TAHARUKI MBEZI: WATU 'MAZOMBI', MWANAFUNZI ALIYETAPELIWA AFUNGUKA "WANALALA WATU 200"

  Рет қаралды 154,201

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 1 000
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 2 жыл бұрын
Biashara ya viungo vya binadamu imeshamiri sana duniani siku hizi..Wabongo kuweni makini😘😘
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
China kunaduka linauza nyama zawatu
@khamisomar4328
@khamisomar4328 2 жыл бұрын
Taperi unamuoji razima hashinde
@Adeen.1
@Adeen.1 2 жыл бұрын
Mtangazaji nimekupenda...keep up the good job safi kabisa
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Kwakweli yupo vizuri
@carenmsafiri8498
@carenmsafiri8498 2 жыл бұрын
saanaaaah
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Asante yule dada aliyewaita ICU na kwenda nao hapo sasa kawaibua hili balaa litaeleweka tu km kumbe kweli lipo watakuwa wamewahamisha hao baada yakwenda Kwisa Juma na Mai na walitoka watu wengi ndani kukawa na mzozo mkubwa
@nancykimaro3845
@nancykimaro3845 2 жыл бұрын
Mtangazaji ni super kabsa👌👌👌
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Million tano hao ni wezi wa mitandaoni jamani Serekali ipo wapi? Utapeli wa Nigeria umeanza Tanzania kwa kasi .
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 жыл бұрын
uyu jamaa ata sura yake inaonesha ni tapeli sana
@nururaymond5
@nururaymond5 2 жыл бұрын
Tena Kama Siyo mtanzania🇹🇿
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 жыл бұрын
@@nururaymond5 cjui mrwanda uyo
@jazzsule5046
@jazzsule5046 2 жыл бұрын
Yaani huyo kaka hata si wa kuuliza wala kusikiliza mara Mbili huyo ni tapeliiii
@frankkashamakula838
@frankkashamakula838 2 жыл бұрын
Kama Mburundi hv
@geoufo2858
@geoufo2858 2 жыл бұрын
Waongooo Tena mbezi ndo wamejazana ao Yan wakitokaga wanajaza ad barabara walivyo wengi na wengine wanaomba vyakula watu sababu wanaishi mazingira magumu ao
@ahmadiathumani3441
@ahmadiathumani3441 2 жыл бұрын
Hao tumewafukuza temboni huku walikuwa wengi sanaa mpaka kelo
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 2 жыл бұрын
Barabara ya mpigi magoe wapo kibao hapa kibaoni
@josephmanyama9012
@josephmanyama9012 2 жыл бұрын
Mie nakutana nao kibao kila siku njia ya makabe ndio balaaa yani wanatembea kama hawana direction halafu wanawavalisha suti mchana hapa dar jamani halafu wengi ni watu wa meru huko yani ukiwauliza hawakujibu kitu wanakwambia njooo ofisini yani wanapigwa hawa balaaaaaaa
@jumarajab5316
@jumarajab5316 2 жыл бұрын
dah mtangazaji aongezewe mshahara jamani nimempenda katulia anahoji kwa uzuri sio kama wale ICU walivuruga hatukuelewa chochote
@eunicefrank448
@eunicefrank448 2 жыл бұрын
Yan walikuwa na vurugu sana hawakutulia icu waliboa sana kwenye hii habar🤬
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 жыл бұрын
Ni kweli wale wa ICU si wambea wote wale hawana sifa za utangazaji basi tu wanaganga njaa
@evaristmrope
@evaristmrope 2 жыл бұрын
Kiukweli hawa jamaa wameitengeneza kama imani hii kitu na wanachuo wengi wameingia kwenye huu mtego naioma serikali iingilie kati hili suala.Kiufupi kuna utapeli kwenye hii biashara
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 2 жыл бұрын
Huyu akamatwe kwanza sio mtanzania huyu, anaonekana ni mnyaruanda huyu hii system ya utapeli imeenea Nigeria sahizi imeanza na hapa, police kamateni huyu ahojiwe
@frankmasamaki9640
@frankmasamaki9640 2 жыл бұрын
Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥💥 ________________ Karibuni
@angelkawala4083
@angelkawala4083 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni muongo kabisa ila mwandishi wa habari uko vizuri sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
HAYUKO VIZURI MASUALI YOTE ALIOMUULIZA JAMAA HAKUNYOSHA MAJIBU KAMZIDI AKILI MTANGAZAJI HUYO JAMAA NI TAPELI NA MUONGO SURA YAKE INAONYESHA.
@mildredaruta7365
@mildredaruta7365 2 жыл бұрын
Matapeli hao....tena kama huyo anajidhihirisha kabisa
@shufaaattass1920
@shufaaattass1920 2 жыл бұрын
Nimemuone huruma sana hiyo kijana daa mungu akamsimamie apate kazi
@frankngilangwa4092
@frankngilangwa4092 2 жыл бұрын
Mwizi huyo serikali imkamate Kwa uchunguzi zaidi Huyo anatapeli watu kutoka mikoani akamatwe atiwe adabu wizi huu
@MohamedHassan-zc5bl
@MohamedHassan-zc5bl 2 жыл бұрын
Kakuibia nini?au unakurupuka tu
@frankngilangwa4092
@frankngilangwa4092 2 жыл бұрын
Tumeshatembelea pale kwako na watu ninawafahamu pia waliofanyiwa hivyo na Nina ishi nao huku sio kwamba tunakurupuka ww kama hujui kaa kimya tu achana nazo huyo ni mwizi biashara gana on line afu buzaa hazionekani et e commarece wizi tu sisi tunajua maana ya e.commarece Broo tuko vizuli
@publicrelations4600
@publicrelations4600 2 жыл бұрын
Ajira ni ngumu,hao kazi zao ni kuuza mabeseni au vifaa vya steshenari.Wafanyakazi wao wa mikoani huwa wanalala kwenye hiyo nyumba.So wanakua wengi sana.
