Unaye dharau Roho Mtakatifu unatafuta kufa nasio kufa to bali na hautasamehewa ndivo maandiko yanasema acha kuhukum mpendwa
@user-mw9ls6ic1q
Wewe unae dharau kwa kunena kwa rugha kwan nihatari kwako hayakuhusu mtafute Mungu wako acha wanao danganya au wanasema ukweli pambana na kujinyenyekesha kwa Mungu❤❤
@maryandason1815
Blessed my sister❤...jamn kwel kukosa cm nilipoteza vingi.dah
@byusaajumapili6750
Bwana yesu Kristo. Wanazarethe awabariki sana chuhuda za kweli
@wilkinssimkoko7920
Hallelujah, Mungu bariki Huduma hii.🙏🙏🙏
@Nenolamaarifa
Amina
@annissdaprincess3846
Amina hallelujah mubarikiwe sana Watumishi wa MUNGU
@DenisCasey-kh8ub
Amen
@idrisashaban5671
barikiwa mtumishi
@ShukuruHangi-re3gs
Amen amen
@tinnahagustinolyelu4247
Wanene kwa lugha wapi wengine waongo shetani mwenyewe anajua lugha Mungu atusaidie