No video

NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 180, MBWENI MPIJI

  Рет қаралды 152,451

DalaliMwanamke

DalaliMwanamke

Күн бұрын

NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBWENI MPIJI
_______________
MTAA MZURI BARABARA SAFI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE #LIMEPIMWA CORNER PLOT-#SQM600
________________
NYARAKA ZA UMILIKI NYUMBA INA-#HATI SAFI
_______________
NYUMBA MPYA YA KISASA
___________
YA FAMILIA KUBWA
______________
INAJITEGEMEA
_______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala viwili katiyavyo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#Fencedhouse
________________________
BEI INAUZWA TSHS MIL 180 MTEJA ANAKABIDHIWA IKIWA IMEKAMILIKA KILA KITU KAMA ILIVYO MTEJA AKIHITAJI WATAKAA CHINI KUYAJENGA
_____________________
BY THA WAY NYUMBA NI NZURI SANA MPYA YA KUHAMIA ALMOST 95% IMEKAMILIKA, VILIVYOBAKI NI SOME SMALL FINISHING LIKE:-#Makabati ya jikoni, #Sink za vyooni plus #Milango miwili ya entrance vibaraza vya kuingia sebuleni na jikoni
___________________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
_______________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_________
PIA TUNAHAMISHA VITU, KUFANYA USAFI WA NYUMBA, KUBEBA NA KUSAFIRISHA MIZIGO AINA YOTE NDANI/NJE YA NCHI #MoveSafewithus @Dalalimwanamke_movingservices
______
4 THE BEST MC Follow MC Mtaenjoy 🎤 bit.ly/2y2XlAI

Пікірлер: 193
@issaissa8572
@issaissa8572 4 жыл бұрын
Nyumba iko sawa ila shida kiuno kiko chini sana namaanisha msingi
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Dah nyumba n nzr snAa iaseeee pesa tu nd sinaa. 😭😭😭😭😭😭😢😢
@ahlaamamy9342
@ahlaamamy9342 4 жыл бұрын
Nyumba inavyoo viwili tu! Na nindogo kwa familia ikiwa zaidi ya watoto watatu
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Sasa kama uzazi wako wa kiarabu jenga Kasri.....kimjini mjini uzazi wa mpango hiyo nyumba safi kabisa.
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 4 жыл бұрын
Nyumba ni nzuri saaana, Japo vyoo ni vidogo.
@zuhura.suleimanmwamwari3083
@zuhura.suleimanmwamwari3083 Жыл бұрын
Beautiful house
@hamadshein8272
@hamadshein8272 4 жыл бұрын
Haya mambo anayaweza dokta Shika.cwe tupo hoi
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 жыл бұрын
Hamad Shein ah ah ah
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙉
@Sppah697
@Sppah697 4 жыл бұрын
Kakinii, paa( roof) limesijeq sana ndani kwa hiyo mvuwa ikinyssgs inskuwaje! Je hilo ni tatizo ndo maana nyumba inauzwa!
@mawazomwamba7503
@mawazomwamba7503 4 жыл бұрын
Nimeipenda sema tu Uwezo sina Mimi. Ninge inunuwa
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Ramani nzuri ’ ila kajumba kameharibiwa na mafundi katika kukadiria PARTITION...!
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
🙄
@marcominja8850
@marcominja8850 4 жыл бұрын
Dalali video zako nyingi una maneno yasiyopendeza ya kihuni, jaribu kujibrand vizuri
@AHMEDHASSAN-pq9tg
@AHMEDHASSAN-pq9tg 4 жыл бұрын
anajiita dalali wa kike na ni mume
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 3 жыл бұрын
Mbona fupi sana,afu bei kubwa na inavuja hiyo.bei haiendani kbsa
@healthylivingdr.nteboya2778
@healthylivingdr.nteboya2778 4 жыл бұрын
Ongera nyumba ni nzuri
@lelyafriaq4240
@lelyafriaq4240 4 жыл бұрын
Mbeni kunamafuriko hatari
@rukiaodell1922
@rukiaodell1922 2 жыл бұрын
Naitaka
@kennedyjohn6788
@kennedyjohn6788 4 жыл бұрын
Nyumba ninzuri lakini maeneo hayo nimafuriko kipindi cha masika
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Nyumba nzuri .
