Рет қаралды 4,466
Ni mfululizo wa Mafundisho ya kila Juma kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mt Yohana Muzeyi Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha , mafundisho haya hutolewa kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu ufuatilie sehemu hii ya Mada inayohusu 'PASHA MOTO UBARIDI'' hii ni sehemu ya pili ya mafundisho haya.
Tazama sehemu ya Kwanza kupitia • Padre Dkt Kamugisha: I...
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja