PART2;TAJIRI ALIYEMILIKI MALI NA MUJUMBA YA KIFAHARI AFUNGUKA ALIVYOISHI MAISHA YA ANASA DUNIAN KWA

  Рет қаралды 82,986

Maks Media

Maks Media

6 ай бұрын

Пікірлер: 169
@user-yl2ir7gv1h
@user-yl2ir7gv1h 2 ай бұрын
Mungu nimwema umerudi kwenye ufalume wangu sasa mutumikie munguakulinde malaikawakaweke kituo chaulinzi ndani yako
@user-cj9pe5ts6c
@user-cj9pe5ts6c 4 ай бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪dada shukuru mungu uko hai atazidi kukutetea
@RoseMalle-bi2ks
@RoseMalle-bi2ks 2 ай бұрын
Hongera,umerudi kwenye kundi la Mungu,ulipotea ,Mungu ni mwema kila wakati
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 5 ай бұрын
Asantee Sana Bwana Yesu Kristo Kwa kumwokoa huyu Dada Yoh.3:16
@nasmiriti3141
@nasmiriti3141 5 ай бұрын
Kwa yesu kuna Raha kuna njia... hallaluyia sifu yesu ...hiyo ni wimbo
@gladysmueni2534
@gladysmueni2534 5 ай бұрын
Utajiri thabiti ni kwa Yesu.Njoo Dada,Karibu kwa Yesu,kwa Yesu Kuna Raha,Kwa Yesu Kuna Amani.Mama Yesu anakupenda.Mrudie Mungu muumba wako Mama
@CohlinzCohlinzkogei
@CohlinzCohlinzkogei 5 ай бұрын
Amen
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 4 ай бұрын
Amen
@mariahyera3737
@mariahyera3737 5 ай бұрын
Njoo kwa Yesu Dadangu, Bwana atakufanya upya.
@Satier47
@Satier47 5 ай бұрын
🇿🇦 HONGERA SANA DADA YANGU 🤝 🧡 🌹🥭🍑🌻 WELCOME TO JESUS 👏
@user-wf5ms2le3u
@user-wf5ms2le3u 5 ай бұрын
Pole sana dada mwamimi mungu yataisha
@kerubojzion2273
@kerubojzion2273 6 ай бұрын
Hongera kwa Yesu utapona kabisaaaaaaa
@AngéliqueTuyisenge-c3z
@AngéliqueTuyisenge-c3z 4 күн бұрын
Pole sana Dada kwa Yesuu kuna laha
@kerubojzion2273
@kerubojzion2273 6 ай бұрын
Dada njoo kwa Yesu
@user-dm2wb2dm1e
@user-dm2wb2dm1e 5 ай бұрын
Mungu akupokeye
@patricknasikilizanikiwanam4108
@patricknasikilizanikiwanam4108 3 ай бұрын
Mwanzo niliposikia kuhusu ichi chama nilitamani Sana kujiunga lkn nashukuru mungu alinitetea nakuninusuru kwa laana hii kwa hivi nisingeweza kabisa asante mungu
@user-od6dy8qo7m
@user-od6dy8qo7m 2 ай бұрын
Hahaha.chama
@FatmaHamisi-p4e
@FatmaHamisi-p4e Ай бұрын
Mungu ndio kila kitu kwan hata yesu alikuwa anamuomba mungu mwabudu mungu atakusamee
@NanaashNduwimana
@NanaashNduwimana 3 ай бұрын
Katika waandishi wenye awajui kuuliza ma swal wa kwanza ni wey.yan ma swal Kama yote ujamuuliza unarudisha Yale yalee.abari ya mtoto imeishia wapiiii.umekazana kumuulizia rafiki yake.apo umuuliz byeny binamuhus🤨😏
@HalenBahati
@HalenBahati 6 ай бұрын
Amina Amina dadayetu Mungu azidi kukupigania
@SeanBaraka-zv8dk
@SeanBaraka-zv8dk 2 ай бұрын
Amina
@user-ep9by3ui1v
@user-ep9by3ui1v 2 ай бұрын
Alléluia 👋bwana yesu asifiwe
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 5 ай бұрын
Mungu ni mwema Sana, Mshukuru Yesu kwa kukuokowa.mali zote zinabaki apa duniani Wala azina faida yote dada yangu.
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 5 ай бұрын
Mbona part one alisema kaenda Nigeria 🇳🇬 kwa kuchukuliwa kimazingara galati part two anasema kaenda kwa ndege
@lucymwanakatwe164
@lucymwanakatwe164 5 ай бұрын
Pole bibie njoo kwa Yesu Kuna Raha ya kweli we meamini tu
@jacintamutua422
@jacintamutua422 2 ай бұрын
Mungu ni mkuu na anamapenzi ya kweli anasamehe na kukupa nafasi tena
@arjunmutotowadzaleka
@arjunmutotowadzaleka 4 ай бұрын
Pole sana mama asan❤❤❤❤❤❤❤ mungu ata kujaliya kwajina la yes
@user-et2xl1gy2c
@user-et2xl1gy2c 4 ай бұрын
Daaa dadaang pole sane lskn usikate tamaa mungu anakunda njoo kwa yesu ili iwe funzo at kwa wengne
@reginaruta3249
@reginaruta3249 5 ай бұрын
Okay mpe Yesu maisha Yako atakulinda dasa
@mtakatifubony5525
@mtakatifubony5525 4 ай бұрын
Mama Hassan nimefurahiii kukuona tena Mungu Akutunze dadaaangu
@MaksMedia1
@MaksMedia1 4 ай бұрын
Endelea kufatilia
@user-gz7ds4mb6x
@user-gz7ds4mb6x 3 ай бұрын
Jamani mama hasani duuu ulikuja ukawa masikini
@madamboss6323
@madamboss6323 2 ай бұрын
Unamjua
@jamesthoya8261
@jamesthoya8261 6 ай бұрын
Dada nkuomba san njooo kwa yesu utakua saw
@jacobnyirenda5696
@jacobnyirenda5696 5 ай бұрын
Mungu yupo wawe dada.
@GildahMuhonjah
@GildahMuhonjah 4 ай бұрын
Mungu ni wahuruma dadangu usilie atakusaidia
@kuschprince3216
@kuschprince3216 Ай бұрын
Mtangazaji, huyu ma. hassan anazungumza wazi wazi, hatuelewi unamkatizia na kumregesha nyuma, mwacha maswali mengi unapoteza airtme!!
@nyasolina5364
@nyasolina5364 3 ай бұрын
hii story ni nzuri。 muadisiaji yuko vizuri。 ila mtangazaji 。unazingua。umenitoa kwenye reli kama ulivyomtoa muadisiaji
@zainabufeka87
@zainabufeka87 4 ай бұрын
Hii story niyauongo kabisa weeee
@Tino-outfit23
@Tino-outfit23 2 ай бұрын
Tuambie wew ya ukwel ni ipi
@haryanyawu640
@haryanyawu640 2 ай бұрын
Pole sana Mungu akuinue
@SophiaMalindi
@SophiaMalindi 2 ай бұрын
Jaman wanadamu tulizike alivyotupa mungu tamaa mbaya
@user-tm9go3ks2q
@user-tm9go3ks2q 4 ай бұрын
Mdogo wangu yesu ana mashariti karibu xana
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 ай бұрын
Mnaudhi nahuyo yesu wenu nanyie
@christermlewa8471
@christermlewa8471 2 ай бұрын
Asante Acha tukuudhi na Yesu wetu Kwa sababu tunampenda,we pita kushoto,kama tunakukera,Yesu ni mwanzo na mwisho wa mambo yote❤❤❤
@user-xn4yh4rq6s
@user-xn4yh4rq6s 3 ай бұрын
Waaaaah mashariti mangumu Sana Kwanza Mimi naogopa snake😢😢
@shanizuberi7984
@shanizuberi7984 4 ай бұрын
Mbona unaonekana mdogo miaka ya karne gani ulikua tajiri jamani kama sio interview katengeneza huyu mtangazaji ili ajulikane maana ndo zenu mnalipa watu hela waje shuhudia uongo
@jamesisatujobe4740
@jamesisatujobe4740 3 ай бұрын
Story ya kutunga, eti alikaa na joka miaka 30 ukimuangalia huyo dada hata miaka 50 hana.
@Fxpm280
@Fxpm280 2 ай бұрын
Sasa we jamaa unauliza kwa nini linatoa machoz ya damu. Aisee kajifunze kwa davistar mata
@user-jl1db6lc1w
@user-jl1db6lc1w 5 ай бұрын
Pole sana, aise nenda kwenye makanisa ya walokole wakuombee ,ili uwe na amani ya kweli.
@ramlajuma5317
@ramlajuma5317 2 ай бұрын
LAAILAHA ILLA LLAHU WAHADAHU LAA SHARIIKA LAHU LAHU LMULKU WALAHU L HAMDU YUHYII WAYUMIITU WA HUWA ALAA KULLI SHAYIN QADIIR
@AishaAbdallah-hp7ue
@AishaAbdallah-hp7ue 2 ай бұрын
Subuhan Allah atupe mwisho mwema
@DeusDaniel-j7c
@DeusDaniel-j7c 11 күн бұрын
Mungu ndo muweza wa yote
@princematumbo
@princematumbo 3 ай бұрын
Hizi ni hadith tu za kujifurahisha.Eti amekaa na nyoka zaidi ya miaka 30😂😂 Hizi hadith za jaba 😂😂😂
@arafatali2796
@arafatali2796 2 ай бұрын
waongo eti
@SalmaJawewa
@SalmaJawewa 2 ай бұрын
pole kipenz mung ni mwema
@user-dl1ke5ly2z
@user-dl1ke5ly2z 5 ай бұрын
pole sana dada
@mariamwalla9907
@mariamwalla9907 3 ай бұрын
.. Yesu pekee atosha,!
@Jabaman207-ue6sk
@Jabaman207-ue6sk 3 ай бұрын
Yesu hawezi muhokoa. Ni mwenyezi mungu pekee.Aliye umba Kila kitu
@NaomiAlai
@NaomiAlai 3 ай бұрын
Wokovu unatoka kwa Yesu aliyetufia msalabani
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 ай бұрын
​@@NaomiAlai nanyie nanuie yesu kwani ninani kwenu yani munamuamoni yesu kuliko mungu nyingi wakristo gani wamiakaa hii
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 2 ай бұрын
😂😂😂Sijaona watu wa jinga duniani km wa cristo
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Pole sana dada
@MwanaidiKejo
@MwanaidiKejo 2 ай бұрын
Hamkujipanga ww ungesaidia wazazi wa rafiki yako na ndugu zake na yy angesaidia wazazi wako na ndugu zako
@khalidchengula1516
@khalidchengula1516 2 ай бұрын
Ivi ni kweli au ekti kama siamini hiv
@ericdoctor6933
@ericdoctor6933 3 ай бұрын
Watu fanyeni utafiti mbona mnalala naona mnaandika yesu yesu kwasana kwani hamjuwi kama jina yesu ni firmason na maanisha Jesus:Mama yake ilo jina hengelikubali mtoto wake aitwe ivo wakati yupo uhai
@fathimamct232
@fathimamct232 6 ай бұрын
Muongo huyu Hawa ndio wanaotaka kuaminisha watu ushirikina
@naomilukani2279
@naomilukani2279 2 ай бұрын
Huyu mama anafanana na mke wa bilionea Msuya
@CarenExavery
@CarenExavery 2 ай бұрын
Mh fuvu langu halikmati au nn kasema kaish na nyoka miaka 30 lkn ni muda mchache kutoka fremason ko uliingia frimason ukiwa na miaka mingap mmenivutuga
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 6 ай бұрын
Hebu tufahamishe lugha gani ulikuwa ukiongea nawo je Kihausa au Kingereza ? Hebu fanya kipindi kingine uongee lugha ulivyo ongea nao
@user-eg8kt6ke3u
@user-eg8kt6ke3u 4 ай бұрын
Pole sana mama yangu umefanya busala kulindia njia sahihi
@saidkhamis5318
@saidkhamis5318 2 ай бұрын
Maswali 1-Nyumba ziliondokaje,Mtoto wako ilikuaje, Je kama ulienda Ngende hawana mahusiono na Freemason ilikuaje uende Nigeria, Pia Kariakoo ulifanya biashara miaka gani Mafunzo ni menti lakini kwenye hili Drama ni nyingi
@mirriumkiamba3455
@mirriumkiamba3455 3 ай бұрын
Yesu ni Mambo yote 🎉
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 6 ай бұрын
NILIKUWA NAISUBIRI KWA HAMU,,,SITAKI KUJUA KAMA KWELI AU YA KUTUNGA,,,,ILA ANAJUA KUHADITHIA.
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 5 ай бұрын
😂😂😂 nami staki kujua chamuhimu nskie tu
@RachelPaul-gb3po
@RachelPaul-gb3po 3 ай бұрын
Pole
@user-cs3wu6nw1b
@user-cs3wu6nw1b 4 ай бұрын
Jamn natamani kujua hizo pesa na Mali zinayeyuka au inakuwaje😅😅
@ericdoctor6933
@ericdoctor6933 3 ай бұрын
KWa nini hauja mu uliza kama duka lake lazamani ao fasi akikuwa anakaa akipita anapakumbuka
@haryanyawu640
@haryanyawu640 2 ай бұрын
Pole sana
@wemasangasanga757
@wemasangasanga757 5 ай бұрын
Pole dada hela zipo kwa yesu
@LilianNyakato-hp6wx
@LilianNyakato-hp6wx 4 ай бұрын
Acha Nile mlenda na tembele utajiri washida staki😢😢😢
@VictorineAchieng
@VictorineAchieng 6 ай бұрын
Na Yule samwel anavosema ETI yeye alibaki Na gr Na nyumba yeye ilikuaje akunyanganywa😊
@BellaNathalie-xt5gm
@BellaNathalie-xt5gm Ай бұрын
Yesu ndo mukubwa mari ya shetani niyashetani tu
@mjairinyasatu9698
@mjairinyasatu9698 2 ай бұрын
Mtangazaji kumanyoko unaongea.sana Yan Hadi unabore
@ChristinaMlama
@ChristinaMlama 2 ай бұрын
Njooo kwa yesu kumenoga mama kunarahasanaa
@swedmsosa864
@swedmsosa864 2 ай бұрын
Kumbukeni kila kitu kina gharama kila Chenye sura kina kisogo
@mimarsalehe9315
@mimarsalehe9315 5 ай бұрын
Muongo kila siku anafanya interview za uongo. Mara yeye ni mchawi saa hii amejua na kusema yeye Freemason. Utapeli huo.
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 5 ай бұрын
Na ukisikiliza hapo anasema alikaa na Hilo karibu ya miaka 30 😂😂😂😂 while anatudanganya 😂😂😂😜 huko joka lilikuwa linalia 😜😜😜 na baadae anasema lilikuwa linalia kumuonea huruma 🤪🤪🤪🤪🤪
@rehemamgata224
@rehemamgata224 4 ай бұрын
Kuangalia muvi ya bigboss😂😂
@AnnAumaOuma
@AnnAumaOuma 3 ай бұрын
Nauombe usamewe na mungu, nauta kuwa sawa
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka 2 ай бұрын
Mrudie tu Mungu wako milki yote ya ulimwengu anayo Yeye na hatoi kwa masharti
@tasokwamichael2433
@tasokwamichael2433 6 ай бұрын
Je?ni Historia ya Kweli kuna Hela za hivyo Au 💰💰
@user-io7ql4ny2x
@user-io7ql4ny2x 6 ай бұрын
Mtangazaji mm.hasani tushamuona sasa twamtaka mama salama tulete
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 3 ай бұрын
Njoo Kwa yesu hutakufa na mwanao ataishi wachawi Awana nguvu
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 4 ай бұрын
Aliishi na joka miaka 30 duuh
@rehemamgata224
@rehemamgata224 4 ай бұрын
Hapo nimeshangaa na mimi😂 nimemchek maana hata miaka 50 hana
@DofaMweya-lu9zm
@DofaMweya-lu9zm 2 ай бұрын
pole sana dada 😢😢
@SimionJohn-jg6if
@SimionJohn-jg6if 3 ай бұрын
Umekaa na joka miaka 30, hapo umetupiga
@ericdoctor6933
@ericdoctor6933 3 ай бұрын
Maswali magumu hauja muuliza ilitujuwe kweli kabisa ao
@Shakilaabdulkarim
@Shakilaabdulkarim 3 ай бұрын
Vumilia na kile kidogo unachopata manake hakuna yeyote anayejuwa kesho yake huenda ukakumbukwa siku moja na maulana
@alfredbomani8047
@alfredbomani8047 6 ай бұрын
Naona huyo msimamizi kipindi kivuruge anapotezA 😢 mtiririko. Kapigwe msasa tiki tv. Maqna vya msingi kqma ya ntoto huulizi mweeee. Unarufia radiation ky I ngeza dkka!😮
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 6 ай бұрын
Hi huyu mama ogaa sio alipata utajiri wa kiganga tu. Kisieleweka kwangu ni mawasiliano. Lugha gani walikuwa wakiitumia kwa mawasiliano?
@MaksMedia1
@MaksMedia1 6 ай бұрын
Ok sawa utapata jibu part3 best
@ushyentoabdulnunu8044
@ushyentoabdulnunu8044 4 ай бұрын
Tupeni majibu pls mtoto alirudi ama....na apo alipo sai n cwake ama vip ​@@MaksMedia1
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 5 ай бұрын
Du!! Pesa hiii
@reginaruta3249
@reginaruta3249 5 ай бұрын
Unasema freemason hakuna shida. Kukaana joka ndani hiyo ni raha kweli dada?
@user-ek2ij7ur7b
@user-ek2ij7ur7b 5 ай бұрын
Nipe konekisheni mm nijiunge mm naitafutaga sana fremasoni
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 6 ай бұрын
Mnabisha nini ? Em nenden mwachukue utajili huo muone ? Anachoongea nikweli hakaongopa hat moja ,namengine ajaongea apo
@user-xz2yu4hv4w
@user-xz2yu4hv4w 5 ай бұрын
😂
@MohonoMwita
@MohonoMwita 5 ай бұрын
Mbona hajibu maswali ya watu
@abuum3760
@abuum3760 2 ай бұрын
dahh hahahahahaha, ukiwa na stress we ingia you tube tu
@paidenasra4548
@paidenasra4548 2 ай бұрын
Nampataje uyo babu?
@diascookout8270
@diascookout8270 6 ай бұрын
pesa pesa iyoo Chamtimakuni yaku Mshirikisha Mwenye Zmungu ndio iyoo na Tamaa ya Dunia
@modestekapastar4551
@modestekapastar4551 6 ай бұрын
Qui ne risque rien n'a rien !
@mwajumasimbaMwajumasimba
@mwajumasimbaMwajumasimba 3 ай бұрын
Tuwache tamaa na maisha wanayoishi wengine
@user-xd4sh8pb9l
@user-xd4sh8pb9l 2 ай бұрын
Umetuteka vizuri hapa kwa miaka 30 nimegundu story ya uongo.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 2 ай бұрын
Mh nyingi ndowenyewe
@Nasrakalolo-yh7hr
@Nasrakalolo-yh7hr 2 ай бұрын
Bisheni msibishe haya mambo yapo jamani
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 2 ай бұрын
Uyu mtangazaji ni hewa yani anaenda mbele anarudi nyuma
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 5 ай бұрын
Hilo dada liongo liongo kutafuta views tu
@ayurekituz736
@ayurekituz736 4 ай бұрын
Ukiamuwa kufanya kitu basi wacha unafiki ww koma tuu au kata kuanzia awali
@ZainaKisengo
@ZainaKisengo 4 ай бұрын
Duuh! Bora niwe Lofa lakini si Mali za ajabu
@tomasjilundumo865
@tomasjilundumo865 5 ай бұрын
Unalia nn siuludi huko filimason
@mathastinner-hw3ps
@mathastinner-hw3ps 5 ай бұрын
The Lord Jesus Christ came into this wicked world to save all people from the Snares of Satan the devil who is deceiving the whole world. Please come to the Prince of peace, who give water of life free.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 133 МЛН
ONA MAHABA YA DK SULLE KWA WAKE ZAKE WANNE, NAWAPENDA WOTE
13:54
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 20 МЛН
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 11 МЛН
貓咪 小鬼當家🎮🔫🚑 #aicat #shorts #cute
0:41
Cat Cat Cat
Рет қаралды 23 МЛН
Моя Жена Босс!
0:40
Petya English
Рет қаралды 9 МЛН