Jaribu kuweka story hata kwa Lisaa limoja. Unakuta una part 1 hadi part 40. Hadi tunaishia njiani
@onesmomashembo849510 ай бұрын
Insha sisi kwetu ni mnyama swala
@emmamanjale60610 ай бұрын
Hawa wameshakua wahuni. Story hazifiki mwisho. Kama huyo shebby ndio hovyo kabisa, ana tabia ya kukatisha sana story
@Tuilumba10 ай бұрын
Kwel kabisa ya yule dogo wa mwanza sijui mwiz wa mashine kat kat imekata episod ya 3 sijui hawatoi taarifa wala nn wanaona wametuwin sijui ndo maan wanafanya mambo hovy hovyoo
@NasserNasser-qd2tf10 ай бұрын
Nimewahimo 😊😂
@lucasgasper523510 ай бұрын
Huyu jamaa namfaham na yeye ananifaham
@tonykileo71089 ай бұрын
Iv ntoto nzuli mariamu , story yake ilikatishwa njiani vp , iv jule msimuliaji hakudhurika kweli baada ya kutoa story , davista em tujibu
@hydratz975010 ай бұрын
Duh story ya Choggo ndio basi tenaaa☹️
@shijandobehe495310 ай бұрын
Nshaa au inshaa ni digidigi
@MrTzakaSanTz10 ай бұрын
Story nzur
@munaahkiogakioga733010 ай бұрын
Davista mbona kimya story ya shemsa jmn😢😢😢
@tututz10010 ай бұрын
J.boys 1999
@AllyNganganilla-bz2kk10 ай бұрын
Sijachelewamo
@edithaeugeni969510 ай бұрын
Yaani kama mnajuwa hamuwezi kutupa stori mwanzo hadi mwisho bora m badilishe tu mfanye vitu vingine maana stori kama haina mwisho basi haina maana tena rahaa ya stori ufike mwisho