Part11_Nywele bandia za kuzimu haziwezi takaswa zina chapa ya shetani|ALIYEKUWA CHIFU WA WACHAWI

  Рет қаралды 112,034

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

4,500$ inahitajika ili kufanikisha safari ya mtumishi wa Mungu Aston Mbaya nchini Kenya.Tafadhali wezesha safari hii ya injili kwa kuchangia pesa yoyote uliyonayo.Tumia namba hizi kuchangia ama kwa mawasiliano.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
$ 4,500 is needed to make the journey of God's servant of God Aston Mbaya to Kenya. Please facilitate this gospel journey by donating whatever money you have. Use these numbers to donate/communication.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
KUJIUNGA NA GROUP MAALUM LA WHAT'SAPP LA SAFARI YA ASTON MBAYA NCHINI KENYA, BONYEZA LINK HII chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Kama unashindwa kujiunga mwenyewe tuma kwa What'sApp neno "Niunge Promover tv Kenya" kwenda No. +255784074462 .Kama unahitaji kuungwa Tafadhali hakikisha umetuma ujumbe kwenye What'sApp usitume kwa ujumbe wa kawaida yaani sms.
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 370
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
This man is very bright hope he wrights a book be blessed man of God tuna kupenda
@auntyjossycounsels
@auntyjossycounsels Жыл бұрын
Watching from Kenya. I really love these teachings. Nilipoanza maombi, roho alinikanya kuhusu nywele za bandia. Niliacha na hata kichwa niliambiwa nifunike. Sitoki bila kitambaa na Sasa kazi yangu Iko sawa kabisa, Afya Iko freshi. Anasema kweli huyu mchingaji. Mungu apewe sifa for revealing these to us.
@catemacharia8499
@catemacharia8499 2 жыл бұрын
Glory to God I love this testimony its teaching us alot 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you people for good job you are doing
@neemamrisho7500
@neemamrisho7500 8 ай бұрын
ASANTEE MUNGU NIMEPATA FUNDSHO HAPA JMN
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Mchungaji,hilo somo ufundishe kenya 🇰🇪,watu wetu tunawaambia Wigi ni mbaya hawataki kubali
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Ombi kwa sisi wafuatiliaji, tusikose kushare kwa ndugu wengine ili kwambo wasikie ushuhuda huu na kujua kinachoendelea🙏
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Yesu asifiwe sana, mchungaji nimeanza kukufata pale ulipo anzia, ukweli nimejua vitu vingi nilivo kua nikifanya, ni najisi, nimewacha kushuka kupaka kucha kuvaa longi,nime vua mikufu,nimebaki jinsi niliumbwa,na naskia Niko huru kabisa,asante kunitoa gizani, mm mfuasiwako toka kenya mungu akuinue sana🙏 Amina.
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 2 жыл бұрын
Hallelujah 🙌 utukufu kwa Mungu wetu aliye hai
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 2 жыл бұрын
Umefanya vizuri sana Mary, utamuona Mungu katika maisha yako Mimi niliacha kila kitu cha urembo tangu mwaka Jana nimeona badiliko kubwa LA kiroho changu ukilinganisha na mwanzo nilipokuwa nikienda kanisani au nikiomba Mungu huku nimevaa mapambo ya yezeberi yule kahaba mkuu. Umechagua fungu jema sana ubarikiwe.
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
@@happnesskitumbo5713 ni kweli ukiacha hivyo kuna mabadiliko unayapata makubwa sana hata mimi nimeacha na ninapendeza sana tu
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
JMN NI KWELI HATA MIMI NI SHAHIDI PESA YANGU ILIKUWA HAIKAI TANGU NMEACHA VITU VYOTE VYA UREMBO NIPO HURU SINA HASIRA ZA HOVYO NAMTAMANI YESU KILA SAA NA PESA YANGU INAKAA NAFANYIA VITU VYA MAENDELEO KABISA YAANI YESU NAKUPENDA SANA KWA KUTUFUNULIA KUHUSU HAYA MBARIKI NA KUMTUNZA NA KUMLINDA MTUMISHI WAKO MCH ASTON ADAM NA MCH KATEKELA AMEN.
@edmundrobert2740
@edmundrobert2740 2 жыл бұрын
Ubalikiw Mtmsh kwa kutii
@salimaechessa8933
@salimaechessa8933 2 жыл бұрын
Napenda mtandao huu,hakika nimejua mengi kupitia hapa,Mungu awe nanyi siku zote.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
God bless you brother following you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Am here following n learning nabarikiwa sanaall the way from Kenya🇰🇪🇰🇪
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Moving from glory to glory .. Thank you for this lovely testimony 🤍
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi hakika Bwana ni mwema kila wakati ndio maana anatufunulia haya hatungejua nazidi kusema asanti promover tv
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 2 жыл бұрын
Amieli MUNGU azidi kukuinua mtumishi nabarikiwa sana juu ya ushuhuda wako
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 2 жыл бұрын
Kumbe ndo maana tuna matatizo,Yesu tusaidie
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 2 жыл бұрын
Tutaelewa tu na haya manywele tutayaacha YESU turehemu baba
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 2 жыл бұрын
Nimeacha kusuka kabisa saivi,maana Kila nikisikiliza injili inakataza,na neno linasomwa kwenye bible ,so now nipo huru Nina amani moyoni,wakati wa ibada nafunga kilemba,kutokana na neno linavyosema,Mungu Asante kwa ajili ya promover tv na mchungaji huyu na wengine wengi
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kufanya hayo ,MUNGU akuongezee ufahamu zaidi🤍🤍
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 2 жыл бұрын
@@mindenlightenment Amina Kubwa
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" wanawake wangekuwa waelewa kama wewe sidhani kama wenge nasa kwa shetani!!! Endelea sana wewe inaonyesha nimuelewa sana kama umeolewa mtafanikiwa sana na mume wako na kama hujaolewa utafanikiwa sana maana utamtia moyo na kumwambia asonge mbele ~ wadada wengi wanajilipua wanajipodoa na kubadili maumbo - wadada hawaeleweki miguu meupe na sura nyeusi na mikono meupe - wadada wanadanga kinyama ,yaani kubadili wanaume kwa wadada ni kawaida ~ utasikia tuma hela ya kusuka tuma hela ya wigi
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 2 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 thank you kwa maneno yako,nitafanikiwa ,Mungu aniongoze
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@nuruanaelisha8731 biblia inasema mithali 11-22 kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe ndivyo hvyo mwanamke mzuri asiye na akili,kwahyo upo vizuri mtumishi songa mbele katika jina la YESU KRISTO ~~ kuzimu wasikuweze ~ waganga wasikuweze ~ wachawi wasikuweze ~ mizimu isikuweze ~ majini na mapepo wasikuweze Nawakata ngebe nawasaga vipande vipande namtanguliza malaika akusaidie kuzingatia kanuni za wakovu ....amen
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi, kutoka nianze kuifwatilia jana namshukuru Mungu nimejifunza hapo kwa kunena na lugha nimekuelewa sana maana nilikuwa nishaogopa aki.
@modestarmuchiri5386
@modestarmuchiri5386 2 жыл бұрын
The day I started watching and listening to your testimonies and preaching this the day I knew I had less knowledge about the life.. God bless you so much for enlightening us.. Am more blessed.. Nashkuru Sana.. Mungu akutie nguvu akupiganie akukinde na azidi kukupa nguvu kwa kila hali na ushundi mku uwe juu yako.. Maisha marefu ndio dua langu kwako na promover TV crew be blessed
@dianendayisenga6592
@dianendayisenga6592 2 жыл бұрын
Ubarikiwe na uwache mabaya yote ikiwemo kuvaa ma Mini_skirt
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana mutumishi wa mungu
@nancyokemwa2470
@nancyokemwa2470 2 жыл бұрын
Very helpful information. God bless you
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Asante kwa mafundisho. Sisi wanawake wa kiafrica ni lazima tujipende vile tulivyo umbwa. Mimi napenda nywele zangu na nashukuru mamangu na bibi kwani walituhimiza tupende nywele zetu tulizo umbwa na jinsi za kuzikua. Tufundishe watoto wetu kujikubali na kujipende vile walivyoumbwa. Nywele za kiafrika ni nzuri na zinakuwa ndefu sana ni mtu ajue maarifa tuache mawigi na rasta. Si sifa lakini zangu ni ndefu hadi kuinoni na sivai wigi wala rasta nikusuka mwenyewe na mimi ni mwafrika mama na baba.
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
1timotheo 2:9
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 2 жыл бұрын
@@mindenlightenment kama nilivyoeleza tutumie maarifa. Mimi ni mwafrica na mwanamke na nywele zangu za kiafrica haziwezi kukaa bila kusukwa zitakuwa madreads. Sidhani wewe ushawai kuwa na nywele ndefu kutokana na nukuu yako hapo juu ( na sikejeli au dharau mwenzangu its just an intelligent obsevation)Jambo jengine tujifunze kusoma bibilia yote kabla tu kunukuu mstari..kama ungeelewa hapo maandiko yanamanisha nini hungening'inia kwa mstari mmoja. Tafadhali wakristu wenzangu tusijiwekee vikwazo au roadblocks tutafika kwa Mfalme wetu Yesu wengine tumechoka!. Tumuombe Mwenyezi Mungu atupe maarifa na tutamshinda shetani na mambo yake. Sikiza vile mtumishi anasema kwa nyumba yake yeye ndie hununua hizo nywele kwani anamaarifa yakutambua za kuzimu na zakawaida. Kama huna maarifa basi mtu afuge nywele zake na awache hizo rasta na wigi. Kwangu mimi kusuka nywele zangu hazinitii wasi wasi moyoni kama kuvaa wigi.Sifa zipewe Yesu Kristu
@agnesmuthara3481
@agnesmuthara3481 2 жыл бұрын
Na sisi tueleze vitu vya kuku a nywele hizi za kiafirka maana ni kazi kuzitunza
@purity234
@purity234 2 жыл бұрын
Ebu tupe maarifa jinsi ya kutunza nywele iwe ndefu? Unatumia vitu vipi kutunza nywele,au mafuta yapi ya nywele?
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 2 жыл бұрын
@@agnesmuthara3481@ purity...nywele zetu za kiafrika hazitaki kusumbuliwa sana. Kwa mfano mimi huosha nywele zangu every week or 2 weeks depending on the weather. Huwa naziosha zikiwa nimesonga matuta kama 6 with shampoo na conditioner. Nafanya deep conditioner once per month. I am not attached to any product yeyote natumia ile nijisikia nameipenda. Nywele zikiwa Safi situmii blow drying, nakausha na old tshirt kidogo lakini nawacha unyevu or moisture kidogo. Natumia mafuta ya nazi, saa ingine olive oil or shea butter najitengenezea mwenyewe.napaka mafuta kuazia ngozi ya kichwa na kila tuta moja moja. Baada ya kupaka mafuta ndio Nina Chana nywele tuta baada ya tuta kuanzia mwisho wa nywele hadi mzizi wa nywele kichwani.baadae ndio nitasuka nywele vile ninavyo jisikia. Blow drying nafanya mara moja au mbili kwa mwaka. Asante
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Bora tuache kutumia tu Nywele za Bandia
@user-fq2so2uj4n
@user-fq2so2uj4n 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wamungu ulitoka mbali
@johnmkama8074
@johnmkama8074 2 жыл бұрын
Mifano yako iko hai sana kwawatu walio kwisha shamburiwa na wakuu wa giza mtumishi ubarikiwe sana mambo yote unayosema ni kweli tupu endelea kuroboa tunakuombea
@alexjotham5041
@alexjotham5041 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@faze_narq6890
@faze_narq6890 2 жыл бұрын
Listening to this powerful man of God Evangelist Katekela, giving analysis after the other feels like how one sits down to eats a delicious meal without being satisfied! He always lives me in suspense like hungry for more enlightenment! But here is the good part; he always comes back as he promises with more new and firely 🔥 information!! He blesses me so much! Reminds me of the song that says; Tis so sweet to trust in Jesus, Just to take him at His word, just to rest upon His promise, just to know thus says the Lord!! Jeremiah 33:3 says that the Lord will show Jeremiah great and unsearchable things that he did not know! I thank God for this man of God because just when we thought we’ve heard it all something new is spilled out. Something that’s Great and unsearchable th we did know!! Gods so faithful! His promises are Ye and Amen 🙏.
@janetnzai9866
@janetnzai9866 2 жыл бұрын
Hallelujah,I really learn something from Him
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Am also not getting enough of his testimony ...I HV followed alot of testimonies but this is kinda unique .. enlightening and sweet to hear ...he has alot to tell
@Soni-lt6oi
@Soni-lt6oi 2 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe vipondozi zote zatoka kuzimu pamoja na nywele bandia kweli mungu anataka tusijipambe make up tukuwe nature MUNGU nisamehee kweli nimekosea MUNGU kwa njia kubwa kweli
@favourndila8474
@favourndila8474 2 жыл бұрын
Amen! Tunazidi kupata ufunuo zaidi, mubarikiwe sana watumishi wa Mungu
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Nasikia kutetemeka, jamani tuoooooombe TOOOOBAAAAAA KWA YESU ATUHURUMIEEEEE😭😭😭😭😭
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Yes kabisa 🙌✨
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Rudi mackems simama wewe kama wewe jiombee tupo pabaya sana Sanaa
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Kweli
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Umeona na MUNGU ATUSAIDIE
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Nikweliii 😥😥😥😥😥😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@lungatsominzlet4941
@lungatsominzlet4941 2 жыл бұрын
Thank God through your testimonies my spiritual eyes are open amen
@gib3888
@gib3888 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe, mtumishi wa mungu kwa kweli mungu n mwema mtoto wa bro yangu pia yy alikuwa huko bali tuna shukuru yupo mungu kwa kweli, may God bless you
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Mchungaji Amiel umekua wa baraka kwetu
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Kwakweli
@obadiajonas9889
@obadiajonas9889 2 жыл бұрын
Amina hata mke wangu asha wah vaa heleni zenye msalaba mweus usku huo kichwa kilimsumbua sana nikamwombea na kumvua helen na kuzitupa🎺📯✝🌏🌍
@Sahammer
@Sahammer 2 жыл бұрын
I will be attending your forthcoming mission in Umoja, Nairobi Kenya. This is my neighborhoods. I would like to invite you to my church which is around that area. Much love from Kenya. Numbers one fan. The content is profoundly undisputed and naked Truth. Amen
@tracyirene8917
@tracyirene8917 2 жыл бұрын
Just curious when is he coming to kenya This I would not like to Miss...👍Do u have an Idea??
@maryjoviny6991
@maryjoviny6991 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa shuhuda nzuri, Ila usishirki kununua wigi lamkeo , nywere bandia nidhambi
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 2 жыл бұрын
Natamani sana kusikia hivyo vyama vya uchawi nijue na nijifunze na namna Nzuri ya kuomba na tuendelee Ku wa blust wachawi lakn napenda sana shuhuda hizi mm zimenifanya hata u karibu wangu na Mungu kurudi tena nikipotea kidgo
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Mimi Napenda kukushauri Mtumishi Mke wako Aache kabisa Hizo nywele bandia ataukosa ufalme wa Mungu Ni her ukamkataza yeye Ni kioo Cha jamii
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Jamani afadhali tuache kusuka rasta jamani maani haujui ni ipi imetolewa na ipi ambayo haijatolewa, daaa washamezwa wingi kweli, Asante Promover kwa huduma hiii, daaaa🙉🙉🙏
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Yaani MUNGU awafungue macho waone 1kor4:4
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 2 жыл бұрын
Gaining lots💃💃Glory to God for this💪💪🔥🔥🙏🙏
@lucykarebe1567
@lucykarebe1567 2 жыл бұрын
Asante sana Amieli umeelezea vizuri sana Hili swala la nywele bandia sasa tumeelewa vyema, aliye na masikio amesikia, mwenye kuzitumia azitumie at her own risk. Karibuni kwetu Kenya 🇰🇪 🙏🙏🙏
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Nikweliii ili mtu asiseme me skujua au sikuambiwa🤔
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 2 жыл бұрын
Nywele zote za bandia ni chukizo Kwa Mungu,iwe imetengenezwa kuzimu ama viwandani ..Warumi 1:26 Mungu haruhusu kubadili asili kama unamnunulia mkeo Rasta ambazo wewe unasema ni salama, unashiriki dhambi ya kubadili asili ya mkeo..
@user-dp2eh3ot7t
@user-dp2eh3ot7t 8 ай бұрын
Nazid kukufatlia vzur pastor,, naunanipa ufaham zaid wakujua nakutambua mbinu zashetan anazotumia juu yetu,,, aiseee Mungu atusaidie sana tupone😢😢 haya mambo nihatar sana
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
It's true niliachana na manywele bandia ju ya kuu wa na kichwa my inner spirit ilikataa I thank God umesema ukweli be blessed alot man of God keep it up neva give up God bless
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Asante sana Mr Jactan Musafiri
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Mtumishi mwema wa Mungu, kwakuwa umesema neno linasema usiwe chukizo lolote lile, Nakuombea kwa Mungu katika jina la Yesu Kristo upate neema na rehema Siku Moja unyoe nywele zote sawa, Naamini Siku Moja itakuwa katika jina la Yesu Kristo
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 3 ай бұрын
Anyoe nywele zote ili iweje? kwani Hilo ni wigi yaani unataka awe na Kipara?
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mungu Asante ulinitoa kwa mapambo Mimi nilibaki na nywele zangu fupi kumbuka wenzangu walio Baki huko
@roselineatamba916
@roselineatamba916 2 жыл бұрын
Hey Jactan, its so blessing, your channel is so good. Growing Spiritual and phisicaly, God bless you
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@hapnesagustino5627
@hapnesagustino5627 2 жыл бұрын
Yaani sasa huelleweki unasimulia ubaya wa mawigi halafu wewe unamnunulia mkeo wigi ni wapi biblia imeweka uhalali wa wigi ila imesema so kwa kusuka hata pia dhambi iweje wigi liwe halali
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Love you for free man of God Amieli. Barikiwa Jacktan sana
@mreshiwamama3259
@mreshiwamama3259 2 жыл бұрын
I might not comment everyday but nafatilia mafundisho sana, and God continue blessing you, you are doing a great job
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
Huyu alifunguliwa kutoka kwa madhabahu ya kuzimu bila hata shilingi lakini leo watumishi wengine kuombea matatizo madogo tu wanadai eti sadaka ya kuvunja madhabahu. Hasa hapa Kenya, yafaa wabadilike.
@ombenimaiko7882
@ombenimaiko7882 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
@mkaryenyoka6853
@mkaryenyoka6853 2 жыл бұрын
Kuhusu nywele bandia hio ni ukweli kabsa pia kuvaa suruali kaa mwanamke haipaswi
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Shukurani sana kwa ufafanuzi wako Mchungaji Amiel
@gulfvacancy7976
@gulfvacancy7976 2 жыл бұрын
Nimeshukuru sana kwa mwendelezo huu, najifunza mengi sana yesu no bwana
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Be blessed man of Jesus
@linetmusee6500
@linetmusee6500 2 жыл бұрын
Asante sana mjungaji, nimejifunza mengi sana . ubarikiwe
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Amen
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Mungu awabariki kutuletea Habari njema
@PauloMaona-in4qh
@PauloMaona-in4qh Жыл бұрын
promover tv hakika mnafanya kazi nzuri sana mungu awabariki na neema za bwana yesu mkombozi wetu awe nanyi mzidi kuenda mbele zaidi..
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Amina mtumishi Barikiwa sana, anzisha channel yako Ili utupie mafundisho mengi tuzijue siri. Ni Neema ya Mungu kupitia hayo
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
Hapo kwenye wingi na vifaa vya uzuri hapo shetani yuko kazini chochote kinacho toa asili ya mtu Mungu kazuia
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
N kweli kabisa mungu awabariki sana kwa kutulisha kweli ambao hatukukua tunajua
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Nimependa sana huu ushunda umenifanya ni jue mambo sijawai jua
@saimonathuman6126
@saimonathuman6126 2 жыл бұрын
Ndugu Jacktan hongera Sana Mbarikiwe team nzima ya promover ila nakuomba Sana kwa swali hili la sikukuu ya Christmas huko kuzimu wanasheherekea
@nicholasngeene1785
@nicholasngeene1785 2 жыл бұрын
Unatuhelimisha sana mtu wa mungu.Mungu azidi kukubariki tuzidi kujua mengi
@nuruanaelisha8731
@nuruanaelisha8731 2 жыл бұрын
Jactan ,Mungu akuwezeshe zaidi ufike salama mbinguni
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@hiridasamwer7929
@hiridasamwer7929 Жыл бұрын
Amen Amen ubalikiwe san mtumishi
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy 2 жыл бұрын
Amiina mtumishi wa mungu uko na roho ya kimungu
@marifaadolphine3571
@marifaadolphine3571 2 жыл бұрын
Tunashukuru kwa ujumbe huwo, ubarikiwe sanaaaaa
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmmh haya mapambo bibilia imekataliwa Ila ubishi NDO INATUPELEKA jehanamu Asante Sana MUNGU
@mwavithaniyburana932
@mwavithaniyburana932 6 күн бұрын
Asante Kwamafundisho ila Pana wakati mtu huweza towa machozi hasila gafla nayo ni sababu gani magombano nawatoto na mm Mala kwa mala
@margretokuku8220
@margretokuku8220 2 жыл бұрын
Barikiwa.kwa.advice.umeongea.ukweli.asante
@rhodalissu6953
@rhodalissu6953 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana Jactan msafiri nimekuwa nikifatilia promover Tv na nabarikiwa mno kwa shuhuda,, nina shida nimepalalays nina miaka 4 kitandani hospital nahitaji maombi
@fezakabala6589
@fezakabala6589 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN 🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵
@Sahammer
@Sahammer 2 жыл бұрын
Kindly don't forget to unleash the upcoming session on false prophets. I am eagerly waiting. Demystify those mysteries
@janetnzai9866
@janetnzai9866 2 жыл бұрын
Be blessed Brother Jactan
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Mm nashangaa Sana tangu sijaokoka nilkuwa navaa mawig kichwa kinauma asikwambye mtu.yahn mpka wakat mwngne kma naenda church naenda toilet naivua.nakaa sawa.kuhus mawig yhn kichwa yang ilishakataa.toka Niko bint sijaokoka nikivaaa kichwa inauma sana,Tena Sana mishipa ya faham yahn unakuta navua lkin bdo kinauma sana.pastor Katekela naitaji maombi yako Sana Tena Sana nitakupigia unisaidie..piya ukianza ujenz wa church yako.naomb nitatoa sadaka yyote kwa ajil ya ujenz nmejikuta nataman kusapot tu .ujenz barikiwa Sana kaka jacktan
@tumainimtingitingi4883
@tumainimtingitingi4883 Жыл бұрын
Ahaa jamani na mm wakati nasuka maumivu ya kichwa toka niache nimepona jamani yesu mzuri
@amishambar3418
@amishambar3418 2 жыл бұрын
Amen amen nimefunguka sana mch
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 7 ай бұрын
Na pia rafiki yangu pia alichukuliwa.....anaonekana na binti wake akiwa hali mbaya vidonda Kwa mgongo....na pale Tu kwao Kwa mom yake
@dieumercibakoboy7970
@dieumercibakoboy7970 2 жыл бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏🙏
@yalalaambobe9528
@yalalaambobe9528 6 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi kwa neno la ijili na maombi
@kacerawamami1209
@kacerawamami1209 2 жыл бұрын
Ningeomba kama mtumishi angekuwa na kipindi cha mafundisho ndio awe na mda wa kueleza kwa kina kila hoja. Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu amepitia mambo mengi na ana experience so he is a wealth of valuable information kwa wakristo ni tu agendas zipangwe vizuri za kufundisha.Naamini mimi na binadamu wengi halisi tutafaidika kwa mafundisho haya. Just a thought and I can help in anyway to schedule agendas to be discussed ingawaje siishi Tanzania tuko na mtandao. Sifa na utukufu kwake Mfalme Yesu Kristu
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
Sikiliza habari za yesu achana na uongoa wakutengenezwa yesu alisema yote amemaliza damu ya Yesu kazi yake nn alienda kuzimu kumnyanganya shetan mamlaka au biblia ni uongo ,hawa huwa wanajifunza hayo Mambo kwa kuangalia filamu kusoma Novo alafu wanakuja kuhadithia sikiliza kila mmoja anayesema ametoka kuzimu story zao tofaut na kila mmoja husema alikuwa na cheo kikubwa huko ata Kama mtoto mdogo
@ewhite2806
@ewhite2806 2 жыл бұрын
@@waytvtz2549 Unasafari ndefu sana ndugu
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
@@ewhite2806 unamaanisha nn Ina maana hakunaga watu wanaoenda mbingun kwa Mungu kwann iwe kuzimu tu shetanj kila mara
@riddi676
@riddi676 Жыл бұрын
@@waytvtz2549 1 Corinthians 12:1 Now concerning spiritual things, brothers, I don't want you to be ignorant.
@richardedward2274
@richardedward2274 Жыл бұрын
Penda sana mtumishi kwa ushuhuda wa kweli
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mimi naomba mtumishi atutajie watumishi wauongo wa nafanya kazi na kuzimu nahuku duniani wanahubiri uongo
@emmanuelmanga3478
@emmanuelmanga3478 2 жыл бұрын
Ukisoma Neno la Mungu , Mungu amekataza mapambo mengi sana, unaweza ukasuka rasta haujatoka kuzimu ila siku ya mwisho unaikosa mbingu kwasababu hujatii Neno lake Mungu, bali umeona kuzimu hazipo, Yesu anasema Yeyote azishikae amri zangu na kuzitii mimi nitajihidhilisha kwake,
@edithajohn4563
@edithajohn4563 Жыл бұрын
Wapi Mungu anakataza mapambo?
@mcchilo13
@mcchilo13 8 ай бұрын
1 Timotheo 2:9-10 inasema, “Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.”
@mcchilo13
@mcchilo13 8 ай бұрын
1 Petro 3:2-4 “Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi; bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu. Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu, na kuwatii waume zao.”
@user-xy8pv6pp8b
@user-xy8pv6pp8b 3 ай бұрын
Nakumbuka nlipenda sana kushonea wiving na kuvaa wigi lakini siku tatu mfululizo nliota kwamba naenda kanisani lakini nkifika nakuta joka kubwa mlangoni na linanizuia kuingia ndani ya kabisa mara anatokea mtu ananiambia kwamba wewe ni WA huyu maana ulichovaa kichwani ni mali yake
@petermageta4987
@petermageta4987 2 жыл бұрын
Ni mwanzo 35:1-6 Inaonyesha kuhusu pete ziwe za mkononi au za masikioni haziruhusiwi tuache mapokeo shule nyingi za Biblia zime changia kupotosha maandiko, mathayo 22:29 soma mwenyewe kaka achana na theolojia mitume hawakusoma theolojia,hata yesu mwenyewe hakusoma theolojia,kama wewe mwanafunzi mzuri kisa cha petro na Yohana walipokuwa wakienda hekaluni saa za kusali saa tisa wakamkuta kiwete aliye kuwa na tabia ya ombaomba lakini mwisho tunamuona Mungu akimponya yule kiwete taarifa zikaanea kote mjini watu wakashangaa wakiulizana wao kwa wao imekuwaje mtu huyu kutembea na ni nani aliye ya fanya haya wakaja kugundua ni petro na Yohana matendo ya mitume 14:13 Biblia inasema Basi na walipoona ujasiri wa petro na Yohana wakagundua kwamba ni watu ambao hawakuwa na elimu yoyote, kwahiyo unaweza kuona mtumishi shule nyingi za Biblia zime changia pakubwa kupeleka watoto wa Mungu motoni Barikiwa mtumishi, ya kwangu ndio hayo.
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
Jacktan na Amieli shukran kurudi kwenu, mafunzo haya imenibadilisha Imani na wokovu wangu sana. Ebu next mueleze code za mtu ni zipi, wanazipataji, twawezaji kuzilinda , wasizione au kuzipata.. Alafu Ukisema wao ukamata nyota ya nchi, nyota ya nchi ni Kama ipi? ... Je huwa iko angani ama ardhini na ninani anafaa kuwa mmiliki wake rasmi kabla ikamatwe...
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Unaposema ni gani maana yake nini? Mimi ni mtanzania lakini sijaelewa unaposema ni gani una maanisha nini
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 yaani in zipi
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@frankinspired6486 " sasa mbona unasema ni gani wakati unajua kiswahili kabisa kusema ni zipi hahhahahaha!!!!! Samahani lakini brooh
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 kiswahili ya kenya sisi hutumia zote Hizo.. Gani, ipi, zipi
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
Kama kishanga kachoma Pete pia tupa na UZIDI kutu inua zaidi denge usinyoe tena tuna kupenda bure na ubarikiwe Sana
@venancemwalukasa6197
@venancemwalukasa6197 Жыл бұрын
Mtumishi ukweli Mungu akubariki mno hasa nywele bandia
@yusuphuchubwa
@yusuphuchubwa Жыл бұрын
Umenisaidia Sana pastor
@georgiaruhinda1704
@georgiaruhinda1704 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe,nauliza dawa zinazowekwa kwenye nywele,km relaxar,curl na nyinginezo
@TestimoniesAndEncouragements
@TestimoniesAndEncouragements 2 жыл бұрын
Msukule ni someone who has been taken away alive. Kwa mfano alikuwa akilala na kuchukuliwa mzima mwili wake hujapatikana wala hajazikwa
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 жыл бұрын
Yihesabu kama mavi kweli. Mungu aendelee kukusaidia baba , uiombee dunia
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa fundisho la nywele, Pia namuombea mke wako kwa Mungu apate ufunuo aache kabisa maana yeye ni kioo cha jamii katika jina la Yesu Kristo
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Ameeeen ubarikiwe Dada Lilian!!! Wewe ni shujaa wa kristo
@stellahkathure-px9cf
@stellahkathure-px9cf Жыл бұрын
Mtumishi kusema ikweli umenibariki sana mungu akubari ushidi kùkomboa ulimwèngu stellah kutoka kenya pande sa meru
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Jamn shetani hajawahi kuumba chochote,yeye anatumia vitu vya Mungu Kwa sababu yy anamiliki dunia hata fedha na dhahabu,Ila haya maneno yasitusumbue,kila kitu kitakaswe na damu ya YESU.
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 2 жыл бұрын
Yaani nina ka wig ka bob japo nimekanunua ghali nimeshangaa sikavai TUU Sasa Ndo naelewa🙇‍♀️nikagawilie huko mbali🙌🙌🙌🙌
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Usikagawe kachome kabisa
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Mtumish hongera sana maan pesa ni mtego sikuhiz
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Kweli
@mercywanjira309
@mercywanjira309 2 жыл бұрын
Woooi Mungu wangu anihurumie
@naomimunanga6363
@naomimunanga6363 2 жыл бұрын
😀 hapo kwa nywele ni ukweli kabisa, kuna mdada mmoja rafiki yangu, aliitisha nywele kutoka ulaya na ilikwa ya bei sana, na ndio ifike ilichukuwa wiki mbili, na bei ni kali sana, na hizo nywele mbaka sai imeishi miaka mitatu haijawai haribika, inakaa mpya sana, huo hakika ni ukweli, am from Kenya.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 80 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 45 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
MCH.KATEKELA:MALANGO YA KUZIMU NA MANABII WA UONGO WANAVYOSHIRIKIANA
1:34:31
JE! UNAPOOKOKA UNAWEZA KUTEMBEA KATIKA LAANA..... PASTOR  KATEKELA
31:05
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 80 МЛН