@estershilla1221
@estershilla1221 2 жыл бұрын
Hawa WATU wanajua kujielezea ukienda kichwa kichwa unajikut mtangazj badala ya habar unajiunga kwenye biashara , hawa jamn wajanja sana tena sana wanajua kujielezea
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
hahahahahaha
@AdventTVOnline777
@AdventTVOnline777 2 жыл бұрын
😂😂😂
@josephatmaruka4612
@josephatmaruka4612 2 жыл бұрын
Rwanda moja huyu jamaa
@chanjamabilo3963
@chanjamabilo3963 2 жыл бұрын
Kabisa 😂😂
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 2 жыл бұрын
Huyu Ni mwongo saana Ni kweli Ni matapeli hata rafudhi yake sio mtanzania kamatenibhao waende kwenye vyombo vya sheriia
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 2 жыл бұрын
Huyu Ni mwongo saana Ni kweli Ni matapeli hata rafudhi yake sio mtanzania kamatenibhao waende kwenye vyombo vya sheriia
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 2 жыл бұрын
Bibi wanaoingia na kutokana wanatoka wapi na wanaenda wapi. Utawakaribisha wahamiaji wasio na kibali umri wako Ni mkubwa acha hizo Bibi. Tama mbaya
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
Kajamaa kamefanana na paul kagame kanyalwanda haka
@agnesssimon3976
@agnesssimon3976 2 жыл бұрын
Hiyo Qnet NI ksmpuni ya matapel tafadhari watu wameibiwa pesa zao, hata rafiki yangu alipoteza milioni 10 na hiyo Qunet
@hiphop4life182
@hiphop4life182 2 жыл бұрын
Pole Nami yamenikuta wamenihita kwa kaz bandari Kumbe ni qnet
@joyceryoba8466
@joyceryoba8466 2 жыл бұрын
Hswaaa ni matapeli Sana hao mmbwa wanajiita Qnet pumbavu Sana hawo...naiomba selikali ingilie Kati hizi mambo
@fatmaabasi5262
@fatmaabasi5262 2 жыл бұрын
Zumaridi wa kiume huyo.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Kabisa
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 2 жыл бұрын
Wangeenda na police hapo na kuwacheki kila kitu Chao. Kwanza si mtanzania anapata wapi jeuri ya kujibu
@aminakasim1198
@aminakasim1198 2 жыл бұрын
Astaghafirullah jamani polisi wamtiee huyu mwenye ujanjaa mtapataa uhakikaa nikitugani anauzaa
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Wazee wa Good morning!!!wanaamini muda wote n asubuhi😂😂😂
@majalaworldwide
@majalaworldwide 2 жыл бұрын
Nimewahi kufika hapo wahuni ao. ,, wazee wa saa milioni 5
@lilycute5523
@lilycute5523 2 жыл бұрын
😂matapeli hao
@lilycute5523
@lilycute5523 2 жыл бұрын
😂matapeli hao
@kelvinraymond9376
@kelvinraymond9376 2 жыл бұрын
Good morning 🤣
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Umenikumbusha juzi kuna mtu kaomba nimssidie nauli ya kurud shamba baada ya hao kumuita😂😂😂😂
@mcmi469
@mcmi469 2 жыл бұрын
Angekua ni Tapeli angeisha kimbia akaicha nyumba hiyo. The guy is telling the truth... Online business haina boundaries. You can still perform your duties at home. What you need ni Computer na internet connection. Wabongo mambo haya ya Biashara za mtandaoni , hawana knowledge. Online business inahitaji akili na experience Bila akili na experience hauwezi elewe hata kidogo. Big up brother..na Asante Sana Bibi.. testimony Yako matters a lot.. much respect.. piga kazi..hapa kazi tu💪 wacha wabongo waendelee Kulala.
@africanbeadwork9434
@africanbeadwork9434 2 жыл бұрын
Huyu tayari yuko polisi we mkundu
@mcmi469
@mcmi469 2 жыл бұрын
@@africanbeadwork9434 Kwani Wewe hauna mkundu?! mkundu nikiungo muhimu cha mwanadamu! Bila mkundu you cease to exist. Well then..Police sio Mahakama. Text me back when the guy is convicted. 💩
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
Wewe ni miongoni mwa matapeli hao ,wacha English mavi yako
@mcmi469
@mcmi469 2 жыл бұрын
@@oscarezekiel1826 una TV yenye video 4 za kijinga na subscribers 6! Au unataka followers?!what a shame?!! Well, I can offer you a job and pay you well..
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
@@mcmi469 HAHAHAHA ebu kwanza ncheke kwa herufi kubwa mie, Sina tiveee mie. Kama iko sio yangu.
@rehemaa597
@rehemaa597 2 жыл бұрын
Kwanza huyo kaka na wasiwasi sio Mtanzania ni matapeli hao kazi ya mitandaoni ndio ikoje
@khayratmhina3735
@khayratmhina3735 2 жыл бұрын
Yah sio mtanzani atamimi nahisi
@thechaiboytv9666
@thechaiboytv9666 2 жыл бұрын
Ni myarwanda
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 жыл бұрын
Kweli kabsa ahojiwe vizuri siyo mtz lafuzi yake inatupa wasiwasi
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
@@thechaiboytv9666 Ni kweli huyu sio Mtanzania
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 жыл бұрын
Huyu ni mrundi sikia kiswahili chake vizuri Niko kigoma warundi nawajua huyu sio mnyarwanda
@edwintouches
@edwintouches 2 жыл бұрын
Kama sio Q-NET ni ALLIANCE IN MOTION GLOBAL au CHAMPION wazee wa kufeki life Suti kibao. Sio matapeli, ila wengi wanavyojiweka na wanavyoshawishi watu ndo inafanya wanaonekana matapeli kila wanapokanyaga. Jamaa wakipata namba yako ya simu utajua ujui, labda ufe ndo wataacha kukusumbua 🔥 Sema jamaa nimemkubali, anajua kujieleza. Anafaa kuwa Networker, japo nahisi Kampuni ambayo yupo inamyayusha!
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 жыл бұрын
Mm mwenyewe nishawahi kwenda Office zao za makumbusho.huyo Kaka aliyeniita kunifundisha jinsi ya kufanya hiyo biashara sikuelewa ht kidogo maana anaongea hatari. Sikutoa hata 100
@erickrichard7762
@erickrichard7762 2 жыл бұрын
Me mweywe walishawahi kunsimamisha lkn niliwqchomolea ila niliwabia sina haja nao
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 жыл бұрын
Hivi police na uhamiaji kazi yao nini?kwanin hawa watu wapo hivyo?hawa sio watanzania nina uhakika
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Kama amuwapelekei taarifa watajuaje
@lovenessgodson1075
@lovenessgodson1075 2 жыл бұрын
Uhamiaji kazi yao kunyima passport ukienda kuomba yani wana boa sana 🙄🙄🙄
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
@@lovenessgodson1075 hata ukitimiza unanyimwa?
@dianamahendekamahendeka1344
@dianamahendekamahendeka1344 2 жыл бұрын
Mbona anaonekana huyu ni mrwanda??
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Ni mnyarwanda kabisa wala migration wakija hapo hawapati shida
@suzanamdaile7723
@suzanamdaile7723 2 жыл бұрын
Hawa ni matapeli sana maneno yao ni uongo mkubwa,serikali waliangalie hilo wanasumbua Sana
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe ni matapeli Serekali imelala ndio maana haya yanaendelea. Ongea yake tu ni tapeli tosha duka lipo kwenye simu ila sio lake ni tapeli hawa ebu wachunguzwe vizuri
@michaelsseko4249
@michaelsseko4249 2 жыл бұрын
Wewe huwajui hawa Qnet walivo matapeli na wasumbufu
@XanTitle10.
@XanTitle10. 2 жыл бұрын
So matapeli bhna means Hawa wanafanya biashara ya bitcoin , foreign exchange.....
@elardurasa2025
@elardurasa2025 2 жыл бұрын
Jamaa aliniita vizuri Kuna kazi yamaana kufika nashangaa saa nane mchana good morning nilipigwa nabutwaa sikurudi
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Hahahaaaaa saa nane mchana good morning. Mimi niliambiwa kinondoni km sina pesa na kuingia uanachama nikakope nilikimbia sikurudi tena
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Nimecheka 😂😂😂 sa kwanini usiwasanue wenzio 🤣🤣
@kisalaTV
@kisalaTV 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
@@ashurajengela3926 nirogwe😃
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Hata Mimi mwenyewe waliniita wakanishangaza
@robertempire9542
@robertempire9542 2 жыл бұрын
Hii ni kweli kuna mjomba wangu alikuwa hapo anaishi hiyo nyumba mchana ni ofisi na usiku na makazi wanachukua vijana kutoka vijijini alafu wanawatapeli wakitaka ushahidi upo
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Subhannallah, Kijana kaelezea vizuri sana.
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Hii ni qnet kabisa ni biashara za kiutapeli zipigwe tu marufuku
@joramlaizer3941
@joramlaizer3941 2 жыл бұрын
Ni mkenya ,Kenya Kuna ukora nyingi sana,wa namna hiyo
@msaysha5886
@msaysha5886 2 жыл бұрын
huyu mi na hisi ni mrwanda hata sio mkenya
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p 2 жыл бұрын
Huyu hana lolote Na lafuthi yake cyo ya tz hiyo nyumba haina kitu , kutakuwa Na kamchezo hapo
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa wajna ,huyu mwembamba mvaa Koti simuelewi hata Sura yake yaani sio ya ki tanzania.na kazi Gani hyo ya mtandaoni?!
@haidarali839
@haidarali839 2 жыл бұрын
kwa expirience yangu sio mtanzania
@faustinrichard8285
@faustinrichard8285 2 жыл бұрын
Waongo hao hawana vibali kamateni washamtapeli ndugu yangu
@faustinrichard8285
@faustinrichard8285 2 жыл бұрын
Kamateni muondoke nae
@faustinrichard8285
@faustinrichard8285 2 жыл бұрын
No no every time morning why
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Et wao wanaamini mda wote ni asubuhi ni Good Morning muda wote 😂😂😂🙌🏻
@xyz-tv4om
@xyz-tv4om 2 жыл бұрын
Ashura Good morning 🤣🤣🤣🤣
@godfreyfrank5354
@godfreyfrank5354 2 жыл бұрын
Matapeli 😂😂
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
@@godfreyfrank5354 dah na sijui inakuaje adi watu wanatapeliwa kirahisi ivo mwee 😂
@arafahhh5574
@arafahhh5574 2 жыл бұрын
Uso wake huyu kijana si mkweli
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Nimuongoo hasaaaa
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Kabisa tapeli huyo
@nururaymond5
@nururaymond5 2 жыл бұрын
Kila alivyoendelea kuhojiwa ndivyo alivyokosa confedence..., Na mjumbe anawatatea kiaina
@redemptorbbombo402
@redemptorbbombo402 2 жыл бұрын
Hiyo kazi si aifanyie kwenye nchi yake
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 жыл бұрын
Huyu anae hojiwa sio mtanzania mfatilieni jaman
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 жыл бұрын
Upo sahihi huyu atakua mnyarwanda au mkenya
@edinascarion8379
@edinascarion8379 2 жыл бұрын
Ni mtanzania pure namjua
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Kutokuwa mtanzania siyo shida
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 2 жыл бұрын
Hukuna mtanzania hapo we idina huyo Kama sio mnyarwanda basi ni mrundi au mganda
@stukiaally4690
@stukiaally4690 2 жыл бұрын
Hii sauti mbona kama zile "unaongea na mtu kutoka umesajili namba yako kwa alama za vidole, Kuna mteja kakosea katuma hela au nenda kwa wakala umeshinda" 🤣🤣
@haulatysam4461
@haulatysam4461 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kama ulikuwepo haki nilipigiwa cm nikaambiwa nimeshinda ila chakushangaza ananiambia niingize namba za siri ili niungwe waingize laki na nusu kama bonus hahahaaaa nikamwambia naijuwa hiyo hahaaaaa kawatapeli huko huko
@feynation3739
@feynation3739 2 жыл бұрын
Kuna kitu hakiko sawa hapo lazima wachunguzwe😒 So scary 😨 Bibi kamezeshwa maneno maskini anatetea kitu hana uhakika nachob
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 2 жыл бұрын
Hiyo net program ame develop software Kwa lugha Gani?? Na site inaitwaje watu waone hiyo hizo biashara. Huyu jamaa anatapeli watu wasio na uelewa wa mitandao. Serikali ifatilie nilitegemea wangekuwa wameshawafata.
@floranceluqman2951
@floranceluqman2951 2 жыл бұрын
Natamani ningekuwepo hapo nimtie jiwe la kichwa huyu ibilisi nitapeli tu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
yamaghufuli ndio ilikua makin sana na maovu haya sio serkal ya sasa
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 2 жыл бұрын
@@floranceluqman2951 🤣🤣🤣🤣Jamaniii et jiwe la kchwa
@willowilbard6119
@willowilbard6119 2 жыл бұрын
Ametaja hapo be forward Ila hizi zinafanana na alliance, forever bf suma
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
""Nimeona watu Mazombi Wamevaa Suti""
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣embu usiniumize mbavu mie yamfalme zumalid
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 2 жыл бұрын
Huyu bibi mwenyewe sura yake inatisha
@aminakasim1198
@aminakasim1198 2 жыл бұрын
Astaghafirullah huyo kakaa alovaa tishat ameeleza vizur safi sanaa huyo bibi atiwee ndani pia na huyo bos
@edwintouches
@edwintouches 2 жыл бұрын
Kama sio Q-NET ni ALLIANCE IN MOTION GLOBAL au CHAMPION wazee wa kufeki life Suti kibao. Sio matapeli, ila wengi wanavyojiweka na wanavyoshawishi watu ndo inafanya wanaonekana matapeli kila wanapokanyaga. Jamaa wakipata namba yako ya simu utajua ujui, labda ufe ndo wataacha kukusumbua 🔥
@juniorshekaoneka9662
@juniorshekaoneka9662 2 жыл бұрын
Hawa ni Q-Net wanazingua sana
@paskalimallya5294
@paskalimallya5294 2 жыл бұрын
Mtangazaji 🤩🤩🤩🤩
@muzikaaly
@muzikaaly 2 жыл бұрын
hawa ni Qnet kujiunga si chini ya 3M wanasema ununue bidhaa baada ya kununua unaaza kuangaika kutafuta wateja kama wewe wawili ndo upate dola 200 , mimi ni mhanga wa kupoteza nauli, hii biashara sema Jamiiforum ndo walinisadia.
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Mambo ya goodmorning kila wakatiTz mambo ni mengi
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 2 жыл бұрын
Hawa wa Good morning wananikumbusha ya joti alishawah kuwaigza kwa mfumo huu, et wakat wote ni good morning 😃😃
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 жыл бұрын
Mtangazaji umetisha! Hongera Sana! Network marketing Ni shughuli zilizopo duniani kote! Ni platform ya online business! Kwa ufupi Hizo shughuli zipo kihalali Ila kwa Tanzania namna zinavyoendeshwa zinaendeshwa kihuni na kijanja janja na Hilo ndio linafanya uhalali wa hiyo shughuli kuwa na mashaka! Watu wanadanganywa na hawaambiwi ukweli na wengi wanaingia mkenge maana wanashawishiwa ili kuvutwa kwenye kitu wasichokijua vizuri! Wachache Sana wanaambiwa ukweli! Na hapo mmedanganywa! hapo watu wanalala wengi Sana! Ila baada ya Hali ya kuchafuka wamesafisha Hali ya hewa ili upepo upite!
@joelbeatus2622
@joelbeatus2622 2 жыл бұрын
Kk mm niliend huko Ila km mungu akanitoa
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 2 жыл бұрын
Eti bidhaa million 5, sibora nikiwanayo nikanunue hata nguo kariakoo kisha nirudi mkoani kufungua duka la kuuzia nguo kuliko kupigwa hela kiujanjaujanja hivi, hongera Sana mwandishi kwa kufanya kazi kiuweledi kuanzia maswali hadi jinsi ya kupata data kamili kwa pande zote za stakeholders (wahusika/walengwa)
@pellahmdee9189
@pellahmdee9189 2 жыл бұрын
Yote tisaa bidhaa ganiii????😡
@lazarozacharia4527
@lazarozacharia4527 2 жыл бұрын
Sikilizeni ndugu zangu uyu jamaa sio mtanzania mwenzetu uyu ni raia wa Rwanda na nimatapeli wakubwa wakishirikiana na baazi ya watanzania wenzetu kujifanya wanawafanyia kampeni za kwamba ni wafanyabiasha ya mtandaoni nitoe rai kwa serekali yetu ifanye araka kuwadhibiti watu hawa araka sana pili tuwe makini na raia kutoka Rwanda sio watu wema angalieni wanavyoisumbua Congo ili waitawale kinguvu yangu ni hayo ndugu zangu
@bonibosco881
@bonibosco881 2 жыл бұрын
Hawa watu wana namna flan ya kula pesa ya watu kiulaini,kuna jamaangu aliuza gari na akaenda kununu product za hao jamaa ili apate return kwa hesabu zao za janja janja ila hakuwah kupata hata robo ya alichotoa
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Duh pole yake jamani
@yusuphmbugi8594
@yusuphmbugi8594 2 жыл бұрын
nimewahi kukutana nayo walimuita mke wangu aende na gari kufika wakamuambia kuna mtu yupo tayari kununua hiyo gari au kuiweka bond halafu yeye ampe milioni 3 na nusu ajiunge
@silyadamian5708
@silyadamian5708 2 жыл бұрын
İnaitwaje?hiyo online bussiness? Nisaidieni jmn???
@janeangoche4464
@janeangoche4464 2 жыл бұрын
This guy is not truthful there's something sister going on here.The government should do alot of investigation this guy could be is not a Tanzanian.
@nashinonurat9604
@nashinonurat9604 2 жыл бұрын
Hao wanakataa tu mje na Huku Makamba msakuzi wapo wengi mnoo.na.ni.mATAPELI cyo uongoo
@azizahmwimbe8548
@azizahmwimbe8548 2 жыл бұрын
According to council law sehemu ya biashara hawarusiwe watu kulala.
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 2 жыл бұрын
Online business kama ni kweli unasema wasifanyie nyumbani? Hiyo hata barabarani inafanyika, muhimu ni kama wanasema ukweli.
@juliusphabian6336
@juliusphabian6336 2 жыл бұрын
Council law kwene utaftaj....hujapigika na maisha wewe
@azizahmwimbe8548
@azizahmwimbe8548 2 жыл бұрын
@@juliusphabian6336 hacha hizo wewe, mimi kama mfanyabiashara ndo nakwambia according to the law sasa mambo ya maisha hapo yanaingiliyana vipi? Hacha uboya wewe😏🤫
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 жыл бұрын
Jamani hii Mimi binafc iliwah nitokea kwa binti yangu hko njombe! Walisema kunaajira kisha watoe elf 60 wakatoa na baada ya hapo kila kitu wajitegemee kisha hela kila siku waingiza pesa, mwisho wa siku wale watu wakapotea na zile pesa, nikafait wakakamatwa mtwara na polic, lkn police wakala pesa waliwaachia wez hao. Kamata wote hao ni wezi
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
Kabisa hao ni mataperi
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 2 жыл бұрын
Ni bidhaa gani wanazifanya mtandaoni mbona ofisi ina viti na meza tu ,,,,,,,, global business zinahusiana na vitu gani mbona nashindwa kumuelewa huyu mvaa msuti ,,,, serekali o Iingilie kati hawa ni matapeli ealiochangamka nafikiri ndio wale wanasemaga nunua bidhaa ya kupunguza unene kisha walete wenzio kumi ili uweze kujishindia bidhaa zaidi ,,, waongo sana wallah wakamatwe hao
@rayanzachariah1185
@rayanzachariah1185 2 жыл бұрын
Kwelii kabisa wamekuja muda mbaya sana wanatokaga wengi mnoo makabe hapa mtaa wa dubaii saa kumkina mbilii pale wananyumba kama 3
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Biashara gani ya mtandao wanafanya maana biashara za sasa zote zinafanywa online si waitaje
@T.W3022
@T.W3022 2 жыл бұрын
Hawa wezi sana, wali mwiba mtoto wa mama yangu mkubwa then waka demand million 2. Ni wezi kabisa serikali iwafunge kabisa hawa
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Dawa Yao kuwavizia usiku wa manane hao watu Kuna watu wanachukuwa watoto wa watu mikowani na kuja kuwafanyisha kazi na kuwarundika sehemu moja watu wengi Ili kuepuka gharama ya kukodi vyumba sehemu nyengine na Kisha utekaji nyara wa watoto umeshamiri sana Sasa hivi kwa hiyo pafuatiliwe sana hapo mahala
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Polic kama ta huyo bibi na wapangajiwake woote huyu bb a najua Sana yoote nibasitu anajitetea
@princessringo2879
@princessringo2879 2 жыл бұрын
Pengine anadai kodi yake maan hawa... Wanakuambia njoo na milion 5 unaishia kufa maskini...
@goalgoalhd
@goalgoalhd 2 жыл бұрын
good morning my neighbor 😂 😂 😂 😂
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Sipo tanzania nipo oman hayanihusu mimi hayo ya watu matapeli daa sikujuwi wala sina ham nako mungu anisuru na daa
@zawadimrindoko6782
@zawadimrindoko6782 2 жыл бұрын
Kwakweli uelewa Ni mdogo ndio maana hata Mimi sijaelewa. 😓😓
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mwaneyseifseif3059
@mwaneyseifseif3059 2 жыл бұрын
🤣🤣
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Kwa kifup hawaeleweki tu hata mim sijaambua chochote 😲😟
@boniphacebupamba5407
@boniphacebupamba5407 Жыл бұрын
Vijana tufanyeni kazi huu upuuzi mtakuja kujiua
@neemavahaye4184
@neemavahaye4184 2 жыл бұрын
Hahaha Q net..wazee wa good morng
@Dienacademy
@Dienacademy 2 жыл бұрын
😁😁 Alivoongea tu nikajua tu
@travistzmushi6384
@travistzmushi6384 2 жыл бұрын
nomaaa sana
@johnandrew8491
@johnandrew8491 2 жыл бұрын
Hao wa "goodmorning" nawajua sn....matapeli kama matapeli wengine!!
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 жыл бұрын
Hili jambo lazima serikali nikimaanisha police na uhamiaji ifike hapa. Iwahoji vizuri nini wanafanya hapa? Siku hizi biashara mpaka za figo, moyo zipo. Huyu anaeongea ni muongo anajitetea tu maelezo yake hayajitoshelezi kabisaa
@samidquiz6316
@samidquiz6316 2 жыл бұрын
Nimeishi nao jiran muda mrefu sana hawa wengi wao ni wamburu,warangi na wanyaturu wametapeliwa sana alaf hata ukiwauliza wale waliotapeliwa bs wasiri kinoma yan huwa nawaoneaga huruma sana wamepewa sehemu ya kulala kula ni juu yao
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@samidquiz6316 anaonekana si mtanzania hata lafudhi yake...jamani Mungu tuhurumie mbona kama hatuko salama???!!!
@emmanuelsichone4681
@emmanuelsichone4681 2 жыл бұрын
@@samidquiz6316 halafu sio mtz huyu
@ledynanciajuma6390
@ledynanciajuma6390 2 жыл бұрын
Hata mm maeneo ya mwananyamala mwaka juz ilinitokea baada ya rafiki yang kuniita kwamba kuna kazi nzuri ambayo ni ya kiofisi zaidi na nilipomuuliza kuwa unahusika na mambo gan hakunitaji akadai kwamba mpaka nifike,kwa kuwa nilikuwa nashida kweli sikusita kwenda nilipofika tu kwanza hyo salam ya goodmoning ndo ilonishtua baada ya kuwasikiliza kiukweli sikuweza kurud tena na huyo rafiki yang nilimblock mpaka Leo sijui kama anaendelea na hyo kaz au laa!! Kiukweli huo ni utapeli mtupu na hata ukiwaangalia tu wale wanaondesha wenyew wamechoka alafu wainadi kuwa ukifanya hyo kaz utakuw billionea ,ni wango watupu jaman vijana venzang tuweni makini sn ktk maisha ya sasa tusikimbilie tu kazi rahisi bila kujuwa madhara yake,hizo nyumba kweli zipo na watu wanatekwa akili yan bila kuwa na akili ya ziada huzi toka
@samidquiz6316
@samidquiz6316 2 жыл бұрын
@@ledynanciajuma6390 pole aseeee
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 2 жыл бұрын
Serikari ichunguze mpaka watu waseme
@bugandayohana2494
@bugandayohana2494 2 жыл бұрын
Mimi wameniudhi sana. Wamenisumbua sana yaani. Waliponiomba tu million tano nikaona hapa ni utapeli . Qnet hao
@lovehawa4758
@lovehawa4758 2 жыл бұрын
Hahahah
@miriamsaidi1047
@miriamsaidi1047 2 жыл бұрын
Ni matapeli hao, wapo huku mbezi luis pia,ni jilani na tuna poishi,,wanashinda na njaa. wana maisha magumu sana.wanatapeliwa.
@marrychriss2507
@marrychriss2507 2 жыл бұрын
Nawajua pia wamechoka haswa
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 жыл бұрын
Halafu huyu kaka mwenye kisuti anakimdomoo toka jana kwenye ICU
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili
@DoctorPesandegeMgangaTibAsili 2 жыл бұрын
🌳🌲🌿 HUDUMA ZINAENDELEA ✅ PESANDEGE Doctors 🌿🌲🌳🤗✅
@machinefannatic99
@machinefannatic99 2 жыл бұрын
na huyu bibi ni mzee sana hajielewi
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Usitaje bure jina la Mungu!
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 2 жыл бұрын
Ameni
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 2 жыл бұрын
Qnet ni biashara nzuri sna tn sn but Kwa wabongo haitufai utapeli mwingi Sana na ni biashara isio hitaji njaa njaa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
KWANZA WAO WANAJUWAJE HAYO MAMBO YA CHAKULA? BASI HAO WANAOONGEA AU KURIPOTI HAYO, NI WATU AMBAO WAKO HUMO NDANI, NA NIWAFANYAKAZI WENZENU, NA HAWANA IMANI NA NYINYI .
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Jeshi la police tunaomba hii ofis ichunguzwe jmn watoto wanatoka mikoan kwa uongo uongo jmn 😭 😭 😭 😭
@christina_john77
@christina_john77 2 жыл бұрын
Mjumbe kaongea vizuri itakua basi watu wanamambo yao 🙌🏻
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 2 жыл бұрын
Mshirika kwa qnet kwenye ubora wako
@gracejaber8994
@gracejaber8994 2 жыл бұрын
Nkweli lafki yangu wanasingiziwa
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
Huyu jamaa sio Mtanzania, inabidi pia akachunguzwe
@judithmaziku363
@judithmaziku363 2 жыл бұрын
Yes
@beatricekamenge7000
@beatricekamenge7000 2 жыл бұрын
Mnyarwanda huyu
@tumainijoseph5181
@tumainijoseph5181 2 жыл бұрын
Network marketing ni nzuri, tatzo ni kwamba q net inajihusisha na luxury products, ambazo zinaweza kuwa affordable na percentage ndogo ya watanzania, mi naona hao wanachama wa qnet wadeal na watu wenye vipato vyao waachane na watanzania wanyonge, 5m ni kubwa kwa mtanzania wa hali ya chini.
@samidquiz6316
@samidquiz6316 2 жыл бұрын
Hawa jamaa ukifika mbezi njia panda ya makabe unaona kabisa kuna utapeli ndani yake, lkn cha ajabu hawa wenyewe wamemezeshwa siri nzito sana niliwaona siku moja kama wanatoka kwenye mkutano wao nikawauliza kila mmoja wanatoka wapi walikuwa kama watatu niliowahoji lkn wakakataa ukiwaangalia ni kama wamburu,warangi,wanyaturu Serikali iingilie kat hapa kuna utapeli mkubwa sana wametoa ng'ombe alaf baada ya miaka mi5 watatajirika huu ni uongo wa kiwango cha juu Alaf wanawapa sehem za kulala pamoja wote ila viongoz wao (wale wanaojitambua) wanapewa vyumba vyao maalum na usafiri Jmn vijana wenzangu tufanyeni kazi kwa nchi yetu hii hakuna atakayekupa utajiri pasipojuhud zako binafs
@qemuelnade448
@qemuelnade448 2 жыл бұрын
Kun wambur wng ukoo n n utapel wngn makwao wazaz wanauz adi ardh yn n uwiz mtup serkl yet n y kijng xan hv polic wankz gan??
@qemuelnade448
@qemuelnade448 2 жыл бұрын
Uko xahih xn broo
@samidquiz6316
@samidquiz6316 2 жыл бұрын
@@qemuelnade448 ndio nashangaa hata me au Polisi wanalipwa wasiwashike viongoz hawa
@princessringo2879
@princessringo2879 2 жыл бұрын
Wanawatoa mikoani
@pericykiko6198
@pericykiko6198 2 жыл бұрын
Bidhaa za mitandaoni epuka ziko na madhara makubwa sana kuna kitu nyuma yake
@jofreyzacharia8965
@jofreyzacharia8965 2 жыл бұрын
Usipotoshe inategemeana unanunua nn
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
Hawa ni matapeli Mi mwenywew kidogo nitapeliwe
@michaelkivaria6011
@michaelkivaria6011 2 жыл бұрын
@@jofreyzacharia8965 Haswa madawa eti ya bp sukari
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 2 жыл бұрын
Wazee wa good morning good morning hao a.k.a Qnenga😂😂😂
@petermwita5267
@petermwita5267 2 жыл бұрын
Hello mm nishapata baati ya kukutana na hao majama kitu wanacho fanya inaitwa (online networks market)
@OfficialBenBeat
@OfficialBenBeat 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mbona anajibu uongo sana.....kaulizwa hiv anajibu vile anazunguuuka yaan kwa mtu mwenye akili anajua huyu jamaa ni muongo....afu sio mtz huyu
@ahmadiathumani3441
@ahmadiathumani3441 2 жыл бұрын
Sio mtz huyu
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
Yaani anarukaruka,hamna kitu amesema kinaeleweka. Yaani Tanzania kweli shamba la bibi,sijui mganda sijui mnyarwanda atoke kwao aje kwny nchi kuibia watu yaani freshi tu
@faithdaudi698
@faithdaudi698 2 жыл бұрын
Kamateni hao wasiwadanganye watu wanatapeli watoto wawatu mikoani kwamba kuna kazi kumbe uongo tena uko mbezi ndio wamejaaa
@japhetgeorge315
@japhetgeorge315 2 жыл бұрын
Daah kweli hata mim waliiniita bhana dah wanasalamu moja ivi good morning mda wote iwe mchana hata jioni
@naipendaafyayangu3826
@naipendaafyayangu3826 2 жыл бұрын
Daaa aisee
@mkeretimwitta8043
@mkeretimwitta8043 2 жыл бұрын
Nimekumbuka bna hao WA gud morning n washirikina hao matapeli wakubwa
@htx1873
@htx1873 2 жыл бұрын
He is definitely not Tanzanian, Huyu sio mtanzania halisi , I think 🤔 Anaasili ya somewhere huko Rwanda Burundi au Congo
@modysultan6170
@modysultan6170 2 жыл бұрын
kweli kabisa atakujieleza kiswahili hajui sio mtanzania ni mnyarwanda
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 2 жыл бұрын
Kama ni muhaya? Au mkurya? Au hata muha... Utulize akili kwanza
@rahmaawadh1695
@rahmaawadh1695 2 жыл бұрын
Kwani serikali iko wapi mbona muda tu hili swala haliingiliwi kati kuna nn hapa??? Mbona Tanzania ss hatuko hivyo serikali yetu ni sikivu iwachunguze hawa watu watoke na jibu zuri maana wananchi hawawaelewi hawa watu!!!
@marymariki586
@marymariki586 2 жыл бұрын
Wazee wa Goodmorning 😁😁
@dagashenko8951
@dagashenko8951 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@dagashenko8951
@dagashenko8951 2 жыл бұрын
Mary
@marymariki586
@marymariki586 2 жыл бұрын
@@dagashenko8951 nambie boss Goodmorning
@mosesmwaisumo2838
@mosesmwaisumo2838 2 жыл бұрын
Vijana tuweni makini hawa ni matapeli salamu yao ni good morning muda wote kiukweli huu ni ushenzi Sana Kuna watu hawasoma vipi kuhusu hiyo salamu
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Alafu huyu jamaa sindio alihojiwa na kipindi cha ICU kina kwisa alafu anawatishia kupiga cm
@azizahassan6803
@azizahassan6803 2 жыл бұрын
Ndio yy aisee hapa kunamambo meusiiiiii🤔🤔
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@azizahassan6803 kuna kitu hapa nyuma ya pazia sio bure
@matridawilium9945
@matridawilium9945 2 жыл бұрын
Serikali kuweni macho
@deokary1917
@deokary1917 2 жыл бұрын
Hiyo ni QNET ya bongo ni matapeli ni Wamasai hao mda wote wanaongea kiingereza kusudi tuwaamini mimi mwenyewe nimekimbia huku ety wanataka milioni 5Kujiunga ni weziiiiiiii wezzzzzziii wezi🤦🤦🤦🤦🤦🙊😭😭😭😭
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 2 жыл бұрын
Ukiwakuta wapo very smart
@robertndumbaro2249
@robertndumbaro2249 2 жыл бұрын
hapo ni nyumba ya kulala,ofis na chuo😭😭😭 maisha yanatafutwa.
@lifeofyuri4020
@lifeofyuri4020 2 жыл бұрын
Mjumbe muongo hao watu walitolewa kesi ilivyo bumbulika Maongozi ya mtu muongo yanajirudia Yan anaweka msisitizo kitu kimoja
@modysultan6170
@modysultan6170 2 жыл бұрын
anaangalia tumbo lake
@lwogasgenius9147
@lwogasgenius9147 2 жыл бұрын
Wananikumbusha QNET goodmorning
@laurencemushi1921
@laurencemushi1921 2 жыл бұрын
Godmorng
@petermdoe4691
@petermdoe4691 2 жыл бұрын
Huyu mbona kama sio mtanzania? Ana vibali huyu kweli?
@munnahbakari725
@munnahbakari725 2 жыл бұрын
Sidhani kwakweli amekaa kitapel sana
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 жыл бұрын
Nimrundi sikia kiswahili chake.
@wardw3022
@wardw3022 2 жыл бұрын
matapeli hao bila maneno mengi ukiona watu wanajazana hivyo juwa mchezo mchafu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Masomo Gani Ayo Ya Kusomeshwa Mmoja Mmoja Jamani Anasoma Akitoka Anaingia Mwingine Apo Pana Tatizo Apo
@hildajoel5
@hildajoel5 Жыл бұрын
Kumbe hawajakoma tu😂😂 kweli nyerere alisema ukweli vitu vinavyotugharimu UJINGA,MARADHI NA UMASKINI
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,5 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
HOUSE GIRL  EP 40 || love story💞💕
21:06
BUSATI TV
Рет қаралды 7 М.
[NEWS GANG] Ruto fires his Cabinet [Part 3]
43:12
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,8 М.