Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa

  Рет қаралды 136,493

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Kisa Wasanii, Musukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
MSUKUMA Alivyoibua SHANGWE Kwa WASANII, Ailipua TRA Kwa JPM
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Joseph Kasheku Msukuma ameibua shangwe katika kikao cha wafanyabiashara kilichofanyika ikulu na Rais Magufuli kwa kusema "Mimi ni balozi wa wasanii hapa nchini, wasanii wanaazungushwa na kusumbuliwa sana.
#MSUKUMA#JPM
/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 59
@fidelismukandara932
@fidelismukandara932 5 жыл бұрын
Safi Sana'a Msukumaa true definition of leader
@deograthiusalphonce6977
@deograthiusalphonce6977 5 жыл бұрын
Akili ya kuzaliwa ya Kisukuma
@punguwasasa7975
@punguwasasa7975 5 жыл бұрын
Maana unavyojilipua kwa ukaribu sana na kufatilia sema ulishatuacha pale kwenye ngo'mbe,ukaenda kwenye madini akuenda kwenye mabasi ukamalizia CD ndo ikawa kwikwi apo ila uko nyuma pia kwikwi mh kweli msukuma upo vizuri ulivyopangilia asee Allah akulinde na husda na akupe mwisho mwema msukuma kwa kuongea ukweli kutoka moyoni inshaallah
@ALOYCE007
@ALOYCE007 5 жыл бұрын
Msukuma asante kabisa
@zenaamani371
@zenaamani371 5 жыл бұрын
Kwa kweli Wafanyabiashara wengi wamefunga biashara kwa sababu ya watu wa TRA.
@yangoshatv5327
@yangoshatv5327 5 жыл бұрын
bado hawajauheshimu uongozi uncle magu
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Yaani ni kweli kabisa uonevu ili wachukue hela,hawana fair tena wanakwambia nenda hata kwa waziri.
@deusmgema1204
@deusmgema1204 5 жыл бұрын
Msukuma uko vizuri unauwezo mkubwa wa kutengeneza hoja na kuisimamia hongera sana
@binlubawa8387
@binlubawa8387 5 жыл бұрын
Mungu akuweke Mh. Rais
@augustinomwakanyamale9887
@augustinomwakanyamale9887 5 жыл бұрын
Mungu akulinde mh raisi
@magrethsanga942
@magrethsanga942 5 жыл бұрын
Amen
@user-cl2jr3re4s
@user-cl2jr3re4s 5 жыл бұрын
Thanx President magu bless you 😁
@kelvinmarisi6825
@kelvinmarisi6825 5 жыл бұрын
Big up msukuma
@user-gy3bv7nm7d
@user-gy3bv7nm7d
Haya tutayamisi sana kuyaona dah Rip magu
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Watanzania wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu kwa mwenyez MUNGU azidi kuwaongoza vyema
@fabianfaustine444
@fabianfaustine444 5 жыл бұрын
Wekeni vijana haya mazee yameishanyonya sana Mali za watu
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 жыл бұрын
Kumbe magu ana hotel 😱😱😱😰
@zakiazakia4552
@zakiazakia4552 5 жыл бұрын
Watumbue kabisaa
@yasinjumahamis6267
@yasinjumahamis6267
Nakubar sana msukuma
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 5 жыл бұрын
Msukuma pamoja na kuwa darasa la saba, ningekuwa na uwezo ungekuwa waziri angalau uwe wa mifugo
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 103 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
TRA HATARINI | Wapewa TUMBO JOTO Mbele Ya JPM
13:57
Global TV Online
Рет қаралды 91 М.
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI WA 3 WA TRA
4:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 37 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН