531
@dianamsigo4531 3 жыл бұрын
Pole kaka
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 3 ай бұрын
Wewe ni mjinga sana unamsaidiaje mwanamke usiku kwenye minyaa, ungekua na nia nzuri ungemsaidia huyo binti nyumbani kwako mbele ya mke wako hilo ni fundisho
@danmanga7749
@danmanga7749 3 жыл бұрын
Yaan muongo ni muongo tu bora wangekuua tu wewe malaya
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 3 жыл бұрын
Kiujumla huyu hapy hana adabu unachati na mtu hapo hapo kijijini ulioyataka ndio hayo kwanini uliolewa ikiwa bado unauhitaji mshamba kweli wewe.siungeenda mjini babati mukamatwe vizur😂🤣🤣🤣
@madamboss348
@madamboss348 3 жыл бұрын
I support u
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Malaya nani hapo, Demu au Msela?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Mmmmmh kweli mke wa mtu sumu..duh..pole zake,si ni hayo maskio hayaskii eeeh?ngoja wayatoe..binadamu wabaya....Mungu amtie nguvu
@zakirazakira7469
@zakirazakira7469 3 жыл бұрын
😃 😃 😃 Jamani
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 3 жыл бұрын
Amtie nguvu ya nini ili aendelee kuiba wake za watu?
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 3 жыл бұрын
Pole kaka heeeee si kumkata masikio
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 3 жыл бұрын
Huyo binti alikuwa pamoja na mumewe loooh
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 3 жыл бұрын
😃😃😃😃asitudanganye wanakulana hao
@rebecasteven709
@rebecasteven709 3 жыл бұрын
Mmhh dunia Haina huruma jamani,Mungu tusaidie😭😭
@nasserianmichael2161
@nasserianmichael2161 3 жыл бұрын
Yaani mdogo wangu mwishoni huyo kaka atakuuwa wewe kashazoea kuona damu za watu, lakini jamani mke wa mtu na mume wa mtu jamani kwa nini kufanya hivyo?
@peterdaniels8406
@peterdaniels8406 3 жыл бұрын
dogo sere
@geofreymsigala5217
@geofreymsigala5217 3 жыл бұрын
Bora ulikatwa masikio Mimi ningekutoa uhai
@estermbise1450
@estermbise1450 3 жыл бұрын
duh aliekatwa masikio pamoja na huyo demu (sukuma ndani washenzi kbx)
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Pole sana!!
@simonkitwenga4065
@simonkitwenga4065 2 жыл бұрын
Pole bro
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Uuuwi pole kaka duh
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 89 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 16 МЛН
Paulo Siria vs Rose Muhando - CHOMBO CHAKO
7:33
Paulo Siria
Рет қаралды 6 МЛН
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 33 М.