PART1:WATOTO WALIOMUUA BABA YAO ILI WARITHI MALI BILA KUJUA MALI ZENYEWE BABA YAO ALIZIPATA KICHAWI

  Рет қаралды 18,834

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

4 жыл бұрын

Пікірлер: 153
@sabrinaluckson4797
@sabrinaluckson4797 3 жыл бұрын
Bora baba yangu wiki mbili kabla ajafariki alinionya tu nisidai mali zake indapo atakufa...imenisaidia😥😥😥😥😥😥😥😥zote zimepotea potea
@twarbnasoro1594
@twarbnasoro1594 4 жыл бұрын
Allah atuongoze katika njia ya kheri
@mwananassor1415
@mwananassor1415 4 жыл бұрын
Amiin
@kalssambaboo9705
@kalssambaboo9705 4 жыл бұрын
Ameen
@assilaibra4563
@assilaibra4563 4 жыл бұрын
Aaamiiiin,
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 4 жыл бұрын
AAmin yaarab
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 жыл бұрын
Amin
@janealfa1979
@janealfa1979 4 жыл бұрын
Nakukubali sana...MTU makini
@shristinangitu2607
@shristinangitu2607 3 жыл бұрын
Wa mtwara mwenzangu
@kanyangezafaraniddi6518
@kanyangezafaraniddi6518 4 жыл бұрын
Kazi nzur Davista nakufata saan from🇨🇦🇨🇦
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Mmh dunia dunia Mungu tuongoze duniani tushukuru na utupacho
@teklamosha7382
@teklamosha7382 3 жыл бұрын
Duuuh so pain Mungu atusaidie jmn
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 4 жыл бұрын
Pole sana Yote Ni maisha hayo Allah ndio Hakim wa haki Allah ndio mlipaji ss hatuwezi hukumu
@elisanjichanyange5485
@elisanjichanyange5485 4 жыл бұрын
Kupoteza mama nichangamoto sana, yarab tustir tusiwe na mioyo ya kutokuridhika
@georgebugangazpoa4975
@georgebugangazpoa4975 2 жыл бұрын
Mpokee Yesu Kristo
@basiltobiasi6047
@basiltobiasi6047 3 жыл бұрын
Mungu aibariki kazi ya mikono yako brother davista matta Mr fact endelea kutuletea vigongo vya ukweli
@aishasaid6749
@aishasaid6749 4 жыл бұрын
Safi sana aiseee tunafarijika sana ss ambao tupo nje ya tz
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 4 жыл бұрын
duh mtihani huu mari hizi bola tuenderee kuosha vyoo vya warabu uku omn
@nundabe
@nundabe 4 жыл бұрын
Leo nimekua wa 1 🇧🇮. 😂😂😂
@husseinchea5524
@husseinchea5524 4 жыл бұрын
Nakukubali Davister ile kishenzi...natazama nikiwa pwani (Mombasa, Kenya 🇰🇪).
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Mhh uchawi shkamoo.
@ahshbsbx2991
@ahshbsbx2991 4 жыл бұрын
Nakupenda kaka endelea kutuimisha
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 4 жыл бұрын
Duh watu wa ntwara mnatupa burudani hadi raha ila poreni xana mzee baba kusaidia nje yaweza kuwa ni masharti ya mganga
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Mimi napigana apa kwa ajili ya watoto wangu alafu aho aho waje waniue kwa mali nzngu mwenyewe maangaiko nayo angaika mimi peke yngu alafu mwanangu aje aniuue 😂😂😂😂😂😂😂😂😂kwakweli inauma aiseee
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 3 жыл бұрын
Uwe na mali usisaidie watoto wako,hio mali inamaana gani,watoto ndo wanafanya nitafute mali,bila wao ata mm nitakaa tu,nitafute cha tumbo,nikingojea kufa,sema mali zasikuizi nihatari sana,unaenda kwa mganga unapewa masharti,ati usisaidie watoto,heri ikae
@aminaismail4221
@aminaismail4221 4 жыл бұрын
Dunia ina mambo poleni kwa mitihani muregele mungu na mtubie
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 4 жыл бұрын
JAMANI nimezaliwa africa nimesoma africa katika maisha nilio ishi NA wazazi wangu africa sijasikia haya yote leo ninayo yasikia kwani kumekuwa nini leo hii jamani africa mungu atusitiri yaarabi nahaya yanaotokea duniani💔💔💔💔💔💔
