No video

ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu

  Рет қаралды 241,870

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli leo juni 7 Amekutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara wakubwa 1000 ikulu jijini Dar es Salaam na kusema kuwa changamoto za ukwamishaji wa biashara kwa upande wa serikali nikutokana na utitiri wa taasisi za udhibiti.
Aidha ameongeza kuwa zipo taasisi nyingi za udhibiti ambazo zinaingiliana kimajukumu mfano TBS, NEMC, WAKALA WA VIPIMO, TUME YA USHINDANI, EWURA, SUMATRA, TFDA, OSHA, OFISI YA MKEMIA MKUU, Na kadhalika.
Jeremiah Mahenge ni mfanyabiashara kutoka mkoani Mbeya ambaye ameamua kuvunja ukimya mbele ya JPM nakueleza jinsi ambavyo wafanyabiashara wamekuwa wakitoa Rushwa kwa baadhi wa maafisa wa Serikali, hali iliyopelekea watu wote kuangua vicheko kutokana na aina yake ya uwasilishaji wa changamoto zake.
#jpm #WAFANYABIASHARA
/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 169
@marthamgeyekwa8413
@marthamgeyekwa8413 5 жыл бұрын
Mheshimiwa Dr John Joseph Pombe Magufuli mkutano huu umekufunua kuwa wataka Tanzania ipi katika biashara. Long Live Your Excellency the President
@robsonwisdom4025
@robsonwisdom4025 5 жыл бұрын
mzeeeee....sema.....waponeeee....haoooo.....TRA.....wanaturudishaaaa...nyuma....sana
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 5 жыл бұрын
Mbeya wako makini Sana... Big Up mbeya city
@wozzyzozzy9944
@wozzyzozzy9944 5 жыл бұрын
Mnagawana kama vile mlichanga. Mzee mahenge has killed it 😂😂😂😂
@mdachiog5211
@mdachiog5211 5 жыл бұрын
Haaahaaaa
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Sio hiyo tu kakubali mbele ya Rais rushwa, rushwa kweli tunatoa uyu baba amenimaliza. Hataki dhambi ndogo ndogo 🤣🤣🤣
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 5 жыл бұрын
Safi sana magufuli ,kuna raha sana kukaaa na kusikjliza watu.tunacheka lakini pia tunaielewa nchi yetu inavyokwenda.maana hapo lugha rahiisi inatumika. We love you Mr president
@khadijahassan3504
@khadijahassan3504 5 жыл бұрын
Nakupenda sana rais wng mungu akujaalie maisha marefu
@yonamwakanyamale5023
@yonamwakanyamale5023 5 жыл бұрын
Shikamoo Mzee, anayezungumza...
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 5 жыл бұрын
Bora ukweli kuliko kupakana mafuta big up mzee wa mbeya
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 жыл бұрын
Amen Amen.Barikiwa nyote. Amen.
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 5 жыл бұрын
Unaweza mzee upewe nyadhifa serikalini"""Hongera kwa hoja nzuri!!!!!
@jacksonrabson6439
@jacksonrabson6439 5 жыл бұрын
Sina cha kulipa kwa magufuli MUNGU akupe maisha marefu
@mubarakamtuguta4642
@mubarakamtuguta4642 5 жыл бұрын
swala la T,R,A ni tatizo kubwa saana Tanzania inapelekea kuwapa nafasi nchi za jilan kutumia madhaifu ili kukuza uchumi wao. contena la spare za magari kutoka china linatoka bandarini kwa ushuru mkubwa mnoo. inapelekea hata wengine contena linaandikwa transit nchi za jilan likifika mpaka linalipiwa ushuru wa nchi hiyo ya jilan likivuka linafunguliwa watu wanavusha mzigo roli zinarudisha mzigo dar. ushuru wa kulipiwa tanzania utakuta unalipiwa nakonde zambia. na asaiv watu wanaenda zambia kununua mzigo ulipitia bandari ya tanzania kwamba kwetu bei kubwa kutokana na ushuru lkn kule bei ndogo ila wametumia bandari yetu. T,R,A mnatumia kauli.mbui ya mzee vibaya saana. kueni na uzalendo na nchi yetu
@lucaschuma9500
@lucaschuma9500 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa mnagawana km mmechanga,nimecheka haki ya Mungu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 5 жыл бұрын
🤣🤣 dah mzee wa Mbeya hatar sana umejua kufunguka.mzee❤
@atanaskipera2422
@atanaskipera2422 5 жыл бұрын
hongera sana mzee
@raboymziki336
@raboymziki336 5 жыл бұрын
Hili ndio bunge sahihi muheshimiwa @ahsante Mh Jpm
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Njoo kila mkoa rmheshimiwa rais wetu ndo utajua madudu yanayofanyika secter zote utashangaa kwa wafanyakazi hawa hawa wa serikali yako wanavyopiga hella za wananchi na wafanyabiashara
@JESSAMable
@JESSAMable 5 жыл бұрын
Proud of u DADY!
@africanlempe8604
@africanlempe8604 5 жыл бұрын
Mshua kanifurahisha aisee
@gracios1324
@gracios1324 5 жыл бұрын
Nimecheka kweli aisee😀😀kumbe huwa anaongea hivi,You must be very proud of him kabisa Jessam.
@JESSAMable
@JESSAMable 5 жыл бұрын
@@gracios1324 anaongeaaa ni muwazi huwa hakwepeshii kwa kweli
@dawillygene
@dawillygene 5 жыл бұрын
Mie mtazamaji tu lakini nimecheka mpaka , mweshimiwa rais alivyosema huyu mzee ni kweli kabisa.
@dawillygene
@dawillygene 5 жыл бұрын
Cheka baba mh Rais hii ndio tz , kazi unayoifanya ni kubwa mno, hongera sana hii ndio tz tuliokuwa tunaitaka, na Rais tuliekuwa tunamtaka.kura yanguuuuuuuuu 2020 woooote wa nyumbani tutakupa tu tuombeane uzima.
@charlesmdoe8395
@charlesmdoe8395 5 жыл бұрын
kwa kweli watanzania lazima tuwe wakweli na tumuogopeni mungu, tumepata mkomhozi wa wanyonge, mungu azidi kukupa nguvu raising wetu,
@matldampeligwa9445
@matldampeligwa9445 5 жыл бұрын
Safi sana mzee mahenge we are moving go go mr president
@clementmathias9512
@clementmathias9512 5 жыл бұрын
HILI BUNGE LA IKULU NI BORA ZAIDI YA LILE LA DODOMA, MJADARA HURU KABISA, SPIKA WA HILI BUNGE MSIKIVU NA HAKUNA MIONGOZO YA HAPA NA PALE... nashauri hawa wapitishwe kuwa wabunge tu maana wako vizuri mno na sipika wao😆😆😆
@yusufally428
@yusufally428 5 жыл бұрын
Hahahaha,kabisa
@jemahaonga727
@jemahaonga727 5 жыл бұрын
Kwa kweli maana unapata majibu ya papo kwa papo
@silasjonathan1952
@silasjonathan1952 5 жыл бұрын
Natamani hili ndio liwe Bunge la Tanzania.
@daluhardware9383
@daluhardware9383 5 жыл бұрын
Kwenye mambo kama haya rais wetu mungu akuongoze ktk mikono salama maamuz yako hpo nisahihi mzee wangu
@clementmathias9512
@clementmathias9512 5 жыл бұрын
@@daluhardware9383 Hebu mimi binafisi nikumbushe ni lipi kaliamua hapo
@pendoernest8655
@pendoernest8655 5 жыл бұрын
Ahsante sana baba kwa kujiamin. Mungu wangu wa upendo akutunze
@vicenttarimo8752
@vicenttarimo8752 5 жыл бұрын
Umesema yote niliokua ninayoyasemaga nikialikwa kwenye vikao vya wafanyabiashara tunaokaaga na maafisa wa tra mzee ubarikiwe
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 жыл бұрын
Mnagawana kama vile Mlichanga???!!
@devotakapwepwe363
@devotakapwepwe363 5 жыл бұрын
Umeongea point Mzee wangu wenyewe wanaangalia mauzo masikini hawaangalii faida tunafanya biashara kweli hatukatai ila faida ni ndogo sanaaa. Sasa wanataka hata kidogo tunacho kipata wachukue chote masikini watoto wanataka Wale waende shule yani shida tupu
@visualservices8897
@visualservices8897 5 жыл бұрын
Napenda magufuli akicheka maana daah
@shukurukihwelo5575
@shukurukihwelo5575 5 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu mumba wa mbingu na nchi ulie simika kila kitu kwenye dunia hii nakuomba usimike nguvu mpya kwa Rais wetu mpendwa John Josefu Magufuri ili astahimili vilivyo kukabiliana na changamoto zinazo kwaza watu wako , zinazo letwa na wasio wadirifu ktk nchii hii Eee Mungu utusaidie Amina
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 5 жыл бұрын
Wote tumwogope Mungu.Tukiwa na hofu na Mungu kuoneana hakutakuwepo,wivu,Chuki,wizi husuda vimetutawala binadamu.T umwogopeni Mungu kwanza.
@user-nj1jd6zy8e
@user-nj1jd6zy8e 4 жыл бұрын
Mungu akubarik Rais wetu
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 5 жыл бұрын
Daah Mzee huyu ni noma nakubali
@nyambelewinfrida9074
@nyambelewinfrida9074 5 жыл бұрын
Na bungen wangekuwa wanajadili mambo yenye tija tungefika mbali mapema sana sasa wanajali posho zao tu zikiguswa wanalalamika huku wananchi wao wanaumia.
@shukurukihwelo5575
@shukurukihwelo5575 5 жыл бұрын
Safiii sana nimekupenda gafra
@hoseazakayo3779
@hoseazakayo3779 5 жыл бұрын
Ahahah nakufurahia Sana Rais wangu kwel Mungu ametupatia Rais
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 5 жыл бұрын
Bunge la ndugai lifutwe tuu,libakie hili la JPM,JPM oyee!Laiti la ndugai lingekua nusu ya hili
@nicholausmwanzia2384
@nicholausmwanzia2384 5 жыл бұрын
Julius Kitomari sawsaw
@johnkasonga9625
@johnkasonga9625 5 жыл бұрын
Jamani hii ndo tanzania
@josephtarimo2382
@josephtarimo2382 5 жыл бұрын
Endapo bunge letu lingeendeshwa kwa unahiri kama mheshimiwa raisi wetu alivyofamya kwenye vikao vyake huko ikulu tungenufaika sana sisi watanzania, ingefaa vikao vya bunge letu kuiga mfano huo kuliko kuendelea kuona mipasho, vurugu nk maana hali hiyo haitaweza kulifikisha taifa letu popote kwa kwani.
@williamibrahim2823
@williamibrahim2823 5 жыл бұрын
Asante sana mzee wangu
@costantinejoseph4907
@costantinejoseph4907 5 жыл бұрын
mzee ananamba ya canali dadek
@saidsanzunkoba3995
@saidsanzunkoba3995 5 жыл бұрын
kuna vingne mh rais anavifanya viwe sheria lkn wengne nyuma yake wanafanya dili LA upigaji ndio tatzo linaloturudisha nyuma
@bashiryusuph371
@bashiryusuph371 5 жыл бұрын
Mjadala nimzuri sana jpm uwe unawaita kila wakati na uwaite na madereva wa malori kidogo huo ndio uzalendo mkuu
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Magufuli tunakupenda bure! Mambo yako yanaleta matumaini sana. Huenda tukafika pazuri. Sijutii kura yangu kwako na nyingine inakusubiri wakati ukifika.
@dorothykilave3774
@dorothykilave3774 5 жыл бұрын
Kwa kweli tumepata Rais
@ezbonmwanjala4364
@ezbonmwanjala4364 5 жыл бұрын
Magufuli Ni rais wa ukweli. Mungu amuongezee hekima Na busara zaidi ya apo
@ezbonmwanjala4364
@ezbonmwanjala4364 5 жыл бұрын
Nakuomba mweshimiwa spika inga kwa mweshimiwa rais mambo anavyo endesha kwa kutumia akili Na maarifa
@vicentkebula6670
@vicentkebula6670 5 жыл бұрын
UDUMU MILELE MH RAISI WETU J.P.M. MUNGU MWENYEZI AKULINDE NA NJIA ZOTE NA MAOTEO YA SHETANI. SISI WANANCHI WAKO HATUNA ZAWADI NZURI YA KUKUPA ZAIDI YA KUKUOMBEA KWE MWENYEZI MUNGU KAMA LILIVYO OMBI LAKO LA KILA MARA UKISEMA, "WATANZANIA MNIOMBEE".
@clementmathias9512
@clementmathias9512 5 жыл бұрын
Jinga
@felisterapornary2612
@felisterapornary2612 5 жыл бұрын
Nimekupenda bureeeeeee
@bwiremark9311
@bwiremark9311 5 жыл бұрын
Kaongea very technical
@danielmathias160
@danielmathias160 3 жыл бұрын
Nmekuja hapa baada ya Kifo cha mhe Rais Magufuli RIP
@josephmalisa2987
@josephmalisa2987 5 жыл бұрын
Tungeomba kila mkoa uwe na Ikulu na vikao vya namna hii. Mungu ambarii sana raisi wetu
@silvestermandago5087
@silvestermandago5087 5 жыл бұрын
Mh unajua kucheka😁😁😁😁
@davykim3551
@davykim3551 5 жыл бұрын
Magufuli HOYOEEEE . Anaskiza vilio vya wafanyibiashara. HONGERA Mkuu. Kwetu Kenya, Rais nikuchoma bidhaa za wafanyibiashara bila kutoa sababu .
@janethkagumila7888
@janethkagumila7888 5 жыл бұрын
Mh.rais tunaomba kuhusiana na hoja hizi ungepita kila mikoa pamoja na wilaya zote ili upate taarifa zote kwa kweli hawa TRA wanatuuwa sana.
@jumakapo9914
@jumakapo9914 5 жыл бұрын
Kweli kaliakoo wameja sana TRA wapo wengine wanashinda jangwani wanakula sana lusha
@cldmichashukim5864
@cldmichashukim5864 4 жыл бұрын
i like this bless up Tanzania lets say no to hongo.
@nemeskilagula3119
@nemeskilagula3119 5 жыл бұрын
MH.Raisi tunashukulu kwa kuwapa nafasi wafanya biashara kuzungumza kile waliocho Nacho hakika ni democrasia mungu akubaliki sana kwa Kazi yako nzuri
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 4 жыл бұрын
Mzee wa mbeya amenifurahisha sana
@hurumamatemba586
@hurumamatemba586 5 жыл бұрын
Raisi wetu amefanya jambo zuri sana
@rubenibiseko3360
@rubenibiseko3360 5 жыл бұрын
Uko vizuli rais wetu
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Watanzania wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu wote kwa mwenyez MUNGU
@bhahebhengamba7489
@bhahebhengamba7489 5 жыл бұрын
Nikwel kabsa namaranying weng wanataman kuwa katika sekta hii wanasema kunashavu kubwa, asilimia kubwa ya rushwa ipo hukoooo! Mweshimiwa kaza kamba apo
@agnesmsenga6890
@agnesmsenga6890 5 жыл бұрын
Mzeee Mahenge nouma saaaana
@user-zj3ke9gc2u
@user-zj3ke9gc2u 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mzee njoo na oman utu hoji mashaghara
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@ramadhanimgaza3924
@ramadhanimgaza3924 5 жыл бұрын
Hataree sana asee
@mpc90tz
@mpc90tz 5 жыл бұрын
kazi tu
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Mbeya oyee
@yasinjumahamis6267
@yasinjumahamis6267 Жыл бұрын
Magufuli nakukubar sana
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 5 жыл бұрын
Idara hizi Mungu asimamie jamani kitu pesa ni kazi sn.Hata mm mwl. nina vita na raia wakati pesa sina hii dunia tuiache tu.Watanzania tumrudie Mungu wote tumeacha uzalendo.
@charlesmndibatyo7413
@charlesmndibatyo7413 5 жыл бұрын
Duh mambo mengi kweli jamani!!!!
@danielpatrick6512
@danielpatrick6512 5 жыл бұрын
Asantee rais
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 5 жыл бұрын
Duuu aise Mh umewasikia wananchi wako,acha waseme wanayokutana nayo uwasaidie.Watenda kazi wasio waaminifu ni shida tupu.
@sarahmakima4323
@sarahmakima4323 5 жыл бұрын
Safi sana brother
@mumybhay6561
@mumybhay6561 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 babu inakudanjisha thanaaaa
@richadfunka7281
@richadfunka7281 5 жыл бұрын
bunge likiambiwa ni dhaifu halitaki sasa Rais amechukua usipika wa bunge.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
Magufuli kashika tama🤣🤣🤣🤣 wafanyakazi wa TRA, mmeona maisha yenu mnaajiriwa mnaenda kufanya wizi wa digital mkitumbuliwa mnasema Magu mbaya asikilizi mtu sijui anafanya maamuzi ya kidikteta.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 5 жыл бұрын
Kweli Mzee kuongea asilimia 10 ya mauzo hii huwa inanipa shida sana na mimi wangelikuwa wanachukua kwenye faida ukilalamika wanasema.leta mahesabu na mahesabu yanatakiwa ya kitaalamu. Wanaotengeneza mahesabu wanataka milioni moja sasa si bora nipigwe tu huko TRA. Ni shida
@paularstarik2583
@paularstarik2583 5 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo, Kama na wewe umeipenda gonga like hapa
@mariamrehani5497
@mariamrehani5497 5 жыл бұрын
Hawa TRa ni mtihani mkubwa wapo kws masilahi yao tu
@paularstarik2583
@paularstarik2583 5 жыл бұрын
Yaan hawa ndio wanaofanya biashara kua ngumu kabisa
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 5 жыл бұрын
hahahahahaha,mzee anaeleza kuwa wanatoaga rushwa
@modestamboya9382
@modestamboya9382 5 жыл бұрын
Sema baba....
@robertigohe9338
@robertigohe9338 5 жыл бұрын
JPM LEO AMEFURAHI
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 5 жыл бұрын
Very smart
@abdulybabumgwaobabu7407
@abdulybabumgwaobabu7407 5 жыл бұрын
Hawa ndio wazalendo Wa nchi yetu
@habibaissa6778
@habibaissa6778 4 жыл бұрын
Kweli nimeamini simba hata awe mkali vp, lkn anazaa, yaani pamoja na ukali wooote wa JPM, wa kutumbua na kutengua bado tu watu wanapiga rushwa???? Kweli kiumbe mzito!! Hatarii sana!!! 😎😎😎
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 5 жыл бұрын
yaan baba umesema ukweli kabisa ,wafanya biashara tunakatwa sana
@mrmago4870
@mrmago4870 3 жыл бұрын
Hili ndo lilikuwa "BEST BUNGE LA 2015-2020"
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Magufuli pole sana. Hiyo ndo hali halisi mheshimiwa.
@johnkasonga9625
@johnkasonga9625 5 жыл бұрын
Congtrations Brazir
@halimakhalfan1196
@halimakhalfan1196 5 жыл бұрын
tena hayo ma tra n mijiti ya ajabu kabisa.hayo yapo.yanafunga maduka ovyoo kisa umechelewa kulipa kod
@maimunageogre1664
@maimunageogre1664 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiii
@salmansomaliboy7799
@salmansomaliboy7799 5 жыл бұрын
Mzee ya maana kabisa.....hhhhhhhhhjhhhhhhhh
@williammwambokwa3994
@williammwambokwa3994 5 жыл бұрын
sawa
@hajikibona6107
@hajikibona6107 5 жыл бұрын
Baba kachungulie na kule bungeni . Wanadai Vitambi ? Huku wananchi tuliwatuma wakatusaidie kutengeneza bei nzuri za pembejeo za kilimo .Babaaa
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Raha sana
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 жыл бұрын
siku moja tualike na sisi wamachinga tuje tutoe majibu yetu.
@isaacmwansile4832
@isaacmwansile4832 5 жыл бұрын
Maenge noma
@sponsor7882
@sponsor7882 5 жыл бұрын
RAIS KAMA HUYU HAKUNA AFRICA
@athanasdamas2867
@athanasdamas2867 5 жыл бұрын
saf sana kanena ya ukweli tra wanasumbua sana makadirio makubwa tena bila kuangalia biashara kuna kuyumba sio kila sku unaingiza kipato kizur
@mbalu9362
@mbalu9362 5 жыл бұрын
Nimpenda bure
@mamarichsuper6423
@mamarichsuper6423 5 жыл бұрын
Na wajasiliamali wanawake na sisi sijui tatasemea wapi
@denismapugilo3800
@denismapugilo3800 5 жыл бұрын
Hawa tra sio wema kabisa ndo wanafanya hivo
@abelmakungu2880
@abelmakungu2880 5 жыл бұрын
Denis Mapugilo nchi hii mwenye nayo anamaono mazuri kuifikixha mahala lakn wanaomzunguka pasua kichwa
@saidmohammed78
@saidmohammed78 5 жыл бұрын
Kama kungekua na kitu kinapendwa zaidi badala ya mpira ni bunge hili huru lisilokua na vipengele vingi vya kupata nafasi ya kuongea na mkuu wa nchi na mi natamani kusema kua Ally Hepi wa mkoa wa Iringa ni mtoto wa kwanza wa muheshimiwa kwa kushuhudiwa kuwa na raia nyakati za usiku kusikiliza kero na matatizo yao,ningejua siku maalum ya bunge hili ningetenga mda wangu kulisikiliza.
@dr.johnsonnyamohanga6147
@dr.johnsonnyamohanga6147 5 жыл бұрын
Hahaahaaaa Tanzania Revenue Authority, mnagawana kama vile mlichanga !
@edsonmbilinyi8551
@edsonmbilinyi8551 5 жыл бұрын
Good
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 жыл бұрын
Yan magufuli angekuwa na uwezo angezunguka amsikilize kila.mtu walahi angejuta maan hakuna kitu 😏wat wanawazag kula hela tu za masikin mxeeeew
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 5 жыл бұрын
Mzee wa mbeya jeremia mahenge umesema kweli
@florenceshangwe7558
@florenceshangwe7558 5 жыл бұрын
Mnagawana kama vile mlichanga hahahahahah
@tzkwanza3861
@tzkwanza3861 5 жыл бұрын
mweishimiwa ili bunge la ikulu tunaomba tunaomba na xx wa uweso wa chini tuje uko tupasuke madude
@neemaabdi4791
@neemaabdi4791 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@willykikwete7219
@willykikwete7219 5 жыл бұрын
Nani ameturoga watanzania?
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 5 жыл бұрын
Asante baba vamponji
@asfdghkjxzcvnbm2580
@asfdghkjxzcvnbm2580 5 жыл бұрын
bunge jipya la JPM, dodoma poleni
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 109 М.
BALAA..!!Rais JPM Ampokonya Ardhi Mfanyabiashara Huyu Hadharani
14:27
Global TV Online
Рет қаралды 160 М.
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 38 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 20 МЛН
Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
12:08
Global TV Online
Рет қаралды 139 М.
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
AGIZO LA JPM: Kuhusu Mwanamke alieangua kilio mbele yake
8:28
Millard Ayo
Рет қаралды 253 М.
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Konde Music Artists - Ahsante Magufuli (Official Video)
6:18
Harmonize
Рет қаралды 4,6 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 38 МЛН