Father Amigu,ni Padre mwenye mafundisho mazuri sana na ni mtaalamu wa Liturjia nimeanza kumfatilia tangu akiwa Songea akiwa,Seminari kuu peramiho,Jimbo kuu katoliki la Songea, alikuwa anajibu maswali yahusuyo imani kipindi kinachorushwa na Radio Maria,ubarikiwe sana Padre Mungu akupe maisha marefu.🙏
@SharifeGlisten5 ай бұрын
Haya nimafundisho kujitambua mungu hakutuumba kua wajinga tujitambue ktk imani
@charlesmasangu408010 ай бұрын
Mungu akuzidishie karama ya kutufundisha kwa mifano na somo limeingia vizuri sana… ubarikiwe Fr
@michaelvincentmhagama3379 ай бұрын
Mafundisho makubwa kabisa haya. Asante sana Mungu kwa zawadi ya Padre Amigu. He is a real Guru/ the Master of teachings. Ee Mungu asante sana.
@winpoly678510 ай бұрын
😂😂😂Mungu akubariki sana Fr🙌🏾🙌🏾
@sarafinafranci84819 ай бұрын
Amina father Mungu akubariki na akupe umri mrefu wenye afya na nguvu.