@jamilaally3172
@jamilaally3172 4 жыл бұрын
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 4 жыл бұрын
Ndio sawa ya tamaa
@dullermzungu3060
@dullermzungu3060 4 жыл бұрын
Duller Mzungu hapa
@najimyahya7901
@najimyahya7901 4 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa kwanzaa kbisaa kungaliaa watching from 🇨🇦🇨🇦
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 4 жыл бұрын
Pamoja sana kaka,tuelimishe tu
@naythardarling1115
@naythardarling1115 4 жыл бұрын
Mmh!! Mmenifumbua macho yaan niko na mawazo kwl kwel manake maisha yenu ayatofautian na yetu ila poleni sana ilibid mtoke mkae. Nae mbali sna ilimpatr nafuu kiduchu
@zeboytv7043
@zeboytv7043 4 жыл бұрын
Bwana Achumani😂😂😂😂😂 Tumemmic
@linahmwende8397
@linahmwende8397 4 жыл бұрын
Ntumeee ntoto njuli maliamu😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zeboytv7043
@zeboytv7043 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Ntoto namlove menyewee
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
Yule chio achumani yule mfaume achumani ni rafiki yake😀😀
@hijjaferrari8243
@hijjaferrari8243 3 жыл бұрын
Huyu mluguru anaonekana tu
@rizickalexander7634
@rizickalexander7634 4 жыл бұрын
wa kwanza like za kutosha
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 4 жыл бұрын
Doh hii nayo ni kali sana
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
😂😂😂😂nacheka kama mazuri kafichwa kataja majina yote ya familia nzima🤣🤣🤣🤣🤣
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 2 ай бұрын
Kataja majina yake, majina ya ndugu zake, Jina la baba yake, jina la Kijiji anachoishi, jina la mganga....😂😂😂
@hamisifereji2769
@hamisifereji2769 4 жыл бұрын
Daaaaa mtihani sana
@asingakanimwanapotoyakala8053
@asingakanimwanapotoyakala8053 4 жыл бұрын
Watching from south Africa/ CAPE TOWN
@salumbunga240
@salumbunga240 4 жыл бұрын
Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊
@emmanuelyraphaely3343
@emmanuelyraphaely3343 4 жыл бұрын
Leo nimekua wa 5 like zenu ndugu zangu watching from 🇦🇺🇦🇺
@gredandenza3288
@gredandenza3288 4 жыл бұрын
Du ila mtwara wachawi sana
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Pole kakangu kumpoteza mama huwa nijambo ngumu heri uwache namchumba kuliko mama😭😭😭😭😭 nakusaidia Kulia mana mm nipo hapo kuwapoteza wazazi wote wawili Nasidhani kama huyo mzee alikuwa niakili yake kwaza anabibi wakambo halafu inawezekana aliambiwaa namganga awe mgumu katika family yake aangalie tuu watu wainje kibaya zaidi hajawai kuwashirikisha kuwaambia hixi Mali sio halali ama yy ndoalimua bi mdachi iliafaidii utajiriii😭😭😭😭
@OmanOman-ik9sp
@OmanOman-ik9sp 4 жыл бұрын
Pole sana
@kalssambaboo9705
@kalssambaboo9705 4 жыл бұрын
Tobhaa wallah kunawatu wanashinda you tube dooh😂😂😂
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Hawa ndio watoto wa mwendokasi wenyew sasa
@sharifahamisi9812
@sharifahamisi9812 4 жыл бұрын
Mzee nani uyo jaman
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Aiya weeh!
@Anza_tz
@Anza_tz 4 жыл бұрын
dooooooooooooooooooooooooooooooooooo hii ni hatareeeeeee
@mariamukingazi3668
@mariamukingazi3668 4 жыл бұрын
Asee dv unatembea
@mwamurekadenge2161
@mwamurekadenge2161 3 жыл бұрын
Perfect 👌💯 story
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 4 жыл бұрын
Tamaa mbele Mauti nyuma. Methali hii watu wengi hawaishi nayo. Ndio maana tunaona visaa kadhaa wa kadha vya kutafuta utajili..
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 4 жыл бұрын
Doo msiba mzito walah yah allah waja wako wamepotea 🙏🙏
@ochuMay05
@ochuMay05 Жыл бұрын
Pamoja sana Kaka.. Kaka Kuna Ile stori ya Safari ya ulaya ilivyogeuka kuwa kuzimu tunakuomba utuletee yule jamaa atusimulie mkasa wake..Please.
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 4 жыл бұрын
sawa
@thureiyahrawah5992
@thureiyahrawah5992 3 жыл бұрын
Mlikuwa wakubwa mngetafuta Mali zenu lkn
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 2 жыл бұрын
Subuhana Allha
@teresanjeri4823
@teresanjeri4823 4 жыл бұрын
Watching from Kenya , Nairobi
@likeothers2498
@likeothers2498 4 жыл бұрын
From Mombasa Kenya
@goodgood9370
@goodgood9370 4 жыл бұрын
@@likeothers2498 from Sweden
@baokimani760
@baokimani760 4 жыл бұрын
Noma kweli am from Kenya kitale town
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
Anaongea kama Bwakila hehe
@kalssambaboo9705
@kalssambaboo9705 4 жыл бұрын
Dooh mtihan huu naona
@popod177
@popod177 4 жыл бұрын
Watching from Kenya ,..mombasa😎
@likeothers2498
@likeothers2498 4 жыл бұрын
Pamoja
@husseinchea5524
@husseinchea5524 4 жыл бұрын
Kumbe tupo wengi 😊
@azizasayi97
@azizasayi97 4 жыл бұрын
Dah jamn Pole kaka Dv endelea kutuelimisha
@salmasalma8203
@salmasalma8203 4 жыл бұрын
Hongr kk upo makin na kz yk ubrkiw
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 3 жыл бұрын
Nikamuue babaangu sababu tuu hanipi mahitaji, kwann nisitafute zang
@mwananassor1415
@mwananassor1415 4 жыл бұрын
🤓 kaka VP tena!!!! "Au ndo Yale ya mchimba kisimaa kaingia mwenyewe"au sjaelewa story
@ameenaameena5727
@ameenaameena5727 4 жыл бұрын
Duniya si mama ni shuke
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Nmewahi Leo 🤗
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 4 жыл бұрын
Ubarikiwe dm
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 4 жыл бұрын
Sio rahisi baba afanye hivyo yawezakuwa ni mashart ya mganga uxomeshe majilani af Mtoto wako umuache aaah sio rahic
@mwesigwaannte6751
@mwesigwaannte6751 4 жыл бұрын
🤔 but Thanks Davistar
@goodgood9370
@goodgood9370 4 жыл бұрын
7
@victoriastephano4075
@victoriastephano4075 3 жыл бұрын
itakuw alipewa masharti ya kutokuwasaidia
@beatricekweka6683
@beatricekweka6683 4 жыл бұрын
Ooh
@sekelamwambomanabiiwakwwli8559
@sekelamwambomanabiiwakwwli8559 4 жыл бұрын
Nimewai sana wa NNE leo
@sekelamwambomanabiiwakwwli8559
@sekelamwambomanabiiwakwwli8559 4 жыл бұрын
Wa NNE leo
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 4 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@dotosalim5090
@dotosalim5090 4 жыл бұрын
Mababa kama awo sio amri yao nishindikizo la mama wakambo mm nimepiti mapito ayo
@shakiraabbas7538
@shakiraabbas7538 4 жыл бұрын
Duuuu mali hizi
@user-nu3ud7ws9b
@user-nu3ud7ws9b Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢mtihani ivo
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Life is full of mysteries
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 жыл бұрын
Wamakonde oyeeeeee
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 4 жыл бұрын
Watoto muachie tamaa
@margaretnjeri7695
@margaretnjeri7695 4 жыл бұрын
Tuko rada from Kenya , Nairobi.
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Ndo mana baba angu aliuza kila kitu kabaki yy tuu kwa sasa Sisi ndo tunamsaidia aliona aya maana family zetu izi za kimasikini zinatabu sana aiseee 😥😥😥😥😥Yesu tuhurumie
@ashasiri2720
@ashasiri2720 4 жыл бұрын
❤️❤️🙏
@hellenmanzi4740
@hellenmanzi4740 4 жыл бұрын
Hehehe ya leo tamu
@karimkalama6629
@karimkalama6629 3 жыл бұрын
maisha yenyewe mafupi lkn watu tunayaangaikia
@kashuradiocles1068
@kashuradiocles1068 4 жыл бұрын
Duuuuh kweli dunia ina mambo mengi, watoto kumuua mzaz wao
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Masikini yani mliendaa kumrogaa mxee sasa imewageukia nikama babayenu mganga wake alikuwa hatari Hivi kwann watu wanapendelea mali zaurithi sana?? Soma kishida malixa tafuta zakwako zaurithi hata siku moja siezi tamani mana ningezitaani kama mama ako hai lkn mama kaondoka hujui pia yy sababu akaolewaa heri upambane nahali yako tuuu kwaza urithi namamakambo wapi nawapi🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️ nimtu kujakuuliwaa kabilaa siku zako za Mungu kufika
@bensonlameck6348
@bensonlameck6348 4 жыл бұрын
Tishaa
@OmarAli-dn8cn
@OmarAli-dn8cn 3 жыл бұрын
P
@mamawardha2924
@mamawardha2924 4 жыл бұрын
Msinge muua mngeziiba tu hizo hela
@alifadhili6056
@alifadhili6056 4 жыл бұрын
Mtu wa 1k ...saf dav makini kbsa duh kuua mtu s jmbo rahsi aisei duhh
@nurdintembo7480
@nurdintembo7480 4 жыл бұрын
Leo nami nimewai wakumi leo
@merinarobin1894
@merinarobin1894 4 жыл бұрын
Dunia kama duni ndivyo ilivyo
@marychacha7084
@marychacha7084 4 жыл бұрын
Mbona Tena kavimba blaza.au mlichukua nyayo zake!? Du Mungu atusaidie binadamu kwa kweli
@sharifahamisi9812
@sharifahamisi9812 4 жыл бұрын
Aisee upo kwetu leo kaka newala sehemu gani apo shirki mbaya jaman
@awadhirajabu2606
@awadhirajabu2606 4 жыл бұрын
Sasa Uyo Mzee Alistaili Azabu Lakini Sio Kifo Mngefanya Jambo We Mali Zipo CC Wanao Tubaki Zilo Kumbe Apo Mama Wa Kambo Tatizo Kubwa Sana Duniani Na Baba Wa Kambo
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 4 жыл бұрын
MALI 2
@winniedorah778
@winniedorah778 4 жыл бұрын
ATI nimiguu wanatoka minyoo hii kali
@pennykiruka9314
@pennykiruka9314 4 жыл бұрын
Watching from SOUTH AFRICA joburg
@abassmchonjo6635
@abassmchonjo6635 4 жыл бұрын
Kuuanikitukigumu.wengine.wanachkulia.kawaidatu
@lucyshirima7862
@lucyshirima7862 4 жыл бұрын
Mtwara mnaniniiiiiiiiiiii
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 4 жыл бұрын
Mimi uwaga nashindwa kuelewa kwakwe li kuhusu story zako uwa nazipenda sasa shida inakuja ivi kwanini ao watu wanaouwa wanakuja kusema apa kwanini awakamaatwi jmn mtu anaongea kabisa kuwa aliuwa kwanini selikali ya Tanzania aikutafuti ili wawakamate wao watu waliuwa watu wakatumikie kifungo vyao jmn
@salumumadukwa5516
@salumumadukwa5516 4 жыл бұрын
Unajuwaje kama hawakamatwi
@voodothurday
@voodothurday 3 жыл бұрын
Kumbuka kuwa serikali haiamini uchawi
@mwatimeabdallah7945
@mwatimeabdallah7945 4 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa 20 oyoooooo
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Jaman usiposimama vizur kwa Mungu dunia itakupeleka puta mpk ushindwe pa kuchomokea
@pendomwahalende4869
@pendomwahalende4869 4 жыл бұрын
Mmakonde mwingine ndani ya nyumba kelele ya kwanza kwa mmakonde wakee🔥🔥🔥
@maidevrasumbura1880
@maidevrasumbura1880 4 жыл бұрын
hyu mrugulu bwana mmakonde haongei hivo
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 193 М.
小路飞跟姐姐去哪里了#海贼王#路飞
0:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 44 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 38 МЛН
Каха заблудился в горах
0:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН