Mziwanda Bakers Tunafundisha Mapishi Ya Aina Mbalimbali Leo Tunaona Kuoka Keki Kwa Kutumia Upishi Ama Recipe Ya Machungwa Kuanzia Juice Yake Na Maganda Yake MACHUNGWA/ORANGES @mziwandabakers8297
Пікірлер: 39
@abbygaelmstara43285 ай бұрын
Ubarikiwe kipenz Mungu azid kukuinua zaid kupitia wewe jamn nimeshajua kutengeneza keki an nakufatilia mnooo nilikua sijui kitu chochote ❤❤
@user-dz7zd6fs3s3 ай бұрын
Ni nzuri, Mimi nilikuwa nakosea nikiweka unga napiga sana na machine ila hii nimeipenda mno imetoka vizuri nimezingatia sheria 8
@priscapaulpaul6254 Жыл бұрын
Woww nzur je kama huna maziwa inaweza ikatoka vizuri
@salmazuberi-pd2zn Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akubariki kwa kutuelekeza kazi yako nzur sana
@DOTOCHARLES-so7rh9 ай бұрын
Hizi ukiziunganisaha ukapamba unauza beigan
@sharoo_cakes2 жыл бұрын
I'm definitely going to try this,,,,alafu dada I was suggesting kama that black bowl you use to mix your ingredients,just measure it before mixing and then later on just weigh it with the cake batter to avoid kutumia vyombo vingi
@asiakongola3932 жыл бұрын
Kwakwel Nimeijaribu yan ni🔥🔥🔥nzuri mnoooo Ahsantee sana
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Shukran kwa mrejesho ni keki nzuri sana hii😋😋👌👌
@samirabarongo49622 жыл бұрын
nzur sana
@hafsahassan15482 жыл бұрын
ibarikiwe kazi yako mziwanda
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Amiin🙏
@salmaalnaamani27862 жыл бұрын
We missed you 🌹❤️ thanks for sharing 🤗
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Thank You ❤
@numpaleedson46642 жыл бұрын
Amazing one✈✈
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
🤝
@otesimuhidini20512 жыл бұрын
Asante sana
@hajraadam43012 жыл бұрын
Allah akubariki my
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Amiin jazakal Allah kheri
@habibayusuph15702 жыл бұрын
Nice
@merymentmjema76252 жыл бұрын
Siagi ni ya kampuni gani
@mohamedsalum16842 жыл бұрын
Asante dear ..tunaomba na kipimo cha maziwa uloweka
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Imeandikwa 1/2 kikombe
@maureenmbinile16552 жыл бұрын
Halafu sijaona ukiweka flavour,inamaana huweki?
@zuheraaziz93432 жыл бұрын
Hujaelezea moto ni no ngapi wa oven
@masabamujaahid8903 Жыл бұрын
Hi sister can i half the recipe?
@sylviakosgei60332 жыл бұрын
Please iyo 500g inatoa keki kilo moja ama?
@maureenmbinile16552 жыл бұрын
Hii ni oven gani dada,nataka kununua oven,naomba nishauri ninunue aina gani na ya lita ngapi?,natamani nipike keki nzuri kama zako
@sylviakosgei60332 жыл бұрын
Yote inatoa keki kilo ngapi tafadhali. Watching from kenya
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Inatoa kilo na nusu
@sylviakosgei60332 жыл бұрын
Which tins do you use is it the 6" or the 7"
@juliegwayi69672 жыл бұрын
recipe nzuri sana,ila nauliza maziwa yalikuwa kiasi gani halafu naeza nikaongeza pia na orange essence?
@winniemosha84702 жыл бұрын
Waooh so yummy😋 We missed u alots darling😘😘😘😘
@irenebry42352 жыл бұрын
Thank you dear.Naomba kuuliza ukiweka maganda ya chungwa na maji yake haina haja ya kuweka flavor?
@queenandchill912 жыл бұрын
Maganda na chungwa lenyewe ndo flavour dear...Hahitaji flavour nyingine...tena inakuwa tamu mno na inachambuka sana.... FLAVOUR ni yoyote utakayopenda inaweza kuwa Vanilla, Strawberry, Orange, lemon,Rose,pineapple,mango,bubblegum, n.k
@irenebry42352 жыл бұрын
Queen And Chill Thank you🙏
@mariamtui5902 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️…mziwanda kimzani changu kama icho kina act abnormal yan namba zinajipelekepeleka tu kinaweza kutengenezeka au ndo ndo imeisha iyo ntafute kipya
@zayb_tz2 жыл бұрын
Sorry ,umekitumia kwa Muda gani tangu ununue ?
@mariamtui5902 жыл бұрын
@@zayb_tz mwaka wa pili sasa dear
@zayb_tz2 жыл бұрын
Oooh , me nimenunua wiki iliyopita, ningejuta Kama havimalizi hata mwaka 😃😃😃😃