PART31:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE

  Рет қаралды 24,163

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 305
@flubtv
@flubtv 3 жыл бұрын
ZABRON,MUZA CHEZA NA HII STORY ZIKO JUU.KWANZA ZABRON MWITA WACHA TU.WAPI LIKES ZA DAVISTAR
@matanobaya7660
@matanobaya7660 3 жыл бұрын
Hii story imenifunza mengi sana:. 1.usimdharau mtu usiemjua au kumdhulumu. 2.shetani sio rafiki hata umfanyie vitu vizuri kiasi gani. 3.kwa shetani hakuna msamaha.......
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Hakuna ushkaji kwa shetani
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Umenena vyema!!
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Ongezea hela ya shetani haiendi bure ni lzm tu akutoe kafara
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
4. Kwa shetani hutakiwi kushindwa
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 3 жыл бұрын
Yaani mimi nayo nayo acha were likes zangu za wa Kwanza..... Kenya
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Duuh
@stephenkariuki8974
@stephenkariuki8974 3 жыл бұрын
Joyce unatuabisha sisi kama wakenya eti nayo nayo nkt!
@stephenkariuki8974
@stephenkariuki8974 3 жыл бұрын
@@edwindavid7037 achana na huyu kaka sidhani ni mkenya labda msomalia😂
@yoldayim4492
@yoldayim4492 3 жыл бұрын
@@edwindavid7037 hahahahaha alafu wanasema chao
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 жыл бұрын
Kwenye hii story kuna mengi ya kujifunza wajameni.. 1.Dharau hazifai 2.Heshimu kila mtu wether unamjua au humfahamu. 3.Maisha yetu ni mafupi sana tunapaswa kujiandaa muda wowote. 4.TUJIKABIDHI KWA YESU NA HUO NDO USALAMA WETU.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
5. Kwa Yesu hutakiwi kuwa legelege
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 3 жыл бұрын
Kuuwa ni mbaya lkn hapo kwa kina scolasticker na rafiki yake na uyo jamaa hainiumi sana ata mimi nimedhulumiwa mara kadha hadi natamani kufanyia watu vibaya, nashukuru babangu ananiambia niachane nao bora nina mikono nitapata tu zingine Asante baba yangu
@rajabhussein7794
@rajabhussein7794 3 жыл бұрын
Pole Sana
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Maisha haya ni ya kupita
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Usimkoseee Mungu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Huyo mama mkwe hakuwa kinganganixi wewe ndoulimuekea dawaa akupendee
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 жыл бұрын
😭😭😂
@nasibubalonzizubusa3449
@nasibubalonzizubusa3449 3 жыл бұрын
Amin usiami kifo ni Siri ya marehemu na mungu wake
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Wakwanza jamni like zang sema davistar anatubania sana
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
Hay wataka nn tena kama like nimkupa😂😂😂😂
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
@@vicentsandess1115 🤣🤣🤣🤣 asanteeee nimefurahi
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Hongera davista labda alikuw kwa wife
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
@@credo7837 wife 😇😇
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 жыл бұрын
Oyooooooooo💃💃tunaendelea na mzee wa bakora za kimkakati
@matanobaya7660
@matanobaya7660 3 жыл бұрын
Unapenda sana bakora
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 жыл бұрын
@@matanobaya7660 🤣🤣🙈bakora muhimu hasa ukimpata wa kukuchapa vzr😋
@nabosedward4836
@nabosedward4836 2 жыл бұрын
@@aishabeka5562 njoo mimi nikupe bakora za kimkakati😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Huyu jamaa kachapa bakora sana. Sijuwi hiyo bakora kama bado anayo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa yani
@momyusuf7731
@momyusuf7731 3 жыл бұрын
Allah atunusuru kwenye mitihani kama hii yarabb yarabb
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 жыл бұрын
Ameen❤️
@suleimaniyasri2166
@suleimaniyasri2166 3 жыл бұрын
Xm huyu jamaaa alikuwa nusu xhetanii...half anaroho mbaya kinomaaa...
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
yani mr fact umeongea neno muhimu sana, kuna watu wanapenda kuzulumu mali za watu, ndo unamzurumu mtu kama huyu, ndo balaa unajiua maksudi.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 жыл бұрын
Waoh! Nashukuru Davista umekata Kiu Yangu nimesubiria kwa muda Sana. Karibu Komando Lwanda Magere.
@mkukistore2816
@mkukistore2816 3 жыл бұрын
Bosss dev leo holliday tunaomba offer tuongezee vipande vingine🔥🔥
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Jamani kweli hampti hata huku jamani😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Bakora za kimkakatiiiiiii😂
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Nafsi ya huyu kijana ilichukuliiwa kuzimu. Kwa hiyo ndio maana alikuwa anatumikishwa na mapepo ndio maana alikuwa na hasira za kudhuru watu. Kwa hiyo ni nafsi ya kuzimu ikuwa ndani yake. Mungu wa mbingu na nchi aponye watoto wetu.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Amiin
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 3 жыл бұрын
Kweli ilisemwa usimchokoze MTU usiyemjua.
@jamilaally3172
@jamilaally3172 3 жыл бұрын
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 3 жыл бұрын
Nafuatilia vibaya mno🇰🇪
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@josephmaganga1931
@josephmaganga1931 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Duhh!! Hatari huyu 🔥🔥 Kawaida Nilimtembezea Bakora kaishiwa na Pozi 🤔🤔🤣 !!!
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
Mr facts Usituweke sana bana
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 3 жыл бұрын
Ni mauaji na Bakora zinatembezwa tu ana kweli hapa kazi hipo.
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Jaman twaendelea kujifunza davista ahsante sana
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
naogopa mpaka kutoa comment asije kunipa bakora za kimkakati mbele na nyuma mwishowe kuaga dunia 😄😀😀😀
@awadhially3753
@awadhially3753 3 жыл бұрын
Osihofu amesha acha ila kuwa na heshima na watu khadija
@philipoluzege3200
@philipoluzege3200 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
@@awadhially3753 weacha tu yani nimejifunza vingi rafiki
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
@@philipoluzege3200 😀😀😀😀😀
@abelmartne6169
@abelmartne6169 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 3 жыл бұрын
Ukweli hii dawa ya kuwakomoa watu Mimi naipata san
@johnassilvester1600
@johnassilvester1600 3 жыл бұрын
Hii story nzuri sana
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Nilikua na hamu nayo hii story....Asante Davistar mungu akibariki 🙏
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
Ata atustuan kwl???😢😢
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 жыл бұрын
Ulikuwa na muhaho 😂😂
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@shizaarfred4059 sana 😂
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@vicentsandess1115 jamani pole my 😔
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 nimepoa ❤
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Leo kachelew kwel mr everything wale wakuchungulia walikoma
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
🤣🤔🤔🤔🤔🤣🤣
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@tracyirene8917 🤣🤣🤣🤣🤣
@angeciellamugisha3811
@angeciellamugisha3811 3 жыл бұрын
Jamani mko fasta mi wakwanza Kuona post ila wamwisho kutizama🤣🤣🤣🤣
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 жыл бұрын
Haaaaaa mke wa mwenzio unasema wako
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 3 жыл бұрын
Umeona Kaka eeeh
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Tena wote anaita wake zake hata hayaoa
@halimarashid232
@halimarashid232 3 жыл бұрын
Stories na nzuri ila mtangazaji unaharibu mtiririko was stories unapoeleza mambo mengine haya ungefanya majumuisho kipande cha mwisho
@nurusky
@nurusky 3 жыл бұрын
Umeona eeeh
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 жыл бұрын
Mwendelezo vp
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
Afadhal kidgo leo nimewahi
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera💃💃💃💃
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😋😋😋😋😁😁😁😁
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 karibu mama
@voodothurday
@voodothurday 3 жыл бұрын
Kuna mijitu inataka kuchapwa bakora za mikakati wenyewe
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 жыл бұрын
haya maisha bana zalau zakuwaona watu unaaza kuwazalau wakti huna ukoo nao
@salumulesso6355
@salumulesso6355 3 жыл бұрын
"Bakora za kimkakati" nimeipenda sana hii Davistar
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
Mr Chibalonza nae kwa kusifia hajambo,,,,,,,
@allyiddakizimana7103
@allyiddakizimana7103 3 жыл бұрын
Jamaa amekula bakola za kimkakati😂😂😂
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Nyie unakula chips amna bakora
@simonjohn7276
@simonjohn7276 3 жыл бұрын
Punguza maelezo dvsta bandle ni expensive inabidi ni Skip maelezo
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Ila wee mkaka toka umeanza jamani kutoa mapito yako jomon shati hilo hili inamana zote uliziandaa kwa siku moja yule mtt ulomtoa dam nae alikuchokoza siwalikukosea wale wadada mtt alikua nakosa gani
@godlovem7139
@godlovem7139 3 жыл бұрын
Mseme akupige dudu shuri yako
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
@@godlovem7139 😀😀😀😀 mm naogopa mpaka kotoa comment za jinga
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 hahahaha utapa bakora za kimkakati 🤣🤣🤣
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth 3 жыл бұрын
Umesahau kama hata kipindi anafanya kafara alikuwa na nguo zake maalumu za kazi so is the same case 😂
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
@@sagaboymsouth 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@matukicmagere3331
@matukicmagere3331 3 жыл бұрын
Daah, tumesubili sana
@baravuga622
@baravuga622 3 жыл бұрын
"Ananyama za Kushika..kuliko Zainati"😄😃😂😁😀😆
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@nuruchaula5145
@nuruchaula5145 3 жыл бұрын
Bars vuga NSI au
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Kwani huyo mwanaume alikuona wewe sio mwanaume😨😨😨😨😨😨mhudumu anatumwaa kweli 🤨🤨🤨🤨🤨Naye kawa speed post hayaa Kofi amekutana nalo🤣🤣🤣🤣🤣
@kefasoneliakimumkeyembo1804
@kefasoneliakimumkeyembo1804 3 жыл бұрын
Davistar leta mapema muendelezo maana tumeshatoka kahama tayari.
@geoffreygichanga8586
@geoffreygichanga8586 3 жыл бұрын
Leo number 1
@costavalenci7699
@costavalenci7699 3 жыл бұрын
No one today 💪💪💪
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo Jana na leo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 nakupenda pia mwa mwaaaaa
@Pedeshee01
@Pedeshee01 11 ай бұрын
Niipate dawa ili nikuchape bakora za kimkakati😂😂
@mainapatrick2295
@mainapatrick2295 3 жыл бұрын
Story nice nice
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Nkamchapa Kofi la kishirikina akaamka, jmn Hilo Kofi kwio
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 3 жыл бұрын
Haaaaa yani akuita mshamba ukupata zambi ulivyo mxhuulikia
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Yani hum kunawatu niwalinzi wa you tube dooh umeacha umemtembezea bakola ukenda kwa yule mkaka umemfanya bado hujachoka tuuh ukamrudia tena yule mwarabu khaa mmmh hatr sana
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Huhuhu kaw kaw upogo
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 nipo ndg vp corona
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
@@kawtharsaleh9229 unamawazo nacorona mmh wee lizoee tuuh leo lipo juu haswaa nimeona kama elfu 3 na mia na 39 kitu kama hicho
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Ni kweli hakika Davistar
@lawilawi6800
@lawilawi6800 3 жыл бұрын
Geuka hata sekunde moja magere😳
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 3 жыл бұрын
Ata mwanamme mwenzako una kunguta bakora ya kimkakati, nadhani bakora ya kimkakati ni ya wanawake tu
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 3 жыл бұрын
😀😀😀
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Hakuna kitu wanawake huwa wanachukia kama kusikia mwanaume shoga
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
Watu muko fasta kwa kweli khaaa mi nimekaa muda mrefu you tube lkn nakutana na COMMENT 80😀😀😀
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Vifurushwi vimepanda bei Lakini Wamo sjui Pesa wameiba😂😂
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
@@sapnaabdallah1084 itakua wanafanya kazi kwenye hizo campuny za mitandao maana sio poa kabisa yaan 😂😂😂
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Yaan sikuiz napata notification kuchelewa 🥲
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Madikteta wote ni watoto wa kichawi. Thus madikteta wote wanatoa kafara watu,
@josephkibona1801
@josephkibona1801 3 жыл бұрын
Story ya jamaa inafurahisha kuna vonjo vitam km anaviongeza hashish kusikiliza
@allymteba253
@allymteba253 3 жыл бұрын
No 1
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 3 жыл бұрын
Kaka anatembeza bakora duh! hiyo dawa na mie nitayipataje kuna dada fulani ana madharau sana
@stidejustin1156
@stidejustin1156 3 жыл бұрын
Mabusiano yakaendelea 😂😂😂
@magiemaggie3152
@magiemaggie3152 3 жыл бұрын
Jmn nihatar
@vicentsandess1115
@vicentsandess1115 3 жыл бұрын
Jua kalii san leo🔥
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣pole
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
duuuuh huyu jmaa nooma
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 3 жыл бұрын
Acha na mim ni comment sio nasoma za wenzangu tu
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
mzee wa bakora😅😅😅sitaki dharau 'wapige tu mpaka wanye mavi
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 жыл бұрын
Kupitia hii story nimeelewa kwa nini neno la Mungu linatwambia tusilipe kisasi. Anasema kisasi ni changu mimi niachieni nitalipa wakina scolastica na best yake walikufa sababu ya kutaka kujilipiza kisasi.
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 we unalolijuwa ni lipi?
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 swali lako ni controversial mimi ni mkristo neno la Mungu ni biblia takatifu, sasa sijuwi wewe neno lako la Mungu ni lipi kulingana na imani yako siwezi kukuongelea.
@user-oh5iu6jx2j
@user-oh5iu6jx2j 4 ай бұрын
Uko sahihi dear
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Ana mshukuru Mungu kwa huyo mwanamke kufika😲😲
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
🤔 Kabisa!!
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@tracyirene8917i seee
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Haise unapiga mwanaume mwenzako bakora mpaka anajinyea haise wewe ulikuwa popo bawa, unasema alileta matharau na nyodo, mbele ya mke wako hii ni funzo kwa wale wanao jiona wao ndio wao, aka bakora za mikakati,
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Ase dhuluma mbaya nyie msfanye ase hizo bakora kwa mwanaume mwenzio sjafaham alikua anapata delicious gani
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 3 жыл бұрын
Msisahu kumtumia kale ka hela davister 😋😋😋
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
Twende kazi na mzee wa bakora 😁😁😁😁😀😀😀😀👌👌👌👌👌
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Xakimikakatii
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
@@nurafedrick378 😀😀😀😀😀haswaaaaaaa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@tatuhongeranurushaus485 🤣🤣🤣
@samaboy2592
@samaboy2592 3 жыл бұрын
Oyooooooo
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 3 жыл бұрын
Bos Dav nimeahidi kukupa zawadi sijasahau, jamaa pia nitampa zawadi ya kununua vitabu vyake. Lete hiyo movie chapchap tupambane na hawa voda wanaotupa 400mb za 24hrs.
@mariammgombayeka1824
@mariammgombayeka1824 3 жыл бұрын
Wamebadili sasa hivi ni gb 3.5 kwa 24hrs
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story nzuri
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
Hujatuambia ulikua unaoga saangapi,kuosha kinyesi
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 жыл бұрын
Dereva wa magere alienjoy sana
@upendoarondaniel7832
@upendoarondaniel7832 3 жыл бұрын
ningekuwa na uwezo ningemwadhibu kuna mtu alinidhurumu pesa angu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Mwadhibu utajikuta adhabu inakupata na wewe
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth 3 жыл бұрын
Mke wangu mwarabu🤝
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Alafu hajaoa ila anaita wake zake
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth 3 жыл бұрын
He is so funny 🤣
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Pamoja dav ulipo nipo🙏🙏🙏🙏🇹🇿
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 жыл бұрын
"Nyama za kushika"....Patamu hapo.
@milkahotieno2198
@milkahotieno2198 3 жыл бұрын
Waah nimewaiyi🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@ramadhangona9085
@ramadhangona9085 3 жыл бұрын
Pamoja 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
@honestema
@honestema 3 жыл бұрын
Davista kashtuka wanavyoagizaaa hhahahahaha
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 3 жыл бұрын
Hao jamaa walikuwa wanaita msimuliaji wetu shamba boy ni wasukuma.
@nabosedward4836
@nabosedward4836 2 жыл бұрын
Hata yeye msukuma
@marychacha7084
@marychacha7084 3 жыл бұрын
Ukimwi je haupatikani kwa hayo Mambo ya mapenzi ya kishirikina...???
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 3 жыл бұрын
Yani mm ninapo chekaga nipale unaposema nimemtembezea bakola za kimkakati
@nuruchaula5145
@nuruchaula5145 3 жыл бұрын
Hayo maneno hata mi yananivunja mbavu
@onesmoseif3685
@onesmoseif3685 3 жыл бұрын
Pamoja kaka
@swalecomedian1340
@swalecomedian1340 3 жыл бұрын
Vp huku kumedamsh
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Mzee wa bakora ndani ya nyumba
@KariukiRoysambu
@KariukiRoysambu 3 жыл бұрын
Yani kazi ilikuwa ni kuwaachilia bakora kama adhabu walio kukosea....aise 😄 🤣 😂 😆
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Jaysantans
@Jaysantans 3 жыл бұрын
Dah kizaz sana
@anthonkephasglobalmedia7406
@anthonkephasglobalmedia7406 3 жыл бұрын
Happy easter day
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Nasikiliza leo 14-10-2022 leo nyerere day
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Hi story poa nasi yakubuni 😆
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Namm nimewahi leo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera wngu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera❤❤❤❤
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 asante my
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asante😘😘😘😘
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 Karbu wngu❤❤❤❤❤
@geofreymabila2271
@geofreymabila2271 3 жыл бұрын
Oshi
@user-vb8ck9tt9o
@user-vb8ck9tt9o 3 жыл бұрын
iko poa sana
@datiusgabriel8277
@datiusgabriel8277 3 жыл бұрын
Pesa ya shetani haiendi bure
@r.kassimtoutautre3432
@r.kassimtoutautre3432 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 40 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 44 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 16 МЛН
Career | Explained in Malayalam
1:08:23
Nissaaram!
Рет қаралды 145 М.
MAGIC DRINK TRICK TUTORIAL 😱😳
0:20
Milaad K
Рет қаралды 37 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
PAVLOV
Рет қаралды 19 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
0:21
FASH
Рет қаралды 16 МЛН