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 4 жыл бұрын
Mbweni no maeneo Ya majambazi Halifai
@nurisahim7898
@nurisahim7898 4 жыл бұрын
Huyu aliejenga hii nyumba anapesa kwel lkn hajajua kujenga nyumba ya kisasa
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
🙄
@amenlazimakieleweke1143
@amenlazimakieleweke1143 4 жыл бұрын
Wewe unangapi umejenga kama sio unafiki tuu
@barakaelyheartigodson5647
@barakaelyheartigodson5647 4 жыл бұрын
Nuri Sahim mavi kweli ww ya kwako iko wapi mchawi wewe
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
Gharama zilizoingia hapo mie namjeangea 6 MASTER bed rooms zote na hela inabaki... Nasema hivyo nikiwa naijenga nyumba ya nne kwa sasa.
@albertchuma4313
@albertchuma4313 4 жыл бұрын
@@kyaro5945 wewe ni mjenzi au ni mmiliki wa nyumba za dizain hiyo, maana nilikuwa nahitaji ramani ya nyumba ya 8 bedroom ya chini isiwe na flor
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Nyumba nzuri sana? Ila iko chini chini sana na imepakana sana na majirani
@sinzoshabani6855
@sinzoshabani6855 4 жыл бұрын
Vero unataka kuishi pekeyako bila Jirani mmmmmmm kazi
@paulinasemindu3999
@paulinasemindu3999 4 жыл бұрын
ee mungu lini mm mnyonge ntakuja kuishi nyumba kama hy?c nahis kufa cku hiyo jmn😭
@amriharuna4236
@amriharuna4236 4 жыл бұрын
Umenifanya nicheke
@paulinasemindu3999
@paulinasemindu3999 4 жыл бұрын
@@amriharuna4236 😂😂
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 4 жыл бұрын
😅😅😅
@paulinasemindu3999
@paulinasemindu3999 4 жыл бұрын
@@samsungj7pro64gb5 😂
@mtorosaidkassim9587
@mtorosaidkassim9587 4 жыл бұрын
Haya tena wenyewe uwezo wenu Sisi wengi tunasubir makaburi Tu
@pascaljuma9624
@pascaljuma9624 4 жыл бұрын
Acha izo kwan wenyew walizariwa navyo
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 4 жыл бұрын
Mtoro said useme ivo insha'Allah utaipata na weye
@mtorosaidkassim9587
@mtorosaidkassim9587 4 жыл бұрын
Ishallah
@JanethMadios
@JanethMadios 3 ай бұрын
Kwanini unajinenea hayo?????? Jinenee yaliyomema na MUNGU atayabariki
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 жыл бұрын
Yaani sisi watanzania sijui tupoje kwanini huwa tunapenda kubanana kiasi hiki mm siwezi kujenga nyumba kama hivyo kwenye kiwanja wasi wasi kama hicho
@yasmindesmangles3642
@yasmindesmangles3642 4 жыл бұрын
Looking for a home by the beach or lake or both . Can u please make videos for homes by the beach or lake or both please..
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Mm nipo ZnZ ila na hiyo nyumba nimeipenda lakn nita2ma m2 kuja kuangalia hilo eneo la huo mtaa lilivyo coz cjazunguka sannaa eneo la Dar mm sana ni kufika kariakoo na maeneo mengn pa1 na baadhi ya mikoa kwa suala la biashara zng mana nimesoma com. za wa2 zimenish2wa kidg kuhusu kipind cha mvua,,sasa atakuja m2 wng ninaemuwamini akiridhika nitakuandikia No. zng hapo ili 2tafutane... IN-SHA ALLAH kazi njemaa..
@agriparose3942
@agriparose3942 4 жыл бұрын
ally kutenga nitume mimi 🤣
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Agripa Rose;Sio mbaya coz mm kila nikipata wazawa kabs inakuwa afadhali sabab mm c mkaaji saana wa Dar,,Mm sana nipo ZnZ nyumbn na baadhi ya mikoa yani nikishuka hap Dar cfikishi kukaa hata waiki 2 yaani tokea nianze kuingiya Dar ilikuwa 2010 ndo nimekaa saana ni mwezi mmoja tena hiyo ilikuwa ni mara 1 tuu..Sasa tatz linakuja mm ckujui wala siijui background yako sasa nitakuamini vp?? mana hilo jiji nalijuwa na nashkuru nishatembea nchi nyng tena zingine majiji yao yana wahuni hilo la Dar ni mtt,,hapo ndo tatz mana unaweza kumwamini m2 nae pia akanunuliwa kwa tamaa za waja wa ulimwengu wa sasaaa..,,.. Hilo ndo Tatz.
@agriparose3942
@agriparose3942 4 жыл бұрын
Nitumie no au email yako..naogopa yangu kuiweka hapo sijui tutawasiliana vipi kaka angu
@agriparose3942
@agriparose3942 4 жыл бұрын
0620556423
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
Ogopa replies za matapeli hao reply ni yangu tuu ndo muhusika wa channel hii 0718936416 nipigie for more informations
@allexmbayayee5346
@allexmbayayee5346 Ай бұрын
Nambie ya cm naomba
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 4 жыл бұрын
Message from USA I'm ready for $120. Nduguyagu wa.tanzania 🇺🇸🏈
@mrsmrsjj1745
@mrsmrsjj1745 4 жыл бұрын
Ingekuwa yng yumba haina ata mvuto iyo kuanziandani mpk nnje 0 distans kiasi uiize sjui ulikuwa unatumiza watu tu hhhhh pole sana kaka
@khalekichambo2143
@khalekichambo2143 4 жыл бұрын
Nice house
@adelal-asbahi6627
@adelal-asbahi6627 4 жыл бұрын
Kwa maoneni yangu, kwanini uwe una kiwanja kikubwa halafu nyumba unaibana. Vyumba vidogo hata furniture huwezi kuweka
@josephchale1977
@josephchale1977 3 жыл бұрын
Very true,, pembeni na nyuma ya nyumba ni so narrow
@nomusanokwanda7967
@nomusanokwanda7967 3 жыл бұрын
Mwanetu wew unazingua kichiz
@najmaawadh1359
@najmaawadh1359 3 жыл бұрын
Mm nimependa kwa kweli
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 жыл бұрын
nyumba nzuli kweli jamani acha tupambane tu
@rosewabiwa5628
@rosewabiwa5628 Жыл бұрын
Mujaribu kuweka bai kwa dollars pia
@wahidaismail503
@wahidaismail503 4 жыл бұрын
Nyumba fupi sana
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 жыл бұрын
Ipo 150k mkuu tusaidiane basi
@gm7045
@gm7045 4 жыл бұрын
Old school
@lelyafriaq4240
@lelyafriaq4240 4 жыл бұрын
Kipindichamvua mafurikooo twapajua mbeni hatari
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 жыл бұрын
Nyumba kali kweli
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 4 жыл бұрын
Ila nyumba ni fupi hiyo kwenda juu
@tp-kh8hl
@tp-kh8hl 3 жыл бұрын
Wwe unataka ndefu umeambiwa ni kanisa Hilo!?...au Jenga ghorafa
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
vyoo vichochoro hakuna hata sehemu zakuweka vikabati na shower tray
@yuandemask2092
@yuandemask2092 3 жыл бұрын
VIP bado haijaizwa
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Nzuri sana
@abdallaomari7474
@abdallaomari7474 4 жыл бұрын
Kaka nyumba safi Mia sitini keshi na a.arizie na matengenezo je utachukuwa Mimi nipo sauzi nimeipenda ni mtazania nimekujatuuku
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 3 жыл бұрын
Mmmh!hiyo nyumba utalia kaka yangu.usipende nyumba ya kununua hizi nyumba zina shida.
