No video

ONA MJENGO ANAO ISHI CHANUO WA MADEBE LIDAI, UTAPENDA MAJIBU YAKE

  Рет қаралды 60,723

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 3 ай бұрын
MashaAllah ndugu yangu umejistiri umependeza sana usiache kujistiri kipenzi Mwenyeez Mungu akusimamie nina maana hutaacha kujistiri
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 3 ай бұрын
Ila Laina ckuizi unazid kujistir Mashallah ❤
@user-xi4pd1yw7o
@user-xi4pd1yw7o 3 ай бұрын
Kwani muislm mwanzo Nilijua mkristo kipindi cha mwanzo
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
​@@user-xi4pd1yw7owe nani kakwambia kuwa muislam tu ndio anafaa kujisitiri
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
❤❤❤ manshallaah chanui kapendeza kawa mzuri kapata meili kidogo akirudi kwa madebe atachaka
@prezgal8869
@prezgal8869 3 ай бұрын
Laina we ni proffessional muandishi wa habari😂unaweza sana
@user-zq9jc5sw7t
@user-zq9jc5sw7t 3 ай бұрын
Ndugu.umependeza.sana.kwa.ulivo.jistir.usiache.tena.kujistiri.mashaallh
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 ай бұрын
Mwandishi umependeza Mashallah uwe unavaa hivyo❤
@user-ui9tr8nh2k
@user-ui9tr8nh2k 2 ай бұрын
Nampenda huyu chanuo ipo siku nitakuja tz nimuone ana kwa ana pambana yawatu achana nayo mungu akutie nguvu utafika mbali
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 ай бұрын
LAINA USHUNGI UNAKUPENDEZA MASHA'ALLAH ❤❤❤
@user-ll7np8td7x
@user-ll7np8td7x 2 ай бұрын
❤❤❤❤mtangazaji mashaailah mavazi yako yananipendeza Sana ongera kwa kujistri
@suzanfelix6320
@suzanfelix6320 3 ай бұрын
Naipenda sauti ya chanuo 👌
@ZainaFatma
@ZainaFatma 3 ай бұрын
Daina umependeza masha Allah haswa siku hizi unajiatiri sana masha Allah
@Tunusugar
@Tunusugar 2 ай бұрын
Hongera chanuo kipenz
@NeemaJulias-cm5jh
@NeemaJulias-cm5jh 3 ай бұрын
Nakupenda sana chanuo
@user-od7tb9ch9n
@user-od7tb9ch9n 3 ай бұрын
Bora yeye Kawa. Mkweli Kasema kapanga wengine angesema nyumba yake
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 3 ай бұрын
Kanenepa mashallah chanuo❤❤Ray umependeza mashallah ❤❤
@NajmaHassan792
@NajmaHassan792 3 ай бұрын
Aky amefanya mwili hta kma sio mkubwa lkn si kma vile alivyokua
@aziza9093
@aziza9093 3 ай бұрын
Mtagazaji nampenda❤❤
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 2 ай бұрын
Wallahi ungejua ulivyopendeza usingewahi kuacha Hilo vazi
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 3 ай бұрын
Mwandishi unànifuraisha kwa kweli daadh 😂😂
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 ай бұрын
Umendeza mtangazaji
@Furahazawadi-ym4be
@Furahazawadi-ym4be 3 ай бұрын
Mungu nimwema napeda ulemama arudi kwamumewe
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Kufanyange
@ashazuber6548
@ashazuber6548 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅laina manjonjo kama yote hahahahaha ila umependeza leo nimeipenda❤❤❤❤❤❤❤
@zenamtembezi4921
@zenamtembezi4921 3 ай бұрын
Niltak nikushauri usiwe unasoma coment lkn hata usiposoma wadogozak watasoma nawatakwambia jifunze kutojari chanuo mdogoa gu nakupenda buree pambana
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 ай бұрын
Mtangazaji umependeezaa
@user-xi4pd1yw7o
@user-xi4pd1yw7o 3 ай бұрын
Sanna mashallah kahasla block beauty
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 3 ай бұрын
Pambana mdogo wangu sisi wapare bwana pambana usijali wala nini
@MapishiKujifunza
@MapishiKujifunza 3 ай бұрын
Mashallah Allah mtangszaji ansjistiri vizur mashallah
@user-oe4ex7tb4b
@user-oe4ex7tb4b 3 ай бұрын
Hahahaaa! Umenichekesha chanuo et utakufa n'a mengi
@user-qo7hc2xr2w
@user-qo7hc2xr2w 2 ай бұрын
Mashallah dada umependeza kwel usiach kuwa hvy
@ShedrackChitema
@ShedrackChitema 2 ай бұрын
Aaah huwa mnashtukiza vibaya sana mm nimechoka namkumbuka ulivyonishtukiza kunihoji maswali yako sitokusahau
@user-fx2fn2qs3t
@user-fx2fn2qs3t 3 ай бұрын
Mtangazaji ana mimba❤❤❤❤❤❤
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 3 ай бұрын
Pana kaukweli ndani yake 😂
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 3 ай бұрын
Inabidi ahojiwe
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 3 ай бұрын
@@zuenampandeni3347 hupitwi bi zuena
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
Laki 2 nyumba Hy yoote au yupo na wenzake mana n nyumba kubwa
@user-hw6xs2mf6y
@user-hw6xs2mf6y 2 ай бұрын
Kama ni mbande huko hiyo bei kawaida
@Blessing_uk
@Blessing_uk 3 ай бұрын
Ningeshangaa kwmba madebe anamjengo kama huo ningesema nae anajoka...
@fatumayassini
@fatumayassini 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 3 ай бұрын
Usisahau alicheza movie inaitwa joka la kijiji kwahy usishangae 😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😢😢😢
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂kwanini awe na joha
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@user-np7jx3qw7s
@user-np7jx3qw7s 2 ай бұрын
wakigombana wanatuonyesha maisha Yao ya kupanga vyumba vya elfu 7 uswahilini
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 ай бұрын
Caraman onyesha nyumba vizuri tafadhali.nina mpango wakuanza ujenzi wa nyumba zangu kigambona.napenda nione iyo nyumba ya laki mbili kwa mwezi.
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 ай бұрын
Laki mbili kwa mwezi ni bei ya kawaida tu. Bora amekuwa mkweli
@user-eq5iz5hb3y
@user-eq5iz5hb3y 2 ай бұрын
Wasanii wenye akili y kujenga wachache sn bora mtu apange nyumba mzir kuliko kujenga
@hassanmasoud8167
@hassanmasoud8167 2 ай бұрын
Ofic si anayo anatembea nayo ingine
@Nassor2377
@Nassor2377 3 ай бұрын
Laki 2 kwa mwezi nyumba hio mmmmh sio kweli
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
😢unahisi Ni kubwa au ndogo
@Mwigaa95
@Mwigaa95 3 ай бұрын
Huyu mtangazaji usikute jimbo lina mgombea Tyr maana sio kwa kujistiri huko 🫡🫡🫡🫡👏🏻👏🏻👏🏻😃😃😃
@Sidisidisidi-hw8gs
@Sidisidisidi-hw8gs 3 ай бұрын
Umeona ee😂😂😂😂😂😂
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 3 ай бұрын
Kwa waislam wanaojitambua si mpaka uwe na mume ndo ujistir
@Is.haka_Statistician
@Is.haka_Statistician 3 ай бұрын
Dada ww upo makini/smart umemfunika mwenzako nguo kwa utaratibu mzuri bila yy kujijua
@user-gh8ts2dr2e
@user-gh8ts2dr2e 2 ай бұрын
Chanio acha uongo unaishi chanika sio vizuri jamani
@user-vq1qx1dr4e
@user-vq1qx1dr4e 2 ай бұрын
Chanuo mbona kama anamimba au macho yangu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Mtangazaji ckuizi umekua mke ss sio kama vile akua unajifanya homeboy
@alimwadima254
@alimwadima254 3 ай бұрын
Kabisa pia mm nafurahi kumuona Ktk Hali hii...Sasa hivi nilimwambia atapata Mume In sha Allah
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 ай бұрын
Dar nyumba bei rahisi jaman mjengo wote huo laki 2 tu 😢🙆
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 3 ай бұрын
We thubutuuu😅
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 3 ай бұрын
Good mwandishi
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 3 ай бұрын
Anatalfa mike amepata wap alio bana bongo kila ktu maigzo
@athumanmarekano2454
@athumanmarekano2454 2 ай бұрын
Mmmmmh yani nyinyi mnaitana alafu mnatuzuga apo chanuo amekwita ili mmumize lidai ha ha
@khadijamohd5741
@khadijamohd5741 2 ай бұрын
Nilijuwa nyumba yako kipenz
@AdamMwava
@AdamMwava 3 ай бұрын
Kwa kazi gani😂😂😂😂
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 3 ай бұрын
Wasanii achen ujinga hiyo hela mnaoharibu kupanga nyumba za Gharama Itumien kununua Viwanja Mjenge. Kesho na kesho kutwa Mtapata Shda ndugu zangu
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
Chanuo usisikize coment w pambana utatoka tuy huko kwa huyo jin mwanaume pesa tuy do kila kituy
@rashkizakiza949
@rashkizakiza949 3 ай бұрын
Chanuwo amenenepa
@Bimkubwa-ys3ky
@Bimkubwa-ys3ky 2 ай бұрын
Kuna nyakati inakubidi ujinyime ili watoto wakikua wajivunue
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Si kweli mbona kachoka
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 ай бұрын
Niatari
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 ай бұрын
Acha uongo upo undugu upo Kwa baba babaako msambaa mama mpare unajizima data
@marysellawanza2315
@marysellawanza2315 3 ай бұрын
Nikajua nafuatilia story ya anaefuga nyoka kumbe mke wa Lidai
@natashagulam6826
@natashagulam6826 3 ай бұрын
sasa huyu muandisha mbona ameniangisha coz me nilimpenda na mavasi halafu amekuja nishangaza pale alipo shangaa mtu kulipa kodi laki mbili kwa mwezi coz hiyo n kodi ya chini kabisa tena yakawaida kabisa
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
Huu dada mtangazaji ni mjamzito sijui ni macho yangu mimi
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Taarifa arkuwa nazo huo ni umbea kutuzuga tu
@aminaabdulrahman5184
@aminaabdulrahman5184 2 ай бұрын
Acheni wapi huko laki mbili KWA mwezi mbona una BAHATI chanuo
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 ай бұрын
Lzm okod pesa hizo si bora ukuzanye ujenge yako sasa ukae ya kawaida nakushaur tu
@alimwadima254
@alimwadima254 3 ай бұрын
Mara Moja hii kawa na mjengo Huo ama pia yeye Pia anafuga nyoka😂
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@alimwadima254
@alimwadima254 3 ай бұрын
​@@achouraachoura5763wanicheka ama wafurahi😂😂😂
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy 3 ай бұрын
Kwani siwamesharudiana na madebe
@ElizabethBwire
@ElizabethBwire 3 ай бұрын
Nyie niwaongo san
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Mbona raki mbiri nikidogo kuringana na nyumba
@MwanadiaSaid
@MwanadiaSaid 2 ай бұрын
laki 2 kwa Mwezi . na Nyumba sio chini ya 80.M UONGO WAACHE
@user-pv6kr1bm1e
@user-pv6kr1bm1e 3 ай бұрын
❤❤
@isunga1964
@isunga1964 2 ай бұрын
Naona Mimba kabisa hongera mpendwa
@AniaSawaki
@AniaSawaki 3 ай бұрын
Ila wapare hmmmmm
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 3 ай бұрын
Jau aisee
@JackloneElulu-gy2jv
@JackloneElulu-gy2jv 3 ай бұрын
Kwanza ame nenepa
@RDjSHEBY_TZ
@RDjSHEBY_TZ 2 ай бұрын
Vizuri saana kazoea maishaake mwenyewe mungu amzidishie maisha mazuri
@bertinnaftari7026
@bertinnaftari7026 3 ай бұрын
Mwandishi ana mimba changa ndiyo maana now anajistili sana but hongera kwake!!
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 ай бұрын
Mwanaume mbea mimba ulimpa wewe 😏😏😏
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 3 ай бұрын
Usijali wasemavyo wewe ni mpate umetumiwa pesa
@DesertTears
@DesertTears 3 ай бұрын
Waongo tu ....fake life
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@glorymanga3650
@glorymanga3650 3 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀
@umukulthumu1419
@umukulthumu1419 3 ай бұрын
Mwandishi mbea promax🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 3 ай бұрын
Hapa ndipo wanapo feli mastaa sasa unalipia laki 2 kwa mwezi mwezi 5 ni one milion jee unge panga vijibweni kwa alf 30 kisha baada ya mwaka ukajenga yako baada ya miaka 3 si ungekua na km hio?😂😂😂
@mariammwashifungwe7123
@mariammwashifungwe7123 3 ай бұрын
Hayo we hayakuhusu,,, ni maisha yake yeye huwezi jua mipango yake
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 3 ай бұрын
200,000 mbona Kodi standard kabisa Halafu kuna watu wanalipa zaidi ya 1M
@Enjoylifewithammy2
@Enjoylifewithammy2 3 ай бұрын
Si ujenge wewe na laki 2 ndani ya mwaka yani wabongo kwa kupangia bajeti hela za wenzenu hamjambo🤣
@user-sp6ff1js6t
@user-sp6ff1js6t 3 ай бұрын
pambana t dada angu kwani madebe ye nani bhn
@sungaradjaburadjabu3626
@sungaradjaburadjabu3626 3 ай бұрын
Umerudiana na madebe wewe acha ushamba wewe
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 ай бұрын
Acha umbea wewe kujifanya eti hujampigia cimu uongo
@StellahLivogah
@StellahLivogah 3 ай бұрын
Na uongo kweli anajifanya ajamwambia khaaa
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
😮umeonae
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 ай бұрын
@@khadjamhozya😊😊😊
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
chanuo uache usela mavi yaani uache kunywa pombe tena mwanamke hujioni haya mwanamke unakuwa mlevi ndio nini?
@user-fv9zo8to9b
@user-fv9zo8to9b 3 ай бұрын
Ujinga wa kistr unalipa laki mbilikwa mwezi alafu unasema huna pesa ya kujenga hilo jingo ivi ukipanga nyumban ya bei powa tu kisha ukajuwekea hio nyingine singepata kwako
@user-hw6xs2mf6y
@user-hw6xs2mf6y 2 ай бұрын
Laki 2 mbona pesa ya kawaida tu
@bigboys016
@bigboys016 3 ай бұрын
Mmepangama bwana acheni story zenu,ugonge sekunde hiyo hiyo afungue
@NeemaJulias-cm5jh
@NeemaJulias-cm5jh 3 ай бұрын
Nakupenda sana chanuo
@user-vq1qx1dr4e
@user-vq1qx1dr4e 2 ай бұрын
Chanuo mbona kama anamimba au macho yangu
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 19 МЛН
PART 2: CHANUO APIGIWA SIMU LIVE, AMUWAKIA MADEBE, WAJIBIZANA LIVE
16:13
WAKINA MAMA WANASEMA WALIJUA NA KUJIANDAA
6:22
Swifat Nnabawiya tv
Рет қаралды 513
Inshallah Part 1 - Madebe Lidai & Havit Makoti (Official Bongo Movie)
54:29
Mzee Majuto  Lakuvunda Part One ( Cinema  YA Mwisho)
56:19
Star Cinema
Рет қаралды 396 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН