Padre Kamugisha: Usipendezeshe kila mtu we si pesa/Ukweli ukiuzika utafufuka/ Usiogope kusemwa

  Рет қаралды 78,138

Radio Mbiu

Radio Mbiu

3 жыл бұрын

Ni mafundisho ya Juma la tatu la Kwaresima mada ikiwa KUSEMWA NI MTIHANI , ni sehemu pili ya mafundisho haya . Mafundisho haya yametolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba.Mada ikiwa ni Kusemwa ni mtihani, Usijali ni wangapi wanakusema endelea kufanya jambo zuri katika jamii.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Пікірлер: 84
@monicajohn5578
@monicajohn5578
MUNGU akupe maisha marefu ili uendelee kutuletea mafundisho ya kutujenga kiimani na kiroho 🙏🙏
@martinamturano2152
@martinamturano2152 2 жыл бұрын
Asante Sana Fr. Kamugisha. Mama yangu mzazi alikuwa mtu mwenye kusali Sana mpaka watu wakawa wanamwita mchawi. Hata mapadri wawili waliokuwa Parokiani walifikia kumnyima Sakramenti na kumnyima huduma muhimu za kikanisa. Lakini baada ya miaka kadhaa kilichowakuta mapadri hao 2 waliomnyanyasa Mama yangu kwa kumwita mchawi ni balaa. Mmoja alikufa kwa ajali mwingine alifukuzwa mpaka leo hii ana manga manga mtaani. Miungu aendelee kukuinua na kutundisha
@ciamallya8356
@ciamallya8356 3 жыл бұрын
Baba nabarikiwa sana na mafundisho yako natamani ungekuwa katika parokia yetuu
@anglevicent4299
@anglevicent4299
Asante baba ubarikiwe sana.
@anglevicent4299
@anglevicent4299
Mungu akubariki sana Fr. Uwe na afya njema na akutangulie ktk utume wako.
@Sangaligospel
@Sangaligospel
Barikiwa padri kamugisha nabarikiwa na mahubiri yako yamenipa ujasiri na nguvu yakusongambele
@filbertdominiki7965
@filbertdominiki7965
Mungu wa mbinguni aendelee kukupa nguvu katika utumishi wako na kukulinda dhidi ya mwovu shetani
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997
Father wangu machachali sana huyu 🙌🏽🤩😇
@lucyslivin5354
@lucyslivin5354
Ubarikiwe sana baba
@MrTitopaul
@MrTitopaul
Father Kamugisha, baraka za Mungu ziendee kukaa juu yako. Mafindisho Yako ni mazuri sana❤
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 3 жыл бұрын
Kwa kweli Father huyu asije akahamishwa Kagera maana vionjo vyake vya Kihaya vinaongeza uelewa wa mafundisho yake. Very gifted.
@lucyfrancis1614
@lucyfrancis1614 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana father kwa mafundisho yako mazuri
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter
Fr barikiwa mno
@FrutunatusMuyango
@FrutunatusMuyango
Wakora baba omukama akwemere kasinge omukigambo kyantaha
@alphonsinepibouleau7157
@alphonsinepibouleau7157 Жыл бұрын
Ubarikiwe saaaaana Baba Padre wetu
@hozzahh5597
@hozzahh5597 2 жыл бұрын
Huu ndio umisionari wa kweli asante sana father Mungu akupe uhai uishi miaka mia moja ili watu waokoke
@cecilialucas7655
@cecilialucas7655 3 жыл бұрын
Padre wewe ni Hazina kubwa kwa kanisa ubarikiwe sana
@StanuleDeus
@StanuleDeus 28 күн бұрын
Fr mungu anamakusudi yakukuweka kwenye utume wa
@paulomwalimu6731
@paulomwalimu6731 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sanaa padre kamugisha MUNGU akubariki sana
@cosmasemmanuel8351
@cosmasemmanuel8351
Ubalikiwa
Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
41:59
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 128 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..
1:07:10
Padre Dkt Kamugisha: Nyota itaonekana/ Ota ndoto
8:56
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 2 М.
MPE MUNGU KWA MKONO WAKO AKURUDISHIE KWA MKONO WAKE
6:43
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 6 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН