Рет қаралды 114
Kampuni la ORYX GAS laendelea kuunga juhudi za kumtua kuni mama kichwani na kulabili mabadiliko tabia nchi kwa kugawa bure mitungi ya gas kahama kwa kushirikianaa na Kagoli interprises ambao ni wasambazaji wakuu wa ORYX GAS Kahama, pia MC BULUBA mama mjasiliamali.