Bwuana Yesu anatawala mpaka milele na milele katae wakubali Yesu ni mfalme 💃 halleluya
@patrickmaina54592 жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu wa Mbinguni Akubariki
@Elize3912 жыл бұрын
Amen 🙏
@erickderick6082 жыл бұрын
Kidogo hii story inaweza kuwa nzuri ngoja niandae bando langu vizuri
@mammam47012 жыл бұрын
Kwer izo za nyuma hapo kidg sizielewi
@cyantess84232 жыл бұрын
story inakaa sawa zingine za uongo halafu wanaingiza yesu ndani shindwe!
@Mpakauseme2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@Mbenja122 жыл бұрын
Huyo kiumbe mwenye kichwa cha mbuzi anaitwa "Baphomet" ndiye anayewapa umaarufu na pesa wasanii wengi duniani..
@foncetecelectricalandelect342 жыл бұрын
Na nihatari sana huwa anakupoteza dakika chache tu
@ayoubnassoro82272 жыл бұрын
Baphomet wee umemjuaje wee...??
@lydiaedwin69112 жыл бұрын
Nikiona Mambo ya pesa Basi fasta naandaa bando , pamoja Dave
@jamesautomajorjimmy7895 Жыл бұрын
Unajua shetani huvutia na chenye twapenda Sana tusipochunga tunaeza ishia njia mbaya kicha tuangamie
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Story nzuri ni kama izi sio una tuletea mastory yawa chungaji wauongo na wana wadanganya watu kuwa wame okoka kumbe wana mtumikia lusfa na wana kuwa na miujiza amuoni mna danganwa acheni ujinga nyie wa kristo
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Nikuulize mwenzetu Mbona sijawahi sikia Jambazi au Mchawi alieacha hizo tabia akaokolewa na Muhammad au Alhah? au huyu Muhammad na yeye anasubiria kuokolewa😂😂😂
@jimmykazoya17492 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 🤣🤣👊🏾👊🏾
@heritier51192 жыл бұрын
Sio lazima kuzisikiliza sikiliza zile za ukweli
@8pistons1942 жыл бұрын
Waislam wanamuabudu baphomet
@8pistons1942 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 muhamad yupo kuzimu ataokoaje mtu
@frankvianey24382 жыл бұрын
Hii story nzur sana asee
@rahaisacl99542 жыл бұрын
Story nizipendazo
@husseingabo54972 жыл бұрын
Pamoja sana davista
@josehkibona75652 жыл бұрын
🤝 tunabarikiwa
@oprahsalum81852 жыл бұрын
Namkumbuka mzee Sanya alikuwa mtu mzuri sana
@heritier51192 жыл бұрын
Ndie aliyeyasambaratisha majambazi mbeya
@bonnycostacosta73392 жыл бұрын
Hizo issues za utajiri wa mafunza nimezisikiaga sana
@obbymark85562 жыл бұрын
at least Leo nimeona ushuhuda wa Mtu aliyepitia maeneo ninayoyafahamu vizuri
@womanofsteel14022 жыл бұрын
Story 🔥🔥sana
@edwardshirima32842 жыл бұрын
davista ety ukaupenda huo😂😂😂😂
@suzanadeimamo77262 жыл бұрын
Hahahahaha hatari sana
@aminakombo48592 жыл бұрын
Davista usivae nguo fupi naona si sawa
@rukkyprincess71762 жыл бұрын
Nice story
@lenniefei67102 жыл бұрын
Mbona waTZ mnatuzingua mara zingine! Ni Alhamisi ama Ali-Hamisi???!!! Naomba kuwekwa sasa hapo
@amirimbago8325 Жыл бұрын
Huko ni Mbeya Mzee...Kuwa mpole, nakunawengine tunaita Alaamisi
@honestema2 жыл бұрын
Duuuh mambo ya terminator
@rogerabdallah4392 жыл бұрын
Sasa muache asimulie mwenyewe
@Omosak2 жыл бұрын
Davista ingekua heri unafululiza episode stori ya mtu umoja mpaka inaisha ...then unafatisha nyingine....au ukiona watu aweielewi unastopisha unafanya nyingine bana...
@fatmamucha44192 жыл бұрын
Zaman alikua anafanya hiv saiv sijui kwann
@peterrulagora74032 жыл бұрын
Habar za huyo jamaa nazifahamu sn
@ahmadlitwe71902 жыл бұрын
Tajiri yupo kwenye bustani kali kinoma nimejifunza kitu hapa
@evachuw80922 жыл бұрын
Mr everything 🙏
@bakari-si1pw2 жыл бұрын
Atari sana mambo ya pesa
@janethhendry67342 жыл бұрын
Mbona hujamalizia macheni umeanza stori nyingine?
@mammam47012 жыл бұрын
🤣 Imeisha mda mbona
@angelmlay41732 жыл бұрын
Mzigo umeingia tayari
@richcompanyfilmtv8232 жыл бұрын
STORY YA KWELI KUDADEKI 🔥🔥🔥
@patrickbategereza76832 жыл бұрын
Pesa position
@rikekikonyo22652 жыл бұрын
Iyunga,Kalobe, Nzovwe,Meta,Loleza, kitambo sana dah
@yohanahbyzehomba1352 Жыл бұрын
Tuko uku karbu iyunga
@kudadeki00007 Жыл бұрын
Jitahidi kuboresha cover za story zako , itakusaidia kuwafikia wengi , through this stories am sure una watch time ya kutosha but unafel thumbnail(cover) And if you do this you will make more money here in youtube , have a nice work.
@jamesmbogela47102 жыл бұрын
enhee izi ndo zina maundisho 🙃🙃
@heritier51192 жыл бұрын
Majambazi na wachawi wanaupendo Sana na wanaroho nzuri Sana mchana, lakini usiombe ukutane nao usiku
@kuschprince3216Ай бұрын
" Anazungumza kwa haraka/ mbiombio hatumuelewi sawasawa!
@djnizoh Жыл бұрын
Nimeupenda huo 😂
@mercykariithi79192 жыл бұрын
watu wenginwe watasoma lini shetani Hana chabure you'll through the nose
@mysskibe2 жыл бұрын
Huyo anaongelelea anaitwa baphomet, illuminati wanamuabudu sana
@bwantanfumo42832 жыл бұрын
Kabisa.ndiye iblisi huyo
@jofreymapile77832 жыл бұрын
Oya kalobe boi xana
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Haya tuenderee kujifunza kwa davistar🤳
@acimamalingano85562 жыл бұрын
Pamoja saana Mr everything 💪
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@patrickm10562 жыл бұрын
Mmh mbona km kamba
@doramkolo17452 жыл бұрын
Davista leo umeva kipensi....sasa kwenye hiyo garden hakuna mbu kweli😂....haya tuendelee kujifunza na mastori ya nguvu
@ayshasaid154710 күн бұрын
😂😂😂😂
@bwantanfumo42832 жыл бұрын
Huyo ni iblisi .ndio ana sura ya mbuzi
@paulkibenzi32422 жыл бұрын
Hivi davi wewe nyumbani niwapi na nikabila gani?
@tututz1002 жыл бұрын
J.BOYS.F.C.1999
@othmanmulendelwa96222 жыл бұрын
Wewe daviste xio kazi yako kuadisia wewe tulia atuadixie