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 2 жыл бұрын
Hata 70 upati
@aliomarjuma5174
@aliomarjuma5174 4 жыл бұрын
Nyumba nzr sana
@wakaliband8923
@wakaliband8923 3 жыл бұрын
Ngapi hiyiii
@kelvincolman9796
@kelvincolman9796 4 жыл бұрын
Mmiiii naaaaa milioniiii30
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 4 жыл бұрын
Oy kula M 70 chapu, , hapo Mafuriko juu yangu
@kelvincolman9796
@kelvincolman9796 4 жыл бұрын
Mmiiii Naaaaa ml30
@husseinhaulle3678
@husseinhaulle3678 3 жыл бұрын
Namba yako ndugu tuonge
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 4 жыл бұрын
Pembeni kaibana sana alikua asiibane kiasi hicho pembeni
@lungusii
@lungusii 4 жыл бұрын
Kwa 180M iko way tooo far
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
Unadhani inaweza kugharimu kiasi gani? Unazikumbuka zile nyumba za NSSF na NHC? Hehehehee
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Atamimi natamani nyumba sinauwezo
@kingkendrickk
@kingkendrickk 4 жыл бұрын
Overpriced
@mrspecial8334
@mrspecial8334 4 жыл бұрын
Nyumba nzur ila fupi sana na ikisha iko maeneo ya mafuriko na pesa ndefu sana hiyo unayouza
@mtumwaharunaally7255
@mtumwaharunaally7255 4 жыл бұрын
Bei kubwa
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 4 жыл бұрын
Nyumba ni nzri lkn vyumba na vyoo kidogo ni mtihani. Pia naona IPO chini I mean haikunyanyuliwa juu . Good luck 👍
@zaituniminaduu3326
@zaituniminaduu3326 3 жыл бұрын
Sio ya kisasa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Mmmhhhhh ngoja tusubiri wakati wa masika ndio tununue
@albs1448
@albs1448 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
ulijuaje man?
@davicekombe4932
@davicekombe4932 4 жыл бұрын
Usikute mvua ikinyeesha maji yote ndani
@samirasamira455
@samirasamira455 4 жыл бұрын
The house is nice but bathroom very small and the rooms no Wardrobe 😌
@kingnicky2568
@kingnicky2568 4 жыл бұрын
Sebule yenyew kma chumba changu
@najmaawadh1359
@najmaawadh1359 3 жыл бұрын
Aa natokea kenya na nimetokea kuipenda nyumba swali ni hiyo pesa milioni mia moja thamanini kenya money ni pesa ngapi pili Niya uhakika iko na hati na haina shida naomba jibu lenu plzzz
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Pesa hatuna ndiyo tatizo
@joycemaimu7265
@joycemaimu7265 4 жыл бұрын
Tatizo maji kipindi cha mvua mnageuka kambale
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 good 👍 👍👍 👍
@mrsmrsjj1745
@mrsmrsjj1745 4 жыл бұрын
Lkn kipindi cha jua c unarud kuwa binaadam wa kawaida
@songambelesonga2208
@songambelesonga2208 4 жыл бұрын
Kwa Iyo bei munge weka na gari Ndogo ndio vinaendana
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 4 жыл бұрын
Haaaaaaa!!!! Mbavu zangu
@aminachaulaya278
@aminachaulaya278 4 жыл бұрын
Mimi naitaka
@sheikhalumbalambaka6213
@sheikhalumbalambaka6213 3 ай бұрын
Bado ipo?
@kulwapaul2721
@kulwapaul2721 4 жыл бұрын
Wewe kunamafuliko huko
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
maji yanajaa sana nini huko!!!?
@Pyb777
@Pyb777 4 жыл бұрын
How far is the nearest beach and airport? What is the area called?
@mrspecial8334
@mrspecial8334 4 жыл бұрын
Ina vyoo viwili tu au
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 жыл бұрын
daah nyumba nzuri sana hiyo
@rauhiyaadil6789
@rauhiyaadil6789 4 жыл бұрын
Nzuri xana
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Choo cha nje hamna?au cha wageni
@bihidaya923
@bihidaya923 4 жыл бұрын
Cc wengine labda iyo tuipate pepon
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 4 жыл бұрын
Ya Mungu nimengi usikate tamaa.wapo waliodhani kama wewe lakini leo hii wanaishi kibabe..maishani lazima kuwa na hope.Mungu halali.
@madgaleinebukuru6572
@madgaleinebukuru6572 4 жыл бұрын
Naitaka iyo
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Madgaleine Bukuru inununue baby tuje kuishi
@johnkenneth4720
@johnkenneth4720 4 жыл бұрын
Bei ndogo sana ongeza bei. Kuna milioni 5000 hapa.
@juliusmidodo1686
@juliusmidodo1686 4 жыл бұрын
How can I buy it? I'm from kenya can i own house in tz. I'm interested kindly contact me on this number. ±254722443417
@geoffreychurchkayora1230
@geoffreychurchkayora1230 4 жыл бұрын
Ushauri wangu nunua gimble crane ikusaidie kushikia an yako unapotembea
@rizikimsingili330
@rizikimsingili330 4 жыл бұрын
Nyumban nimeipenda ila being IPO juu sana chukua 110
@mamaikram9612
@mamaikram9612 4 жыл бұрын
Mmmmmh unayo iyo 110
@eyeonnature4022
@eyeonnature4022 4 жыл бұрын
@@mamaikram9612 hahaha
@mrsmrsjj1745
@mrsmrsjj1745 4 жыл бұрын
Hahaaaàa
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 жыл бұрын
Hahahahahahaha
@yuandemask2092
@yuandemask2092 3 жыл бұрын
Kama haijauzwa nambie
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Dalali kaeka chake cha juuu hapo kama kawaida 😅
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 жыл бұрын
Hicho kichochora kimeniuzi
@mariamuyusuf3642
@mariamuyusuf3642 4 жыл бұрын
Ipo daar amawp
@mohamedahmad3137
@mohamedahmad3137 4 жыл бұрын
Hadi sasa bado ipo au tiar ishachukuliwa
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
Ipo boss
@zonko0488
@zonko0488 4 жыл бұрын
Huku Mbweni Mpiji si ndio kuna jaa maji wakati wa mvua??!
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
No pako poa tuu
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
Mhhhhh!!! inawezekana mvua ikinyesha huko majanga
@victornyakundi244
@victornyakundi244 4 жыл бұрын
How much in USD
@maryammarham2862
@maryammarham2862 4 жыл бұрын
Kuko
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 4 жыл бұрын
Nzur sana tu👏👏
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
kwa nini watu wa dar hawaezeki nyumba kwa msauthi?
@eriknyamasiriri6562
@eriknyamasiriri6562 4 жыл бұрын
Entrance ya nyumba kama kanisan bro apo ale M70 chap
@febnick
@febnick 3 жыл бұрын
Hahahaha
@jumamwadhini6263
@jumamwadhini6263 4 жыл бұрын
Beigani namba za cm tunaomba
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
Mil 180 no 0718936416
@habibuhamis5656
@habibuhamis5656 4 жыл бұрын
600 viwanja vya mpira 6 ivyoo
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
😂kumbe Bado hesabu chenga🤣 amesema Square meters 600! Ni kiwanja cha kawaida kabisa rfk angu
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 жыл бұрын
Dalali nwanamke namkubali hana ubabaishaji ila tunataka tukuone na sura yako
@noonelike6382
@noonelike6382 4 жыл бұрын
Hzi nyumba za kununua tatizo .. nyingi utaishi na majini..
@nuraynmakoya803
@nuraynmakoya803 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@noonelike6382
@noonelike6382 2 жыл бұрын
@@nuraynmakoya803 😂😂😂
@obedibright4593
@obedibright4593 4 жыл бұрын
Imesha uzwa?
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 4 жыл бұрын
Damond yuko wapi
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
diamond hawezi kununuwa nyumba ya kwenye mkondo wa maji hiyo inaitwa gusa unate mvuwa zikianza maji yanajaa kama yote rabda wamuuzie mo dewiji au bakhares waitengezee njia za maji rakini kwa kajamba nani kama mimi atalia kilio cha mbwa
@vellakaju5959
@vellakaju5959 4 жыл бұрын
Nyumba freshy sema huyu dalali Hana lugha ya kibiashara Bora mwenye nyumba ndio angetangaza kupitia namba yake.
@christelle9690
@christelle9690 3 жыл бұрын
👀👀👀
@patricianabende7674
@patricianabende7674 4 жыл бұрын
It seems real estate in tanzania is cheap...Kenya this house could have costed atleast 10milllion kenya shillings
@lelyafriaq4240
@lelyafriaq4240 4 жыл бұрын
Yaniajenge kishaasikae y?kakimbiamafuriko msitudanganye
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 4 жыл бұрын
Mnaweza kubadilisha hayo machuma ya dilishani kuwa nje???
@mrsmrsjj1745
@mrsmrsjj1745 4 жыл бұрын
Hhhh huna pesa tulia km mm
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 4 жыл бұрын
Nyumba nzuri ni nyumba yenye good ventilation,privacy na mwanga, lakini hii nyumba vyumba vya kushoto vyote vimezibwa na ukuta wa jirani hata ukijamba jirani anakusikia, bei unayotaja na hii nyumba haifanani kabisa, ukikosa mteja nipigie simu million ishirini nakupa kashi 💰💰💸💳💰 twende ATM..Na usuchelewe nisije nikabadili mawazo..
@jesusfirst8464
@jesusfirst8464 4 жыл бұрын
Hagiza contact yako basi.
@jameswonderzlight3817
@jameswonderzlight3817 2 жыл бұрын
i need your contacts dalali
@franksimonngole8481
@franksimonngole8481 4 жыл бұрын
HIVI HAMNA MAFURIKO PANDE ZA HUKO KWELI?
@africanmaasigirlnyaki1686
@africanmaasigirlnyaki1686 3 жыл бұрын
Mm mwenyew ndio najiuliza hakuna mafuriko uko mtu haami bure bure
@JayJay-rt9ox
@JayJay-rt9ox 4 жыл бұрын
Please I want to know more about hiyo nyumba
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
Ok cal me 0718936416
@kanzameta
@kanzameta 4 жыл бұрын
vipi bado ipo?
@DalaliMwanamke_Projects
@DalaliMwanamke_Projects 4 жыл бұрын
Ipo
@isayaublikiwefeliciansan1514
@isayaublikiwefeliciansan1514 4 жыл бұрын
Haina kiuno watuwengine sisi warefu sasa hiyo nifupi chukua 60000000
BANGALORE LA VYUMBA 7 LINAUZWA TSHS BIL 1.4, SALASALA
9:11
DalaliMwanamke
Рет қаралды 272 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
CLASSIC MEDITERRANEAN LUXURY HOUSE DESIGN || SENTUL CITY
15:33
Yos Sentul City
Рет қаралды 326 М.
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 170, BOKO BASIHAYA
9:46
DalaliMwanamke
Рет қаралды 659
🇹🇿 IPO KIGAMBONI-KIBADA JE UNAHITAJI KUMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM INAYOUZWA KWA BEI NAFUU?
6:53
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 5 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН