Part17_ACD(Ufanye nini kuimarisha mamlaka ya imani)|USHUHUDA WA ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 64,498

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 373
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 2 жыл бұрын
Asiye kuamini akalale,atuachiye YESU wetu aendelee kutuponya kupitiyaa Amieli katekera,ubarikiwe Jactan ,kazi iendelee.mlingoti chuma bendera chuma.
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 2 жыл бұрын
Sahihiii
@neemamosha8715
@neemamosha8715 2 жыл бұрын
Mungu Azidi Kukupigania Hakika kupitia ushuhuda huu Mungu amenifundisha Mengi niliyokuwa najiuliza sana, Tunashukuru kwa Maarifaa hayaa
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Gwajima Kila weekend anazunguka Kila mikoa ya Tanzania akitoa misukule mapangoni the man has great faith
@emmanuelsamwel741
@emmanuelsamwel741 2 жыл бұрын
Kabisa
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
Hakika Gwajima Jasusii la Mbinguni .Yesu Awatienguvu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@lucykapinga369 yaaaaap masomo yake ni fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
kweli pastor sio kazi raisi kama tunavyo fikiria ila kwa uwezo wa Mungu tunaweza yote katika yeye atutiaye nguvu nimekuelewa
@sharonwalubengo9507
@sharonwalubengo9507 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua vitu vingi Sana from day one niki mu watch tu pap nika mpenda Sana God bless you pastor amieli
@user-cp1tc3io3w
@user-cp1tc3io3w 8 ай бұрын
Nashukuru Mungu akubariki kwakutufundisha
@Flavy_ao
@Flavy_ao 3 ай бұрын
Very sharp and smart guy, na ndo sababu adui alimtumia sana.
@apostleleshan2183
@apostleleshan2183 2 жыл бұрын
Tangu nianze kumsikilza mtumishi huyu nimeinuka sana kiroho . Mbarikiwe sana
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 жыл бұрын
Hii channel iko vzr Sana. Kuna video nyingine inaitwa milango 351 ya kuzimu. Aise Kuna ushuuda mzuri sana
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Mtumishi achana nao Mtumikie YESU KRISTU aliyekuita kwa utumishi Mwanadamu asikusumbuwe. Atengeneze naye ya kwake, Tuambie sisi tunakusikiliza Songa mbele 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@marymatekwa6867
@marymatekwa6867 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe Sana mtumishi wa Mungu nakutakia nguvu kabisa kabisa kabisa ya kufanya kasi ya Mungu, may your life be prolonged natamani Sana kukutuma Ma Wewe ana Kwa ana nimekufuatilia Sana yote unasema nimeuona Nina Shida nahitaji unisaidie mimi niko Saudi Arabia kasi ya nyumba, ni mkenya WA western amani ya Bwana mtumishi endelea mbele ktk jina Bwana wetu YESU CHRISTO Ubarikiwe pia wewe Sana sana
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Amen achana na watu wa ajabu mtumishi hata yesu alidhihakiwa...hawa ni binadamu tu
@shilpakhtar7197
@shilpakhtar7197 Жыл бұрын
AMEN tangu nianze kuskiza huu ushuhuda siko km nilivyo kuwa pstr MUNGU akubariki na azidi kukulinda na mishale yote🙏
@barryhezron2764
@barryhezron2764 2 жыл бұрын
Asiyekuamini mchawi!!na ukweli wanaujua,anajitahidi kupotosha umma,amechelewa
@mariakalama3014
@mariakalama3014 7 ай бұрын
Amazing story May god’s blessings and continue to preach the gospel to the world through Jesus Christ 🙏
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Mtumishi achana nao hao BWANA YESU ALIYEHAI amekutuma kwa watu wake Tunafunguliwa tunapokea Endelea kutufundisha, MUNGU ALIYEHAI akubariki na aendelee kukusimamia na PTOMOVERTV mtumishi Jactan mbarikiwe sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@samwelsimon6842
@samwelsimon6842 2 жыл бұрын
kiukweli Mtumishi wa Mungu umenikomboa maisha yangu maana nilikuwa nimedumbukia kwenye dhambi na mitego ya shetani. Mungu wa mbinguni awabariki sana Promover tv na mzidi kutenda kazi ya Bwana . Amen
@bupemwakihaba-lj2fb
@bupemwakihaba-lj2fb Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu ,kweli wewe umeokoka ,mungu akufunike na damu ya yesu iwe juu yako
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 2 жыл бұрын
shetani ni roho na anatumia mwli ili kukuvunja moyo.mtumish hyo aliekoment achana nae endelea kupiga injili you are serving the living God
@lindamongi6315
@lindamongi6315 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwasimamia na kuwaongoza katika kuitangaza injili, piga injili Mtumishi kazi iendelee..
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Am blessed mutumishi wa mungu
@isayamashimango7872
@isayamashimango7872 4 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mchungaji uduma ihendelee.
@user-xw5lq7pg6u
@user-xw5lq7pg6u 11 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu aliye hai
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 5 ай бұрын
Tunakupenda na tunakuamini mchungaji,wanaokupinga usibishane nao,acha Yesu Kristo akufunike mtumishi 🙏
@RebecaMaloda-xx2qm
@RebecaMaloda-xx2qm 7 ай бұрын
Amina Mungu akulinde
@tuntufyegwamaka2404
@tuntufyegwamaka2404 2 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie Mtumishi wa Mungu tunakuombea usikate tamaa na hao wanaopinga wasijue wanamsaidia shetani. Injili yako inasaidia watu wengi sanaa Mungu akubaliki
@neemamarko176
@neemamarko176 2 жыл бұрын
Barikiwa
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 7 ай бұрын
mtumishi nabii hapati heshima kwao huyo ni wa tanzania,sisi wakenya tunakuamini tunamuona Mungu kupitia kwako,usichoke mtumishi endelea mbele na Mungu akutie nguvu,promover team msichoke kuchangamana na mtumishi injili isonge mbele
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Nenda Nguruka na kilinge kimwone Bwana Yesu.
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Songa mbele mch Amiel wakati wa bwana ukifika hakuna wa kuzuia.asante Mungu kwa upendo wako kwetu👏👏👏
@magedidasameenipasta6438
@magedidasameenipasta6438 Жыл бұрын
Mch.mngu wambiguni akubariki sana unazidi kutufanya tumshuhudie yesu aliyekutoa huko Imani nyingi zinaimarishwa ! Enderea shujaa wabwana usikatishwe tamaa
@emmaculatenjoroge4698
@emmaculatenjoroge4698 2 жыл бұрын
Groly to almighty God I believe together with you man ofGod
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Unanifunza mengi Sana haswa Kwa Mimi ninae jiandaa kuenda kuihubiri injili ya YESU na kuzikomboa nafsi zilizopotea zikapate kurudi kwa YESU na kuingia mbinguni
@modestarmuchiri5386
@modestarmuchiri5386 2 жыл бұрын
Anayeona wafanya Kiki naye aanze yake..... Mbona binadam tunakasolo kiasi hichi..... Mungu akujalie neema ufike viwango vikubwa....... Mtumishi
@zawadimalecela3448
@zawadimalecela3448 2 жыл бұрын
Karibu sana tunangoja kwa hamu na shauku kubwa ya Kristo.
@demaa2183
@demaa2183 Жыл бұрын
Naishiwa na maneno ya kuongea....barikiwa mchungaji...nazi tuombee tuongezewe na nguvu ya imani zaidi na zaidi....kutoka Kenya
@airrising5632
@airrising5632 Жыл бұрын
Be blessed mtumishi Jesus Messiah thank you Umenibariki
@nelsonmgubali4672
@nelsonmgubali4672 2 жыл бұрын
Inatia MOYO Sana shuhuda hii Hongera Sana kaka jacktani msafili kwa tafiti nzuri
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@johnmkama8074
@johnmkama8074 2 жыл бұрын
Jamayangu unapiga kwa uchungu kwani ulikuwa pabaya zaidi hivo bira kutumia neno la mamraka watanzania wamesha shikwa wengi Mimi nakuonea huruma sana kwani hawataki watu wajue juu ya huo ufalme wagiza ulivo teka makanisa VP kuhusu mama wa Mungu kwenye ule ufalme aliitwaje?tusaisie ili tujitwgue mapema Amina
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu wee songa mbele ,kusema ukweli sio kazi rahisi lazima utapingwa,Bwana Yesu akutetee
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Mungu Awalinde kwa Jina La Yesu. Pastor Amieli Barikiwa sana. Kaka Jacktan Barikiwa sana
@margaretngugi7444
@margaretngugi7444 Жыл бұрын
Thank you, Jesus. Wow powerful...Jesus all the way.
@owikesibonike
@owikesibonike Жыл бұрын
Sisi Tunakuelewa Tunapata Mabadiliko na Nguvu Mpya.. asiekuelewa Tunamuombea MUNGU amfungue ufahamu Kwa Jina La YESU..
@user-in6eg5np7l
@user-in6eg5np7l 8 ай бұрын
Hii ndio maana ya watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, ukifanikiwa kusikia hizi shuhuda lazima upate maarifa ya kuku vusha
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 8 ай бұрын
Najiisi na barikiwa sana na hushuuda huu asante sana Mungu wangu niepuche na hatayi ya hii dunia
@edwardnjuguna4960
@edwardnjuguna4960 Жыл бұрын
Mungu akumbariki kwa kazi unayo fanya tunazidi kuongeza imani
@salvinahassan8778
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Nakuelewa pastor katekela, kumbe ndo maana tuliweza kumkomboa ndugu yetu mmoja, akakombolewa, alikuwa mlevi amehasi kbs Imani, tulifunga na kukaa miguuni mwa Mungu siku 3
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji maana umenijenga shuhuda huu umebadilisha maisha ya watu wengi sana
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Nawapenda sana. Nasubiri hiyo clip yenu na Omari kwani Omar nimejifunza sana kupitia yeye
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Ahsante sana major, Waliokaa ktk giza kuu sasa wameona nuru ya uzima wa milele . BWANA akutunze na kujitukuza ndani yako man of God
@RoseSimoni-hg4zd
@RoseSimoni-hg4zd 6 ай бұрын
Mtumishi mungu akutunze naomba uje morogoro utusaidie
@ipyanadanny9959
@ipyanadanny9959 2 жыл бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana kwako mtumishi
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Amina amina kwakweli Mungu akubariki sana mtumishi kwa huduma hii 🔥🔥🔥🙏
@sayunikasimiri509
@sayunikasimiri509 2 жыл бұрын
Amina amina
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 2 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU wambinguni 🙏🙏🙏 MUNGU wambinguni azidi kukuinua kiwango hadi kingine 🙏
@aidaa8253
@aidaa8253 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@benjaminkabebo6581
@benjaminkabebo6581 2 жыл бұрын
Asante ndugu Litimie neno la Mungu Luka 12:2 Tutawabomoa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@barakangata5508
@barakangata5508 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@igmndetitv309
@igmndetitv309 2 жыл бұрын
Kweli umenifungua binafsi ufaham sana na Mungu aendelee kukutumia kwa viwango Ameni
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Hehee tunakuombea uende mchungaji nawao waokolewe kama wewe neno la Mungu linasema Mungu metupa roho yaujsiri sio yauoga sasa Mungu azidi kukujaza roho wake
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
HAKIKA YESU AMEJITWALIA MTAUWA WAKE MUNGU WA MBINGUNI ALIYE HAI NA MWAMINIFU AKUBARIKI NA KUKULINDA SIKU ZOTE MCH AMIELI
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
BWANA awabariki sana watumishi wa YESU
@edwinjohnsonkambaine208
@edwinjohnsonkambaine208 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu. Naomba tujulishe mbinu wanazotumia kubadilisha nguvu zao. Kama wakiona nimewashinda kwa namna fulani
@lucylyale7169
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Mch Amiel usitetereke fanya kaz aliyokutuma MUNGU,,anayesema unatafuta Kiki yeye ndo anaitafuta,,kwa yote uliyoyaeleza hd leo kuna cha kujifunza kwa mwenye kuelewa kupitia wewe mchungaji ataelewa asiyetaka ataeleweshwa na roho mtakatifu🙏🙏
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
YESU Yuko pamoja nawe Mtumishi
@tumainnyagawatz3007
@tumainnyagawatz3007 2 жыл бұрын
Mungu akuwezeshe na kukupa ulinzi uifanye kazi yake mengi tunajifunza na Mimi naamini atanifungua kabisa.amina
@jovinjones4777
@jovinjones4777 2 жыл бұрын
Mtumishi Amiel Mungu akulinde sana, shuhuda kubwa sana hizi
@rhemaupendo5716
@rhemaupendo5716 2 жыл бұрын
Mchungaji amieli kwa kweli Mungu akubariki dana kwa moyo wa unyenyekevu Mungu amekupa karama hiyo itunze umei uliwa sana baba
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
AMEN AMEN neno la Yesu kristo liende mbele mungu awe pamoja na nyinyi
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
AMEN AMEN jina la Yesu liende mbele AMEN
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Yesu ni Bwana Mwokozi wa mataifa yote
@mishinema8719
@mishinema8719 2 жыл бұрын
Hawo nmajeti wa kuzimu wasikusumbue mtumishi mungu yupamoja nawe
@ericodhiambo1968
@ericodhiambo1968 2 жыл бұрын
Mchungaji mungu akuinue Sana Ila naomba utufunze kuhusu manabii DA uwongo
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 Ай бұрын
Tena pastor Omary ushuhuda wake na ushuhuda wa huyu Amieli yaani kuna ufanano mkubwa sana sana. Naamini kuwa haya ni kweli asemayo.
@user-ul2vh6hy4d
@user-ul2vh6hy4d Жыл бұрын
Amen mtumishi
@gnssamboshikalile6036
@gnssamboshikalile6036 2 жыл бұрын
Aah asante Yesu kutuletea wakuupindua ulimwemgu kwetu Africa .
@evaodero2138
@evaodero2138 2 жыл бұрын
Am so much blessed man of God emieli, may our good God protect n bless you abundantly
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Mutumishi wa mungu mambo ya watu yasikutishe songa mbele na wenye tunaamini, hii ushuhuda ni ya kipekee lazima upigwe vita, mungu ndie atakuelewa be blessed
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 2 жыл бұрын
Mtumishi Amiel wewe mungu akutunze uendele kutuubiria , mafundisho yako ni moto moto
@teresaigoki3872
@teresaigoki3872 Жыл бұрын
Amen! Tunalo jina la Yesu!
@byamungulusambo2635
@byamungulusambo2635 2 жыл бұрын
Safi sana mungu akubariki sana kweli
@JoyfulGod
@JoyfulGod Жыл бұрын
God bless you man of God.
@Star-qf7ls
@Star-qf7ls 2 жыл бұрын
This man is a great blessing, Ohooo I pray for him 🙏
@neema123moris4
@neema123moris4 2 жыл бұрын
Sana nmeamini shetani hachukuagi vilaza, ana upeo wa juu Sana, vitu anavyovifundisha vimelitesa Sana kanisa kwa muda mrefu. Hizi ni siri za wokovu hakika. Neema ya Mungu izidiyo isikupungukie Pastor Amiel.
@marypanwark8132
@marypanwark8132 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu tokea nikufuatilie hata mimi nimeinuka viwango vingine...
@letisiabudabya4030
@letisiabudabya4030 Жыл бұрын
Nafurahi napoona watu was Mungu wanatoka utumwani jaman ubarikiwe sana Mchungaji.
@esterswepa4735
@esterswepa4735 2 жыл бұрын
Amina endelea kufichua
@ernestmghanga8348
@ernestmghanga8348 Жыл бұрын
God bless u amieli umenifungua macho kweli mungu akubariki ninamrudia mungu shetani amenifunga mda mrefu
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Ni kweli mtumishi wewe Mungu amekutuma kwa kweli sasa wao wnataka kukuzima lakini aliekuchagua kuokoa watu ni Mungu na hawawezi kukupta teena hee Mungu ni mwem kweli mi nafurahia sana sana na siku ingine kweli mimi nawalika kitale kenya mrudi tena muendeleee kuokoa wengi
@pauloismail5266
@pauloismail5266 Жыл бұрын
Paster asante sana kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki sana.
@joelegbert4343
@joelegbert4343 8 күн бұрын
Mchungaji unamaanisha nini unaposema LANGO, hapo mito mitatu inapo meet?? Hilo spiritual lango likoje likoje physically and spiritually???. Otherwise I am growing wonderfully by these knowledge of the WORD OF GOD!!
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mimi sikujui Mimi ni Mkenya lakini kwa Yale maneno mazito unayo ongea kuhusu kuzimu Mimi na kuamuni kabisa mtumishi achane nae usipoteze mda kujibishanae nae sisi tupo hapo tuna subiri uhondo
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Ameeeeeen
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Naendelea kubarikiwa ashante Kwa kufichua hizi Siri
@salomealphonce-ev7ko
@salomealphonce-ev7ko Жыл бұрын
Barikiwa na mafudisho yako mazuri anaye ongea vibaya ana laana ya kuzimu
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Kumuona mtu sio Kumjua mtu yawezekana unamfahamu tuu kwa kumuona ila huwezi jua mtu hata ukiishi nae kama anaushirika na giza huwezi jua mpaka uwe Rohoni sana
@jovinjones4777
@jovinjones4777 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana. Yesu Kristu akulinde.
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
Siyo Kristu No, Ni 👉 Kristo
@mangapaul2455
@mangapaul2455 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na ushududa huu Bwana Yesu akulinde mch. Katekela.
@christinenelima2641
@christinenelima2641 2 жыл бұрын
Ameni
@Noreen-gd6js
@Noreen-gd6js 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@catherinemwandiga1223
@catherinemwandiga1223 2 жыл бұрын
Asie Amin muache asiamini
@bupemwakihaba-lj2fb
@bupemwakihaba-lj2fb Жыл бұрын
A,c,d ni Nini naomba mchungaji anifafanulie nipo mbeya naitwa bupe nimeokoka nampenda yesu,na natamani kumuonea mtumishi
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
fatilia vipindi vya promova tv mwanzo mpaka mwisho.
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Jactan ,nauliza hivi siku hizi kuna viti ,site ya mgogo ni virefu kama vya malkia siku hizi ,viko hata makanisani watumishi wanavikalia ,na kupita mkuu ,anaufahamu juu ya hivi huku Kenya 🇰🇪 viko sana kwa Church sana
@bashongomamlelekwa1777
@bashongomamlelekwa1777 2 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki.
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 2 жыл бұрын
Je katika maombi ya siku tatu huli hunywa maji au chakula
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen glory be 2 God
@rtp9010
@rtp9010 2 жыл бұрын
Upo vizuri sana mtumishi Amiel
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
Part_1 USHUHUDA WA ALIYEKUTANA NA  YESU NA SHETANI LIVE
49:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 101 М.
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН